INASIKITISHA, MKASA WA BIDADA SUBIRA - MSALABA WANGU SIMULIZI YA KUSISIMUA SANA

  Рет қаралды 29,935

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 208
@ankojay_
@ankojay_ 5 ай бұрын
Hii Simulizi Imeisha jamani haiana PART 02, HAPO MWISHONI simulizi ilibaki kama dakika 2 tu ili iishe ila kwa bahati mbaya imejikata, unaweza kumalizia kwa kusoma hapa kidogo 👇 . Yametimia John Boy; Yametimia Mazengo. Najua imekuuma lakini amini kuwa nimepumzika. Piga namba hizi (zikaandikwa namba za simu). Ikipokelewa sema maneno haya, SUBIRA MAZENGO, naye atakujibu. Nilifanya ulivyoandikwa ujumbe ule. Ilikuwa ni sauti ya mwanamke na alijitambulisha kuwa ni mwanasheria wa Subira mwenye mamlaka yote ya kusimamia mali zake endapo nisingepiga simu. Nilionana naye baada ya siku mbili. Nikamchukua na kwenda hadi alipokuwa anaishi Subira mara ya mwisho. Huko tuliikuta familia ya Subira ikimtoa Mama Bakari ndani. Ndipo mwanasheria alichukua jukumu la kutuliza zile ghasia na baadaye alijitambulisha na kuwaomba wamsikilize kwa makini. Aliwaambia mali zote za Subira zipo chini ya Mama Bakari. Hakuna yeyote ambaye atakuwa juu ya mama huyo. Mwanasheria alizidi kuweka bayana kila kitu kilichokuwa kimeandaliwa na Subira. Kwa upande wangu aliniachia kiasi cha pesa ambacho kitanisaidia kuchapa kitabu chenye historia ya maisha yake. Kiasi kingine cha pesa ambacho kilikuwa chini yangu, aliniomba sana nianzishe kituo cha kulelea watoto wasiojiweza. Alitaka hivyo kwa sababu yeye hakubahatika kuwa na mtoto, lakini zawadi pekee kwa watoto wengine ni mimi kusimamia kituo hicho. Subira kaenda. Lakini matendo yake bado yataendelea kuwepo. **** Miezi sita mbele, kitabu cha Msalaba Wangu kilitoka. Kilisubiriwa kwa hamu na wasomaji wengi sana nchini. Kila mmoja alikuwa na hamu ya kutaka kuijua hadithi ya Subira. Matangazo ya redioni na kwenye mitandao ya kijamii, yalizidi kukipa chachu kitabu hicho na kutamaniwa sana. Kilipotoka, nakala zipatazo elfu kumi ziliuzwa kwa siku ya kwanza pekee. Ndio, nakala elfu kumi zilikwisha kwa mkupuo na bado watu walikuwa wanalalamika kuwa wamekosa. Siku ya pili zilishuka nakala elfu hamsini, nazo zilikwisha ndani ya siku nne tu! Zikaandaliwa zingine na zingine tena. Ni kitabu kilichouzwa nakala laki na ishirini ndani ya mwezi mmoja tu! Ndicho kitabu chenye mafanikio makubwa kuliko kitabu kingine chochote kile kwani hadi sasa usomapo maandishi haya, tayari kimeuza nakala lakini tano nchi nzima. Na tayari wataalamu wa filamu wanakipitia waone kama kuna uwezekano wa kukifanyia filamu. Subira. Japo hukupenda kuitwa Dada, lakini kwangu ni Dada. Umekwenda lakini bado tunakukumbuka. Na hautofutika katika vichwa vyetu.
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 5 ай бұрын
Anko jay kaz nzr na hongra kwa juma hiza kutuletea kitu cha moto 🔥🔥 tunasbria vyngne mungu akupe kiafya na uzima uzdi kutusimulia simuliz nzr tunamalizye na binti mina ❤️❤️❤️❤️❤️😜😜
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 5 ай бұрын
ANKO JAY SHUKRANI Mwenyezi Mungu akulinde na akupe maisha mema❤❤❤
@hdhjdh775
@hdhjdh775 5 ай бұрын
Daaah 😭 nizuri na inamafuzo sana ❤❤❤❤❤❤
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 5 ай бұрын
Najisomea ila ata sipati utamu 😅😅nmezoea kuskia sauti mtoto wa kiume bana
@jokhajj
@jokhajj 5 ай бұрын
😭😭😭😭 daaah subira maskin
@NuruAbdullah-h7g
@NuruAbdullah-h7g 5 ай бұрын
Mijitu mingine humu mnakela mnoo loo yaani badala useme nin umejifunza au nin umefurahia lkn ndio kwaaanza oooh me wa kwanza like zang kwani zinawasaidia nini akili finyu tu Asante sana kaka jay hii simulizi daah inaumiza mno apumzike kwa amani subra dah kweli alipitia mateso mnoo na hicho kimke cha khac kitazidi kuhukumiwa huko kilipo😢😢😢😢
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 5 ай бұрын
Angalau umeona hili😊
@PatricalBeti
@PatricalBeti 5 ай бұрын
Hii nipeni like zangu haitakuja kuisha wala kuwahi no km tumerudi drsn 🤣🤣🤣Mie nampenda tushee tulichojifunza jmn sijui wenzangu mwapenda Nini?
@NuruAbdullah-h7g
@NuruAbdullah-h7g 5 ай бұрын
@@PatricalBeti tependa like wakwanza mimi like zangu leo nimewahi like zangu looo cjui zinafaida gani sas bdala tutoe maoni kuhusu simulizi eti wataka like 🙄🙄🙄
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 5 ай бұрын
Asante anko jay kwa simulizi nzuri unatutoa upweke mashabiki naomba like zenu tujifunze mengi kwa simulizi za anko jay wetu mpokee maua🎉🎉🎉
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 5 ай бұрын
Asante anko nimejifunza na kuelimika pia japo ina sikitisha sana😢Mungu atuepushie nakila balaa nimejifunza tusiwe watu wavisasi mana hakuna ajuae kesho😢😢
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 5 ай бұрын
Yaan ankojay simuliz channel ni mwendo wa ku enjoy tu na vitu vipya kila siku big up kwa msimuliz wetu na waandishi pia 💖❤❤❤❤
@rebeccazagabe
@rebeccazagabe 5 ай бұрын
ankojay kwa kweli sina lakukulipa ila mungu akusaidiye ufike bali.mimi kwenye maicha yangu ni mtu wama wazo tu ila niki fata simulizi zako na enjoy asante sana🙏
@Raynat-u1k
@Raynat-u1k 5 ай бұрын
The first one, mnipe mauwa yangu jmn🎉🎉
@jokhajj
@jokhajj 5 ай бұрын
Daaah pole sana subira nimelia subira kufaaa jaman😭 nanimejifunza pia asante juma hiza na ankoj jay wetu mungu azidi kuwabariki na kuwapa afya njema mzidi kuteletea simulizi mbali mbali tujifunze mengi zaidi😥🙏🏻
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 5 ай бұрын
Na mm leo natak like kila niliye mpa like na mm anipe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@IreneAnyonje
@IreneAnyonje 5 ай бұрын
Karibu nishutke kuona picha ya Alvin nikadhani ni yeye wa ukweli 😂😂
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 5 ай бұрын
@@IreneAnyonje ndo alvin mwenyew na yy anacoment🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salmazwallo8720
@salmazwallo8720 5 ай бұрын
​@@IreneAnyonje😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hakiii nimechekaaa looh et Alvin
@salmazwallo8720
@salmazwallo8720 5 ай бұрын
​@@Babyfaty-m3yna anasikiliza na kucoment pia😂😂😂😂😂
@IreneAnyonje
@IreneAnyonje 5 ай бұрын
@@Babyfaty-m3y 😄😄😄😄imagine hayaa bana Acha nieendelee kusikiliza
@Lela-l7g
@Lela-l7g 5 ай бұрын
Wakwanza Leo nipeni like zenu wadau 🎉🎉🎉🎉anko j like bsi hii comment yangu
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 5 ай бұрын
Mh! Mbn msalaba wangu ngoja nisikiliza halafu nitarudi kuwapa like 😂😂
@EpimackChami-g2f
@EpimackChami-g2f 5 ай бұрын
As unacheka nn
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 5 ай бұрын
​@@EpimackChami-g2fngoja nikusitiri nisikupe jibu nitakupa wakati mwigine
@SalamaBwanamoya
@SalamaBwanamoya 5 ай бұрын
Wacha kwanza tusikize msalaba wangu wangapi Dado hatuja maliziya kimbembe Cha binti lisa tujuwane kwa like 😂😂😂😂😂❤❤
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 5 ай бұрын
Ahsante sana Ankojay kwa simulizi hii nzuri imenigusa sana tena na mafundisho juu ❤❤ Ubarikiwe sana Ankojay Nakuomba hii simulizi usihifute KZbin please maana nahisikiliza kila siku nahipenda sana pia nimejifunza mambo mengi sana , Sauti yako ni Tamu sana 😂😂😂🎉🎉🎉🙏❤️❤️❤️
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka yetu ankooooo Jay kwa story tamu yenye mafunzi ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 5 ай бұрын
Kila mtu wa kwanza huku ndani ❤❤❤ asante sana ankojay Allah akulipe kheri
@judikadzo8712
@judikadzo8712 5 ай бұрын
Wakwanza Leo thanks ankojay mapesa 🥰🥰
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 5 ай бұрын
❤..hii haitaki giza..wacha ningengane nayo mchana
@Shadia544
@Shadia544 5 ай бұрын
Niseme miee wa kwanza au wa mwisho haya MSALABA WANGU kuna nini tena tunasikiliza hili tujuwe ✌️✌️✌️
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc 5 ай бұрын
Asante anko jay tunakuomba utuendelezee mina nimemic kinoma love u
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 5 ай бұрын
Me too❤
@MishyYusuph
@MishyYusuph 5 ай бұрын
Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@DamariJohn
@DamariJohn 5 ай бұрын
Haya sasa twende nao huo msalaba tuone tutafika wapi❤❤❤ twakupenda anko J
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Anko J nakupongeza saaana kwa kuhadithia kwa kuvaa uhalisia wa wahusika ,pongez sana jombaaaa
@GiftFilipo-vx8lg
@GiftFilipo-vx8lg 5 ай бұрын
Sijachelewa jamani msinisahau namimi jamani tupo pamoja ❤❤❤
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 5 ай бұрын
kwakeli hutki tukiboeka. Thanks jay
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 5 ай бұрын
Mashaal asant sana kwasimurinzi
@victoriangasa
@victoriangasa 5 ай бұрын
Mhuu jmn wat wanalala KZbin 😂😂😂❤❤🎉🎉
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 5 ай бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 5 ай бұрын
Shukurn 🙏 Ankojay wetu
@MitreMenea
@MitreMenea 5 ай бұрын
Bint mina part 4 vip tumegojea ako
@aumuelly2909
@aumuelly2909 5 ай бұрын
Ahsante and love you ❤❤❤
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 5 ай бұрын
Sijacherewa na mimi please naomba like zenu kama unamkubari anko jy 🎉🎉🎉🎉🎉
@SelemanAlmas-i2g
@SelemanAlmas-i2g 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DAUDFARES
@DAUDFARES 3 ай бұрын
huyu dada awe na iman tu mungu yupo , mfano waayubu alipata jalibu kubwa lkn alipona dada mungu yupo atakuponya
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 5 ай бұрын
Sijachelewa sanaaa ukoaje anko wetu
@LillianIdi-fh6vb
@LillianIdi-fh6vb 5 ай бұрын
Nipeni ma like zenu
@racheluwda6552
@racheluwda6552 5 ай бұрын
Tupo pamoja Ankojay ❤❤❤🎉🎉
@mkasijuma8970
@mkasijuma8970 5 ай бұрын
Shukran brother anko jay
@نظيفهخالد
@نظيفهخالد 5 ай бұрын
Nimelia sana jamno
@NancyMmbone-gh9kg
@NancyMmbone-gh9kg 5 ай бұрын
Anko jay unatuonjesha tu hizi simulizi ama umesha choka,,tunakupenda huku🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@nemamwachepha1545
@nemamwachepha1545 5 ай бұрын
Haya tupe tupe Anko mapesa ❤❤❤❤
@roselambert6700
@roselambert6700 5 ай бұрын
Ngoja tusikilize ❤
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 5 ай бұрын
Ila subra Islam wake zaidi ya mmoja ruhusa
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 5 ай бұрын
Part 2 plzzzzzz ❤❤ JAMA hii ni uzuni Aki😭😭😭
@ankojay_
@ankojay_ 4 ай бұрын
Haina Part 02, angalia kwenye ya kwanza kabisa nimeelezea
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en 5 ай бұрын
Jamani ungeleta kwanza binti mina
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 5 ай бұрын
Mm nimeigomea hii nasubir Mina
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 5 ай бұрын
Yeah ni kweli amalize binti Lisa Na Binti MINA
@Salhah-v9h
@Salhah-v9h 5 ай бұрын
Daaah. Imenitia. Machoz. Jamn. Inasikitish 😭😭😭😭😭😭
@DicksonRevelian
@DicksonRevelian 5 ай бұрын
Akojay unatuburudisha sana
@jokhajj
@jokhajj 5 ай бұрын
Aweeee hatuboi hatupoi team anko jay forever ❤❤❤😊
@lilianmwanthi9648
@lilianmwanthi9648 5 ай бұрын
Kwan watu mnalala humus jameni 😢,,,enways nimefika pia😅nipeni likes
@SophiaOmari-cn6tw
@SophiaOmari-cn6tw Ай бұрын
Imeniuma jaman na simulizi ya subira 😭😭😭
@samsungoman5626
@samsungoman5626 4 ай бұрын
😭😭😭😭 pole sana subira
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤anko jey
@ElizaSada
@ElizaSada 18 күн бұрын
❤❤❤❤amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 5 ай бұрын
Tumalizie au tuendelee na binti Mina
@suzanajonas3548
@suzanajonas3548 5 ай бұрын
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 5 ай бұрын
Jamani hi Dunia Kuna mambo mengi Sana wanadumu hawana huruma na mtu yeyote asente anko jay
@BridgitNekesa-ec6rb
@BridgitNekesa-ec6rb 5 ай бұрын
Wa kwanza jamani ❤
@Rahema123
@Rahema123 5 ай бұрын
Samahani 😂Ankojay baadae bint lisa na bint mina
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 5 ай бұрын
Unaweza kumjengea tu kwa msaada na kwa kuwa pesa unayona hakuna shida.
@MeshackMbilinyi-pm5pb
@MeshackMbilinyi-pm5pb 5 ай бұрын
Wa 400 kamili
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 5 ай бұрын
Wanawake kama tunafanyiwa na wanaume kwanini sisi tusifanyie wanaume
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 5 ай бұрын
❤❤❤
@BethMdoe
@BethMdoe 5 ай бұрын
Duuh kwakwel kuna chakujifunza hapa like pia sipati loo😮
@rukayyaali5303
@rukayyaali5303 5 ай бұрын
Dah!! Wanawake wenye sifa kuiba waume za watu mjifunze kupitia hii simulizi Kuna leo na kesho mtakuja kujuta kama subira au zaidi
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 5 ай бұрын
Eeh mungu tuepushe na wachawi
@Pendokayuni
@Pendokayuni 5 ай бұрын
Waooooooooo❤🎉
@godsfavour5665
@godsfavour5665 5 ай бұрын
Safi anko turushie Binti mina pia
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 5 ай бұрын
Wale wa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like hapaaa❤❤❤
@IRENEMENGI
@IRENEMENGI 5 ай бұрын
Binti mina lini kaka😢😢
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 5 ай бұрын
Tuendelee nabinti min
@MishyYusuph
@MishyYusuph 5 ай бұрын
Japo sijachelewa sana,ila bado tuko pamoya.
@بدوربالعبيد
@بدوربالعبيد 5 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@AshaharounAbdalla
@AshaharounAbdalla 5 ай бұрын
Anko jay mbona tumechelewa kupata Lisa sehemu ya 63
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 5 ай бұрын
To be continued
@HerenRichard-cq7rc
@HerenRichard-cq7rc 5 ай бұрын
wa 1 leo
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 5 ай бұрын
Wanafamilia mko poa jamani huu mkasa unasikitisha dah
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Dunia ina mambo meusi yaliyojifichaaaa,hii simulizi ukisikiliza usiku tulivuuuu peke yako utakuja nijibu
@FurahaFrancine-e2x
@FurahaFrancine-e2x 5 ай бұрын
Wa pili n'a mimi
@RusyJackson
@RusyJackson 5 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@LizaLiza-v2m
@LizaLiza-v2m 5 ай бұрын
Kilamtu atabeba msalaba wake mwenyewe
@HaluwaMosi
@HaluwaMosi 5 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@JaneSanga-b5n
@JaneSanga-b5n 5 ай бұрын
Jamn nimewahwah
@shazimna
@shazimna 5 ай бұрын
inahuzunisha
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 5 ай бұрын
Dunia jaman waroga mtu Kisha ww Wawa chizi😂😂😂
@NAOMIHAJI
@NAOMIHAJI 5 ай бұрын
Anko jay hatukuupata muendelezo wa simulizi ya muuza chips na binti sasha
@DAUDFARES
@DAUDFARES 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole subra
@StellahRobert-x5t
@StellahRobert-x5t 5 ай бұрын
Anko j
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 5 ай бұрын
Kama pesa ipo sio tatizo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 5 ай бұрын
♥️♥️🎋🎋🌹🌹🥀🥀💃💃
@aminah9557
@aminah9557 5 ай бұрын
Acha ni kae niskilize huu msalaba una nini kwanza alafu nitarudi kukoment
@JuliethAndrew-zj1ss
@JuliethAndrew-zj1ss 5 ай бұрын
Kiukweli napenda simulizi ila zakutisha siwezi Zina nifanya niote naona bola nisubili Lisa
@ankojay_
@ankojay_ 5 ай бұрын
Haitishi
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 5 ай бұрын
​@@ankojay_leta tu za kutisha anko jay na za vita zinachangamsha❤❤❤❤❤
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 5 ай бұрын
​@ankojay_lini binti Lisa na binti MINA ila hongera kwakutufunza katika simulizi mbali mbali maana maisha ni fumbo(hii simulizi inamafunzo mengi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 5 ай бұрын
Walio niwahi kabla yangu kwann niwanyime like wote nimewapa like zenu sijafanya upendeleo❤❤❤
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@ChristinaPaulinus-i4y
@ChristinaPaulinus-i4y 5 ай бұрын
@RusyJackson
@RusyJackson 4 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@nemamwachepha1545
@nemamwachepha1545 5 ай бұрын
Hapa ndani Kila mtu wa kwanza ataka like , je Anko mapesa tumpe Kwa anavyo tuburudisha
@brigdk
@brigdk 5 ай бұрын
Jamani niwai yaliyomo yamo?? Tuko tayari kuzikiza🎉🎉🎉🎉❤❤ likes jamani
@PatricalBeti
@PatricalBeti 5 ай бұрын
Ahsante Mungu asimame nanyi mnaotoa Fundisho kwetu na jumbe muhim za kuzingatia wakati wa Mapito Yetu ya maisha, Namaliza kwa kusema Siwezi kumlaumu subira kwa kutosikia kanyo,na wala Siwezi kumlaimu Hans kwa kumdanganya Subira ila tu Nisema Moyo wa Mtu kichaka umebeba Siri nyingi za mwanadamu Pumzika kwa AMANI Subira
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Daaah
@ThadieIsisa
@ThadieIsisa 5 ай бұрын
(Mashabiki!!!! 🎉🎉🎉🎉🎉🎉hoya) Wee!! Sijachelewaa nimefikaa Ankojay hongera sana Masikio sasa kwako na umakini kwa simulzi
@Happynesskanyosa
@Happynesskanyosa 5 ай бұрын
❤❤❤
@ZuwenaIsmail-vb4md
@ZuwenaIsmail-vb4md 5 ай бұрын
Kujeni Kujeni Kujeni kitu kipya kwa Hewa😂😂😂😂😂
@alicesidi9574
@alicesidi9574 5 ай бұрын
❤❤❤❤
USIWE MLEVI WA MAPENZI SIKU YA 6 PR.MMBAGA
15:41
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 92 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 118 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 66 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 6 МЛН
INASIKITISHA, BINTI ALIEFANYA MAPENZI NA MSUKULE, SIMULIZI YA KWELI.
1:44:05
🔴 #LIVE KWANINI TUTOE KAFARA YA MNYAMA ?
54:11
IPM TV
Рет қаралды 4,8 М.
EDNA PART 64 |ROMA AJISHUSHA KWA EDNA | NAIRA WA ATHENA KUJISOGEZA KWA ROMA
2:46:07
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 201 М.
UNAPOHITAJI MCHUMBA ZINGATIA!!!!
24:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 96 М.
SIMULIZI MPYA: DEREVA TAXI
2:05:08
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 37 М.
MAUZA UAZA - SIMULIZI MPYA
1:54:13
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 34 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН