DAWA YA MSALITI - PART 03 [ MWISHO ]

  Рет қаралды 27,712

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 317
@MajiburaAllyAllymajibura
@MajiburaAllyAllymajibura Жыл бұрын
Wew jay 😂😂una visa wallahi mana sio kwa kizungu cha zis pipo😂😂ahsante anko wetu thats why i love u❤
@patriciakyalo3454
@patriciakyalo3454 Жыл бұрын
Ankol jay nkweli warembo wenye gulf countries huwa wanakaa ata mikaa 10 na zaidi bila kuwa na mwanaume bora wasikiza simulizi zako ankol jay 😂❤ hasa sauti yako wewe mwenyewe
@PatricalBeti
@PatricalBeti Жыл бұрын
Acha utani anko Jay hiyo ni kweli sjui tunafanyiwagwa nini na waigulu 🤣🤣🤣 maana hata lile wazo wenzio hatuna wala nye.....hatuna
@HabituJoella-ww4qz
@HabituJoella-ww4qz 3 ай бұрын
Asante sana Ankol jay
@saidikaskasimkusa2787
@saidikaskasimkusa2787 Жыл бұрын
Simulizi nzuri na inahuzunisha sana imenifanya nilie sana kwa kimuonea huruma sana Hans mbarikiwe mwisho wa simulizi majonzi yaliisha na furaha ilirejeatena
@متجرجهاد-ذ3ث
@متجرجهاد-ذ3ث Жыл бұрын
Wow stry nzuri ilioje yenye madunzo ya Hal ya kipekee naipenda Sana, hongera Sana Hance Na glory acha Mungu awatangulie kwa kila jambo
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Pole sana kaka Huns Mungu atakupigania usiku na mchana adui zako wataibika 😢😢😢 Gloria pole upate afueni haraka
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp Жыл бұрын
Asante anko Jay hii simlizi tamu tena yenye mafunzo na machungu ndani yake kweli mtu akikutendea ubaya mlipe kwa wema be blessed anko one❤❤❤❤
@faizajumwa4696
@faizajumwa4696 Жыл бұрын
Woow!!🎉 lakini nataka Cinderella sehemuya4
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml Жыл бұрын
Asante sana Ankojay Mungu akubariki SANA Kwa Kazi mzuri unayoifanya, akupe afya njema
@shahrayn93
@shahrayn93 Жыл бұрын
Cmulizi ino imenikumbusha mengi sna hadi nimetokwa na machozi imenijaza sna cmanzi kwa maisha yanayotutokea...jmni naww km imekugusa nipe2 like tulie wte😢😢😢anko jey upewe umri na ulinzi kiss my comment ❤
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Жыл бұрын
Ucjal 2ko pa 1 ni wengi wanao umizwa mwenzio yalinikuta pia 😥😥
@vumliatulizo4829
@vumliatulizo4829 7 ай бұрын
0:15 0:15
@FatmahIbrahimu
@FatmahIbrahimu Жыл бұрын
Yan hii nchi hiiiiii sitasahau walimfunga baba angu mdogo eti kabaka binti mkubwa tu alaf uyo baba angu mdogo kapalalaizi upande mmoja miguu haifanyi kazi kabc wakampiga kifungo cha maisha mpka baba angu mdogo akafia uko gerezani dodoma kwa kwa kesi ya kusingiziwa ila ipo sk mungu atawahukumu wote waliomfanyia baba angu mdogo 😭😭pumzika kwa amani baba🙏🏾
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Waah pole sanaa😢😢😢😢😢
@FatmahIbrahimu
@FatmahIbrahimu Жыл бұрын
Asante dia
@kibibi7826
@kibibi7826 Жыл бұрын
Duuuh pole ila kawaida haki aiwezi potea na kila muhusika ulipwa mara mbili ya alichomfanyia mwenzie adi umauti kumfika kapitia maumivu sana💔💔💔
@aminarama1633
@aminarama1633 Жыл бұрын
Pole,mitihani ya ulimwengu
@FatmahIbrahimu
@FatmahIbrahimu Жыл бұрын
@@kibibi7826mungu yupo huwez mpa mwenzio maumivu alf ww ukaishi kwa furaha kila sk ipo sk tu
@victoriangasa
@victoriangasa Жыл бұрын
Ahsanteee sana anko J kwa simulizi nzuri❤❤🎉🎉 naomba like jmn hat tano t
@bettywayera8501
@bettywayera8501 Жыл бұрын
Bila Sauti yako ankoj, hakuna simuliz nitasikiza,kama Sauti ya babu. Dada ya kaka wala ya bibi,nafurahiya zile sauti zote , God bless ankoj.
@polinlizzlizz
@polinlizzlizz Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂tuko pamoja
@hildaedison2469
@hildaedison2469 Жыл бұрын
😂😂saanaa tuu
@MamaKeAlly
@MamaKeAlly Жыл бұрын
Hata Mm pia
@laweluagustino6703
@laweluagustino6703 Жыл бұрын
Yaan me nisikia 2sio sauty anko j sisikiliz
@gidionnoellukumaii5973
@gidionnoellukumaii5973 Жыл бұрын
Glory usimsaliti hunze please ataumia San dah!!!!!!
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Ankojay English ya huyo Doctor wa India heeee❤❤❤❤❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Twakupenda pia sisi maana watuelimisha na mengi kwenye hii Dunia ya sass yenye mambo mengi sana ya kila maajabu yake, zidi kubarikiwa sana anko Jay mapesa twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤❤❤🎉🎉🎉
@nduguwaweruh9448
@nduguwaweruh9448 5 ай бұрын
Tenda wema.. nenda zako.. wow thanks sana Ankojay mafunzo kibao.
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Anko Jay tutake radhi Wa ugaibuni hata miaka 20 ngoma mdundo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde uzid kutupa burudani🙏🙏
@TyT-h5l
@TyT-h5l Жыл бұрын
Asante Anko jay kwa simulizi tamu❤❤❤
@babraludwig2226
@babraludwig2226 Жыл бұрын
Mimi simulizi zako anko zanituliza roho ❤
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Mbona baiskel ya urithi Sina yaani nimecheka we anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂😂
@SpecioseNshimirimana-dk6jg
@SpecioseNshimirimana-dk6jg 3 ай бұрын
Mungu wangu, babinti basiku za leo nihatari, ANSI ana bahati mbaya ya wanawake.
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu Жыл бұрын
Yani story tamu hadi natamani kuiadza tena hongera kaka kwa sauti nzuri pamoja na ubora wa mtunzi🎉🎉🎉🎉
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Жыл бұрын
Mwisho mzuri sana.much love ❤❤Anko j simulizi .mpee salamu lumbasi .nmemiss kazi za lissa mwala.🎉🎉🎉
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Coming Soon
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Жыл бұрын
@@ankojay_ inshallah
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi 6 күн бұрын
Good Glory!!
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi 6 күн бұрын
Atu lie tu huyo Jamaa diye
@MariamJuma-o9z
@MariamJuma-o9z Жыл бұрын
Jamani mashabiki ya simulizi ya Anko jay tuchangeni hela tumnunulie Anko jay gari naomba Anko jay that English for your 😂😂😂😂 but we❤❤❤❤ for that
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂 do not me or yes
@AfrahAfrah-o4o
@AfrahAfrah-o4o 8 ай бұрын
Kweri
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Toa no ya account
@mayasamayasa1205
@mayasamayasa1205 Жыл бұрын
Asante anko wetu tunakupenda pia❤❤❤
@HappyHappy-n2z
@HappyHappy-n2z 8 ай бұрын
Hii simulizi inanikumbusha mbali sana kwani ni wengi wanahukumiwa kwa makosa va kusingiziwa
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Leo nimewahi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mpaka niringa
@lucykarii6860
@lucykarii6860 Жыл бұрын
Shukrani ankoj nifundisho tosha
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 Жыл бұрын
Asante anko nimeisubr sana finally it is here🎉🎉🎉🎉
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 7 ай бұрын
Jaman hi Dunia inamambo 😢😢hakika tujifunze sana katika maicha
@SaumuSophyline
@SaumuSophyline Жыл бұрын
Hii simulizi jamani waaaah ni kiboko
@noonnoon9476
@noonnoon9476 Жыл бұрын
Walahi anko jay mungu anakuona unazidi kutupa furaha allah akulinde
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Ankojay mapesa utaniua nakicheko😂😂😂😂anko jay mapesa hana ata gari la urithi anatembelea miguu aah kikubwa uhai😂😂❤❤❤
@rachypsalms2869
@rachypsalms2869 Жыл бұрын
True, dawa ya msaliti ni wema🤣🤣🤣thank you Anko Jay
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Mtendee mema na achana naye
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 3 ай бұрын
Wale wa kuchelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like pia Asante sana ankoJay Kwa kuhutimisha story nzuri yenye mafunzo ndani yake mungu akubariki sana pia tunakupenda mno❤❤❤
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
He is kujitolealing😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MariamJoel-f6x
@MariamJoel-f6x Жыл бұрын
Hat uwah vip kuna watu wana lala wanaota simulizi jamani mna wah sana😢😢😢
@salmasasha
@salmasasha Жыл бұрын
Tunamuota sana anko mapesa yaani tunakoenda tutawaita wapenzi wetu anko jay na hio sauti ya jay sasa uuuuii nyie,,,, utawahi tu usijali
@KanadeMrangu
@KanadeMrangu 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Cinderella part 4 jamani akojay
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc Жыл бұрын
Ahsante anko jay na michael zecharia kwa mafunzo na pia burudani
@JusminYassin-gs7bk
@JusminYassin-gs7bk Жыл бұрын
Big up ankojay kazi nzuri sna unayofanya kaka ❤️ 💪🙏
@emmanueljiwoo580
@emmanueljiwoo580 Жыл бұрын
Wa 1 leo 😂😂😂😂😂 mnipe maua yangu
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Siendi Kama ni Mimi Asante Anko j Kwa simulzi nzuri yenye mafunzo
@susansamira8137
@susansamira8137 Жыл бұрын
Bila sauti yako Ankojay simulizi haziko tamu unatukosha kweli
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 4 ай бұрын
Vumilia glory mungu akupe nguvu
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 Жыл бұрын
Ancojay simulizi nzuri pamoja na sauti yako mashalla ❤❤❤❤
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 tabarak Allah wacha tuwai shukran anko Jay Allah a
@jadenchris5506
@jadenchris5506 11 ай бұрын
Nzuri sana asante Sana ank jey njmejifunza vingi san kupitia iyi simuliz nimejuwa dawa ya msaliti nini
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Asante ankojoy mapesa jamani wamwisho Kama kawaida ❤❤❤❤
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi 5 күн бұрын
Anko mi nikupe tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nakupenda pia ankooo!😂😂😂
@ZainabMosa-n3n
@ZainabMosa-n3n Ай бұрын
Asante sna kka kwa simulizi mzuri sna mungu abariki kazi ya mikono yako
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc Жыл бұрын
waallahi siuongo kwani dawa ya wabaya wote ni kuwalipa mema hili kwangu nikawaida sijui kulipa kisasi kwa mahasidi wangu chaubaya ila huwalipa kwa mema msaada kuwapa kwangu nikawaida hadi husema mie nimjinga ila sijawahi wajibu vibaya wao mwishowe hujakuutafuta msamaha kwangu
@nduguwaweruh9448
@nduguwaweruh9448 5 ай бұрын
Asante sana Ankojay.. simulizi zenye mafuzo mengi .. mali.. pesa sio kila kitu, ila penzi la thati na kuaminiana diyo twahitaji tu. Baraka ❤
@SpecioseNshimirimana-dk6jg
@SpecioseNshimirimana-dk6jg 3 ай бұрын
Mungu nimwema
@PatricalBeti
@PatricalBeti Жыл бұрын
Kwa kweli vivuruge wana mbinu jmn na wako vzr mie namuombea tu G,alitambue hilo kua D,ni muigizaji😭😭😭
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Keshamkubali sasa akijajua huko mbelen na ameshatumika itakuwa maumivu mara 2
@FurahaBishari
@FurahaBishari 11 ай бұрын
asante sana anko jay na kupenda sana kutupa sitre nzuri
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
😂😂😂😂 aaaakujitolearing ❤❤
@aminakea9172
@aminakea9172 Жыл бұрын
Asante anko j,,,Wacha tuone glory atafanya nini😅
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Жыл бұрын
Very amazing ❤❤
@MariaMa-n5b
@MariaMa-n5b Жыл бұрын
Thanks you ankojay❤❤❤
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Asante anko jay
@fatumahaji-ei5hk
@fatumahaji-ei5hk Жыл бұрын
Wakwanza leo mauwa yangu
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Umetisha san 🎉
@milahamees2393
@milahamees2393 Жыл бұрын
@milahamees2393
@milahamees2393 Жыл бұрын
❤❤
@milahamees2393
@milahamees2393 Жыл бұрын
❤❤
@HawwaaHawwaa-x7w
@HawwaaHawwaa-x7w Жыл бұрын
ninzuri kweli tena sana jaman inqfundisha kweli nimejifunza meng hongera mtunzi Mungu akubariki imeniliza naiman ikon siku Mungu nami atanipa wakufanana nae siku zote nimekuwa mtu wakulia kwenye mapenz namaisha ya njeya mapenz Naiman Mungu ataniondolea yote haya kikibwa ni kumshukuru Allah Alhamdulillah kwakila Linalonifika
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
Im curious to know how it will end...Hance na Groria watafanikiwa katika hili?
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Anko Jay umetukosea walio Dubai wanasema hawafanyi nini? Life is so fast huku nje mapenzi hayana nafasi kabisa. Yaani hata muda wa kulala unakosa sembuse mapenzi. Wanawake tunaweza bana usitupake
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Anko J jamani mie naweza kusubiri tupo ila sio wengi😂😂😂😂😂shukra❤❤❤ much love
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 6 ай бұрын
Nasikia kukereka sana na huyu kijana mwenye yuko gerezani, maumivu 😭😭
@Mziwandaa
@Mziwandaa Жыл бұрын
Asant ank Jay
@mildredalivitsa1186
@mildredalivitsa1186 Жыл бұрын
Thanks 👍💕 simulizi nzuri sana Anko jay pongezi kwa simulizi tama sana 😂😂😂😢😅😊
@polinlizzlizz
@polinlizzlizz Жыл бұрын
😂😂😂😂anko jay time will tell you
@Salhah-v9h
@Salhah-v9h Жыл бұрын
Asante. ANKO. JAY. Sikwamautam. Ambao. Tuanayapata. Pia. Tupemuendeleo. WABINTI. CENDERELLA. tuonee. Ulum. Nass❤😂❤❤❤ 😂 🎉🎉🎉🎉🎉
@shahrayn93
@shahrayn93 Жыл бұрын
Dah afadhali ulipie umalizie Cinderella banaa ni tam sna km hujaimalizia pole yko 😀
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Asente Sana ANKO JAY kwa kweli msamah kitu bora Sana Sana. Vizizi ni viya mungu
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 7 ай бұрын
Asante sana kutupa mafuzo jaman hakika nimefurahi 😊
@AnnaMukhwana-pf4qr
@AnnaMukhwana-pf4qr Жыл бұрын
Asante anko Jay ..mbona ulimwengu una watu waajabu ..nashukuru nimejifunza makubwa ..tumia wema kulipa kisasi
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
Miaka kumi na tano naweza ngoja ankojey
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂 et nini.?
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn Жыл бұрын
Haha 😄
@leah5307
@leah5307 9 ай бұрын
Ankojay mm naweza 😂😂kubaki bila mume miaka mia moja😅😅😅
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz Жыл бұрын
Yaan anko nmecheka hapo kwa raisi kuongeleshwa kizungu akasema aongeleshwe kiswaili et hajaelewa kizungu😂😂😂😂😂😂
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂 Kwani wewe ulielewa kile kingereza.?
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz Жыл бұрын
@@ankojay_ nmekielewa wap na mm n wale wale🤣🤣🤣
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
​@@ZabibuHassan-ci5vzaah😂😂😂😂😂😂😂
@stellahrobert5
@stellahrobert5 Жыл бұрын
Jamani mwee nimewai kindongo
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz Жыл бұрын
Wanne leo nmewai😊😊
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 11 ай бұрын
Waooo shukran sana ❤❤❤
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Aaaaa dunia hii n sie binadamu tuliomo, utamu wa hii simulizi, hapo karb n mwisho kizungu kilikuwa high level
@zinaidaemmanuel7809
@zinaidaemmanuel7809 11 ай бұрын
Hahaahaa anko j he is kujitolea ling hahaaaa haya bwaaa
@khadijahamisi6558
@khadijahamisi6558 14 күн бұрын
simulizi yenye mafunzo🥰😍❤❤❤🙏🙏
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Sijashelewa❤❤❤
@sirajiyasini536
@sirajiyasini536 Жыл бұрын
Anko unafurahisha umeshuhudia ndoà 😂😂😂
@rehemanifasha5524
@rehemanifasha5524 Жыл бұрын
Ankojay jamn ume nichekesha kweli nahicho kindengeleko chako 😅😅😅😅😅 ume nichekesha kweli 😅😅Asante sana Ankojay Mapesa 😅😅
@Ivyagua
@Ivyagua Жыл бұрын
Leo nimewai anko thanks❤❤❤❤
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Mungu ni wetu sote hamna tajir wala maskin thanks ❤
@RusyJackson
@RusyJackson 11 ай бұрын
Nimejifunza kituu🎉🎉🎉
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf Жыл бұрын
Ankojay unambwembwe kaka Asante kwabuludan kwakwer
@Salhah-v9h
@Salhah-v9h Жыл бұрын
Anko. Leo. Unatuchamb. Sawaaaa
@pascalinaerasto9501
@pascalinaerasto9501 Жыл бұрын
Cinderella part four
@DianaJohn-p9e
@DianaJohn-p9e Жыл бұрын
Asante sana anko j Mungu akubaliki
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Mm hapa wa kwanzaaaa🎉🎉❤❤❤
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Жыл бұрын
Thanks so much ❤❤❤❤ enjoy twende nalo from kenya 🇰🇪
@yunusshaban
@yunusshaban Жыл бұрын
Thank you anko jay kwakweli nimejifunza kitu hapa allah akupe umri mrefu na uzid kutufundisha zaidi na zaidi
@SanaipeiMish
@SanaipeiMish 8 күн бұрын
Simulizi kali sana i like
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Жыл бұрын
Hahaha Anko J jamani mbona tunaishi bla mwenza wako tulio arabun,,,ama wenzangu tulio gulf naongea wongo mtu hawez ishi majuu bla mumeeee,,,,ebu mwambien uyu Anko J
@CarolyneAnguche
@CarolyneAnguche 2 күн бұрын
Simulizi tamu sana❤
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Жыл бұрын
Ankojay punguza sifa kwa kweli nimecheka mm karibu nitowe mikojo kizungu gani hicho lakin 😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉❤poke zawadi yako hiyo
@SalmaFaham-lw7nd
@SalmaFaham-lw7nd Жыл бұрын
Anko j mapesa😁
BINTI MORENA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:00:47
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 91 М.
SIMULIZI FUPI: DAWA YA MAPENZI, By Ankojay
3:25:23
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 60 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 42 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
SIMULIZI MPYA: MY SUGAR, By Ankojay
3:08:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 65 М.
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
BETINA 01: NILIOLEWA NIKIWA NA MIAKA 37
29:22
BONGO VIBES
Рет қаралды 185
MALAIKA MWEUSI - PART 1
2:25:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 35 М.
KIKULACHO... RAFIKI YAKO NDIO ADUI YAKO.
5:40:51
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 52 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 83 М.
TATIZO NI MOYO: SIMULIZI YA MAPENZI FUPI
4:48:17
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 30 М.
HALIMA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 64 М.
MY DREAM - PART 03 [ MWISHO ]
2:33:45
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 41 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН