DC WA MUHEZA AMPIGIA WAZIRI AWESO MAGOTI AKIOMBA MAJI, AWESO ATOA SIKU 7

  Рет қаралды 7,287

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@halimagomez
@halimagomez Ай бұрын
Hii muvii nimeipena sana
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Ай бұрын
Allah awazidishie mapenzi yenu mh aweso nina kubwa la kujifunza kutoka kwenu
@StephanieGerald-qj8vt
@StephanieGerald-qj8vt Ай бұрын
Waache maigizo hawa si mtu na mkewe hawa😂
@AziziMaiga-v1f
@AziziMaiga-v1f Ай бұрын
simulitakiwa kuyajenga mkiwa hom
@BrightShumbusho-i4y
@BrightShumbusho-i4y Ай бұрын
Dc please...acha kudhalilisha serikali. Mamlaka uliyonayo na hadhi yako si vizuri kupiga magoti. Kamata hao wakandarasi sweka rumande na warudishe pesa ya watanzania. Unapiga magoti kwasababu ya uzembe wa watu. Nimekeleka sana! Yaani mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya unapiga magoti????!!!!!!!!! Usirudie tena maana unaonesha udhaifu.
@jeffmap4038
@jeffmap4038 Ай бұрын
mungu atulinde watanzania.
@khadijafeda8598
@khadijafeda8598 Ай бұрын
Wanatuectia washapanga nyumban hao
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Ай бұрын
Wanatekeleza majukumu yao Khadija.
@nurdinimzimbiri
@nurdinimzimbiri Ай бұрын
Hongera mkuu WA wilaya wenzio huko lushoto wamelala wananchi wako wanateseka saaaana na maji Hasan vijiji vya kalumele mamboleo madaa tema chambogho
@ifonlyiknew619
@ifonlyiknew619 Ай бұрын
Nyambafu Unapigia Magoti mtu utafikiri ni Hisani Aseee wakati ni wajibu 🚮
@ManJames-bi2oj
@ManJames-bi2oj Ай бұрын
Uyo ndie mwanamke ambae mungu alimhuumba mwanamke heshima ongera sana mama aweso
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t Ай бұрын
Wasanii hao
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 Ай бұрын
Maji ni uhai ...maji ni hali yetu kabisa...ukiona tunafika mahali pa kupiga magoti ili kupata maji basi hapo tuko hoi kabisaa
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 Ай бұрын
Kisiasa ni faida Kwa chama chake we Baki unalaumu tu,wenzako wanaongeza popularity
@AbasiKatokayemba
@AbasiKatokayemba Ай бұрын
Sasa dc ukipiga magoti,wenyeviti wa vijiji watafanya nini?huko tuendako wakuu wa mikoa wataanza kupiga magoti
@mtotowamanka
@mtotowamanka Ай бұрын
Wanaigz,hadi Raha 😅 ety m5 tena,ushenz kweli
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 Ай бұрын
Mh waziri singida mjini tunateseka na mgao wa maji. Yaani kama huku maja maji tunapata mara moja kwa wiki
@HadijaSalum-o4i
@HadijaSalum-o4i Ай бұрын
Usanii
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Ай бұрын
Hii movie inaitwaje???
@MwitaSenso
@MwitaSenso Ай бұрын
Aweso move
@lucia20240
@lucia20240 Ай бұрын
Mkewe huyo
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 Ай бұрын
Kilakitu siasa
@rechomathayo-kf7jc
@rechomathayo-kf7jc Ай бұрын
Tumechoka ya madimbwi jamn
@halfananiko3692
@halfananiko3692 Ай бұрын
Part 2 lini?
@Commentsplus
@Commentsplus Ай бұрын
Sasa si mumewe
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Ай бұрын
Huyo DC ni mkewe
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Ni pumbavu kabisa kupiga magoti Ndio Nini Ningekuwa rais ningemtumbua mara moja aliyepiga magoti
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Ай бұрын
Wacha kuropoka wajua kampijia magoti Nani huyo Ni mume wake Na hayo ndo mahaba ya kitanga kama Kuna ilowachoma pole yenu😂
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@ angempigia ndani kwake hapo ni shughuli za kiserikali ni wa kutumbuliwa huyu fala
@SwalehMgumia-r6z
@SwalehMgumia-r6z Ай бұрын
Mke na mume
DC AMPIGIA GOTI WAZIRI AKIOMBA MAJI, MKANDARASI APEWA...
4:47
Mwananchi Digital
Рет қаралды 494
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
MAKONDA AMLIPUA MBUNGE GAMBO “NENDA KWENYE VIKAO”
3:30
Millard Ayo
Рет қаралды 22 М.
DUNIA (Ep 37)
22:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 210 М.
WAZIRI BASHUNGWA Akabidhi Magari Mawili kwa Majenerali
16:11
Ulinzi Channel
Рет қаралды 76 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН