Ubarikiwe sana, Baba MCHUNGAJI,Hakika huduma yako ni njema.
@giffttymlemwa45238 ай бұрын
God bless you mchungaji. Injili ya kweli hii inatutoa mahali😊
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Amina mtumishi umenisaidia kufahamu maana na umuhimu wa sadaka
@MatildaMakawia6 ай бұрын
Hakika umenifundisha nashukuru sana Bwana Yesu anipe neema ya kuyatenda
@florakwayu5646 Жыл бұрын
tangu nimeanza kumsikiliza Mch Katekela nimejifunza mambo mengi mno mno. namwomba Mungu akupe maisha marefu na hekima zaidi ktk kuwaleta wengi kwa Yesu. Bwana apewe sifa🙏🙏
@FezaNoella Жыл бұрын
Bwa na akuongeze nguvu muchungaji.sababu mimi nilikuwa Natowa sadaka ovyo ovyo na sijaonaka hata .Faida ya utowaji kama vile Mungu anasema kwa watu wanaotowa sadaka
@janetmarko6413 Жыл бұрын
@@FezaNoella9
@veronicaphabiani999710 ай бұрын
Ubatikiwe sana mtumishi wa mungu umenitia moyo sana
@eshimbise3096 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi imetusaidia sana.Nimejifunza mengi Mungu anisaidie kuwa mtekelezaji mzuri sana wa haya.Karibu Sinai Kigoma
@beatricenyiro5913 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwakunifahamisha kuhusu utoaji wa Sadaka
@maryability57737 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu mimi nime Barikiwa na ujumbe huu
@mpandawiliam5390 Жыл бұрын
Amina, ushuhuda unabariki japounasikitisha.
@KamugishaSupe2 ай бұрын
Nimejengwa sana juu ya sadaka katika utoaji
@VictoriaMachozi Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@ikambombutolwe6321 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na shuhuda zako mtumishi Bwana Yesu akubariki na uzidi kuwaleta watu Kwa Yesu
@maryability57737 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen glory be 2 God bless you man of God
@ChanilaKitwima-zc6ko Жыл бұрын
Mungu akupee Neema ya upekee akutie nguvu umalize kazi yke salamaa vvyo hvy na promover tv mbarikiwee na Bwanaa na awazdishie zaid
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi
@CaptolinaRuhara10 ай бұрын
Hongera mtumishi
@rerisamba Жыл бұрын
Yani vile ni mesikia kumbe niko na deni sana yakumpea Bwana
@RechoLazaro8 ай бұрын
Mungu akutangulie mtmish
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
Ume change mindset yangu kwenye sadaka ukweli sikujua sadaka kwa kina. Ubarikiwe na Yesu Mungu mkuu
@merekan5514 Жыл бұрын
Amen. Sn pstr. Lkn ningetaka unifafanulie hapa kwa sadaka ya Nadhiri. Mtu akiweka nadhiri alafu afe gafla ya kutimiza .je kuna madhara kwa mwenye kunenewa kufanyiwa nadhiri.
Wao it's is so educative message from GOD, I LOVE IT SO MUCH
@yalalaambobe95289 ай бұрын
Amen amen amen ubarikiwe
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana n shuhuda zako mch tangu nimeanza kukufuatilia nimeuona uwepo wa Mungu juu yangu,,tunaomba kwa neema ya Mungu akutie nguvu ufike hadi Bariadi jmn,,🙏🙏
@jeniphamathayo8710Күн бұрын
Ameen,Mungu akubariki sana .,Siku moja ufike Babati Manyara.
@elizabethsimbenga4773 Жыл бұрын
Ukija USA ufike Colorado Springs karibuni sana promoter TV
@Ntirampeba Жыл бұрын
Amen nakuku bari sana nampenda Yesu natamani namimi siku moja niokoke japo mazi ngira haya niruhusu duuuh eeeyesu nisaidie
@veronicankhwazi7954 Жыл бұрын
Hakuna mazingira yasiyoruhusu usiokoke ni uamuzi tu
@floramongi1410 Жыл бұрын
Amina veronica na ndivyo ilivyo
@anyendabalongo7141 Жыл бұрын
Mungu anatengeneza njia pasipo na njia,ukiwa na nia utaokoka ,usiogope,hakuna jambo la kumshinda Mungu.
@Esthermordecai7 ай бұрын
Jaribu kutafuta Yesu kama Bado una mda Kwa sababu mda wetu haijulikani.
@rerisamba Жыл бұрын
Yap ipo miaka ya nyuma nilikua sina pakutoa sadaka Mungu mwaminifu alinikutanisha na madhabahu sahii namtolea huko
@ireneachiengomondi558 Жыл бұрын
Mch.Katekela anatumika na Mungu kwa kweli.Nilitazama video moja ya kukemea wachawi na majini na usiku huohuo nikaota shangazi yangu akinilaani na mimi vile vile nilimkemea vikali katika Jina la Yesu. Nina imani njia zangu zimefunguka baada ya ndoto hiyo.
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Saka is very important to us please let us improve kwa kutoa
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Aminaa kweli kbx pst
@sallyeringo33 Жыл бұрын
Promover please put English subtle some we get to understand
@SteveneKamara Жыл бұрын
Mchungaji ubarikiwe baba, Kwamajina naitwa Steven Kamara,Niko Kampala Uganda Nime Anza kukufuatilia toka Mwanzo kwenyi ushuhuda wako, hata pia semina Mara kwamara nakuaga live Na promover TV on line Mungu aku zidishiye mafuta. Nami pia usinisahau kwa maombi Baba.
@annijulius4953 Жыл бұрын
Amen mtumishi Kuna sadaka wanaziita sacrifice (kafara) na seed ( mbegu) hizi nazo kazi yake nini? Makanisa mengi ya kinabii watu wanazitoa.
@rerisamba Жыл бұрын
Hili somo la sadaka mbona ni pana kweli ziko aina 10 haya kuna kanuni 5 hebu Amiel litafutie siku utufundishe
@floramahenge62249 ай бұрын
Naomba no ya simu
@bettybusumba1478 Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@happinessshija5136 Жыл бұрын
Ili somo Lina part Ngapi?ii ndio ya mwisho?please kama sio ya mwisho mwenye amepata mwendelezo wake naomba please
Naomba mtumishi wa mungu tuelezee kuzimu wanasema nini kuhusu misa kwa katoliki inawa affect kwa njia yeyote?
@benjaminchuma54683 ай бұрын
Mathew 19:21 Jesus answered, “If you want to be perfect, go, sell your possessions and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me.”
@benjaminchuma54683 ай бұрын
Luke 12:32 “Do not be afraid, little flock, for your Father has been pleased to give you the kingdom. 33 Sell your possessions and give to the poor. Provide purses for yourselves that will not wear out, a treasure in heaven that will not be exhausted, where no thief comes near and no moth destroys. 34 For where your treasure is, there your heart will be also.
@elizabethchiwamba8372 Жыл бұрын
Ahaa kumbe hutakiwi kuyoa toa sadaka hovyo, bila sababu, hapo nimepata kitu, natakiwa kuwa wa kiasi kwenye utoaji.
@glorytoGod6398 күн бұрын
No hujaelewa, usitoe sadaka bila kuinenea iende ifanye nni? Usitoe sadaka kimya kimya bila kuinenea
@louisendunguru7106 Жыл бұрын
Hapo kwa mwezi wa 6🇺🇸 mtumishi State gani?
@AlexAliane10 ай бұрын
I have one question:"najuwa kupunguza ZAKA(CAKUMI) sio vizuri but sijaelewa kuhusu kulipa yenye ambao inazidi" Mbarikiwe na Mungu🙏
@RachelJoseph-l6c5 ай бұрын
Ukizidisha amnashida nivizuri sana
@virginiaomondi5384 Жыл бұрын
Niko kenya kisumu
@annajohn419 Жыл бұрын
Fungu la kumi ni sadaka ya Nini hujaiongelea mtumishi
@user-ro59 Жыл бұрын
Nafikiri hiyo ndio zaka.
@user-ro59 Жыл бұрын
Zaka ni moja ya kumi ya mapato yako, kwa hiyo Zaka na fungu la kumi ni kitu kimoja.
@ezron_official11 ай бұрын
❤❤❤❤
@clarisotieno3858 Жыл бұрын
Naomba namba ya kutoa sadaka
@PromovertvTz Жыл бұрын
+255766294335 M-Pesa Tanzania
@alice4720 Жыл бұрын
Amen amen
@hortenseornella-po8zw Жыл бұрын
mcunganji AMIEL KATEKELA, mbona sisi kanisani tunafundishwa kama monja yakumi kaziyayo ni kulinda maisha ya mtu nakulinda kazizake zamikono, sasa wewe unasema kama nisaka ya wanjane nayatima na maskini ndiyo inayoleta ulinzi, alafu monja yakumi inafanya kazi gani kwamaisha yetu? Tafazali tueleweshe.
@user-ro59 Жыл бұрын
Mchungaji amesema Zaka inaleta ulinzi keenye mali na maisha yako, na haitolewi kwa yatima na wajane bali inatolewa madhabahuni kwa mchungaji. Zaka kwa jina jingine ndio moja ya kumi. Sadaka inayopelekwa kwa yatima na wajane mchungaji amesema inaitwa Dhabihu.
@rerisamba Жыл бұрын
Ngombe zimekufa nanaziri bado iko pale na mtoto amekufa waa chezea nadhiri we
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Mtumishi hukutaja fungu la kumi ina maana gani ama inafanya kazi gani
@rerisamba Жыл бұрын
Ndio hio zaka hebu fatilia
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
@@rerisamba oooo saw mm nilikua naona zaka ni my engine na fungi la kumi ni nyengine xx mimeelewa
@elizabethchiwamba8372 Жыл бұрын
Mchungaji, naomba msaada unielishe hapo, mbona ukijitahidi kumtolea Mungu Kanisani zinainuka SAUTI za kebehi toka kwa watumishi wengine ,hasa wakati wa kuomba anakuwa anaongea kwenye mike kwamba Baba katika Jina la Yesu kuna wengine wanakuja na fedha zao kuwarubuni watumishi wa Mungu, wanaleta zawadi zao, Mungu kama siyo watu sahihi waondoe, waondoe mahali hapa, hakafu baadaye anaanza kusema hao hao wanaondoka, wanaondoka, sasa mimi maneno yake yananikwaza sana moyoni, yameondoa kabisa ari ya kuendelea kuabudu mahali pale, nimekuwa demorolized sana. Nisaidie Mchungaji hiyo ni sauti toka kwa Mungu? Au ni sauti ya adui? Hakafu inatoka madhabahuni.
@symonwycliff8049 Жыл бұрын
Omba ufunuo kutoka kwa Mungu akupatie jibu la hapo kanisani ama la huyo mchungaji. Mungu ni mwaminifu atakufunulia ata kwa kumtolea.
@mariahyera3737 Жыл бұрын
Usitoe kwa kujitangaza. Toa pale tu inapobidi tena kwa siri ukiwa umeinenea jambo.