Watu km hawa waliofanya mabaya na kujutia mwisho wa siku ndo huwa wanaenda mbinguni. Sisi tunaojifanya wema wakati ni wadhambi tunashia kupata thawabu za kibinadamu wakati Mungu hatujui. Hongera kwa kuwa tayari kuombewa.
@nyotawaciba97512 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this guy is really funny
@skeeteranderson3752 жыл бұрын
Huyu mwamba onvea yke inafurahisha balaa yaani nacheka cjiwezi .msimuliaji mzr sn
@Kobita0012 жыл бұрын
😂😂😂this guy is a good Story teller🇰🇪🇰🇪
@Patience.672 жыл бұрын
Na sio uongo uko na nuksi labda ufanye maombi kabisaaa
@davidkizito69002 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣eti bonge la irizi kama tochi.
@naimadidy26952 жыл бұрын
pachupachu la gaga😂😂😂nimecheka sana
@mamananga28492 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@tommymsomalishaina2 жыл бұрын
Hahahahahaha
@kilogreek40502 жыл бұрын
Huyo mtoto story yake kiboko nimemkubari simulizi lake unatamani asimalize lilivyokua tam👊👊 pole sana mungu Atakubariki nenda katika maombi au kwa shekh utafanikiwa🤲🤲
@hildaernest10902 жыл бұрын
Sio powa aisee sheby mbn unachelewa Sana kurusha mzigo
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
ahahahaaa mganga anataka shooo 🤣🤣🤣muuni tena ungevuta msuba nimecheka sana jamani uku duniani kuna mambo sana
Tafuta makanisa ya wokovu. TAG AU EATG utapata msaaada ila uokoke. Mungu atakuponya na atakusamehe. Hakuna linaloshindikana kwake.
@michaelkivaria60112 жыл бұрын
Mwamba makanisa mengine ya wokovu ni ya uongo huna tofauti na wale jamaa wa upande wa pili Roho akufunulie akuondolee roho ya ubaguzi
@monicasimpilu62572 жыл бұрын
@@michaelkivaria6011 sina maana mbaya anweza kwenda kokote atakakoongozwa na Mungu. Nimetaja hayo kwa sababu ndio nayafahamu. Aeeza enda kokote kule atakapooongozwa asante barikiwa.
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Duh stori nzuri hii🤔
@habibasadick82632 жыл бұрын
😂😂😂😂poooh dunian Kuna meng aisee
@charlesbenjaminishedrack91272 жыл бұрын
baaria pole sana
@tedkadodo27902 жыл бұрын
Jamaa anajua kuelezea, nakufuatilia nairobi city
@rosemarry20202 жыл бұрын
Duuuu pole sana ndugu yetu
@nassirali83422 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nacheka na kuliya wakati mmoja
@stejasatv73492 жыл бұрын
Hahahahahahahaha 🤣😂😅😅😅😂😂😂😂 pole sana kaka
@badriyahadam70082 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri
@mercikatate90332 жыл бұрын
Brother tuna subiri namba 7
@husseingabo54972 жыл бұрын
Pamoja sana Mr every thing
@Patience.672 жыл бұрын
Shauri ya watu uenda Kwa waganga 😔😔
@naomiakoth29582 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 This guy is really something
@rosemarry20202 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana kiukweli story inachekesha sana
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
Ukuwai kuwatafuta tena wale walio kuibia pesa
@nassirali83422 жыл бұрын
Remoontii🤣
@gloyamvuvi30992 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@wemamanikana97912 жыл бұрын
Kwanini ndugu wa mwanamke wasiende kwenye familia iliyomuoa dada ili wapewe habari kamili?kuliko kubaki kuzaniazania?
@jameskahamba40232 жыл бұрын
Watu wa namna hyo, huwa wanafunga kila kitu, hamuwez kupata mawazo kama hayo
@hajiabdalla57722 жыл бұрын
Halafu huyu muhuni na uchengu upo wa mabangi na mazonge ya wazee mtihani kweli
@nyamogafamily95492 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wemamanikana97912 жыл бұрын
🤣🤣🤣 bibi kabadilika kuwa joka
@petermwaibofu32602 жыл бұрын
ni hatari
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
@@petermwaibofu3260 sana
@yasimintinzan51442 жыл бұрын
Bibi anataka uloda tuuu
@brunopeter97762 жыл бұрын
Bonge la story...ila unatuweka sana
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
Jana nimeitafuta hadi macho ya kaniambia
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 🤣🤣
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tututz1002 жыл бұрын
J.BOYS.F.C.1999
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Mzigo upo hewani wapenzi🤳kwa mbavu wq dar kashafanya yk