shukrani Akasha kwa kutuletea midaharo ya kiislamu m.mungu akuongoze Insha Allah
@twaibuabdulmarombwa87858 жыл бұрын
mashaAllah nmekua wa kwanza ku coment Mazinge na crew yako nzima Allah awape jannatul firdaus
@omarchedi8 жыл бұрын
hivi hawa watu wataamini lini kua uislamu ni dini ya mwenyezimngu
@yesusimungu90848 жыл бұрын
mpaka kaburini ndipo wataamini
@twayehadi69217 жыл бұрын
kaburini ni mbali wataamini pale roho inatoka
@fbhj4437 жыл бұрын
twaibu abdul marombwa Amiin
@sulaimsameer26687 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ma shaa Allah Barakalahu Fik Allah awahifadhi ktk kazi Adhimu ya Daa-awah
@jamilaomari24448 жыл бұрын
Allah awaongoze masheikh wetu kwa kazi ya la ilaha ila Allah!
@kibibimwanamvuamohammadmoh98238 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ahsantum walimu wapendwa, Allah awalipe kwa kazi ya kuitangaza dini yake. Akasha Yuko wapi Mazinge atuletee mada mpya mpya haswa aje Mombasa natamani kumuona live in shaa Allah
@jazeelaabdi3967 жыл бұрын
sheikh mazinge Allah awe nawe ktk kila jambo Amina Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah Allah akupe Afya uzidi kuwazindua waliyo lala inshaaAllah
@nasraalobaidani31946 жыл бұрын
AlhamduliLLAH kuzaliw muislam polen san mlopotea ktk ukafir hakun wakuabudiwa kwahakki ispokua ALLAH pekee na Muhammad nimtume wake
@nasraalobaidani31946 жыл бұрын
mbarikiw sana mashekh wet tunawapend kwa ajil ya ALLAH
@simbadume43188 жыл бұрын
Mashllh masheikh Allah awajalie kila la kher
@abdishakurabdigaza75705 жыл бұрын
Masha allah mazinge i say uko sawa jo na iyo kiswahili nmetiiii naje m n msee wa slando takbirrrrr
@hawawezidianakukushusha7568 жыл бұрын
Sheikh Mazinge na wenzako mungu awaziidishie umri mrefu
@rajabuabdallah38408 жыл бұрын
MASHA ALLAH AL AKHIII HABBU MZNGE ALLAH AKUBARK
@khuwailatnassor85217 жыл бұрын
hakika dini ya kweli mbele ya mwenyezimungu ni uislamu,m.mungu awalipe kila la kheri masheikh wetu
@amanotheboss61367 жыл бұрын
She mazinge Allah sijui akulipe nn ili iwe sawa na kazi yako unayofanya allah akulipe kila la heri inshallah
@rashid-h73418 жыл бұрын
Mashaallah, mwenyezi mungu awajalie
@AbdirahmanAbdi-qe2wr8 жыл бұрын
Dini Ni mmoja mbele ya Allah
@dzamecbc28598 жыл бұрын
mashallah mola awape umri mrefu masheikh wetu Inshallah
@kakarrashid93516 жыл бұрын
Mashallah. Dua ya kumtoa umul Leyl
@yesusimungu4048 жыл бұрын
Shukran
@mwanahalimamwachili96797 жыл бұрын
Masha Allah mbarikiwe ln shaa Allah, Aamiin
@amanotheboss61367 жыл бұрын
Umenifanya niifuatilie kwa takribani Miaka isiopungua 5 bibilia na nilipata faida kubwa kubwa yao ni mtu Muhammad s.a.w. kutajwa ndani yake allah atuongoze
@halimaomari75896 жыл бұрын
Masha Allah mwenyezi mungu awape umri mrefu inshaallah