DC MISUNGWI AAGIZA MENEJA TARURA ANYANGANYWE BASTOLA - AMBANANISHA ILE MBAYA...

  Рет қаралды 8,571

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

DC MISUNGWI AAGIZA MENEJA TARURA ANYANGANYWE BASTOLA - AMBANANISHA ILE MBAYA...
Mkuu wa wilaya ya Misungwi, Paul Chacha amembana Meneja wa Tarura, Bright Mdeme ahakikishe ujenzi wa barabara ya Nyashishi - Fella inayojengwa kwa kiwango cha changarawe inakamilika ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa...
Global TV iliyokuwa katika msafara huo imekuletea hali ilivyokuwa,..
Na Johnson James- GPL.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 23
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@rjunior1086
@rjunior1086 11 ай бұрын
Huy hakutakiw kuw dc alitakiw kuw wazir kbs anafany mamb mazr xn jamn hii nizawad kutok kwa mung Big up bro
@cosmashagila8522
@cosmashagila8522 10 ай бұрын
Uchapa kazi wa kweli dc ulitakiwa ushughurikie hali hii mapema kabla hali ya mvua haijaja. Ungeonekana mkweli na muwazi.
@abedysteven4930
@abedysteven4930 11 ай бұрын
Dah kumbe Kuna madc wenye mwendendo wa magufuli, hongera DC kwa kujali wananchi hongera sana!!
@robertphilip385
@robertphilip385 11 ай бұрын
DC nae ongelea habari ya mwenge jua huyo DC ni hewe
@Mwigaa95
@Mwigaa95 5 ай бұрын
Kwa kweli ana stahili wizara ya maji au umeme kabisaa 👏🏻👏🏻
@kassimhashi49
@kassimhashi49 11 ай бұрын
Nipo kenya lakini napenda kazi yako bwana DC.safi sana
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 11 ай бұрын
Sawa Mzee hapo ni sawa!! Wamezidi sana !!
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 11 ай бұрын
Hii bara bara inajengwa sehem gani
@amanishoo1813
@amanishoo1813 10 ай бұрын
Tarura ni bomu kubwa sn bora ivunjwe tu,hao hao Tanroad wawe mpk barabara ndogo watanuke,Tarura wanajenga barabara kwa kumpa mkandarasi mmoja mwezi tu kila mahali mashimo!!!ht barabara za zege pia ovyo kbs ni kimamlaka cha ovyo sn
@abumasoud1996
@abumasoud1996 11 ай бұрын
Safi sana dc
@hamisiramadhani3538
@hamisiramadhani3538 11 ай бұрын
Kweli kiongozi chacha
@timboxlee919
@timboxlee919 11 ай бұрын
Pongezi Mkuu wa wilaya wa mfano wake, wengine wanapiga dili tu
@francisgituti2494
@francisgituti2494 11 ай бұрын
Heading na kinachozungumzwa ni tofauti mwandishi atakutuchanganyia mlenda na ndelema
@bodyaman
@bodyaman 11 ай бұрын
Viva Tanzania viva
@basiribonga689
@basiribonga689 11 ай бұрын
Ilaaaaaaa wabongo waliokalia vitengo ndo wanaturudisha nyuma
@robertphilip385
@robertphilip385 11 ай бұрын
Eti mwenge ulishindwa kupita hivi mwenge unamsaada gani
@hizamawa6046
@hizamawa6046 11 ай бұрын
Nchi uozo kila sehemu
@dinosiasa5600
@dinosiasa5600 11 ай бұрын
DC mda nakuwelewaga ww unatosha kbs kuwa wazir
@magembesitta5657
@magembesitta5657 11 ай бұрын
Utapeli tyuu cha chetu oyeee
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 11 ай бұрын
Ili jamaa linalojifuta mdomo na yuko kwenye dili
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 11 ай бұрын
Hii ndo Tanzania 😂😂tuna chekesha kwa kweli
@rjunior1086
@rjunior1086 11 ай бұрын
Saf xn
Mfahamu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Tanzania Jokate Mwegelo
24:29
BBC News Swahili
Рет қаралды 62 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
MISUNGWI SEKONDARI WAPATA BWENI LA KISASA “DC ATAKA ONE”
12:02
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 2 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН