Asalam aleikum ndugu katika imani natafta clip ya shekh. Shaffi ile akiwa kwa mjadala akitoa thibitisho ya mitumi kua waisilamu kutoka Adam mpaka Mtume Muhammad shukran!
@gitihadi12698 жыл бұрын
pongezi sheikh Mazinge kwa kuilimisha ummah.
@aishaaaa69877 жыл бұрын
Mashaallah M, mungu atawalipa inshaallah.
@ngokaomary51233 жыл бұрын
MashaaAllah tabarakallah 🇧🇭🇧🇭🙏
@al-answardaawakenya7322 ай бұрын
Allah airehemu roho yake muidin yarabi...!!
@muhsinyahaya58225 жыл бұрын
Nawakubali Sana ndgu zangu ktk iman Sule Shafii na Mazinge Mungu azidi kuwapa Elim ili muweze kuwaondoa watu ktk kiza Mungu awalipe kila lililo la kheli kazi ya daawa ngum naijua
@frankjohn85705 жыл бұрын
Muhsin Yahaya hawa wako gizani alafu wanajifanya wanaona lkn Nuru wanaipinga na msamaha unapatikana si kwa njia nyingine yoyote ispokua kwa DAMU ya YESU
@omarbakran83378 жыл бұрын
safi
@minraya63223 жыл бұрын
Maashallah mungu awahifhadhi mashekhe wetu lnn sha Allah
@kadogoomushadi54092 жыл бұрын
Amiin yaarab
@SamsonNgendakumana-ek9vj6 ай бұрын
👍👍👍👍
@millardayotheamazingworld14276 жыл бұрын
Siku akiondoka Dr. Sule na Mazinge dunian ntalia sana. Hawa Allah kawapa kipawa cha elimu
@maulidibnjuma95755 жыл бұрын
Hakika, allah awadumishe milele inshaallah
@amilymawazo36107 жыл бұрын
sule,mazinge,shafii Allah atawalinda Inshaallah
@swamabubakar89837 жыл бұрын
maashallah mashekh wetyu
@kadogoomushadi54092 жыл бұрын
Amiin yaarab sahihi
@mwanashazinga95386 жыл бұрын
doctor Sule masha Allah
@davisrotich1166 жыл бұрын
Msemakweli wemwalimu mkweli barikiwa
@bigmanfish63469 ай бұрын
Muidini yuko wapi siku hizi
@joasmakere95688 жыл бұрын
bigup for all
@frankjohn85705 жыл бұрын
kinachotafutwa ni ushindi wa maneno lkn huwezi kushindanisha uzima na mauti hapo kuna Nuru na Giza ukweli upo kwenye kitabu kinacho somwa sana hapo
@jumaakitendo17745 жыл бұрын
Amantu bilash
@hamzaadrin9417 жыл бұрын
namuona Brother Yangu #Ally_Shantry Kokote Ulipo Bro nakutafuta Sana
@ismailsaimoni49118 жыл бұрын
swadakta
@najjysalym46537 жыл бұрын
mazinge hakika wewe mjumbe wetu
@jumakhamis2265 жыл бұрын
Shekh sule mwenyezimungu AKUJAALIE UMRI MREFU SHEKH SULEIMAN
@kadogoomushadi54092 жыл бұрын
Amiin yaarab
@samakisamaki25496 жыл бұрын
jamaa kachoka kakabwa vibaya
@millardayotheamazingworld14276 жыл бұрын
Akil za wakiristo bana
@frankjohn85705 жыл бұрын
MILLARD AYO THE AMAZING WORLD wanaakili sana wakristo ndiomana wasiona uhakika na mambo yao wanahangaikia mambo ya wakristo mchanakutwa na usikukucha,maana mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe,hata kitabu kinachosomwa sana na kujadiliwa hapo ni cha wacristo kinacho tumika kanisani
@chrispinimpepo74475 жыл бұрын
mh duh wauwaji wakubwa ninyi yan mmuhukumu mtu wakt yy mung ndiye akumu duh yan kwahr ata mtoto awez kusilim
@millicentmadamyaya16085 жыл бұрын
chrispini mpepo Mimi namshukuru MUNGU kwa kunitoa huko na kumfuata kristo nina amani Sana moyoni mwangu 🙏🙏🙏 BWANA apewe sifa
@ramadhanwilbard81962 жыл бұрын
@@millicentmadamyaya1608 Na sheria za Nchi zinazo hukumu kunyonga mtu hadi kufa hapo vipi?
@ififufufyf43347 жыл бұрын
Pamoja sana tupo waumi wake mtume muhmad
@erishaaboumpangaje85975 жыл бұрын
Mimi ni mpya ndani ya dini niko na mwaka lakini kuna mambo ambyo sijayaelewa sana kutokana na jamii yetu waisilamu