Пікірлер
@NeemaDamian-xo8hf
@NeemaDamian-xo8hf 4 сағат бұрын
Mungu ameniponya ukimwi
@LilianAchayo-b9b
@LilianAchayo-b9b 6 сағат бұрын
Yaaani mtumishi wa Mungu rafiki ya watu wake, natamani sana, saaana kukutana wewe, unavyo mpenda sana Mungu natamani, najua Kuna Yale ya ndani sana, hausemi hapa, kwa maagizo ya Mungu. Nafuatilia nkiwa middle east, na mkenya. Barikiwa sana, Davista pia Mungu akuhifadhi saana, na ulindwe
@Danielgimonge
@Danielgimonge 11 сағат бұрын
Et aaah saf 😅😅😅😅
@juliusmwiburi8117
@juliusmwiburi8117 18 сағат бұрын
Davista wamayo muongo san
@vitaasumani4613
@vitaasumani4613 Күн бұрын
History kama hizo tuna jifunza mambo mengi
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 Күн бұрын
1WAKORINTHO 1:18 "Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuz,i bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu!!"
@LeylaaYusuph-pk5qp
@LeylaaYusuph-pk5qp 2 күн бұрын
Yesu so Mungu
@Yusufu940
@Yusufu940 2 күн бұрын
Ukweli mtu
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 күн бұрын
Hivi davista yupo hai kweli? Mana wazee wa kazi mmmmh
@AmaniPascal-go3ux
@AmaniPascal-go3ux 2 күн бұрын
Mtumishi mungu akubariki sana kazi hii inaponya watu
@EmanuelMgomba
@EmanuelMgomba 2 күн бұрын
Hamuupend ukweli nyie wafuas wa wazung mmetawaliwa mmbwa waliotawaliwa
@gabrielbonday7780
@gabrielbonday7780 2 күн бұрын
Pole Sana
@mlishobadi5731
@mlishobadi5731 2 күн бұрын
Mungu ndiye mwanyukukusudia kwakila jambo
@salehemkwengwe9834
@salehemkwengwe9834 3 күн бұрын
Ila wakristo usanii mwingi sana😂😅
@HadijaKilagule
@HadijaKilagule 3 күн бұрын
Kwahiyo mwizi mstaafu hiyo nyuma ndio nyumba yake au?
@Deeber7-f9w
@Deeber7-f9w 3 күн бұрын
Huyo jamaa si mwanasheria na wakenya wanajua kiingereza sasa ilikuwaje lugha gongano sijaelewa hapo
@MariamKhamisi-i3c
@MariamKhamisi-i3c 3 күн бұрын
Mwenyezimungu akuzidishie kheri Dr sule Allah Karim
@Elecovid
@Elecovid 3 күн бұрын
Yesu anaweza jamani hakika mungu yupoooòooooo haleluyaa
@JaphetLameck-kw4yq
@JaphetLameck-kw4yq 3 күн бұрын
Pumbavu mbona anaongea huyo mfugamajini pekeake? Ipm mbona haongei?
@pvkanyorota264
@pvkanyorota264 3 күн бұрын
Ni mwalimu wa ukweli anajua kompyuta ikasome
@NeymaTengeza
@NeymaTengeza 3 күн бұрын
Nampenda sana
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 4 күн бұрын
Hakika Yesu Kristo kwa macho haya ya kibinadamu huwezi kumuona na ukamuelezea vile alivÿo,isipokuwa utamuona ktk roho na uwepo wake uthibitisha uwepo wake.Aaaah! Anaonekana ktk Roho nimeelewa sana hili
@aloycepetro2804
@aloycepetro2804 4 күн бұрын
God bless you
@CharlesMapunda-d5i
@CharlesMapunda-d5i 4 күн бұрын
Kiarabu ndio rugha ya Quran ndio rugha ya kuzungumza na Majini na ndio rugha ya kuongea ya Mungu wa waislsm Mungu Allha na ndio rugha ya Waganga na Wachawi waliosoma Elimu ya Faraq ni rugha hiyo ya Kiarabu sasa akili kichwani mwenu kujua huyo Mungu ni wa kweli au magumashi ya Kiarabu kutunga Dini yao?
@CharlesMapunda-d5i
@CharlesMapunda-d5i 4 күн бұрын
Uislam na Uchawi nikama Uji na Mgonjwa, au Maji na Samaki huwezi kuvitenganisha kirahisi. Na hakuna Mganga au Mchawi anatibu wagonjwa wao kwa kutumia Biblia ila ukienda kwa waganga utakuta Quran na vitabu vingine vya kiarabu vingi tuu
@CharlesMapunda-d5i
@CharlesMapunda-d5i 4 күн бұрын
Ukweli wa uislam wa Tabia yao ya chuki na ukatili kwa wakristo ni kubwa sana hasa nchi za kiarabu, hapa TZ bila Sheria Hawa wehu wangekua wanyama sana kwa wakristo kama kipindi like walivyokua wanavunja mabucha ya ngurue na kuwaua wauzaji bila serikali wangetusumbua sana na roho mbaya zao zinazoongozwa na Majini bila wao kujijua,hakuna jini linampenda Yesu hata sikumoja
@pendonyambari6460
@pendonyambari6460 4 күн бұрын
Pimpili camp nakumbuka hiyo
@CharlesMapunda-d5i
@CharlesMapunda-d5i 4 күн бұрын
Waislsm muache jazba kwakusema huyu bwana muongo kisa kaokoka, zamu yenu wabishi zamu yenu inakuja mtanyooka tuu mpaka muachane na Majini mbaki na Malaika
@Lukas-w5x
@Lukas-w5x 5 күн бұрын
Mchungaji ndacha ubarikiwe sana
@ernestkifwefwe2127
@ernestkifwefwe2127 5 күн бұрын
Mtumishi wa Kristo, Mungu aliye hai Akubariki Sana Kwa shuhuda yenye kumtukuza Mungu aliye hai mwenye nguvu kuu kuliko Wakuu wa giza(shetani/Ibilisi).
@juliusbrush3202
@juliusbrush3202 5 күн бұрын
Daaah mwanangu umetoka mbali sna
@raiszongo4136
@raiszongo4136 6 күн бұрын
Napata vipi vitabu?
@raiszongo4136
@raiszongo4136 6 күн бұрын
Mashallah elimu na story Mpaka raha ...
@LukasNdaji
@LukasNdaji 6 күн бұрын
Kaka unatujenga kiroho respect sana
@abdallamacan7864
@abdallamacan7864 6 күн бұрын
😂Ati Suti na yesu alivaaa kanzuu Jameni
@elizabethconstantino6056
@elizabethconstantino6056 7 күн бұрын
Shehe kakimbia hatari sn, Yesu ni Mungu watate wasitake
@LukasNdaji
@LukasNdaji 7 күн бұрын
Kwa story izi zinasibitisha uchawi upo na majini yapo ila YESU ndio anaetusaidia
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 8 күн бұрын
Hivi You tube ni ya Wachungaji🤔 ⁉️mbona mala nyingi, yakitolewa maoni ya kweli mnaya pitisha mstali katikati (yanafutwa) hamtaki ukweli uliomo ktk Biblia yenu, 🥱⁉️
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 8 күн бұрын
Neno Kafiri hata ktk. Biblia neno hilo limo:-Soma: 1:4 YUDA (JAMES KING VERSION 1952) Mtu yeyote anae sema Mungu ni zaidi ya mmoja, anaitwa KAFIRI
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 8 күн бұрын
Dr. Sule, Mwenye Akili timamu, Amekuelewa na ndivyo ilivyo andikwa ktk. Biblia. (Wachungaji wakiwasomea waumini wao ukweli, watapoteza SADAKAAAAA)
@charityezekiel3525
@charityezekiel3525 8 күн бұрын
Mungu atusaidie kwenye ulimwngu wa kiroho Kuna kanuni aisee....
@rashidomary4297
@rashidomary4297 8 күн бұрын
Unaweza kupeleka punda kisimani ila huwezi kumlazimisha kunywa maji bakini na mitazamo yenu ya kudanganywa. Kwa kuuziwa mapapai kwa mabilioni ya fedha kwakuambiwa yametoka kwa mungu.elimu mnazo .mnataka kushikiwa viboko.😂😂😂😂😂
@rashidomary4297
@rashidomary4297 8 күн бұрын
Wewe ni Dr zaidi ya madocter.
@vivicagreco7767
@vivicagreco7767 9 күн бұрын
Davstar mm nashauri ,, yule jaman WA MIKAKATI yule WA mwanza,, MWENYE kuoa mpk waarabu,, mpelekeni kwa huyo MTUMISHI aokolewe, maana yule alikuwa komesha sana
@vivicagreco7767
@vivicagreco7767 9 күн бұрын
Davstar shikamoo,, uko vzr sana mdogo wangu,,, nipo TUNDUMA border Zambia na Tanzania. Nakusikiliza sana. Kuna kitu amaeongea huyo mzee nimefunguka bila kuombewa,, nimemuelewa,,
@RajabuKiedu
@RajabuKiedu 9 күн бұрын
Mimi ninakuelewa na kama ungebisha ungeifanya kazi ya mungu kwa ulazima
@moseskatega8441
@moseskatega8441 9 күн бұрын
Sheikh inabidi tukutane nimuongezee maarifa.Quran haimtambui Yesu.
@moseskatega8441
@moseskatega8441 9 күн бұрын
Biblia na Quran ni riwaya/ hadith za Wazungu na Waarabu. Yesu sio Isaa wasomi wakae sawa.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 күн бұрын
Safi sana Davistar.✌️
@baltazarleba9760
@baltazarleba9760 9 күн бұрын
Jamaa anajua sana kupitia uhalifu 😂