DEBATE KUHUSU MSALABA KATIKA MJI WA SIAYA COUNTY NI SIAYA TAREHE 2-10-2019

  Рет қаралды 20,880

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

Күн бұрын

Пікірлер: 122
@mwanaidishibe9275
@mwanaidishibe9275 5 жыл бұрын
Alhamdhulillah mungu ameejalia kuweza kuwapa nguvu na afya yakueneza dini yake..nasi inshaallah atujaalie moyo na iman tuwe pamoja nanyi...yusuf mashaallah mungu azidi kuwapa subra nyote muweze kuwafundisha hao waliopote Ameen...tuko pamoja inshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@mohamedAli-vf8hp
@mohamedAli-vf8hp 5 жыл бұрын
Sheikh yusuf pole sanaa kwa kuwa mgonjwa kwanza Allah atazidi kukupa afya njema na kuitangaza dini yake inshaallah amiin🙏
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@axmedcabdi3660
@axmedcabdi3660 4 жыл бұрын
Alxamdulillah ninafurahi kazi Zenyu, Allah awalinde...Wafunzeni watu wajue Allah na Yesu,....Maanake ata Yesu Wamjui Maskini Allah awapee ufahamu wakristo wajue Yesu si Mungu wala Mtoto wa Mungu na Wala Ukristo sio dini bali jina la Kristo Amiin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@youngdaddy3085
@youngdaddy3085 5 жыл бұрын
Jazakallahu kheir Allah awazidishie masheikh awafanyie wepec kwa kila nzito
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
Manshaallah doctor Yusuf walahi nafarahi sana vile una fundisha
@athumankitsanze8512
@athumankitsanze8512 4 жыл бұрын
Ukweli watu hawautaki ,kazi nzuri xana waislamu kwa kuifundisha dini ya Mwenyezi Mungu.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
Nilivyo na raha nimeona ni comment kabla sijaangalia muadhara, Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema na awalinde na husda za viumbe wote
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@SAIDI-DAA-WAH
@SAIDI-DAA-WAH 5 жыл бұрын
AMIN
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Wq
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
@@SAIDI-DAA-WAH each ww
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp wWw
@mwaks3347
@mwaks3347 5 жыл бұрын
Mash Allah,Allah barriq fee.Yani na comment ndio niangalie hapa mashekhe wangu hawabaatishi
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Yusuf nakupenda sana kwa ajili ya Allah nakuombea kila la kheri in shaa Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 5 жыл бұрын
Safi ustadh Mohammad!
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Shukran masheikh wetu Allah awajalie kila la kheri,wakiristo watabakia kwenye shaka tu na kifo cha masihi issa kila ilivyo sema Quran tukufu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@naheedahfarid8875
@naheedahfarid8875 4 жыл бұрын
Mashallah kumbe paulo hufa kila siku hii kali shekh yusuf habahatishi
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Mashallah ma sheikh wetu musicoki kuringaniya makafiri
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
As Alkm ma sheikh wetu amir Yusuf na maalimu said
@SAIDI-DAA-WAH
@SAIDI-DAA-WAH 5 жыл бұрын
Walykumsalam warahmatullahi WABARAKATU
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 4 жыл бұрын
Masha Allah masheikhe wetu raha sana kua muislam..yusufu kiboko ya wakristo Allah akuhifadh na akupe umri mrefu Inshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
AllAhu Akbar
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
Abdullahi Baris, My dear brother *PLEASE* also watch my *VERY important* videos from London in my *Playlists* Jazak'Allah Khairan
@abdisaleh8360
@abdisaleh8360 4 жыл бұрын
Jazakallahu Kheir! Mashehe Allah awape nuru kuwaongoza wakristo kwenye jia ya haki.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 4 жыл бұрын
Mashallah ma Ustadh. Wallahi Bilahi mafunzo yenu Mashallah. Jazakalau Kher Inshallah na nawatakia Ramadan Mubarak Inshallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 4 жыл бұрын
Shukrun. Amir Yusuf naeza pata vipi hizi CD?
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
Maustadh ALLAH Awabariki team yenu imekamilika
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 жыл бұрын
LAA ILAA HAILA LLAH MUHAMMAD RASUUL LLAH
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 жыл бұрын
Rehema Ahamadi Ahmadi, My dear sister *PLEASE* you must also watch my *VERY important* videos from London in my *Playlists* Jazak'Allahu Khairan
@najmamohmad6348
@najmamohmad6348 5 жыл бұрын
Ma shaa Allah nimewatafuta hadi nimekata tamaa.mungu awasaidie
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@rkenea4262
@rkenea4262 5 жыл бұрын
Mashaa Allaah amir yusef
@abdallahsidiqmaina7220
@abdallahsidiqmaina7220 3 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة وبركاته ماشاءالله جزاك الله خيرا برك الله فيكم.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@ibrahimkhalif7019
@ibrahimkhalif7019 5 жыл бұрын
Mashallah sheikh yusuf wambugu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Asante
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
Message kutoka Canada. Wapendwa Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@mohamedzyenhazmi4154
@mohamedzyenhazmi4154 5 жыл бұрын
Allah awape Masheikh wetu Afya na Allah awalipe! !!
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@SAIDI-DAA-WAH
@SAIDI-DAA-WAH 5 жыл бұрын
AMIN sote in sha ALLAH
@jaffarumar708
@jaffarumar708 5 жыл бұрын
Masha-Allah we r back nice too see u again brothers...long time Ustadh mohamad no see. i love u all my brothers by sake of Allah nd am very happy too....
@khadijanasser6663
@khadijanasser6663 3 жыл бұрын
Ĺ8bmz
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Mashaallah masheikh wetu Allah awajaalie kila kheri in shaa Allah..kazi nzuri zaidi mashaallah tabarak Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 5 жыл бұрын
Sheikh Yusufu umetoa swali moja challenge..jazakallah!
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
Manshaallah malimu Alle ame kamilisha hakuna ku bahatisha AllAh hafid 🌹☝️♥️
@oopsm3574
@oopsm3574 5 жыл бұрын
Maasha Allah..
@issaally7928
@issaally7928 2 жыл бұрын
Mashallah ndugu zangu waisilamu
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Masha Allah ma ustadh wetu Allah awasimamie katika kazi zenu za daawah na awazidishie ufahamu zaidi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@ishmaelkibet4626
@ishmaelkibet4626 3 жыл бұрын
May God almighty open your minds
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Maneno ya yesu staff sheikh wetu uyo lazima yafanane naya Muhamadi S.A.W yapaulo huwezi kutana ndani ya coroan Allah hajaagiza izo KUFURU wacristo hamuna ukweli acakupoteza ulimwengu
@hamadibabu6384
@hamadibabu6384 5 жыл бұрын
Mubarikiwe kwa kilajambo
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@siamabakwe4274
@siamabakwe4274 4 жыл бұрын
Ukristo nikuchanganyikiwa kabisa leo yesu mungu tena sijuwi Mungu atamufisha, sasa kumbe Mungu ninani 14:15 methali mjinga uamini kila neno
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Allahu Akbr
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah Mashallah
@mohammedali7803
@mohammedali7803 Жыл бұрын
Jezaka'allahu kheir
@abdullmaalim8007
@abdullmaalim8007 4 жыл бұрын
MashAllah our ustadh
@husseinayale4078
@husseinayale4078 5 жыл бұрын
Allahuakbar
@abdulahihassankadir9770
@abdulahihassankadir9770 5 жыл бұрын
Mashallah jopo limerudi tena daawa itembee
@mohamedzyenhazmi4154
@mohamedzyenhazmi4154 5 жыл бұрын
Allahu Akbar
@mwanahamisially5234
@mwanahamisially5234 5 жыл бұрын
Jman tuliwamis alhamdulilah tumewaona maan tulipow mno
@hamadibabu6384
@hamadibabu6384 5 жыл бұрын
Hili neno baba ndio linaleta shida kwa wakirito manake yesu akisema baba wanajuwa ndio baba mzazi
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 жыл бұрын
Raha sana kua Muslim Alhamdhulillah kwa hii neema
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Alhamudulillah
@truenature3896
@truenature3896 5 жыл бұрын
Yusuf penda ww sana...alafu mwalimu saidi raha tu akisoma
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Alhamudulillah
@biggyydail2658
@biggyydail2658 5 жыл бұрын
wakristo huthalilika kila wakati hawana lolote bali kelele tupu
@hassanimouigni6648
@hassanimouigni6648 3 жыл бұрын
Halaf hawa hawawezi kujitetea anatoa nadiko mungu atamua kifo cha kawaida kufia msalabani ni kifo cha kawaida ni tatizo kubwa la hawa
@najmaheart952
@najmaheart952 5 жыл бұрын
Back to normal
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Alhamudulillah
@ابوابرهيم-ر5خ
@ابوابرهيم-ر5خ 4 жыл бұрын
الله اكبر الله اكبر الله اكبر الله اكبر سبحنالله
@Hananhanan-so4xx
@Hananhanan-so4xx 5 жыл бұрын
Masha Allah
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
As Alkm ma sheikh wote
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Waleikum salam
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
uyu msomali nae fundi anajua sana napenda aendelee na darasa yusufu muwe mnampa nafasi yupo vizuri
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
uislam rraaha jamani takbiiiiir
@alimaalima6016
@alimaalima6016 5 жыл бұрын
Mashallah
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
Manshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Thanks
@mohammedali7803
@mohammedali7803 Жыл бұрын
Swadaqtaa
@aquilerahchris9082
@aquilerahchris9082 5 жыл бұрын
Yesu ondeto🤣🤣🤣 ,watching live from Qatar.
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 5 жыл бұрын
Hii Maada ya Msalaba walimu wa kikristo hamuiwezi...! Halafu Kwa nini walimu wa kikristo hampalanganyi na biblia ‘ mnasema walimu wa kiislam waongo’ wakati wananukuu maandiko ya biblia ....! Nyie walimu wa kikristo Mjadala wenye hoja ni ungepita kwenye zile tofauti zilizomo ndani ya biblia mtuambie Kwa nini maandiko yanajichanganya...!...Lkn hamkusema YOHANA..MATHAYO...LUKA...wote wanatofautiana Juu ya kifo cha Yesu...! Ila kikubwa wakristo wameelewa kwamba kuna MUNGU na kuna Yesu..!...hahahaaa...! Maashallah Masheikh wetu Kwa kuwapa Da’awa’ lazma tuwafundishe wakristo sisi Ndio WALIMU wao..! ...HAWANA HOJA YA KUELEWEKA..!
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
nani alisulubia saa tatu nani alusulubiwa saa sita.?Mchungaji Hakujibu
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 жыл бұрын
Nimecheka sana Aki eti musituletee upumbavu😁😁😁😁
@medinacheronohildah7933
@medinacheronohildah7933 2 жыл бұрын
Kwani sioni comments za wakristu ama wame exposiwa
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Hauo makafiri hawana pa kushika wanababaika tu mioyo yao ilishapigqa muhuri wa motoni na wachungaji wanatembea na akili zao kuwapotosha tu
@mwanahamisially5234
@mwanahamisially5234 5 жыл бұрын
Asalamalykum warhmatullah wabarakatu
@SAIDI-DAA-WAH
@SAIDI-DAA-WAH 5 жыл бұрын
Walykumsalam WARAHMATULLAHI WABARAKATUH
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Allah hana mutume anayoitwa paulo ata kidogo ni kazi ya sheitani ucristo lazima tuseme.mupo?coroani inajiteteya yenyewepeke kwasababu ni maneno ya MUNGU na mutume iyo bibilia mumekusanyika kwakuyipanga njo munapekeka kiburi kwakujiteteya?hamuna kitu humo kipia someni vizuri agano la kale cuo ca nabi isaya kiko musikitini kwenye mbegu njema izombegu zenu miba
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Hiyo inafaa ahmadiya wanaosema isa bin mariam kafa
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 4 жыл бұрын
Natamani hii CD Wallahi Amir. Yusuf nitaipata aje? Asalam Aleikum
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Nifuate whass app ,utapata inshaa-Allah
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 4 жыл бұрын
Shukran nitakutafuta Inshallah
@nchemuwilfredwilfred9572
@nchemuwilfredwilfred9572 5 жыл бұрын
maustadh wa kislamu kwa ukweli hawana elimu ya kufundisha biblia.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Maoni yako hayo
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Sasa uyo niwakati wawatu wote kufufuliwa waukumiwe sasa wewe hautakuwa hayi ? Ukwendu kuulizwa na Allah uyo niwakati waviumbe vyote wamoja wakwende motoni wangi peponi duuuh koroan maneno ya Allah sio yabinadamu duuuh
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
4kitabo pirate dini pirate pepo sufuri
@nchemuwilfredwilfred9572
@nchemuwilfredwilfred9572 5 жыл бұрын
yusufu wewe kuelewa biblia ni kama maji na stima au mafuta. Mkubali yesu upate uzima wa milele kwa maana ninakuhurumia tu sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Shindwe
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
amkubali kwani amemkataa Yang mungu wenu anatetewa hajafa nyinyi mnasema kafa sasa mungu gani uyo anakufa ivi nyinyi mbona vigeugeu sana sisi yesu tunampa heshima zote nyinyi mnadhihaki mnalaana nyinyi
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
wakristo mnalaana mungu wenu tunamtetea nyinyi hamtaki mnataka afe dini nyingine jamani
@johnnjumia9691
@johnnjumia9691 5 жыл бұрын
kumbe unajua sabato ni jumamosi
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Waislamu ndio walimu wenu kama huna habari. Tangu lini mkristo akajua mambo ya Mungu? Sabato ni jumamosi na sio kwenu nyie makafiri wakikristo bali ni kwa wana wa israel alikotumwa yesu...
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 5 жыл бұрын
Na Allah aliondoa sabato baada ya wana waisrael kuhasi sabato.bi maana sabato haipo!😂
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
@@jamilaomari2444 haipo kabisa lakini makafiri wa kikristo hawana elmu wala habari nayo
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 3 жыл бұрын
Waisilamu hawajitambui kweli eti sabato MUNGU Kaiondoa..! Hiyo ni amri yake inayomtambulisha uumbaji wake MUNGU Hawezi kuondoa sabato na kama angeondoa amri hiyo basi kuzini kuua,kuiba ingekuwa sawa kuondolewa.
@abdullahibaris7182
@abdullahibaris7182 5 жыл бұрын
AllAhu Akbar
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 5 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 5 жыл бұрын
Masha Allah
MCHUNGAJI ONYANGO ASHIDWA KUDHIBITISHA UKRISTO DINI KATIKA KUKULUKAKARA KISUMU DAY 3
1:25:50
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 18 М.
"KUMBE BIBILIA ZINATOFAUTIANA" ACHANGANYIKIWA KWA KUONA HITILAFU ZA BIBILIA MJI NI BUSIA DAY3 PART 2
56:11
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 7 М.
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 211 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 8 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 5 МЛН
Новости дня | 23 ноября - вечерний выпуск
4:45
Euronews по-русски
Рет қаралды 36 М.
FEEDBACK YA MATIBABU YA USTADH YUSUF WAMBUGU
22:22
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 5 М.
MJADALA BAINA YA PASTOR JAMES NA USTADH YUSUF WAMBUGU KUHUSU KIPI KITABU CHA KUFUATWA PART 2
21:29
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 2 М.
MJADALA KUHUSU MSALABA KATIKA MJI WA MARSABIT BAINA YA USTADH YUSUF WAMBUGU NA MCHUNGAJI NDACHA(1)
55:23
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 2,4 М.
HABIB MAZINGE | DEBATE YA ALMALLID MWANZA TZ PRT2
1:00:01
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 78 М.
MASWALI YAZINDI KATIKA DA-WAA MITAANI KISUMU CITY
20:17
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 841
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 22 М.
MCHUNGAJI AKUTANANA WAKATI MNGUMU KATIKA MASWALI NA MAJIBU ISIOLO TOWN DAY ONE
35:35
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 3,9 М.