DDC Mlimani Park Orch - Gama Nisamehe

  Рет қаралды 29,457

Power Nguzo

Power Nguzo

Күн бұрын

Old is Gold!

Пікірлер: 12
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 10 ай бұрын
Ridhim GAMA, Bazz Mwanyiro, solo Mulenga king spoiler string muster. Daa wamepita watu hapo kabaki Gama nae mzee
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 9 жыл бұрын
Yani tutakumbuka tu bac, lakini jamaa hawa kazi waliifanya na maneno mazuri na yenye ujumbe mzito sana! sauti nzuri ya Chidumule, Hamisi juma na Muhidin Gurumo! ikiongozwa na solo zuri kabisa likidakwa na rithym la mzee Gama ndani ya utunzi wa mzee TShimanga Asosa
@jamirambwana6309
@jamirambwana6309 Жыл бұрын
Jamani uyu Mzee gama rithym kama anaimba duuu atariiiii
@papaamukulu732
@papaamukulu732 7 ай бұрын
Namkumbuka bro wangu marehem zambo kitambo iyo akitoka Dansi yuko maji sana pembeni yuko na mchumba wake fa2ma wa magomeni kagela
@mngumimwengo3577
@mngumimwengo3577 9 жыл бұрын
Poa kaka Nguzo Power, ama kweli hawakukosea wahenga ujana haurudi kamwe! Zimebaki kumbukumbu tu!
@sweetbetmpaluka7183
@sweetbetmpaluka7183 9 жыл бұрын
Asante kaka Nguzo, yaani kama kawaida.
@daudkaberela7919
@daudkaberela7919 5 жыл бұрын
Hiyo ndiyo sikinde kwelikweli
@isayamazani22
@isayamazani22 5 жыл бұрын
Sauti yake Maalim Kinyasi ktk ubora wake na rythm ya Abdalah Gama
@kawaidamudrick1312
@kawaidamudrick1312 7 жыл бұрын
hivi kwanini Leo mziki wa tamzania umepoteza dira hi za zamani zihifadhi hazichachi
@simonzabron5984
@simonzabron5984 6 жыл бұрын
IMEBAKI STORY LAKINI YOTE MAISHA
@josephkitainda8419
@josephkitainda8419 2 жыл бұрын
composed by tchimanga kalala asossa but didnt participate in recording.
@isayamazani22
@isayamazani22 5 жыл бұрын
Sauti yake Maalim Kinyasi ktk ubora wake na rythm ya Abdalah Gama
Vijana Jazz - Thereza
11:00
Power Nguzo
Рет қаралды 352 М.
Mchumba Wangu - DDC Mlimani Park
9:07
Power Nguzo
Рет қаралды 47 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 21 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 339 М.
Onyo - DDC Mlimani Park
8:56
Zilipendwa TZ
Рет қаралды 12 М.
Marijani Rajabu & Dar International - Emmy
7:23
Power Nguzo
Рет қаралды 43 М.
DDC mlimani Park orchestra   Fikirini Nisamehe
5:47
Sam Exavery
Рет қаралды 32 М.
Kata Ya Maji Ukweni -  Orchestre DDC Mlimani Park
6:56
Power Nguzo
Рет қаралды 81 М.
Mziki wa dansi- zilipendwa DDC- Selina
7:49
Eddie Nassor
Рет қаралды 19 М.
Maquis Original - Kiongo
7:51
Power Nguzo
Рет қаралды 158 М.
Juwata Jazz Band - Fatuma Maisha Vita
7:46
Power Nguzo
Рет қаралды 152 М.
DD Mlimani Park Orchestra Nawashukuru wazazi wangu
8:47
Sam Exavery
Рет қаралды 56 М.
Orchestre Mlimani Park - Pendo Kileo Cha Fikara
6:29
Power Nguzo
Рет қаралды 198 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 87 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 21 МЛН