Simulizi zooote nilizosikia zenye mziki huu zoote ni tamu hatari,asante mwandishi na msimuliaji wetu
@EsperanceNsabimana6 ай бұрын
Kwa kweli naona wapi nilikosea Asante Ally na Ankojay kwa hii simulizi inanifunguwa macho kwa kweli
@olyoly9992 Жыл бұрын
Wooow congratulations watunzi wa simliz tunajifunza mengi hongera sana anko Jay
@anawiliam-eb4kb Жыл бұрын
Hii simulizi imetufunza sana wanawake hasa wanaongia kwenye ndoa na kujisaaau asante anko j🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Kweli,asante sana
@hdhjdh7754 ай бұрын
Kwakweli ❤❤❤🎉🎉
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Asanten kwa smlz nzury yenye mafunzo Mungu awabariki nyote
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Kwa kweli
@husnamwinyi82952 күн бұрын
MashaAllah nmejifunza aki aaah ijapo njrbu aki Allahmdhulilah nan ako 2025
@sumeiyamaddy95 Жыл бұрын
Wa kwanza like zngu cjawahi omba like pengne Zina faida naomba mm leyooo woyoooo
@mwanaally4972 Жыл бұрын
Ally mbetu asante kwa mafunzo Yako kk,bi shuu ametufundisha vitu muhimu xaan 🙏🥰❣️anko j Kila cku ww ndo unaetupa raha kwa sauti nzuri 🔥🥰🙏
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Asante kwao saaana
@FatmahHgfy7 ай бұрын
Alimbetu nakupa 🎉🎉🎉🎉 yako asante kwamafunzo, pamoja na anko j n
@susansamira8137 Жыл бұрын
Wow nimefundika dada manka Asante sana Ankojay kwa simulizi hii ya mafunzo
@ankojay_ Жыл бұрын
Thank youuuuuu
@HafsaSalum-l3w5 күн бұрын
Asante ankojay katika simulizi zote nilizoziskiza hii imenifunzaa sana mim nilikuwa manka nitajirekebisha nilipokosea asante ankojay
@ZaiZainabu-o4p5 ай бұрын
Nimefundwa nakujifunza Asante Ancojey ❤🎉
@ChristinesifaRuwa-ix9iy Жыл бұрын
Asante sana dada hii imenisaidia sana kuitunza ndoa yangu ,shkran za dzati kwa bi shuu hivyo viungo vya maji ya kuoga ni zipi naomba kujua nimeipenda hii story jmn tamu sana 😂😂😂😂😂anko wajua kuigiza sauti kwel
@EsterPaulo-do4js8 ай бұрын
Hii simuliz tamu sana nimejifunza mengi asante sana ankojy kwa sauti nzuri yenye kuvutia
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Lo!watatu leo,ayaaaa
@nashaldy1804 Жыл бұрын
Anko j nimejifunza sana kwenye hni cmulizi jinc yakumuhudumia mume.hongera sana
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Kwa kweli
@jabuali5739 Жыл бұрын
Nimejifunza kusema kweli i new abit bt learnedmore asante anko jay na the writter too😊
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Mwandishi kama lissa,Ally kazi nzuri, kaka Jay shukrani sana kazi kali n nzuri, haya mambo sasa nimeyajua sasa mm n Bi. Ashua nitafuteni niwape mambo number ,,,,.......,,,
@polinlizzlizz Жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana Asante sana Ankojay mungu akupaliki popote penye uko Asante sana🎉🎉🎉🎉
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Saaaana
@khadijaali9861 Жыл бұрын
Ahsante Anko J kw kutupa faida .
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Faida kuwa
@NurahMummy Жыл бұрын
Ubarikiwe mwandishi %100 Msimuliaji hongerah zako zote ubarikiwe 100%
@amosivenas6413 Жыл бұрын
Up sawa ako kaka nakupenda Sana mungu awe nawe ❤❤❤
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
Kumbe mimi ni kama makah😅😅najifanya najua kumbe sina chochote😢 na wote mwishowe kunikimbia😔....lakini haya nimeyatilia maanani..asante sana kwa uncle kwa hili
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante
@KaviraDivine9 ай бұрын
Mungu atu saidiye
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Asante sana Mwandishi Ally na msimuliaji wetu mahiri na mbwembwe zooote anko j,wachaga tutapona 🤝🏻🫱🏻🫲🏽🤝🏻🫱🏻🫲🏽
@victoriaedfonss727 Жыл бұрын
😂😂😂 mmmh aaaaaaah mmmmmh aaaaaaah,uuuuuuuwiiiiiiiiiiiiii, Boss kapatkana Anko jay asante kwa simulizi,
@fjggoxfh9502 Жыл бұрын
Ankojay sikuhiz. Unatufurahish wenzet
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Tendea kaz mafunzo
@peninahmmbone4648 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana i've learned alot of things asante Anko J 🥰🥰
@HaluwaMosi7 ай бұрын
Asante sana kwa simulizi zuri Zenye mafuzo Alllah awasimamiye kwenye kazi zenu🎉🎉🎉🎉🎉
@beatriceonsongo9915 Жыл бұрын
Asante Anko kazi zuri mno ❤❤
@ankojay_ Жыл бұрын
Ur welcome
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Kwa kweli ni fantasiki simulizi lnna mafunzo haswa asante anko J na mtunzi
@TeddyJosephat Жыл бұрын
Salute kwako anko jay umetuongezea ujuzii flan flan 🎉🎉
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Hakika
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Upendo ni kitu kizuri Sana katika mishe ya kila mtu mungu ni pendo mwenye huruma na sisi tupedane sisi kwa sisi na watu wa kusamehana
@binthassan9191 Жыл бұрын
Ama kwa hakika katika simulizi hii nimejifunza mengi sana,,Nikushukuru mno msimuliaji maarufu Anko jay mungu akubariki sana na akupe nguvu ya kusimulia ila tuzidi kujifunza mengi kupitia kwako❤❤❤❤😊
@ankojay_ Жыл бұрын
Amin 🙏😊
@epmarkchami2536 Жыл бұрын
Anko jay umetisha 🙏🙏🙏
@bijouxbigaya2116 Жыл бұрын
Hmhmhh asante saana Anko jey ubarikiwe saana kijana
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Asante Anko Karibu utatimiza wiki Unakuwa vzuri
@BijouxKikwindi Жыл бұрын
akika ako Allah akubariki umenipa simulizi zuri Ankojay Asante sana thank you my friend 🥰🥰🥰🇺🇲
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣🤣Anko J jamani kwa macfa Mungu akubariki na azdi kukupa furaha In Sha Allh
@ZenaidaDaniel-r9dАй бұрын
😅😅bi shuu nimekupenda sana😂😂
@MilliamDeonatuce Жыл бұрын
asante sana jaman nimepatavkujifunza kutunza ndoa yangu
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Cha muhimu ni kuweka somo ktk matendo
@MourineJebetkibor-vk9ti Жыл бұрын
Hakika nimejifunza mambo mengi sana kupitia hii simulizi
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Tendea kaz mafunzo
@jokhajj Жыл бұрын
Nimejifunza aise😂😂❤
@Ayeitsqueenn5 күн бұрын
I love this background music in ur stories
@selfamitche3530 Жыл бұрын
Wow amazing story, shukran sana Mr jay ❤❤❤
@LucyGaceri-x7f Жыл бұрын
Naukifanya Ivo naende
@zainabamir1431 Жыл бұрын
Wakwanz leo ❤❤
@elizabethkigava7453 Жыл бұрын
Anko j simuliz zako watufunza mengi sana godbless u
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante saana
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Tusindwe wenyew
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
@@ankojay_Asante sana
@VelonikaNaromba9 ай бұрын
Jamani kwakweli darasanimejinza jamani
@Munira-gr9eo Жыл бұрын
Asante sana Anko J wetu kwakweli tunajifunza meng kupitiya simulizi zako , ubarikiw sana🙏🙏🙏💓
@mildredalivitsa1186 Жыл бұрын
❤ubarikiwe na dawa YA mapenzi.kuhusu hio simulizi Ni mejifuza Sana bibi Shu ubarikiwe Sana from Kenya 😂😂😂❤
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
🪑🪑🎧🎧🇸🇦🇸🇦tujifunze dawa ya mapenzi sasa
@ZainabMosa-n3n8 ай бұрын
Asante sna kwa simulizi nimejifuza mambo mengi sna
@deejuma5980 Жыл бұрын
Yes Anko Jay our moms don't teach us this so thanks for sharing this experience with us married 👰women ❤️❤️❤️
@EpimackChami-g2f11 ай бұрын
Jaman nipen like bac
@MagdalineKagendo Жыл бұрын
Asante sana ankoJay nimesoma mengi asiye funzwa na mama ufunzwa na ulimwengu❤❤
@euniceumazi5143 Жыл бұрын
Waaaah barikiwa Ankojay
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Allah amtakulie anko Jay apoi kila siku anavitu Vipya ongera sana
@ankojay_ Жыл бұрын
Amin 🙏
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
Ank jay love u so much nmechelewa kaaa nimekua wa mwsh leo
@zenaathumani8144 Жыл бұрын
Asante sana ankojay 🔥🔥🔥
@ChristinesifaRuwa-ix9iy Жыл бұрын
Hongera sana anko kwa kwel hii ni dawa ya mapenzi
@binthassan9191 Жыл бұрын
Haya weee mapenzi shikamoo😢 wacha niskie dawa ya mapenzi iniingie sawasawa😅😅,Ahsante anko jay kwa kitu kipya naenjoy zangu,,Naomba like zenu basi angalau hata 5 tu😢😢
@Nuru8700 Жыл бұрын
😂😂😂❤
@saumukambi8562 Жыл бұрын
Asant sana. Ankoo
@nelly-r6v3 ай бұрын
Asante ankjay nimepata mafunzo sana mana nilikua sijui crocheted mm❤❤❤😊
@tunumussa945 Жыл бұрын
Ihi simulizi tam sana na inamafundisha ilaimenikumbusha mbalii 😊😊😊
@esthermugoli4527 Жыл бұрын
Jay on this generation our parents don’t teach us, I just learned a lot❤❤😊
@ankojay_ Жыл бұрын
Yeah its true, 🤝 thank you so much for learning
@epmarkchami2536 Жыл бұрын
Nashukuru
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
Wow nimekua wa kwanza jamani anko jey wetu naskia raha sana
@ankojay_ Жыл бұрын
Safiiiiiiii
@hawakhamia5318 Жыл бұрын
Mambo ni moto
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Khaa!kujifunza kwa makosa ndiyo mambo yote😆😆😆😘😘
@aminah9557 Жыл бұрын
Mungu akutangulie Anko J ili uzidi kutuelimisha uvarikiwe sana kaka J❤❤❤
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@ZainHassan-sy5gs Жыл бұрын
Asante San kikutufundisha😘😘
@SitnahAbdallah5 ай бұрын
Ally mbetu the guru himself i love love love ally mbetu
@MariamWilliam-qx9ge Жыл бұрын
Asante sana nimejifuza sana waoooo😂😂
@lucykarii6860 Жыл бұрын
Pishuu kuna mahka mwingine uku uko wapi nije?😂😂 Ankojay asante simulizi zako ziko fiti kaka❤❤❤
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Ndivyo bi shuu Upendo ni uvumilivu heshima na kuaminiana
❤ huyu mtunzi haswa. Nimependa misemo na nahau zake😂
@AyishaAyisha-b6e Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊anko jy aa wewe kiboko acha aise tutafilisika
@evaevod67 Жыл бұрын
Wa kwanza leo 😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️
@ankojay_ Жыл бұрын
Saaaaafi
@alicesidi9574 Жыл бұрын
Mmmh hapa nimerudi darasan aki nimejikuta Hakuna nikijuacho kwenye mapenzi na hata hiyo ndoa duuuh ,, ila wazazi wa Karne ya Leo hawatufunzi haya ndo maana tunaachika Kila Leo ,, jay na mwandishi barikiweni Sana nimejifunza mengi tu kupitia hizi simulizi za ankojay mungu akueke uzidi kutufunza inshallah 🙏
@hdhjdh7754 ай бұрын
Hii simulizi imenifuza kitu 😂😂😂❤❤❤
@miskhankhan3898 Жыл бұрын
Kazi nzuri anko jay
@pilishazycounterog8200 Жыл бұрын
😊😊jmn nimejikuta naongeza ujuzi kuusu hii Simuliz jmn kwel mapenz ayana ukomando wala dawa
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
Ila bishu!! Nimpea Jamani yani kama mwandishi wahabari🤣🤣🤣
@imanwalid6549 Жыл бұрын
Anko j leo I have learned a lot from tis story God be with you ❤
@ankojay_ Жыл бұрын
Thank you so much 😍
@UmySele8 ай бұрын
No 1 anko jee
@ritaisaya1424 Жыл бұрын
Nisipo sema Asante nitakuwa nimekosea Sana, Anko Jay pamoja na mwandishi MUNGU awabariki sanaaa🙏
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante Sana 😍😍😍
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
Kweli wanastahili asante tena asante saaana tumepata somo kubwaaa sana wachaga tutapona
@RahelIbrahim-id2li9 ай бұрын
@@ankojay_Asante saaana tutapona wengi,wachaga tutageuka kuwa wamakonde
@ZaiZainabu-o4p5 ай бұрын
❤🎉
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Ila anko Jay leo umenikumbusha mbali izo nyimbo
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Asanteee kutufunza jamani ndungu zake mankah
@Mupawarda-gj9qo9 ай бұрын
Wapili leo❤❤❤❤
@debrahshelymaca5339 Жыл бұрын
Always when I listen to u anko j I feel like am in another world God bless you 🙏 ❤❤
@SamillyBuja Жыл бұрын
Okay uko sawa kwamaherezo yako kwakuwahereza wasikirizaji wako
Wow so amazing story but nataka kufuswa jamani Mimi sijui lolote😢😢
@Naomiyusto-xy1oy Жыл бұрын
jaman simulizihii inakusa kbisa maisha ya nduguyangu
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Jaman simulizi ni lazima tusikilize ili tupate elimu ilio bura zaid ni lazima kitandan tuchangamke waume wetu wasitukimbie😅😅😅 ila anko j mungu azidi kukueka