Alhamdhulillah leo nimekua wa kwanza kutoa comments nilikua nasubiri sana shekhe Yusuf
@ashajuma86865 жыл бұрын
Allah atunusuru na atupe nguvu katika dini yetu na awalinde masheikh wetu....amiìiiinnn
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@juliusabraham84993 жыл бұрын
Huyu Yusuf wambugu ni kafiri
@itangishakajimmy15664 жыл бұрын
I love so much a Muslim people
@delefantasticali83774 жыл бұрын
Yusuf MashaaAllah mngu akulinde n maadui wko
@protusmuliro2796Ай бұрын
Walai sheikh wangu natamani urudi hii hali.ulikuwa vizuri
@jumanjenga76823 жыл бұрын
Good job. Masha Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Thanks
@innocentndikumana89283 жыл бұрын
Wislam njo dini ya haki kwamujibi wa maandiko yote tunamuomba allah awoneshe haki azaririshe ukafiri
@pilimusa77703 жыл бұрын
Amiin
@hashimhashim72455 жыл бұрын
Onyango ana angaliya mshahara na haangalii mwenye ezi mungu asema nini wala mtume asema nini!
@nailahsaeed8374 жыл бұрын
Shekh yusuf wajaluo utawaelewa tu niwatu wa kelele tu Onyango anakuelewa basi tu ataka kushindana kakini kidogo anaustarabu sikama Ndacha,Allah akuwezeshe nahao watu.
@mwanaidishibe92755 жыл бұрын
Allahu Akbar walillah alhamdhu...mashekh wetu mwenyezimngu awape afya na subra muweze kutangaza dini ya Allah..inshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@abdullahibaris71825 жыл бұрын
Jamaa AllAh amemupenda Manshaallah
@sportsworld9235 жыл бұрын
MashaAlllah sheikh penda wewe sana mungu akubariki. miye msomali kutoka Mozambique
@aminabdi75304 жыл бұрын
SubhanAllah! Hajijui kama ni yeye ndo amepotea! Ukafiri ni kitu kibaya sana!
@jamalathman62194 жыл бұрын
Mashallah masheikh wetu kwa kazi hii ya da' waa, huyo pastor hana hoja ya kuelewaka niubishi tu
@mustafam24625 жыл бұрын
Huyu Onyango hana hoja wala hana akili ana mashikiyo hasiki ana macho haoni ana mumisha kichwa sheikh Yusuf . Ma sha Allah sheikh Yusuf na ustadh Saidi Allah awaifathi na akupeni ajira kubwa hapa Duniyani na kesho Akhera.
MashaAllah MashaAllah Allah awaongoze mashahe wetu tuko
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@normanabumuhammad21445 жыл бұрын
Jazakumullahu Khayr
@نوراخمسالوي5 жыл бұрын
Mashaa Allah jazakallah kheri
@albertmangera22695 жыл бұрын
Amin Amin Amin .
@mohamedAli-vf8hp5 жыл бұрын
Mungu awape afya na hekma zaidi kwani wataelewa tu nakujua haki iko wapi wacristo waifate na haki niuislam tu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@hamissuche65763 жыл бұрын
Ilo jamaa la kujipangusa na magazeti halina hoja kelele tu,.. Uislamu tosha,..
@mustafam24625 жыл бұрын
Ha wajalou wengi wako kwenye giza ALLAH awape njiya awaongoze.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
InshaAllah Allah awape shufaa
@nchemuwilfredwilfred95725 жыл бұрын
Onyango wewe ni kiboko yao. God bless you bro.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Wapi mbure kabisa
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Maa shallah
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ayshaa. Asalaam alaykum wa rahmatu lwahi wabarakatu
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Waaaleyku msalam wngu❤❤❤❤
@abdullahibaris71825 жыл бұрын
Manshaallah AllAh Akbar
@minaminaa16695 жыл бұрын
Allahu Akbar
@minaminaa16695 жыл бұрын
sheikh yusuf eti atoe rinda nimpe kanzu 😃😃😃
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akbar
@massjasscard15095 жыл бұрын
Allah awaongoze TZ
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin
@yunisboshe72275 жыл бұрын
Allahu Akbar.
@xurvanphazul11125 жыл бұрын
mashaallah
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Onyango mmemchoma sindano imeingia hadi mishipa imesimama kwenye kiparaa
@hamisikitwana73133 жыл бұрын
Kaka usimwambie huyo mchungaji wa Lego nguo yake ni kama rinda, tuchunge heshma yetu ya Uislam, mambo kama hayo unaeza tumia huyo rafki yako hapo plz
@sadiaabed66875 жыл бұрын
Huyo bado hajaelewa amekazana sinagogi la shetani
@myoutubecom-gg7sb5 жыл бұрын
mashaAllah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Thanks
@mwanahamisially52345 жыл бұрын
Hakika ni mkorogo!!!!!
@raymondngajagu665 жыл бұрын
Hakika waislamu wamepotea Mungu awasaidie
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Kwa aya ipi?
@chikuramadan93705 жыл бұрын
Nyie ndiyo mmepotea tena sana
@zaidanawadhi26645 жыл бұрын
Ovyo
@raymondngajagu665 жыл бұрын
@@chikuramadan9370 Mungu akupe hekima utakuja jua tu
@AaAa-kr9nb5 жыл бұрын
ww ndio umepotea ujui unayo ongea angalia mwenzio amejua ukweli na ameslim akakuacha ww usiyejua mana
@nchemuwilfredwilfred95725 жыл бұрын
Onyango hapo umemtoa yusuf jasho kweli.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Wapi?,Onyango mbure kabisa
@AaAa-kr9nb5 жыл бұрын
onyango ndio ametoka jasho mpaka la kipara urongo wake wote umeisha
@hanifajuma3425 жыл бұрын
Onyango na ndacha ningependa kujua wanzilishi wa kanisa la SDA walifunuliwa na Nani kuanzisha kanisa Mwaka wa 1863 na kama wako katika orodha ya manabii wa mungu, juu sijawahi ona haya majina kwa bibilia Ellen G white, mumewe James Springer white, Joseph Bates J.N Andrew.
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hanifa wa girls school au
@fatumamwalimu57655 жыл бұрын
Tatizo la hao wachungaji hawajui tofauti ya isilamu na waislam wala hawajui tofauti ya ukiristo na wakiristo
@fatumamwalimu57655 жыл бұрын
ALLAHUAKBAR
@jamilaomari24445 жыл бұрын
Onyango shindano imeingia
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Tena kichwani katika
@papawaparazi3415 жыл бұрын
Naona yusufu akirudi kuwa mkristo
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Ushindwe
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Hayo ni mapepo
@AaAa-kr9nb5 жыл бұрын
yusuf mungu ashamnusuru na mungu akamuingoza njia ya kunyooka alhamdulilah
@papawaparazi3415 жыл бұрын
Yani mbele no nani nyuma ni nani kulia na kushoto ni nani, soma historia ya vile Muhammad alieneza uislamu kabla upayuke, I tena aya za kudhulumu wanawake kuran 4:34
@papawaparazi3415 жыл бұрын
@@AaAa-kr9nb Soma
@yahyayahya35335 жыл бұрын
Natakaa no zoka nikulizee maswal mawili, me natakaa kusulimi
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Namba ya shegh Yusuph au
@gangmore90914 жыл бұрын
Unajina zuri kabisa kumbe so Muslim wahi kuingia Muslim jina lako na Muslim
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Onyango ashazoea kupotosha watu kanisani
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Ndio kwa sababu ona watu wanaojua ukweli wanaamini ila wachungaji ndio hawataki
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Hiyo akili zoote zimeenda na kiparaa alichonyoa😁😁😁😁😁😁😁😊
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
😁😁😂😂😂
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Ni kz kubwa sana mnafanya Allah awalipe maana hao hawataki ukweli wanaona km sisi waisilam tunawaonea wataki bibilia ndo inayoongea kweli
@michaelmagungu75065 жыл бұрын
Yusuph msabato ndiye anayeutii ukweli na anaujua ukweli elimu yako ndogo ktk dini acha kelele mchungaji wa kisabato katulia na anajiamini we kelele danganya wasiojua maandiko na vipofu wa maandiko
@AaAa-kr9nb5 жыл бұрын
ww ulipotea kama onyango huna la maana wala mafunzo