Pole sana mdogo wangu ukipata mtumishi wa mungu alie na nguvu ya mungu atakuponya hakuna jini mwenye nguvu mbele ya mungu ww pekee huwezi unahitaji nguvu ya mungu
@prophetessmsolo9814 жыл бұрын
Nimecheka hapo nabuni namba nabuni namba nabuni namba😂😂😂😂.....eti blaza unacheka😂
@abdulhalimhumud19174 жыл бұрын
Mr Facts hizi Ndio Habari tunazotaka hongera kaka Kwa Kazi Mzuri Mungu akubarik ❤️❤️🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿
@fadhiliswalehe92864 жыл бұрын
Katika story zote ambazo nimezifuatilia katika channel yako ya huyu kaka juma ni bonge la Story nzuri yafundisha,yangara na yavutia.Tuletee story kali like this
@RahmaRahma-xp9jr4 жыл бұрын
Pole Kaka mtangulize mungu kwa kila jambo
@paulsamwel3804 жыл бұрын
Mwanangu umenikumbusha mbali sna vya kubuni namaba ndo zilikuwaga zangu😀😀😀😀😀
@jasminali59214 жыл бұрын
Asantee kwa kutuwekea episode ya 2
@mariachinoga85614 жыл бұрын
Pole Sana Kaka Mtegemee MUNGU KWA KILA JAMBO UFANYALO.
@jessekusipa73254 жыл бұрын
Good job mzee baba.
@jasminali59214 жыл бұрын
Mmi nilijua labda Ni movie tu zaa kichawi tunazoangaliaga ....... Kumbe yapo yanatokea kweli yarabi mola wetu tuweke mbali na wachawi mungu awalaani wachawi wote waamgamie🤲🤲🤲🤲
@florencealbat66494 жыл бұрын
Amen
@moalawy70014 жыл бұрын
Amiin
@hamadimwinyi21464 жыл бұрын
Hii ndio story nzur ....Yan umemuacha anaadishia nice 1
@asiakilea25904 жыл бұрын
Pole sana kaka naogopa
@alimohamed47124 жыл бұрын
Braza unacheka..?
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Alikua anabuni namba🤣🤣🤣🤣
@harunamtiko20784 жыл бұрын
Huyu chalii n kichwa ata jins anavoelezea story yke, anaichambua Vzr
@mwanalimagamunda9974 жыл бұрын
Jamaa anajua kuelezea mashallah
@asiasalim46344 жыл бұрын
Wa kwanza Leo naombeni like hapa usiku mwingi huku nilikua nasubir kwa hamu sana..
@tatukizunga11914 жыл бұрын
Wa kwanza mwenyewe Leo love u mchumba davistar mata
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Huyo mwalimualiyekusaidia Mungu ambariki kwa upendo wake
@yussrakhalfani56044 жыл бұрын
😍 nimesubiria kwahamu
@zulfakamwenga53544 жыл бұрын
Mm pia, niliisubiri kwa hamu sanaa
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Majini kwa Yesu ayafui dafu maana wakimuona tuu wanalia na kumpigia goti. Damu ya Yesu ndio kiboko yao .
@annalubango98994 жыл бұрын
Hakika
@zaidanawadhi26644 жыл бұрын
Iko wap sasa hiyo damu ili aitumie
@euniceeunice76804 жыл бұрын
@@zaidanawadhi2664 ukinena tuu kwa mdomo wako basi ushaitumia tayali. Kwan ata Mungu alivyo umba ulimwengu alinena tuu na iwe miti na ikawa .so we tumia tuu kwa damu ya Yesu kwishiney
@shaibuselemani21354 жыл бұрын
Hipo wapi hiyo damu mpaka mkaamua kutumia nguvu zakishirikina makanisani
@jp17804 жыл бұрын
yesu alikuwaga wadi kipindi cha colonialism for years and years? acheni uboya bana hit ni 2020
@aminajuma80984 жыл бұрын
Heeee jamani hamlali? I thought I the secretary all the way from 254🇰🇪am no. One
@jasminali59214 жыл бұрын
Hatulali uko sehem gani hapa Kenya
@abdallahrenatus66774 жыл бұрын
Say hi to Ruto.
@hamadshein4984 жыл бұрын
Huku kwetu ni asbhi.
@aminajuma80984 жыл бұрын
@@jasminali5921 Nairobi
@aminajuma80984 жыл бұрын
@@abdallahrenatus6677 😆😆😆
@saidabdalla89964 жыл бұрын
Da story sana kaka nimeipenda kweli
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Nabuni namba awwww that is so sweet mama ni mama Mungu akuponye umeona mchezo wako wa kubuni namba umekuponza yalllah wewe na ushamba wako duh Pole baba
@videozaaj10694 жыл бұрын
Huyu Jamaa huyu bnh... Eti nkiskia binti nadili naye😂😂😂😂
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Shkuran sana bro pamoja
@nyansubugudamian66784 жыл бұрын
Dah jamaa anajua sana kusimulia
@mercybritney39704 жыл бұрын
This channel is Soo addictive 🙄🙄🙄🙄... alafu kuota kwingi😒😒
Davistar hapo ndo unanichekesha vile unacheka wakati mwenzio kashavurugwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@reggyemmanuel99704 жыл бұрын
Big up Davi
@mariamfritsi97614 жыл бұрын
Mimi huwa naoenda sana kusikiliza simulizi za aina hii,kwa kuwa najifunza kuwa kumbe duniani humu hatupo peke yetu kuna viumbe ambavyo tunaishi navyo.
@aishabeka55624 жыл бұрын
Da hii story ni kiboko huyu kaka anasimulia vzr mpaka raha jaman...yaan mtu unataman hata isiishe ila tumuombe sana Mungu atunusuru na haya majanga jaman
@jojokweka19024 жыл бұрын
Dah! Aende kanisani
@hshsh33024 жыл бұрын
Hahahahahahaha wamakonde kwaushamba🤣🤣🤣🤣🤣
@audrickmillinga46674 жыл бұрын
ingekuwa ni movie ingekuwa ni bonge la movie aisee...veery interesting
@mwesigwaannte16584 жыл бұрын
Story nzuri sana ni shida lakini pia kijana anaeleza mpaka nina cheka kidogo
@abuu_khaki41204 жыл бұрын
Broh nimesubiri sana hii story NAKUAMINI MR..FACTS 👊👊
@somoeawadh77744 жыл бұрын
Pamoja sana Davistar
@iranangole70074 жыл бұрын
Ngoja nipge
@salumbunga2404 жыл бұрын
Jmaaa nimemkubar xn tn xn anacho hadithia km muvi anatufish then anasem jins ilivyo kuwa davistar respect xn km upo pamoj na mm wek like yk hp
@mwanalimagamunda9974 жыл бұрын
Yani mpaka natamani nisilale nisuburie part 3
@salumbunga2404 жыл бұрын
Yan ww upo km mm
@salumbunga2404 жыл бұрын
Km itakuw poa zaid part 3 ataitow asubui kbla ya kwend makazin naic itakuwa chai yang
@africandarling69254 жыл бұрын
Yani Juma Masha ALLAAH unajua kutoa sotri Yani Unaelezea vizuri sana Unabuni namba 🤣🤣🤣🤣Jamani dooo we kiboko aaaaahhhh
@jojikeneth90244 жыл бұрын
Tumebuni sana
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
Aah davixter hyo kanuni ya kubuni namba hii kwa kijna ambaye anapevuka ndo huwa mitindo huwa wanachukuaga mpaka za kwenye magazeti wanaotafuta wachumba.
@yussrakhalfani56044 жыл бұрын
Unatudokeza kidogo kidogo tupe yote tumalizie 🤗
@bebebebe56774 жыл бұрын
Pole san mdog wang unaumia san
@mirajisarum29214 жыл бұрын
Mmh hii hatar japo naskiliza uku naogopa😂😂😂
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
Jaman hamlali au mnaundgu na jalieti?
@ilagilamlundwa12184 жыл бұрын
Davista ..naomba uwe unaenda na maji ya kulainisha koo ...
@SamsungA-su2qj4 жыл бұрын
Mmmmh makubwa
@ibra.mstudingfile85844 жыл бұрын
Inanigusa alooo Pol kijan
@t33pelos774 жыл бұрын
Dah.hii storry kali kuliko zote
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
kabsa kabsaaa
@ninasheby01594 жыл бұрын
Turuu🙌🙌
@t33pelos774 жыл бұрын
@@ninasheby0159 nkirotee
@khadijarashidi87724 жыл бұрын
Mkiachwa muachike jamanii mambo ni mengi😂
@mariamuharuna52714 жыл бұрын
Nilikua naangalia kila mda dah
@yussrakhalfani56044 жыл бұрын
Mwezangu wewe 😂😂😂
@allymtamilwa68994 жыл бұрын
Davistar basi part 3 uiwahishe mweh stori ni nzuri sana
@likeothers24984 жыл бұрын
Ana simu kubwa labda amipiga munaonekana nyote🔥🔥
@janethdaud10824 жыл бұрын
Huyu kaka anaakili sana na anajua kujielezea
@abdallahrenatus66774 жыл бұрын
Aseee
@aishasaid57024 жыл бұрын
Daaah kama kuna story ndefu kam hii mbona season za wakorea watatutafuta
@elizabethtindwa72164 жыл бұрын
Duh! hii kali kwelikweli
@p.matabaro4 жыл бұрын
Kwa nini watu wanao ishi mbali 🇨🇦 huwa tunapata videos baada ya saha moja? I’d like to be the first one.
@mamuliciosrajab66644 жыл бұрын
😂😂😂😂 wanga ss🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eshalibaba11954 жыл бұрын
Ivii nyie team kuwai amzimagi data....
@barakajacobs45394 жыл бұрын
☺️☺️☺️😂
@naimabonephaci19054 жыл бұрын
Haa mchezo wa kubuni number but sorry brother kwa matatizo uliyoyapata
@janetmzee2404 жыл бұрын
Mmmh!Dunia hii jamani Ina Mambo mengi
@fatumaally32664 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Dah maskin
@filbetinyoni81054 жыл бұрын
katika story zote unazo tuletea hii kiboko jamaa anajua kujielezea vizuri sana naomba husiikatishe pls
@qelseykenya39334 жыл бұрын
Davistar 💕🇰🇪
@aishasaid57024 жыл бұрын
Hahaha eti simu kubwa tunaonekana wote
@khaalidcheo53834 жыл бұрын
Mh!
@KariukiRoysambu4 жыл бұрын
🤣😀🤣🤣 eti ana njaa huyu
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Nyoka simba kilaaaina yamnyamaa🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🐏🐏🐏🐏hapo kukimbia njia hakuna
@titinmbega41284 жыл бұрын
Usiku sacco tupo💪lete davii twa subiri ep 3. hapo🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@chiyanas11814 жыл бұрын
😥
@mrembowakisukuma14474 жыл бұрын
Huyu genius Ana akili sana
@amirimbago83254 жыл бұрын
7:00 kama umechukua namba ya Juliet tujuane.....
@sharifaabdallah56674 жыл бұрын
Ngoja yakukute
@lucymtallo77924 жыл бұрын
Kitakukuta kitu
@nginamugwe80934 жыл бұрын
Anjigeuza ukimtazama tu kwa macho...mm ningezilai papo hapo
@pendocishugi89694 жыл бұрын
Tafuta batumishi ya MUNGU bakuombeye bro, ama wede kwa Tb joshwa nageria
@nasrimikidady13253 жыл бұрын
Online davistar mata media
@estatekisombola92514 жыл бұрын
Nikisikia tu binti na dili naye 😂😂🇦🇺🇦🇺
@almasright10924 жыл бұрын
Mpepore sana huyojamaa😭😭
@ZainabZainab-uk2mr4 жыл бұрын
Muendelezo tunaomba. Story kali sana
@shebaminde76564 жыл бұрын
Uuuuwi yani wakati anabadilika mkojo na mavi vingepitia sehem moja!!! Nakuzimia
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Atengeneze movie huyu jamani omg it’s scary
@faidhirashidi13544 жыл бұрын
✊🏾
@davidado96324 жыл бұрын
Ebu rusha hiyo number 3 nimalizie yani katika simulizi zote nimeckiliza hii ni balaa sio siri yani nimejikuta mpaka naogopa kutoka kwenda toilet maana ni hatari yani usigombe yakukute
@marypeschke17504 жыл бұрын
@David Ado 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jackart37394 жыл бұрын
jamaa anajua kusimulia
@shikuassi48764 жыл бұрын
Duuuuh hahahaha
@violinenyakara50284 жыл бұрын
Inatisha kweli
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Shikamoo julieti kumbe ulikuwa unaongea naye kumbe hukuwa unamjua😢😢😢😢yani mambo ya majini niyasikie tuu kama hapa unavyo historian 😠😠 Kumbe bi mkubwaa alikuwa namasharti kama yangu sim mpaka mtu amalixe 4m4 ndoupatee sim huo ndompango mximaa😅😅😅😅😅😅😅😅 JULIETI JULIET haya majina bn waaa kuwa nayo mbali sasa makaburini nn anachofanyaa
@emmanelly68644 жыл бұрын
Jamani mambo mengine!!!
@jwayne80864 жыл бұрын
Yaani uyo jamaa anasimulia vizuli mbaka nahisi naangalia movie vile.. safisana siosawa nawengine wakisimlia mbele wanaanza kudanganya..
@mgenirasimi77714 жыл бұрын
Macho yako full white😆😆
@mariamukingazi36684 жыл бұрын
Hahaha et sinza makaburin ukaogopa;!
@ليلىفاكي4 жыл бұрын
Inahuzunisha halafu unafurahisha 🤣🤣
@sarahogama95404 жыл бұрын
Bro ebu nenda church uombewe sala ya toba na uokoke wala hutawai ona huyo jini akirudi tena,,, hizo ni nguvu za giza za kusukumiwa tu ili uteseke,,
@bakari-si1pw4 жыл бұрын
Inatisha lakini salama
@josephnjuguna88954 жыл бұрын
T shirt yake imeandikwa ' A BOY FROM.........'
@faidhirashidi13544 жыл бұрын
masasi
@mariamukingazi36684 жыл бұрын
Davsta napenda unavyocheka!!!
@rauhiyanyange13354 жыл бұрын
Jamani mm uvumilivu umenishinda et sinza makabrini nikakata sm nikaogopa wacheni nicheke tu 😆😆😆😆😆😆😆😆😆