Among all your stories i swear, hii ndio story nimecheka mpaka mbavu zinaniuma. This guy can really be a comedian. 🤣🤣🤣🤣🤣😹😹😹😹😹
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Aki nimeamini pesa inaweza kuwa chochote wakati wowote mpaka mzungu anakuwa chawa promax😂😂😂
@shaulitangaugulumo15973 жыл бұрын
Uliendaje USA bila visa. ?direct kutoka Holland. ? Kwani wkt huo Tzd pass was visa fee to U S A. ?
@Maryam-vj1rb3 жыл бұрын
Mashallah Mashallah history nzuri tafuta watu kama hao
@ElecovidАй бұрын
Safi sana
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
ndio maana waganga na wachawi wote ni motoni .kutokana na tabia yao chafu nakujifanya wanajuwa mambo yasiri gaib . wanajifananisha na mungu
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pamoja dav ulipo nami nipo 🙏🇹🇿 bado najifunza 🙏🔥
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@josephmungai5443 жыл бұрын
You've made our weekend. Leo weka ingine
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Watu wangu njoooon mambo tayar ❤❤🇪🇭🇪🇭
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
#Aysha kpnz nmekusoma. 💓💕❤️💓 Za leo?
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 Alhamdulillah wngu 🤗🤗❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 za kwako❤❤❤❤❤
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Nimekuja pamoja Sana
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona wngu❤❤❤❤
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Yani wewe broo hu boo kweli uko vizuri
@ibrahimmohamedi44983 жыл бұрын
Ahaaaa aiseheee alijua unajenga kombora la maangamizi
@jumaruwa463 жыл бұрын
Turned from ..Kenya.
@upendoluv71973 жыл бұрын
Waganga washenzi kweli Sasa ndio Nini kuwaingilia wenzie
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Wengi wao niwashenzi sana
@mariamally44882 жыл бұрын
92 noti ya 2000 ilikuepo muongo bwana mi nasoma primary
@Frosita5 ай бұрын
Amesema 500 bwana
@pili37503 жыл бұрын
Sasa #Davistar mbona unakunywa pekeako humpi na mwenzio japo 1 😂😂😂😂
@matridalule64773 жыл бұрын
Hahaaaaa azam anaipenda devista htr
@tracyangells75953 жыл бұрын
Nipo Weekendi 👍 👌
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
❤❤🤝🤝
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Alhamdilillah wa kwanzaaa 😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
Hongera sana! 💓😍😘💓❤️💕
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 Asante wngu ❤❤❤❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 za asubui❤❤❤❤❤
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 poa xna. Wewe je!
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 Alhamdulillah 🤗🤗🤝🤝❤❤
@mtzhalisi22323 жыл бұрын
Leo weekend davistar tushushie hata parts 3 au 4
@alimachitechi21073 жыл бұрын
Hahahaha MUNGU wangu
@hamisikitwana79573 жыл бұрын
Hawezekani kuunganisha safari ndani ya nchi ngeni lazima uhanze safari toka nchi yako halisi
@ehbbmhbskenya38393 жыл бұрын
MPE mwenzio pia kinywaji jameni
@elibarikielikana18243 жыл бұрын
Hivi hawa wanaodislike story mean wao hawapendezwi nao aw ndo wale wale bado wapo gizan hawapend sis tunaofunguliwa... Kupitia mtu makini Davista mata... Ulipo tupo davista tunaweka MB kwa ajili ya kuelimika🙏 #Keep it up bro... 💪
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina nipo Jana na leo
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Tupo wote
@danieljoseph16103 жыл бұрын
Hakuna askari wakumuuliza mtu swali la hivo! Kwamba unataka kujenga nini!
@cecycecy36103 жыл бұрын
davistar mbona huyo BM maziwa anakuongelea vibaya sana huko sijapenda kwakwel mana wew hukusema kwa ubaya y yeye anakwambia wew ulikuwa unatafuta subscrb unamuongelea uongo. aisee sijapenda wakat ulikuwa unawaambia watu ukwel yan BM anazingua sasa kwanza watu wengi humu wasinge mfahamu bila wew
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Nimeona na nimeamua kumpuuza tu maana amefanya upuuzi
@florencerose8593 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM hapo sawa kabisa kama yeye ni mtu wamungu kwua kweli mbona ajenge bifu na wewe? Ange achia mungu lakini hawezi maana mambo yake sio sawa
@Teacher_013 жыл бұрын
*KICHWA CHA HABAR KINASEMA ZUU AMCHAMBA MAZIWA😌😌*
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@Teacher_01 🤭😍
@happyperson30163 жыл бұрын
Ameshafuta hiyo clip kwa sababu watu walimuambia ukweli kwa comment section sasa ameweka ushuhuda wake vile sijui mungu alimtokea....false prophet yule
@emmanelly68643 жыл бұрын
Ipo siku pia mimi nitaenda safari ya "spend my money" Wueh! Life happens
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
@Emma umenichekesha kweli!🙌 😂😁😀
@emmanelly68643 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 😜😜 nakwambia hii dunia ina mambo
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
@@emmanelly6864 we acha tu. Yaani mtu anatafuta sehemu ya ku-spend tu, ili mradi hela itumike, yaani kwa lugha nyingine "unaenda kuipa hela adhabu"! 🤣😂😂
@emmanelly68643 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 ndo hivyo sasa😂😂😂
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@emmanelly6864 mengi🤔
@mbukumagiubukumagu4063 жыл бұрын
Je ulipataje viza kutoka Dubai kwenda Marekani?
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Visa unapata ubarozini katika nchi huyopo sasa Je Ukiwa Dubai kwani kupata visa yakwenda America haiwezekani
@yushuaissa4673 жыл бұрын
Interviewer, one question? Why don't witch doctors take photographs?
@kisurangusa5543 жыл бұрын
Hapo umesema hata mm niliwahi kutaperiwa na mganga mwaka 2006,
@mariamally44882 жыл бұрын
dubai akaunga America ilikuaje swala la viza mbona km tunapigwa za uso @Davista
@charityezekiel35252 ай бұрын
Hakuna kinachoshindikana pesa ikiwepo
@credo78373 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@florencerose8593 жыл бұрын
Hela ya kutosha ni ngapi? Pia hela haitoshi kabisa
@tututz1003 жыл бұрын
Translation
@vincentmutuku28763 жыл бұрын
Vincent mutuku nikiwa Nairobi ni shabiki kabisa wa davista .unaelimisha kikweli .hogera
@abaschabai48923 жыл бұрын
Umeishi tanga huna ata rafudhi ya kitanga io kamba
@credo78373 жыл бұрын
Kuwah no niushambaaa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
wa kwanzaa 😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
za asubui lkn sapna Akutafuta mpgie🇪🇭🇪🇭😂😂
@aishaally88113 жыл бұрын
Ukichelewang ndo unasemang hivyo
@mussajuma31003 жыл бұрын
Mh! 1.5b mwaka 1992
@taturajabukhalfani79533 жыл бұрын
Umeona eeeh!!!acha tuendelee tu kuckiliza!!
@igurusitv65533 жыл бұрын
Dakika 7 nimekua wa 34😀😀😀
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Yani nime cheka hapo kusema wa ganga wa kienyeji hawana mana hata kidogo😂
@victoruisso47403 жыл бұрын
Leo nmekuwa wakwanza
@victoruisso47403 жыл бұрын
Stori inanifunza mengi ya dunia hii
@marthamaligo4583 жыл бұрын
Wa pili💃💃💃💃🔥
@credo78373 жыл бұрын
Hongeraa
@marthamaligo4583 жыл бұрын
@@credo7837 Asante
@credo78373 жыл бұрын
@@marthamaligo458 pamoj
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera
@matanobaya76603 жыл бұрын
Mholandi alikua mbaguzi wa rangi.
@igurusitv65533 жыл бұрын
Huyu jamaa anacheka kama Zabron 🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
umeona eee😂😂
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Sana
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Mmeanza
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
😇😇
@hamisikitwana79573 жыл бұрын
Du kuwa mkweli kaka hacha uongo Dubai ilukywa nzuri tika 1970
@mtzhalisi22322 жыл бұрын
Tomaso
@yushuaissa4673 жыл бұрын
Offer your guest a drink. Money calculation does not work that way. So many factors you need to consider.
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 mommy mambo
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@shamilakalinga437 Alhamdulillah wngu 🤗🤗
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@shamilakalinga437 za kwako❤❤
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Ndio nilisikia inapaswa kufunzwa elimu ya pesa
@cecycecy36103 жыл бұрын
amepost jana ebu kachek aisee
@Markswebah3 жыл бұрын
12,leo nimewahi aisee
@milkahotieno21983 жыл бұрын
No 14 leo nimejaribu
@rahaisacl99543 жыл бұрын
Nyamazeni story imeanza..........
@kevinlembela24553 жыл бұрын
Story imenogaaaa
@denizamahongo85573 жыл бұрын
Story motomoto
@mshangaf17263 жыл бұрын
Oyoooooooooooooo
@marthamaligo4583 жыл бұрын
Hongera
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
💃💃💃💃💃💃💃
@jennifersongani27343 жыл бұрын
Lollol
@hancymachibbula43553 жыл бұрын
Kwel maskin hatuna mipango ya matumizi
@charlesb.mwaipeta84153 жыл бұрын
story inakosa mvuto
@mtemihady75053 жыл бұрын
Huyu mganga anatupiga kamba, Marekani utaenda vipi bila ya Visa?
@fidodido95783 жыл бұрын
Umejuwa vp kama alikuwa hana visa? Kwanza unajuwa miaka hiyo ya 93 inawezekana hata marekani ilikuwa hamna visa ni wewe
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Mimi pia Nilijiuliza😁
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@fidodido9578Wako very strict lazima visa. Nilisafiri USA late 90s for scholarship kabla ya kupewa visa tulifanyiwa interview na visa tulipata baada ya wiki 3.
@fidodido95783 жыл бұрын
@@Laila-lz4ij kwa hiyo kama na wewe ulipata viza na yeye pia alipata kwa sababu anadai alikuwa na pesa nyingi za kwenda kutumia na sio kwenda kufanya kazi
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@fidodido9578Labda kweli. Lakini point yangu ilikuwa sio easy kupata visa hivyo hio time. Mimi visa yangu ilikuwa student visa na ili Chukua wiki 3 na interview. Sijui aje yeye aliipata kwa urahisi hivyo
@upendoluv71973 жыл бұрын
Hyo atakuwa Askari wa kikuryaa
@aishaally88113 жыл бұрын
Ehhhh mtulie hivyo hivyo yaani mi bado hii story siielewei kabda
@alexjos76253 жыл бұрын
23
@hamisikitwana79573 жыл бұрын
Sehemu gani ulienda
@juliusmushi64283 жыл бұрын
Nahic top ten nipo Kama sio wa pili
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Dooha
@yushuaissa4673 жыл бұрын
So called white person and Racism. And afande (police) ushamba.