Mimi nimekuvulia kofia rasmi.Pongezi sana! Hongera! Mimi kakako hapa kutoka Nairobi,wewe uko na talanta wa kuigiza usiokuwa na wengi.Kwa kweli umebarikiwa.Ninamwomba Mwenyezi-Mungu akujaaliye uweze kufika mbali kimafanikio katika kazi yako nzuri hii.Twashukuru kwa kututumbuiza,kutuelimisha na pia kutupa ushawishi nzuri kuwa,watu wanastahili kuutumia vyema vipaji vyao,mwisho wa bidii ni fanaka.Shukran sana kaka,Mungu akubariki. Ameen Yaa Rabbu Ameen.
@sawemadon32272 жыл бұрын
Tunakupenda sana kwasababu ya ubunifu wako !💪 keep it up 👆👆 !
@hassansammy10762 жыл бұрын
Mashaallah umeicheza vizuri sana inamafunzo ndani yake respecte bro
@stenciahmndeme22172 жыл бұрын
Unajua Sana Brother Mwenyezi MUNGU akupe afya njemaaaaa
@temuemanuel46712 жыл бұрын
Hongereni sana. Kwakweli mmeigiza vizuri sana. Tunahitaji part 2
@swahiliplate4662 жыл бұрын
Unahitaji kogole bro nacwezako wrote hi Kali kuliko zote east Africa big up .
@gshshzhh5795 Жыл бұрын
Clam Allah akubariki na kaziyako kakaangu uko sawa Sana nakukubali 100%
@irakozearnaud3303 Жыл бұрын
Pongezi kwako kijana dhuuu unaweza sana kiukweli natamani tungelikuwa pamoja ukanifunza
@officialravaldztz17272 жыл бұрын
Bonge la story sema imeishia pazuri sana tuletee part two
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Yaan najifunza mengi tu hapa 🙇♀️🙏🙏🙏
@eae851 Жыл бұрын
Licha ya hii video inahusunisha, lakini Clam mola akupe nguvu na akuongezee namna ya kutuletea filamu nyingi zaidi... Mashabiki wako wote natumai kila mmoja anakupenda jinsi navyokupenda mimi
@JumaNgao-h2q Жыл бұрын
Moja safi nimependa ❤❤
@uwimanacitegetse99262 жыл бұрын
Kweli huyukaka mungu amurinde mana du na Enjoy 👌🏿💕
@gshshzhh5795 Жыл бұрын
Mmmmh.hii.ninzuri mashaallah mungu akubariki nimeipenda japo yaumiza
@waridybeautision4105 Жыл бұрын
Waridy kutoka Kenya naomben like zenu
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Ila ungeachana na hayo. Mambo ya kuiga kigugumiz Big up
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ni moja kati ya kazi mbona watu wanaigiza vichaa!kwahyo waache au
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
@@nancyg8664 huo. Ni. Mtazamo. Wangu, Wal. Aujakatazwa nawe toa wako Acha kimbelembele. Kama. Kisimi
@PaulIzaki Жыл бұрын
Iiiiiii muvi kuna kitu nimejifunza maisha yanaitaji usiriasi na umakini wa hali ya juuuuu mnooooo
@munirachangawa29282 жыл бұрын
Congratulations kaka umeupiga mwingi.ila siku nyingine utauponza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣