PART1:ELIA MGANGA ALIEKUWA ANAROGA WATU WASIZAE WALA WASIWE NA MAKAZI WAWE WANAHAMA HAMA TU

  Рет қаралды 5,079

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@Thestateversusthepeople
@Thestateversusthepeople 7 күн бұрын
Asante Mungu kwa hi channelli
@SarafinaSaimon-p3l
@SarafinaSaimon-p3l 8 күн бұрын
Tuko pamoja no 1 Nawapenda sana
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 7 күн бұрын
❤❤❤Sina comment nyingine lakini napenda story za davistar
@elidadi1351
@elidadi1351 8 күн бұрын
Tumeangukamo kwa mara nyingine tena
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 7 күн бұрын
🎉
@YusuphJuakali
@YusuphJuakali 8 күн бұрын
Kwa nini watu wanatoka kwenye imani na tamaduni za kiafrika wanakimbilia kwenye tamaduni potofu za kigeni.
@michaelmazigo7294
@michaelmazigo7294 8 күн бұрын
Tamaduni Gani ndugu za kichawi kuhuwa watu pasipo na sababu.
@ellyitete938
@ellyitete938 8 күн бұрын
We shetani ndio utamaduni kumbuka ugangabna uchawi uko Kila nchi
@dondada1764
@dondada1764 8 күн бұрын
Tuna kosa mafunzo kaka ..ya vyetu...tu connect basi
@VillaTemu-k4p
@VillaTemu-k4p 7 күн бұрын
Wengi watakupinga maana hawajui asili yaoo make kabla ya dini wazee waliishi vzr
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
Waliishi vizur wapi??? Walichofanya ndo kinatutesa leo​@@VillaTemu-k4p
@marysiguna
@marysiguna 7 күн бұрын
Elegant kwa useful hio ni ugonjwa aina gani?
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 8 күн бұрын
Safi Mr dm
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 3 күн бұрын
22:14 Nguvu ya bangi😂
@tonitodd1922
@tonitodd1922 8 күн бұрын
Shukran Davistar
@Waziri77
@Waziri77 8 күн бұрын
MMM VEMA, kazi safi
@annkim2690
@annkim2690 8 күн бұрын
Davista oyee naona mijumbe ya shetani imeinuka kweli ati mila na tamaduni
@emmanueljoseph3561
@emmanueljoseph3561 8 күн бұрын
Wa kwanza
@dc4543
@dc4543 8 күн бұрын
WaAfrica tunaacha tamaduni zetu tunakimbilia tamaduni tulizoletewa na wazungu na waarabu
@alfayomsangi3815
@alfayomsangi3815 8 күн бұрын
Tamaduni zenyew ndio hizo unazozisikia apo kurudishana nyuma tamaduni zakipuuz
@VillaTemu-k4p
@VillaTemu-k4p 7 күн бұрын
Nakubaliii
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
Kaague ukoo wako tu ndugu hapa HUWEZ pata mteja
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
​@@alfayomsangi3815Hawa ni waganga 😂😂😂
@dc4543
@dc4543 7 күн бұрын
​@@KhadijaMwenda Endelea kuabudu waarabu
@elpidiusezekiel2729
@elpidiusezekiel2729 8 күн бұрын
Mimi nimeongezeka Imani sana tangu nimeanza kisikiliza shuhuda za watumishi apa Kwa Davistar pia na Kule promover Tv
@YusuphJuakali
@YusuphJuakali 8 күн бұрын
Umeongezeka imani ipi sasa. Maana hapo wanaelezea imani za Waafrika na imani za Wazungu 😂
@RashidiMdee-s3p
@RashidiMdee-s3p 8 күн бұрын
Kama mm😮
@RashidiMdee-s3p
@RashidiMdee-s3p 8 күн бұрын
​@@YusuphJuakaliimani unajua ivi vitu watu tunajuaga n stori tu alaf ivi vitu viko dunia nzima mpk kwa wazungu uko sema kwa vile tu sisi yet yanakuwa open
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
​@@YusuphJuakaliweww utakuwa mchawi shindwa Kwa jina la yesu
@gabrielisdory9686
@gabrielisdory9686 6 күн бұрын
Kiukwel mwenyew kansaidia san,n wachache sna wanaweza kuelewa ila hii Dunia inatawaliwa na shetan san sana😢
@minjanavigator8552
@minjanavigator8552 8 күн бұрын
❤❤❤
@michaelmazigo7294
@michaelmazigo7294 8 күн бұрын
Twapasa kuishi vyema tukiwa na yesu.
@VillaTemu-k4p
@VillaTemu-k4p 7 күн бұрын
We unajua asili ya yesu?? Au una aminishwa na walio kuzidi elimu?? Okay kama asili sio sahihi mbona alikuwa anatibu wagonjwa????
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
​@@VillaTemu-k4phatibu Bali aliwaunganisha na kuzimu hakuna uponyaji Kwa mganga na mganga ni mchawi
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
​@@VillaTemu-k4pmganga ni mchawi wote ni watumishi wa SHETAN
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 7 күн бұрын
​@@VillaTemu-k4phata waganga wanatibu ila ni ushetani... Karibu kwa Yesu akuokoe
@SaidSaid-sl8ct
@SaidSaid-sl8ct 7 күн бұрын
Kwa Nini watu wanafanya mambo ya ushirikina na kuuwa watu mwisho wanakimbilia kua wainjilist
@theblackandrew4119
@theblackandrew4119 7 күн бұрын
Kwanini ukimuomba ukitenda dhambi ukitubu Mungu anakusamehe
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 7 күн бұрын
Wamekuwa wamechok kutumikishwa na shetan wanaamua kurudi kwenye Amani
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,1 МЛН
Интересно, какой он был в молодости
01:00
БЕЗУМНЫЙ СПОРТ
Рет қаралды 3,6 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
NYAMUHANGA ALIEKUWA JAMBAZI AELEZA VISA NA MIKASA WAKATI AKIFANYA UJAMBAZI
25:59
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
ASKOFU KAGOMA:NATOKA KIGOMA MAJINI NA MIZIMU WALIKUWA NDUGU ZANGU NAISHI NAO
10:54
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,1 МЛН