Kwa imani yangu inavyoniambia ni akuna chochote duniani chini ya jua kilicho na uwezo zaidi ya mungu unachotakiwa kufanya ni kumrudia mungu tuu kwa dhati rizki anatoa atoi binaadam wala jini rizki anatoa alietuumba so muombe sana mungu yote yatakwisha na utarudi kama zaman na utaishi maisha ya furaha
@griezmannmhalaka43384 жыл бұрын
No 1 Kila kitu yaani ku like ku comment na kuvyuu Like kwangu zoote wakuu maana nimefanya kazi ya ziada kufika hapa maana nimeshinda data wazi baada ya kusikia story za bi khaira mdogoake julieth wa Jay 17 na ndio dadake Mamu
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@rosecruiz43484 жыл бұрын
Wana kaa wame fanana na juliet
@dorcaskidoti2494 жыл бұрын
Siwezi mwabudu jini hata siku moja..Nitamwabudu Yesu mwana wa Mungu alie hai daima na milele 🙏🙏
@khadijaomari93444 жыл бұрын
utamuabudu baba mtoto 🤔🤔🤔
@dorcaskidoti2494 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 🙄🙄🙄
@meisme75404 жыл бұрын
Mwabudu Mwenyezimungu muumba ardhi na mbingu na vyote vilivyomo ndani yake
@beatricekweka66834 жыл бұрын
Duuh aisee pole Sana...Nenda kwa M/Mungu ndio jibu pekee kwako
@nakundwamkubwe78234 жыл бұрын
Jini sio Mungu hatakama ananguvu ya kukutia maradhi bado kuna Mungu. Kasomewe Dua na wewe mwenyewe ufanye ibada na uwe unamuomba Mungu akuepushe kwenye haya matatizo. Zipo Dua za kuuwa majini na kutoa mikosi ya kijini na husda zao. Tafuta mashekhe, ustadhi wakusaidie inshallah utapona Kwa uwezo wa Allah. Majini pia wanaomba Mungu iweje wewe ushindwe? Quaran ni tiba fanya tiba kupitia Quran.
@ashasiri27204 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi Inshallah kikubwa dua 🙏
@aminaismail42214 жыл бұрын
Huyo zuhaira alikuja na nia yakukuangamiza majini hawana uzuri au msaada wwte kwa binadami mregele mungu shika ibada na inshaAllah mambo yatafunguka
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
sahiihi kabsaa dada Amina Hawa majin wanamakusudıo yao kwa wanadamu hakwezekan bndamu akaısh na jini et mahusiano mazurıı ! Hakunaaaaaa!
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Kanisani ndo msahada mkubwa ukajitoe vifungo na ukafunge milango ya mapepo baada ya kufunguliwa na vifungo ndipo mambo yko yataenda sawa bila ivyo kaka utajisumbua maana uyo jini alitumwa kuja kualibu maisha yko na kafanikiwa...pole sana aiseee
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nakundwamkubwe78234 жыл бұрын
Hakuna kitu kinaniuma kama Majini wanavyo tuuwa binadamu! Nanyinyi kaka zetu mnawakaribisha wenyewe kwa kupenda mteremko. Achaneni kujenga urafiki na majini kwasababu hao ni maadui zetu na waliapa mbele ya Allah kuwa sisi Binadamu ni maadui zao.
@kiddrc3534 жыл бұрын
"Enendenyi nyinyi kwa mkawe maadui"(mola anamkusudia ibilisi(mwenye asili ya kijini) dhidi ya adam )ispokua mashaitwani hutokana na watu na majini hivyo kuna majini wema na wabaya ikiwa utamkaribisha jini mbaya tambua ana Mabaya yake na mazuri yake vivyo hivyo jini mwema ana mazuri yake endapo mtaishi ndani ya makubaliano(sheria)ila ukienda kinyume hata yeye utamuona mbaya kwa atakavyokufanya kwani hawa c viumbe wa longo longo kama binadamu ."onyo uctake kuishi nao kwa tamaa zako za kidunia ni hatari kama huna lengo"
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Tafuta shekh usomewe Rukya duwa kwa kawachoma majini mahaba na majini na mashetan hata wanga. Hakuna chengine mana kama kweli umepata mitihani hiyo bas itakuwa amekuwachia nuksi to huyo na hiyo sihri inaondoka kwa kisomo cha qur'an .hata kama mkiristo hata asie na dini bas mdawa ni qur'an
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
kabsa kabsaaa
@lilianochieng43474 жыл бұрын
Jisalimishe kwa kristo
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
lilien krısto haponyi ila Mungu ndıye anayeponya!
@jamilaally31724 жыл бұрын
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
@is-hakayussuf99814 жыл бұрын
*Dah mtu makini uko juu big up*
@mabulamasunga73784 жыл бұрын
Okoka
@nancychissamo3794 жыл бұрын
Mhh!! Tukusaidie kiaje we kaka,,unataka tufuatwe ama🙆🙆🙆🙆. Zidi kuomba tu kwa mungu
Aaah xhehe unaona makabuli af unaomba namba ya simu duh pombe mbaya aisee
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Unamkimbia jini utaweza🤣🤣🤣🤣🤣
@salimomary62794 жыл бұрын
Mambo mtt rose
@roseuwambe80894 жыл бұрын
@@salimomary6279 Pw nambie best
@aishamustapha73814 жыл бұрын
Mungu kakusaidia tafuta kazi ufanye kaka angu.
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Yan binadamu kbs unaomba msamaha kwa jini 😥😥😥😥jini anatuogopa wanadamu maana tuna nguvu za ki Mungu endapo utamkubali Mungu...nashukuru family yngu amna aya mambo ata kidogo aiseee tumewakataaa majini mashetani vimbwengo na kila mipango ya ibris tumeikataa nayo imekimbiaaa...
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Yani watu wengi wamepigwa upofu wa Roho wanaona jini ana nguvu kutushinda ila ashukuriwe Mungu wetu maana ametupa mamlaka ya kukemea kila aina ya pepo na kutii
@annameela67504 жыл бұрын
Kusema familia nzima mmeyakataa majn c kwel ukichunguza undan wa familia hakosekan mchawi humo ndan ukizama sana kat ya mama au baba au shangaz au bibi pande zote kwenu hakosekan mchawi ndo anaiset familia yenu mnaweza ona mnaish vizur bila mitihan lakn mbelen mtaelewa tu mkitaka kujua yaliyomo pale mnapokua mafukara mtajiuliza sn kuna nn ndo mtaielewa dunia vizur saiv ongea uwezavyo bado najua hujakua
@OmanOman-ik9sp4 жыл бұрын
@@annameela6750 kweli
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
@@annameela6750 ulimuelewa vibaya mwenzio haja ongelea uchawi napia kilicho msikitisha ni pale alipo msujudia jini kumuomba msamaha mm najua wabaya wapo kila kona ila ukiwa na ukaribu na Mungu wabaya wote wataisoma namba maana utakua na ulinzi wa kutosha
@fredichaki48684 жыл бұрын
Da da daaaa...!!! Very sad demon is demon can not manege to stay with human being
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Asante kwa mwendelezo
@najimyahya79014 жыл бұрын
kma mwendelezo
@ednacelemon59504 жыл бұрын
Huyu kaka amenishutua kuomba no ya mtu anayeishi makaburini.
@juliusaria9473 жыл бұрын
Ni mungu tu kaka ndio mwokozi
@swaumujuma63334 жыл бұрын
Pole sana daa majini aya mungu anayaona lakini wanavotesa binadam
@gfydfdf88694 ай бұрын
Kaka Yani mkabidhi Yesu maisha yako.mimi nakuolewa nenda ukafanyiwe maombi,kanisani.damu ya Yesu itakutakasa,utawekwa huru ,hayo mtizo yataisha huyu sulahi jini atakuacha majini nimashwani walana.
@latifahissa85814 жыл бұрын
Asilimi nyingi ya watu wanaofatwa na majini ni watu wa maisha ya hali ya chini ndiomana wanawatawala kwa mali na pesa
@AbdulAbdul-pr9qe4 жыл бұрын
sawa
@OmanCom-ky8tn4 жыл бұрын
Pole sana kk duu lakini punguzeni kupenda
@leonardmrope95284 жыл бұрын
Awa unaofwata kuwauliza vtu km ivyo DM Ungekua unajalibu kutafuta na ushaidi alau Kwa majiran zao au baaz yawatu wao wkalibu kupata ukwel wa ayo wnayosimulia,,,c kwauyu tu na kwawengine
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Wajua zimejaaa mdomoni kwako kaka Pole sana huyo hata kama nijini ama mtu wakawaida sio mtu maana amekuulia family zimaa WAJUA 😫😫😫😫😫😫
@vaghoghontweki98274 жыл бұрын
😂nawaangalia2 ntaka kjua spid ya kuchat😂mpo vzr wakulungwa
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hasnasaif10754 жыл бұрын
Hahaaaaaaa
@maxozone37624 жыл бұрын
Hi kama ukweli !!!
@deofred15174 жыл бұрын
Pamoja sana Mr Davista
@estamapenzi42744 жыл бұрын
Naku saidiya na maombi nothing else Kwasababu wewe une fungwa na Yule jini Na maombi ndiyo kitu pekee kinaweza kuku fungua... anyway pole sana bro😱🤔
@mpjrecordsacademy4 жыл бұрын
No 1
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@salumosman40564 жыл бұрын
Sio mchezo aiseee,zakijini jini ndyo zenyewe 🇩🇪
@fatmaalrshdii76154 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@africandarling69254 жыл бұрын
Duuh pole sana dede
@jeaninemugisha63954 жыл бұрын
Jamani Mungu atuhebushe namajini
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
Daaaah kweli dunia inamambo shinda tamaa mbaya.
@emmanelly68644 жыл бұрын
Is it that from the very word go someone has no power to detect these beings? How will you even have that peace you are looking for knowing how your loved ones died? Anyway pole sana. Davistar shukran, watu wanapata maarifa hapa, siku watapata mitandio hawataifuata ama kuiokota.
@goodgood93704 жыл бұрын
Ohhh!!!! My God help us
@katherinejerry12514 жыл бұрын
Da nimechelewa
@wisdomfitnessorganization89884 жыл бұрын
Jini akikuletea mazoea unavuta bangeeee tu.
@magangakayola41754 жыл бұрын
Sure unamlia kitu cha Jamaica tu
@hawaynatimam9824 жыл бұрын
😂😂😂
@salumali32814 жыл бұрын
Na watu wengi siku hizi kwa njaa zao wamekua na vikundi vya kusomea watu au wanajifanya watu wa maombi. Wengine wajiita wataalamu 😀 na wala sio kweli wizi mtupu. Yaani wafanyabiashara. Na km una mtu wako wa karibu anafanya kazi hizi hana kipaji. Yaani kwa ajili ya kupata pesa tu basi ni bora kumshauri aache atafute kazi ya kufanya laa sio hivo ipo siku atakuja kujuta Mtu anafanyiwa duah hapa tz na anapansisha jini. Kibinaadamu utasema huyu kiumbe keshapanda wengine tumpige mikwaju. Kumbe jini hayupo apo yupo china 🇨🇳 anamuangalia tu yule mgonjwa huku mtu yupo tz kapandisha. Kiufupi hizi kazi zina wenyewe sio kila mtu anaziweza. Mtu awe na elimu au kipaji (kajaaliwa na mungu) na asiwe mwepesi awe mzito (ana nguvu za kiimani) sio mchezo. morning ilove you people 😍
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Pamoja sana bro
@hamidibrahim53694 жыл бұрын
Magonjwa ya kawaida ni malaria, typhoid etc.... magonjwa zingine za ajabu ajabu sababu ni majini na Quran ndo dawa, inasikitisha muislamu akipatwa na shida kidogo eti anafata mtaalam ambayo tayari anaingilia shirk. Imani dhaifu hii na lazima turudishe imani thabiti kwa Allah na hawa majini hawata tukaribia
@rosecruiz43484 жыл бұрын
Sasa dede huku jua kua yeye pia ni jini mwengine ama zuhaira ndio kajibadilisha pole sana
@mamarose46934 жыл бұрын
Huyo jini alikuja kwenye maisha yako kukuangamiza tu
Number unayopiga haipo? Huyo jini alikuwa anakuchezea anavyotaka jini kanywa damu za wazazi wako.. Endepo ungesimama na Mungu huyo zuhaira asingekusumbuwa hata wazazi wako asingewauwa..Jina la Yesu ni motoooo
@saidabdalla89964 жыл бұрын
Pombe izo
@fatmafatoom65534 жыл бұрын
Dooohh Majin waadhabu Kali jaman kwn lazm kupendwa.
@eggysulle79884 жыл бұрын
Mhhh ataree
@chujjuma24084 жыл бұрын
Ooh watu mko active
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@saidabdalla89964 жыл бұрын
Naona watu wengi wanasikiliza sana za hawa viumbe wengine
Mr DM... nakubali jama hapa sisemi kitu 🤐🤐 tusikilieze story ...ila za kijini ndo zetu wewee
@jjrussell0814 жыл бұрын
Kuna kitu na huyu jamaa ambacho hakiko sawa sawa
@fatmafatoom65534 жыл бұрын
Jini hanaga urafik wa kwel.
@ylosvijevana68154 жыл бұрын
Nimesubiri haswaa hadi part 2 itoke
@ibrahimrukundo30644 жыл бұрын
na hao majini wahivo hawajileti wanatumwa sasa tama za wavijana ndo zinawaponza.
@AbdulAbdul-pr9qe4 жыл бұрын
usitutishe bana
@munnawwary7574 жыл бұрын
Awa majin wanatutesa kwakwel mung wang
@SunguraShabani Жыл бұрын
Jini ni jini kila siku Hakuna jini mbaya au jini nzuri jini mwanzo itakuonesha upendo lakini mwisho wa siku utajuta Jini ni sawa sawa na shetani shetani atakupa kila kitu unachokihitaji afu utadhani kwamba anakupenda lakini mwisho wa siku utayatapika
@aishaabdulrahman69954 жыл бұрын
Story ya huyu kaka nahisi muongo maana Ana unga unga
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Ww utakuwa unatafuta mtaji wa biashara.
@nakundwamkubwe78234 жыл бұрын
Samahani wakati ameshauwa familia yako?mwambie na yeye akauwe ndugu zake ndio wewe umsamehe.
@semkudfamily92224 жыл бұрын
Team popo
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@babarahmababarahma604 жыл бұрын
Wa 2 japo bado sijamsikiliza huyu jamaa
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@kukuutadasa59354 жыл бұрын
Wa6. Leo Sasa davi ww huna mkasa wako hhahahha hata wa mausiano simbaya,🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@nagibtimimi60274 жыл бұрын
🤣😂 wwe umetisha kwa maoni yako
@dunimambo93604 жыл бұрын
😂
@dunimambo93604 жыл бұрын
🤣🤣
@khatwabisadathil34234 жыл бұрын
Kukuu we umepaa kimawazo.💪💪💪💪💪💪👊👊👊👊👊👊
@karrolleschon39864 жыл бұрын
🇰🇪
@davistarmattamedia6694 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Jamaa kafanana na harm rapa kweli
@Fatima-sv5gp4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@omarsalim63304 жыл бұрын
Zuneira uko
@khadijaomari93444 жыл бұрын
nipo 😀😀😀😀
@omarsalim63304 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 hhhh
@ednacelemon59504 жыл бұрын
Huyu kaka amenishutua kuomba no ya mtu anayeishi makaburini.