Mkuu wa wilaya umeongea mambo ya muhimu sana mtoto akilelewa katika misingi ya kidini haijalish ni dini gan lazima tuu anavyokua anakua na hofu ya Mungu kabisa tumeona mifano mingi.Asante kwa kutukumbusha katika malezi asante sana na unastahil kwenye iyo position.
@billgussy6099 Жыл бұрын
Hongereni wanawake wa Kiislam mi ni Mkristo lakin mnacho kifanya ni muhimu sana kwa faida ya watoto na jamii kwa ujumla
@aminamoshi547 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe da zainabu mungu akuzidishie Kila la kheri
@abdulazizsharif2984 Жыл бұрын
Masha Allah ❤ Hakika mumependeza sana nyuso zimejaa Nur ❤
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Sana maashaallah
@KassimUmeya Жыл бұрын
Alhamdulilah Mashaallah Allah Subhana Wataala Awajaalie Kula la Kheri, Afya Nzuri na Saum Makbul, Ameen Yaarabbil Alameen.Shukran.
@pendokissatu937 Жыл бұрын
Mimi sio Muislam Ila Nimemuelewa sana Zainab
@KMatrix628 Жыл бұрын
Ata mm nmemuelewaa sna huyu dada kzbin.info/www/bejne/o6bHdJKum6l-pbs ila kuna uyu pia
Nakukubali wajina mwenyezi mungu alinde muheshimiwa.
@hasaniabdalah6148 Жыл бұрын
Maashaalaah huo ndo uislam mungu atusitir na atupe wepesi kuiendea dini kwaukamilifu pongezi kwako dada yangu
@MohdSuleiman-fw2un Жыл бұрын
Mashallah mashallah nimejifunza mengi sana Allah akubarik mm nimuislam kama ww thanks a lot
@ROBERT75376 Жыл бұрын
Hili ni jambo muhimu sana kwenye jamii yetu. Hongereni sana Women in Islam. Kupitia hili, nchi itapona. Wenzutu wa upande mwingine tujifunze hapa.
@dorislema2465 Жыл бұрын
Cyo wenzenu wa upande wapil,sema watu wote wajifunze kukua katika dini maana ata ao wenzako wa upande wapil wapo pia waliokua katika din,cyo waislamu wote ni wasafi au wakristo wote niwasafi apo wote tuige kukua katika maadili ayo yakumpendeza mungu sis na familia zetu
@shafiishabani849 Жыл бұрын
MashAllah huyu ndo mke sasa
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Maashallah... This is the practical example
@KMatrix628 Жыл бұрын
Hongra sana zainab yani kzbin.info/www/bejne/o6bHdJKum6l-pbs uko kama uyu
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Ongela mama umejitahidi kulea na Allah kakupokelea maombi yako. ALHAMDULILLAH. NAMINAMUOMBA ALLAH ANIONGEZEE WATOTOWANGU 🤲
@allyfutto8763 Жыл бұрын
MashaAllah Mungu awarahisihie kila kitu Aamin
@ankojayjay7195 Жыл бұрын
Daaah Allah atujalie tuwe wazazi wema
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Hongera Sana Mkuù. Hata hivi ni Mungu tuu.
@hamidaayoub744 Жыл бұрын
Maashaallah Taabarak Allah nimepata fundisho
@ummumuuminsalim4330 Жыл бұрын
Ma shaa Allah habibty Allah atuongoze ss na vizazi vyetu Aallahumma Aamiyn
@lovvy854 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Mabruq na Mwenyezimngu atuongoze sote jammi al muslimin
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Mashalaah jmn mungu atuongoze tulee watoto wetu vema
@salmakashau-ib9fq Жыл бұрын
Big up mkuu wa wilaya yetu Allah akuongoze leo mpk kesho
@zainishamohammed6752 Жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah 🥰
@mbwanarajab4756 Жыл бұрын
Uislamu ulikua na nia njema na hata mavazi yao ni ya heshima. Waliopinga na kukwamisha leo wanajuta kwa jinsi maporomoko ya maadili yalivyozidi na wale wanaofuta uislamu ndio walionusurika tu
@imamuhamisi4421 Жыл бұрын
Mashalaah ila muheshimiw kwakua umehifadh kitabu cha Allah basi uache na kurap,( kuimba,) maana shaona crip zako nyingi mpaka jukwaani unaimba , Allah atuongoze sote.
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Subhaana llah Allahumma Amiin Yaa Rabbi,Mwenyezi Mungu Amlipe Pepo Ya firdaus bi Mariam,na awaifadhi wanae Allahumma Amiin,na atujaalie Na Sisi wote tuweze kuwalea watoto wetu katika maadili mema , Bismillah maishaallah dada angu WA kiislam umenigusa Shukran
@ngila_og5 ай бұрын
Maashaallah
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Allah anijaliee watt wangu Allah zidi kuniongolea watt wangu natamani watt wangu wawe kama hao
@haidarimfinanga9755 Жыл бұрын
Allah Akutimiziye hitaji lako. Aamiyn
@zarahally4275 Жыл бұрын
Tabaarakallah...Allah subhaanahu wataala akuhifadhi wewe na Familia yako...Aamin❤
Yaani wew unapaswa umlipe maana alishawekaza kwako..mungu ananafasi yake nawe yakoo
@raymondmunis3553 Жыл бұрын
Hawa ndio viongozi sasa wanahofu ya dini
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Bismillah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
@vifarangakuku9098 Жыл бұрын
Mashallah nimejifunza kitu kwa wanangu inshallah.
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Allah awajalie kheri inshaallah jamaa umepata mke bora wallah lakini imetupa funzo kuwa kumbe shule zetu za selekeri hazifai?
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Viongozi kama DC Zainab wenye hofu ya Mwenyezi Mungu ndio wanaoweza badirisha nchi hii
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Maelezo yako mkuu wa wilaya muhimu sana na ya maana. Sana.
@rukiamwinyihija7849 Жыл бұрын
MashaAllah .mungu awape heri .amiin
@abdallahmohammed6079 Жыл бұрын
Salaam alykum warahmatullah wabarakatuh. Nasaha zangu kwenu kinamama na kinadada, tujifunze kuijua hijabu ya kisheria kwa sababu hijabu zipo za aina 2 moja ni hijabu jina na nyengine ni ya kisheria ambayo kwayo mtu akiivaa atapata thawabu kwakua amefuata amrita miongoni mwa amri za Allah.
@husna34562 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah ❤❤
@benjo_brighter Жыл бұрын
Mh. Yupo sahihi 🙌🙌🙌
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Masha allah
@LukmanMaulid-ne5gr Жыл бұрын
Mashaallah
@GoboAhmed-mf4qo Жыл бұрын
Wallahi bi zainab umenitoa machizi inshaalah mamayako bi marram allah ampe siha njema nilipenda kumuita dada kipindi kile tupo yemen school
@madamaisha1641 Жыл бұрын
Upo vizuri ila usijipambe mbele za watu jipambe ndani kwako kwa ajili ya mumeo,
@nassorkikumbih9025 Жыл бұрын
subhannah Allah
@RashidAbbas-zy6xx3 ай бұрын
Waambie NA wakuu wenzio NA wao wamuogope Mungu
@reginaldhhayuma6907 Жыл бұрын
Saf sana.
@3nllymhamad784 Жыл бұрын
Mashallah dada zainab allah azidi kukuongoza inshallah 🙏
@Lo-33 Жыл бұрын
Mungu akubariki san zainabu
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mkuu wilaya umenigusa kuna kitu nimekipata nalia nikikumbuka wallah lakini inshaalah kwa kuwa dua ndo kila kitu allah atanisaidia kwa hilo kwa kuwa ni kitu kinsniumiza kichwa
@haidarimfinanga9755 Жыл бұрын
Allah Atakusaidia katika hilo ambalo bila shaka ni la kheri. Aamin
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Hongera sana mama ,Hongera pia bi zainab
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
Yaaani umenigusa sana 😭
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Masha Allah Mungu atuongoze ktk malezi ya wtt wetu
@pinielloilole4340 Жыл бұрын
Mh kuna mafundisho makubwa/ushuhuda umetoa hasa kwa watoto wote bila kuangalia jinc. Mungu akubariki na wazazi tujifunze kupitia ushuhuda huu. Mungu akubariki sana. Ameeen
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Safi sana
@adidjaramadhan8668 Жыл бұрын
😭Masha’Allah jmni
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
mashallah allah akbar allah akbar allah akbar allah akbar allah akbar
@hussainmasoudsubhannallah3786 Жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah
@piliramadan875 Жыл бұрын
Sana muwashukuru wazazi
@fredyosokoni7672 Жыл бұрын
Kumbatia wasazi wako plz plz 😭
@rashidalmas3792 Жыл бұрын
MashAllah Allah atupe mazingatio wazazi wote
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu sana MUNGU nipe uhai nilee wanangu
@salmaUthman-wo1ic Жыл бұрын
Allahumma aaamin
@publicrelations4600 Жыл бұрын
Miaka 30 ushatoboa,Mungu ni mwema.
@estermathias8354 Жыл бұрын
Yan duh.lkn ni kwel maana anaonekana ni mdogo tu ata usoni afu mpole
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Nakumbuka wakati magufuli anamteuwa alikuwaga na 26 sikosei na ndio alikuwa kiongozi mdogo kuliko wote. Na pia aliolewa akiwa mdogo pia
@shaabankona4150 Жыл бұрын
Mkuu wa wilaya gani ???
@husna34562 Жыл бұрын
Mashallah mama salma azeeki😊😊
@andrewkissavah8272 Жыл бұрын
Pamoja na hayo unamhitaji YESU uokoke maana hakuna mwokozi mwingine au njia ya kuingia peponi au mbinguni bila kumpa YESU maisha yako
@alimussa2655 Жыл бұрын
@@andrewkissavah8272 we kuma yesu ndio nani
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
@@alimussa2655 ucmtukane
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
@@alimussa2655 Ndo hapo mnapochoshaga muda wote matusi tuuu afu sijui kwanini mnapendaga kutukanna kwa kutaja kiungo cha mwili kilichokutoaaaa
@kadrimwingamno258 Жыл бұрын
Ebu Jaribu kutu fafanulia unampa yesu maisha yako kivipi? Alafu yesu anamiliki pepo tangu lini....??.
@salimmseza9588 Жыл бұрын
Daaaaaaa hatar
@nestor384 Жыл бұрын
story nyepesi sana hii
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Dah nimejikuta nalia jmn😭😭😭
@hichayasin7244 Жыл бұрын
KUMBE ELIMU BORA IPO PRIVETI KUMBE HAWA WANAOSOMA SHULE ZA SERIKALI ELIMU SIO BORA! 😭,
@annamussa1859 ай бұрын
Pua sasa
@omarkhatib4738 Жыл бұрын
Imenigusa sana Allah atusaidie
@hajimuhidini1903 Жыл бұрын
Kitu hiki ndio kinachotakiwa kila mtu apewe mafunzo ya dini ili awe na khofu hapo ndio utumishi wenye maadili ndio utastawi katika ngazizote za utumishi
@piliramadan875 Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah
@ramashauritanga8966 Жыл бұрын
TAQBIIIR
@abelfrancis4327 Жыл бұрын
Mimi nimekubaliana na mheshimiwa mkuu was wilaya Mungu wetu hapa duniani ni wazazi
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Hongera mama
@muna1165 Жыл бұрын
😢😢😢maneno yame nigusa sana
@madamaisha1641 Жыл бұрын
Hata bado hujalia
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Kumbe elimu bora zipo shule binafsi za serikali bora elimu? Na mna vyeo humo lakini hambadili mfumo wa elimu.
@hussainmasoudsubhannallah3786 Жыл бұрын
Last hawawezi kuwa sawa
@sudymgeni7017 ай бұрын
Sasa kama imeinekana kweli wamempa damu pasipo itaji.akuna tena ushahidi wapewe adhabu wanayo stahili tu
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Unafiki wa kiwango cha PHD hapo mbele za watu wanajifanya Malaika , ila wengine wanafuga majini nyumbani na wengine kila siku kiguu na njia kwa waganga kuwaroga waume zao wawe mazezeta !
@asiamohamedy2643 Жыл бұрын
Ww usimzanie wenzio
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
First here
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
maahallah
@w4058 Жыл бұрын
Na kutunisha mabichwa kama wakati sio maumbile yenu mnazungumza dini lakini wengine wamevaa fashion zaidi kuliko vazi la hejabu itakikanavyo muigeni Dada Zainab hiyo ndi hijabu safi kabisa ndi good raw model na mama Zaiynab tunakupongeza kwa malezi mema
@w4058 Жыл бұрын
Mkuu wa wilaya wa pangani alivyovaa itakiwavyo kapendeza