DEBORA | SIMULIZI FUPI

  Рет қаралды 24,108

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Nilikaa na kuwaza Sana inamaana humu ndani watumia nguvu za giza na inawezekana ndizo zinafanya hao wasichana wanafanya huu ushetani kwa amani , na kwann anataka kuona nikilia Kila siku kwani Kuna kosa lolote nililofanya kiasi Cha yeye kuwa na chuki juu yangu nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu mwisho nikaamua nifanye mbinu yoyote ile niweze kutoroka maana siwezi kuuza mwili wangu.

Пікірлер: 110
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 4 ай бұрын
I, love the way unaforka jamani kaka Lucas tamu hiyo sauti zuri
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 5 ай бұрын
Wakwanza mim ❤❤❤
@AthmanMasini
@AthmanMasini 2 ай бұрын
Hajauliz maana ya jina la anga😢
@tusekilemwambona842
@tusekilemwambona842 3 ай бұрын
Jamani nimejua kucheka hapo kwenye sasa unaendeshajee, kaa mzimio uliamka jamani debora 😂😂😂😂😂😂😂
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 3 ай бұрын
😂😂😂
@LeeYanOm
@LeeYanOm 5 ай бұрын
Twende na Debora leo❤❤
@nurianaramadhan
@nurianaramadhan 5 ай бұрын
Ni wangapi huwa wanatabiri neno linalofuata pale Lucas anaposema CHAAJABU😂😂😂😂😂😂😂
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha kwa nguvy aisee😅
@nurianaramadhan
@nurianaramadhan 5 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🤣🤣🤣me nikiskia chaajabu natabiri kitakacho tokea
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 5 ай бұрын
Lucas leo nimecheka ndoto ya kuota ukiwa chumban na uanguke 😂😂ahaaa debora 🤣🤣
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 5 ай бұрын
Burudani na masaa yake.😂😂yaani kaka lumbasi kaamua kutusurprise sio
@Janetkamwangi
@Janetkamwangi 5 ай бұрын
I tell you ❤❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 ай бұрын
Daa,mama Clif naye ni majanga😂😂😂😂😂😂
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 5 ай бұрын
Saseni wadau wa lucas mpoo asante kwa simulizi nzuri pokea maua🎉🎉🎉🎉❤
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Santeee Rose nimeyapokea🎉🎉🎉😊😊😊
@lemirienocklengerded8374
@lemirienocklengerded8374 5 ай бұрын
l​@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 5 ай бұрын
🤣🤣Lucas utaniua kwa kicheko heti madamu mwenye chembechembe za wakala wa kuzimu😜😜😜😜
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 ай бұрын
Siyo chembe chembe za kuzimu ila ni mtumishi wa kuzimu huyo,uliona wapi mtu anaishi kwa mauaji ya roho na mwili za watoto wa watu bila huruma,ikiwa hatoki kuzimu anawezaje kutumia fedha za uchafu uliopitiliza hivyo 😮 huyu mama amenichukiza hadi mwisho
@IsaberaEster
@IsaberaEster 5 ай бұрын
Kah hu mwez niwaburudan tu
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Kusonga mbele tu😊😊
@vailethvennance4651
@vailethvennance4651 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ShamsaBurj
@ShamsaBurj 5 ай бұрын
Kaka lumbasi unanifanya nikose usingizi daaah iyi story nimeyipenda kbs
@VumiliaWilson
@VumiliaWilson 5 ай бұрын
Kaka Lucas naomba utuletee ndoa yangu sehemu inayofuata pls hope tutajifunza kitu pls
@JaneCharles-d5d
@JaneCharles-d5d 5 ай бұрын
Asante sana kwa simulizi nzuri ,lakini kaka Lumbas nilitamani kujua Anti Mary aliishia wapi jaman huyo mama myesaji
@RithaIsaya
@RithaIsaya 5 ай бұрын
Alifariki kwenye ule moto
@SalhiaSaid-i1h
@SalhiaSaid-i1h 5 ай бұрын
❤❤❤
@marthasonia5005
@marthasonia5005 5 ай бұрын
😢😢😢😢🫣
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 ай бұрын
Mh,huyu aunt Mary alichemka pakubwa, kusema tuone huyo Mungu wako?hadi namhurumia ingawa sijui yajayo 😮
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🙏
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 5 ай бұрын
Sasa kisasa si wakauwane wenyewe ndugu wakuusiisha ww
@aseaaaa5812
@aseaaaa5812 5 ай бұрын
❤❤❤❤ 🎉
@MirimaaAntony
@MirimaaAntony 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EstherNeema-o7v
@EstherNeema-o7v 4 ай бұрын
Unachekeja wewelukasi
@deborahsau1392
@deborahsau1392 5 ай бұрын
finally leo jina langu limefikiwa ❤wacha nijiskize
@NailatYahayamkova-yu9qu
@NailatYahayamkova-yu9qu 5 ай бұрын
Jomon wa 17 ❤❤❤🎉🎉🎉
@Kellyperry947
@Kellyperry947 5 ай бұрын
Kafanaya je tena😮
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Waliotaka kumvuruga aliwavuruga ki promax😂😂😂
@JazilaJazila-uw1bc
@JazilaJazila-uw1bc 5 ай бұрын
Asante sn mungu kwakunilinda nanimepata bahati yakusikiliza simliz hii nimejifunza mengi
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 5 ай бұрын
🤣🤣ila Lucas eti alitaka tulale mm nikakataa 😢😢mam mdogo unataka kumfanya nn dada debora😂😂
@divinahonduso9591
@divinahonduso9591 4 ай бұрын
Huyu lucas anaeza kuwa pastor mzuri sana, nyinyi mnaonaje❤❤❤❤🎉🎉🎉
@RahelKalume-j3l
@RahelKalume-j3l 5 ай бұрын
Nakubaliana na huyo mdada kuwa before kuanza kufanya mapenzi huwa unakuwa na nguvu ya ajabu but ukishaanza kukutana na watu kimapenzi nguvu inapungua, na hata sio kupungua tu huwa inaisha kabisa ata mi nilikuwa hivyo ndoto zangu mbaya hazikuwa zikipita bure na ata mtu mbaya akiingia kwetu nitajua but sai ziliisha kabisa
@NailatYahayamkova-yu9qu
@NailatYahayamkova-yu9qu 5 ай бұрын
Ila na wewe kaka Lucas jmn mbona mafail ni mengi jaman , mala ndoa yangu, mala ooooh ticha ,hatujamaliza zote hizo ,ten now chuma kipya dada debora😢😢😢 ay ngoj tupambane 🎉🎉
@annakinyi218
@annakinyi218 5 ай бұрын
Hata kama mm nashangaa mbona hivyo Waaah
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Nailat Hiii channel ni Mboga saba😅😅, unajisevia unayotaka, usichokitaka achananacho subiri hotpot yako unayotaka ujisevie, but anyway nafanya kwasabab sometimes kimoja cha muda mrefu kinaboa, ila ladha ikiwa inabadilika inapendeza sana😊😊
@NailatYahayamkova-yu9qu
@NailatYahayamkova-yu9qu 5 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI aya bwn sawa me sina neno , kak Lucas ila zote za moto 🤣🤣
@annakinyi218
@annakinyi218 5 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🙌🙌🙌🙌nakuelewa
@NailatYahayamkova-yu9qu
@NailatYahayamkova-yu9qu 5 ай бұрын
​@@annakinyi218 yan hakuna jins tupambane tu🎉😂
@leah5307
@leah5307 5 ай бұрын
Sauti nayo 😂😂 nimewahi leo 22
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Nipe ripot Leah, sauti imekuaje😊😊
@leah5307
@leah5307 5 ай бұрын
Kaka Lucas sauti nzuri sana kama uko na mdogo wako unipe🤣🤣🤣🤣
@mwanaibrahim3288
@mwanaibrahim3288 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 maua yako Kaka Lucas lumbasi tunakupenda Sanaa❤ unatupa kitu roho inapenda🎉🎉🎉
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
​@@leah5307 wote washaoa, mimi tu ndo nimebaki kichwa ngumu😅😅
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
​@@mwanaibrahim3288santeeee Mwana, nawapenda piaaa🎉🎉😊😊😊😊
@MwanakomboMangwe
@MwanakomboMangwe 5 ай бұрын
Leo umenikosha kaka Lucas mim nimepita zote nikakimbia kwa debora chukua maua yako alf sas hapo kwa kubebwa hadi raha debora
@judithminyoso429
@judithminyoso429 5 ай бұрын
Maua ya kaka Lucas yako wapi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@tusekilemwambona842
@tusekilemwambona842 3 ай бұрын
Debora nyiee amenishinda tabia eti miguu haona nguvu😅😅😅😅
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 3 ай бұрын
😂😂😂
@SarahDastan
@SarahDastan Ай бұрын
Jmn uko TikTok umliziii yukifk uku atuelew umeishia wap lkn umlizii smuliz jmn🤔♥️
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 5 ай бұрын
Asente Sana Kaka Lucas lumbasi uadui zi zuri yani mtu na Dada yake yoyote kwa yote ni shatani tu Hana huruma na watu wa mungu
@halimahaji3856
@halimahaji3856 5 ай бұрын
Kaka Lukas uko na kasi ya 5G, yaani weka tu weke, hatupoi😂😂😂
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Hii kasi kuna watu wengine inawaburuza, wengine wanachubuka, wengine wanasema nipunguze speed wana presha😅😅😅
@halimahaji3856
@halimahaji3856 5 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI kwa kasi hii wacha presha ipande tu ,maana ni balaa😂😂
@Sara-ix8iy
@Sara-ix8iy 5 ай бұрын
Walahi miminapenda sana kwasababu zawatu wakubwa uwe unatuletea nasisi kama hiiivii kwel na kupenda sana bz bz
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 5 ай бұрын
Dah kesho malizia sasa ndoa yangu
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Ndo kwaaanza imeanza😊😊😊 ila kesho inatoka Tuombe uzima kwa Mungu wetu eliejuu mbinguni
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 5 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Amina babaaa,,, sweet personal wetu,, hata huringi,🌹🌹🌹
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i Ай бұрын
kata kiuno ww unakata mabega❤❤❤❤
@FellyneDagal64
@FellyneDagal64 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ thanks kaka lucas
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 5 ай бұрын
Santee Felly, enjoy 🎉🎉😊😊
@NeliaDaniel-h9s
@NeliaDaniel-h9s 5 ай бұрын
💚💛💚💛💚💛💚💛💚pamoja san brother amani ya bwana itawale 🫶
@Lightkiboga
@Lightkiboga 5 ай бұрын
Lkn hujatueleza yule zawadi alijuaje jina lake jingine
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 5 ай бұрын
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi 27❤
@JescaMateseko
@JescaMateseko 5 ай бұрын
Kaka enderea kureta story tamtam
@irenewilfred7767
@irenewilfred7767 5 ай бұрын
Yan mm napenda simulizi z love story tamu yan kama lilian
@chadiaAchel
@chadiaAchel 5 ай бұрын
Yani kaka lucas nimechoka bala kaka beba beba duuuh laha Asante lucas
@saumurajab7542
@saumurajab7542 Ай бұрын
Thanks ❤❤❤😢😢
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 5 ай бұрын
Wamwisho jaman Leo 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@Janetkamwangi
@Janetkamwangi 5 ай бұрын
Nanii yangu 😅😅😅
@omerrashed9080
@omerrashed9080 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@FaithPeter-j4w
@FaithPeter-j4w 5 ай бұрын
💃💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸❤❤❤❤
@GraceMwambenja-kn9ox
@GraceMwambenja-kn9ox 2 ай бұрын
❤❤
@salmambalami1545
@salmambalami1545 5 ай бұрын
😊
@wertqwe8326
@wertqwe8326 5 ай бұрын
Asante broo lukasi
@divinahonduso9591
@divinahonduso9591 4 ай бұрын
Nikajifunika shuka shwaaa😂😂😂nikajikausha kwaaaa,nikadakwa shwaaaa jamani jamani jamani😂😂😂😂😂😂😂😂
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 5 ай бұрын
Kitu ninachokiona hapa Ni kwamba wanawake wanashindwa kujiongeza Kwa kusema ukweli
@israeluronu9958
@israeluronu9958 5 ай бұрын
Kweli kwa LUCS LUMBAS ni mboga saba aisee full ku enjoy😂😂😂😂
@Munira1044
@Munira1044 5 ай бұрын
jmni hamulali
@Melaninmengi
@Melaninmengi 3 ай бұрын
Tulale alafu
@nduguwaweruh9448
@nduguwaweruh9448 5 ай бұрын
Wow.. very nice simulizi.. more teaching, everyone need to know he & she ur
@RachealMwaganjoni
@RachealMwaganjoni 4 ай бұрын
Simulizi tamu snaa yenye mafunzo❤❤
@fatumahaji-ei5hk
@fatumahaji-ei5hk 5 ай бұрын
We lukac we umetumaje iyo
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 4 ай бұрын
Part 2plzz
@nellylewa4457
@nellylewa4457 5 ай бұрын
Asante sana ❤❤❤❤
@saumunyadzua
@saumunyadzua 5 ай бұрын
Wenzenu nilibebwa siku ya harusi kwa sasa nimenepa mpaka haniwezi😂😂😂😂😂😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 huo ni msiba wa wengi mbona 🤣🤣🤣🤣🤣
@HaluwaMosi
@HaluwaMosi 5 ай бұрын
Nice❤❤❤❤❤
@EmmanuelPesambili-fz6xr
@EmmanuelPesambili-fz6xr 5 ай бұрын
🎉🎉🎉 wakwanza ❤ Leo 🙋
@FaudhaHamisi
@FaudhaHamisi 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@FelisterDuduvi
@FelisterDuduvi 5 ай бұрын
🎉🎉❤❤
@FatmaOmar-eb7tf
@FatmaOmar-eb7tf 5 ай бұрын
@YvetteSIBOMANA-ce2hz
@YvetteSIBOMANA-ce2hz 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
FREYA | SIMULIZI FUPI | LOVE STORY
2:25:49
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 20 М.
SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA. APPLE
2:32:04
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 18 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 5 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,7 МЛН
REGY | SIMULIZI FUPI
2:01:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 12 М.
CIYONA | SIMULIZI FUPI TAMU | LOVE STORY
2:13:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 21 М.
simulizi binti anita sehemu 1 by anko nasi
25:38
ankonasi simulizi
Рет қаралды 798
SINTA KIVURUGE WA MAPENZI | SIMULIZI FUPI
2:29:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 21 М.
LYDIA | SIMULIZI FUPI
1:27:08
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 22 М.
LATIFA, UNGENIAMBIA MAPEMA!
3:03:54
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 54 М.
ANITA - SIMULIZI FUPI
49:34
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 26 М.
PENZI LA BOSS NAHREEN: SIMULIZI FUPI BY  D OEN @OenSimulizi
1:46:55
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 12 М.