Gubu La Mume - Vijana Jazz Band
7:26
Mawazo No. 2 -Tanzania Stars
6:24
7 жыл бұрын
Kaka Yangu - Nuta Jazz Band
3:29
7 жыл бұрын
Halima  - Nuta Jazz Band
5:15
7 жыл бұрын
Mawazo No. 1 -   Tanzania Stars
4:42
7 жыл бұрын
Mado   Atomic Jazz Band
5:30
7 жыл бұрын
Kilimo   Juwata Jazz Band
6:25
7 жыл бұрын
Jamila   Tanzania Stars
6:35
7 жыл бұрын
Dada Rehema   Nuta Jazz Band
4:57
7 жыл бұрын
Dada Mwajuma   Nuta Jazz Band
4:51
7 жыл бұрын
Dada Helena   Taborah Jazz Band
5:32
7 жыл бұрын
Dada   Nuta Jazz Band
3:18
7 жыл бұрын
Blandina   Jamhuri Jazz Band
4:58
7 жыл бұрын
Anna   Juwata Jazz Band
8:18
7 жыл бұрын
Aminani   Orchestre Safari Sound
5:51
7 жыл бұрын
Shime Shime   Mwenga Jazz Band
7:48
8 жыл бұрын
Rabana   Ottu Jazz Band
8:05
8 жыл бұрын
Mary   Juma Kilaza & Cuban Marimba
5:54
Mama Kilio   Orchestra Maquis
8:51
8 жыл бұрын
Kupatwa Kwa Mwezi   Mwenga Jazz Band
7:34
Huba   Orchestra Maquis Original
8:01
8 жыл бұрын
Binadanu Hatosheki   Orchestra Makassy
6:29
Пікірлер
@tumainimalulu7708
@tumainimalulu7708 5 сағат бұрын
2024 wimbo bado wa moto
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 11 сағат бұрын
Yaan hii nyimbo nakumbuka Miata 1967❤❤❤❤
@user-lc3vu1ml3w
@user-lc3vu1ml3w Күн бұрын
If you listen to the arrangement of instruments and vocals of this song , you will side with me this was vijana jazz minus manet chiriku, just listen to "wivu" by vijana jazz compare and contrast❤
@jacksonzebedee4668
@jacksonzebedee4668 Күн бұрын
Nilitoa wazo kwa Mkuu wa Mkoa la kuweka Ukumbusho wa WAHENGA wetu wa Morogoro na nilipendekeza Soko kuu la Morogoro au Stendi ya Mabasi Msamvu kupewa jina la huyu MUHENGA alie itangaza na kuipa heshima kubwa sana Morogoro na Tanzania kwa ujumla kuliko MUHENGA yeyote, lakini nikaja sikia kuwa Soko limepewa jina la Kingalu na huyu MUHENGA Senta ikapewa jina lake. Mbaraka ni mkuu sana kuliko hicho ki-Senta, nikagundua hao waliotoa hayo majina na Kamati yao sio wa-RUGULU NGENDELE na wasio na uchungu na Morogoro na ndio hao hao walioshiriki kwenda kuutupa mwili wa huyu MUHENGA jalalani huko Mzenga, Mzenga inamuhusu na nini huyu Mbaraka mwenye uchungu na Morogoro kuliko hiyo Morogoro yenyewe ?? Ktk uhai wake Mbaraka akifanya Safari kuitoka Morogoro huwa alikuwa akisafiri bila roho yake, roho ya Mbaraka haikuwahi kuondoka Morogoro. Majanga yanaitokea Morogoro na neema kupungua kwasababu roho za WAHENGA hazijalala. WAHENGA, 'MKAWASE' Mbaraka hajawasa !!!! Ingejengwa sanamu yake ameshika gitaa lake pale Roundabout ya Msanvu kama rushwa kwa roho yake. Sisi tuishio mbali na 'nyumbani' huumia sana tunapofika na kuona nyumba yetu inavyochakaa bila matengenezo.
@Marryjohn-t2s
@Marryjohn-t2s 2 күн бұрын
Nyimbo za zamani zilikuwa sawa sana endapo sikuaga❤❤❤
@davidrotich8134
@davidrotich8134 3 күн бұрын
Inanikumbusha mbali sana
@georgemwambanga2420
@georgemwambanga2420 3 күн бұрын
Kila ala inachezeka kwa kuchangamka vizuri sana... Mziki ni HUU.
@jamesmchaki1464
@jamesmchaki1464 4 күн бұрын
Hii inatoa somo kama utaisikiliza kwa makini
@abdulazizmohamed2805
@abdulazizmohamed2805 4 күн бұрын
Mpinga kinanda haliwaku hanahitwanani ,
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 5 күн бұрын
2024 tuko hapa
@mrafm7285
@mrafm7285 7 күн бұрын
Naikumbuka 1980s nikiwa korogwe
@madarakaiddi
@madarakaiddi 7 күн бұрын
Pumzika pema Mbaraka tutaonana
@madarakaiddi
@madarakaiddi 7 күн бұрын
Dunia yetu KWA sasa ndivyo ilivyo cha kipumbavu ndio kinafagilwa
@MidoBwax
@MidoBwax 9 күн бұрын
Anae angalia 2024 gonga like
@mlulamsiliwa7123
@mlulamsiliwa7123 9 күн бұрын
asante sana
@nixonlameck3215
@nixonlameck3215 10 күн бұрын
Serikali imtunze mzee Steven Hiza mzee mama Samia mjengee nyumba huyu mzee ni hazina kweli kweli
@mainamunene2193
@mainamunene2193 10 күн бұрын
Niko Kenya na nakumbuka huo wimbo nikiwa shule ya msingi na ni kweli sikuwa najali maana baba na mama walikuwa wananichunga. . .lakini sasa niko mzee wa miaka 57 na nimepitia mazito na ya kuvunja moyo lakini ni kawaida. Najikuta sasa nategemewa vile nilivyotegemea marehemu baba na mama. Tuliwapenda Marquis Original
@AhmedNgalewa
@AhmedNgalewa 10 күн бұрын
Mkurugenzi RTD, David Wakati alikuwa akipenda kuucheza wimbo huu. Wombo unaasa vijana juu ya maisha ya kutangatanga na kuzurura hovyo mjini. Unavuta picha ya zamani ya jiografia na maisha ya D'salaam na Tanzania kwa ujumla!
@AhmedNgalewa
@AhmedNgalewa 10 күн бұрын
Ukweli unaodhihiri kisanaa kwa kulinganisha vipaji ni kwamba Marijani ndiye mrithi namba mosi wa Mbaraka Mwinshehe. Hata hivyo, si kwamba Marijani alikuja baada ya Mbaraka kufariki. Bali, Marijani alishaanza kuchomoza tangu 1973 tena yaaminika akiwa shuleni, sekondari ya Tambaza. Ukirudisha kalenda nyuma utaona si chini ys miaka 7, Marijani aliimba wakati Mbaraka pia akiimba. Japo Mbaraka alifariki mwaka 1979, na Marijani 1995 lakini, kwa nyakati hizo tofauti, wote walikufa wangali vijana wadogo, na si wazee kama wengi wanavyohisi zinapochezwa nyimbo za zilipendwa. Udongo umefunika miili, roho zinaendelea kuishi barazakhini, aliyefanya jema la kauli na kitendo atalikuta kwenye daftari au mzani wake. Sifa za wanamuziki hao, walikuwa na maneno ya kujenga jamii, nasaha za kuiadilisha jamii. Sisemi wanaenda Peponi wala siwahukumu kwani hata wachaMungu hawataingia Peponi bila rehema za Mungu. Sote tuombe msamaha na rehema za Mungu
@SelfathumanMisere-te6kg
@SelfathumanMisere-te6kg 11 күн бұрын
Zinasuuza mawanda rohoni kwakweli!
@erichamissi2476
@erichamissi2476 11 күн бұрын
Hakika huu ndio ulikuwa muziki unaoonyesha uwezo wa mtu na kipaji Mungu alichompa kwenye muziki. Iwe instruments ama sauti. We will miss this music
@marlonjr294
@marlonjr294 12 күн бұрын
Niko standard 7 siku za jpili. First and Last Simba wa nyika masiwani Good old days
@HaronAgunza
@HaronAgunza 12 күн бұрын
My best memories ever ❤️
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 12 күн бұрын
🤣 Daa long time enzi za neema kila kiwanda kuna bendi timu ya mpira wa miguu, netball, ngumi, riadha, ngoma, kwaya, taarabu, bendi ya muziki yaani kazi nje nje ukiwa na kipaji chochote unaajiriwa hii ni bendi ya kiwanda cha SIGARA BAT YAANI BRITISH AFRICAN TOBACCO. BAADAE KIKABADILISHWA Kuitwa TCC. NASHUKURU MIMI NILIAJIRIWA KIMPIRA KWANZA TACOSHILI SHIRIKA LA MELI TANZANIA NA CHINA, BAADAE NIKAAJIRIWA BOHARI KUU YA SERIKALI. YAANI GOVERNMENT STORES. FC. ALHAMDULILAH MPAKA NASTAAF NIKAJA OMAN PIA KIKAZI.
@thomasaura5236
@thomasaura5236 12 күн бұрын
Old is gold
@RashidiSamandeko
@RashidiSamandeko 12 күн бұрын
Cha kale dhahabu we acha tu
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 13 күн бұрын
sololist nationale
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 13 күн бұрын
sololiat nationale
@AshuraEnock
@AshuraEnock 13 күн бұрын
Nyimbo hii tamu sana
@yusufumatumbo6865
@yusufumatumbo6865 15 күн бұрын
Huyu mpiga tumba amefanya kazi kubwa na kweli ameubeba wimbo huu.
@mlatambuu6364
@mlatambuu6364 15 күн бұрын
OGOPA CHATU PORINI
@OmanOman-il3dc
@OmanOman-il3dc 15 күн бұрын
Yani daah nyimbo yoyote inayohusu taifa langu la tanzania inanikumbusha raisi magufuli yeye ndio kumbukizi langu jemaa😭😭😭
@MohamedChillo
@MohamedChillo 16 күн бұрын
Toka umeondoka sina raha hata kidogo mimi mwenzio ,wanipa wasiwasi mpenzi Zarina , nyimbo bora sana anayejua walioimba kuanzia meimbaji kiongozi mpaka wapiga vyombo atujuze
@mlatambuu6364
@mlatambuu6364 16 күн бұрын
Chekee chekecha Chekee.. 🙏
@mlatambuu6364
@mlatambuu6364 16 күн бұрын
Daah dunia kweli Ina mambo
@raskenneth1981
@raskenneth1981 16 күн бұрын
Mnanionyesha njia ya kwetu,na hata mimi ambae ni mama yao leo mnanikana.
@AliJuma-y7n
@AliJuma-y7n 17 күн бұрын
Muzki wa zamani una hisia sana mara zote ujumbe wake ni wa kweli
@charlesmuga4152
@charlesmuga4152 18 күн бұрын
Niko hapa 2024
@angelapeter507
@angelapeter507 18 күн бұрын
Winbo unanikumbusha mbali sana
@lawrence8441
@lawrence8441 18 күн бұрын
Inanikunbusha nilipokuwa mji mkuu wa Tanzania miakà ya 1972.
@egbertcharles
@egbertcharles 19 күн бұрын
Najivunia kuwa Mtanzania. Nimekumbuka huu wimbo, ikiwa ni miaka 5 Tangu nitoke Tanzania niende China kutafuta Maisha. Mungu Ibariki Nchi yangu Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
@anthonymarwa7823
@anthonymarwa7823 19 күн бұрын
Line up ñi Mbaraka solo gitaa na kuimba. Lazaro Bonzo kuimba Samson Gumbo gitaa la rithim. Athumani Babu gitaa la bass. Maneno Shaban tumba. Sulpis Bonzo Athuman Kilongola na Steven Mkoba tarumbeta. Alfred Shuvalo gitaa la rithimu na second solo pia alikuwepo lakini alitoka bendi kabla hata ya kurekodi
@maikonyakundi4209
@maikonyakundi4209 19 күн бұрын
Ni muziki wa kiazi kilicho pita, cha sasa na kijacho. Nashukuru kwa ujumbe muhimu ulio ndani🤍🤍❤️❤️🥰🕊️🕊️🙏
@user-it3oz3el7n
@user-it3oz3el7n 20 күн бұрын
Smooth
@user-td1qt1ee3e
@user-td1qt1ee3e 21 күн бұрын
Nakumbuka nikitoka shule mchana nakuta wimbo huu ukipigwa hata njaa inatulia R IP
@hassanbinsalman1437
@hassanbinsalman1437 21 күн бұрын
Talented musicians during our days.
@GEORGEKIBE-j9k
@GEORGEKIBE-j9k 22 күн бұрын
Very good performance
@Kabeya410
@Kabeya410 22 күн бұрын
Power Nguzo ungekua unaletea wimbo na list ya waimbaji na wapigaji wa Alla solo ridhim bazz tumba drums trumpet na sax
@Kabeya410
@Kabeya410 22 күн бұрын
Sauti nyingine Adimu Ali Rajabu. Alikua na kibanda kichwani yaani Afro. Japo huyu Ali Rajabu alinichukulia mpenzi wangu nilietaka kumuoa akamuoa yeye kazaa nae watoto Allah amsamehe Nilimpenda tulipendana na Mariam Mokiwa Temeke mwisho baba yake alikua askofu wa moravian church Temeke mwisho
@marisangaelifadhili3166
@marisangaelifadhili3166 24 күн бұрын
Very nice.❤❤