''WEWE NISIKILIZE'' - WAZIRI AWESO AMBANANISHA MENEJA wa MAJI HADI AKAPATA KITETE - AMSIMAMISHA KAZI

  Рет қаралды 5,375

Global TV  Online

Global TV Online

28 күн бұрын

''WEWE NISIKILIZE'' - WAZIRI AWESO AMBANANISHA MENEJA wa MAJI HADI AKAPATA KITETE - AMSIMAMISHA KAZI
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutambua majukumu yake kufuatia kushindwa kujua Takwimu kamili za mahitaji ya Maji kwenye eneo hilo.
Waziri Aweso ametoa maelekezo hayo Leo Julai 1, 2024 wakati akizungumza na Wananchi wa Tabata Kinyerezi katika ziara yake ya kukagua hali ya huduma ya maji katika Jiji la Dar es Salaam.
Awali Waziri Aweso alimuhoji Meneja huyo kutoa Takwimu za mahitaji ya Maji na uzalishaji katika Kata ya Kinyerezi ambapo awali alijibu kuwa Kata hiyo Ina watu takribani 62,304, huku mahitaji ya Maji yakiwa ni Lita 600,081 (Laki sita na themanini na Moja) kwa mwezi, na baada ya kuulizwa Tena akaeleza kuwa mahitaji ni Lita 22,704 Kwa siku, huku akishindwa kueleza namna alivyopata Takwimu hiyo.
Waziri Aweso Leo Julai 1, 2024 ameanza rasmi ziara ya kikazi katika mikoa ya huduma ya Maji inayotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) akiwa na lengo la kufuatilia hali ya huduma ya Maji na kusikiliza changamoto za wananchi.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 12
@hamisidale2704
@hamisidale2704 10 күн бұрын
Morogoro akufai haswa maeneo ya kiegea ni uozo mtupu,kazi za hao watendaji wako wanazichukulia ujiko watanzania wengi waaminifu wako mitaani hawana ajira kata mti panda mti,wewe waziri paulo Makonda na jerry silahaa tunajivunia nyinyi Mungu awalinde na Mzim wa Magufuli ukawalinde
@Piscesblair
@Piscesblair 20 күн бұрын
Mheshimiwa Waziri, ili pawepo na uwajibikaji madhubuti, kunahitajika semina elekezi kwa watendaji wote katika eneo lako ili msomane.
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 26 күн бұрын
Yani kinyeez wametoa maji siku 3 kumbe aweso anakuja mana maji ayajawai toka mwisho ilikua mwezi wa 3 sasa kumbe maji yapo
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 16 күн бұрын
Wekeni watendaji darasa lasanawanauelewakulikohao
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 16 күн бұрын
Hakunakituhapo elimusijuwi wamesomeawapi wekawatendaji darasa lasana
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 26 күн бұрын
wanateuana wenyewe na wanatenguana wenyewe....
@froma3732
@froma3732 24 күн бұрын
Sasa Magufuli alikuwepo miaka 5 mulikuwa na maji
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 27 күн бұрын
😂😂KIMEUMANA
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 26 күн бұрын
Maswali Gani hyo?
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 16 күн бұрын
Uwezo haondiyo wasomi hakunakituhapo
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 26 күн бұрын
Aweso alikuwaga wapi kipindi chote hicho? ndo unatokea saa hii? baada ya uchaguzi hatukuoni. alafu nyie viongozi ndo wasteful kweli..mnakuja namikwala lakini hakuna usaidizi wwt..this was Magufuli way that yoiu guys are flashing us with..Aweso unaongea kweli laniki sidhani kama ndivo moyo wako uko..if it was so ungekuwaga unaingia shambani miaka yote ulivochagulia..anagalieni mwenzenu Mh Silaa
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 26 күн бұрын
Usikute yote walipanga tu
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,4 МЛН