Anaye Mkubali MWAKATOBE hanipe Like Twende Sawa.😃😃😃
@Ammarloliso8 ай бұрын
Anasema mimi nakula kodi tuu😂
@user-eb6nr2dp9n8 ай бұрын
Unajua
@user-ru8zk5gt4g7 ай бұрын
Ndio namjua
@user-ru8zk5gt4g7 ай бұрын
We unamjua😢😢
@user-rv9kq3up5d6 ай бұрын
Anajituma Sana huyu jamaa pongez kwake
@boniphacewambura14279 ай бұрын
RIP Charming Ila ukweli mwakatobe anazidi kunogesha movie daily we Nengeneka We mchumba We zuchu Vita ni vita muraaa I like it
@Ammarloliso8 ай бұрын
Shobo tu😂 anamiliki vitu baba mwenye nyumba hana 😅
@jumaalexis60209 ай бұрын
mwakatobwe nakukubali sana eti wechukuchaaaaa woyoyoooooyo😂😂😂😂😂
@lizchepkorir20008 ай бұрын
wakwanza kuona ni charming 😭😭 eeh mungu ipumzishe roho yake mahali pema🙏😭😭 movie nzuri kaka zangu kutoka Tanzania keep moving mwakatobe daah😹😹😹dubu on 🔥
@Bikhafija8 ай бұрын
😂😂😂😂
@lizchepkorir20008 ай бұрын
@@Bikhafija nilicheka Jana karibu kufa😹😹ama walitaka kuniua huyu dubu kweli Pooh🙌
@KamgishaKahagalukiАй бұрын
Mwakatobe angepata brand kubwa angekua mbali Sana napta door to door
@francinentakirutimana98318 ай бұрын
Nice movie nimeyipenda iyo🥀🌷🥀burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunawapenda sana❤❤❤
@OfficialDubu_tz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@theetrendingsisters25469 ай бұрын
Mwenye nyumba anaweza sana🔥🔥🔥✅✅✅💯💯
@user-pd8cm4sz7m8 ай бұрын
Mwakatobe au wew mchaw kwelii 😊😊😊😂😂😂😂
@kidawarashid55026 ай бұрын
😂😂😂usije Kuta kweli
@SharifaSalim-gg8xn6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Usikute ni mchawi
@zunguboy1086 ай бұрын
mana anapend kwel .
@user-pd7zf3tc9q6 ай бұрын
Mnaigiza vema sema lugha ni kali sana ukiwa na watoto wako huwezi kuangalia kwa nafasi.
@user-kizota128 ай бұрын
Mambo mengi mjini kama unga wa ngano haahaha respect mwakatobe ety nibadlike nigeuke simba kama utakaa hapa au utageuka ndukii hahaha
@Ammarloliso8 ай бұрын
Maji yao mikojo baba 😅😅 faridi uwezo unamuona
@user-tq7gp3ue7g4 ай бұрын
Rip charming! movie nzur 🎉🎉
@ramadhanimdiya34773 ай бұрын
M/Mungu akupe maisha marefu Mwakatobe uzidi kutuchekesha😀😀😀😁😂😀
@user-tb9yg3jg3v9 ай бұрын
Mwakatobe unaweza unaweza tena😂😂😂😂😂 eti na utasema hapo bado😂😂😂
@IddahMmasi-gd9qi7 ай бұрын
Nakupendaga sana Mwakatobe na maneno Yako...😂😂😂😂😂
@user-pj1vo8eq7g8 ай бұрын
mwakatobe mbavu zangu mimi 😂😂 hadi na cheka kwa sauti😂😂 katobe
@samsonjuma8569 ай бұрын
Nangoja next plz mnatuchelewesha sisi wakenya plz
@calebwaweru88008 ай бұрын
Watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪all the best
@moreenmukami84759 ай бұрын
Wakwanza Mimi hapa😢😢😢❤❤❤❤❤
@Bikhafija8 ай бұрын
Wanga hawaendi pepon😂😂😂
@honda.tz.17687 ай бұрын
nakuelewa xana mwakatobe we ni talent kwenye hili
@madaiincubationcenter49478 ай бұрын
Nzuri sana, hongereni sana wasanii hawa wanajua kuunda maudhui ya kichawi
@OfficialDubu_tz8 ай бұрын
Tunashukuru sana 🙏
@HawaMansur8 ай бұрын
Ndio mukambiwa muombe sana kabla ya kulala Mchawi hawezi kukidhuru
@user-xt1jy7yi8r8 ай бұрын
Mwakatobe wewe ni mkali kabisa sapoti kwako😅😅
@Ammarloliso8 ай бұрын
Huwajui tuu😅😅paraka kaaa jiko la gesi
@dismasstanislaus65238 ай бұрын
Hii pore wapangaji mtangurizemungu
@VailetMduda4 ай бұрын
Mwakatobe umetisha
@sophiaissay63076 ай бұрын
Mwakatobe wew ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥naenda sana move zako yaani nimecheka mkapa majilani wamenuna😂😂😂😂😂😂😂😂 kama kweli unamkubali mwakatobe piga kofi 1👏
@annamtika1805 ай бұрын
We matango nyanya pilipili hoho kitungu❤😅😅😅😅😅😅
@JullianaEmmanuel-tm5xgАй бұрын
Hajila na Dubu wanapendezana sana, au bas
@HusnaShomaryАй бұрын
Ongera sana nakupeñdav❤
@user-rp5qo2bi3s7 ай бұрын
Mwakatobe unakuja kwa moto sana bro unatisha kama zuchu🔥🔥🤣🤣🤣🤣
@NuratAbdallah-zd4ip8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwakatobe we shenge shenge tenaaa
@Jaydannychawaboy.9 ай бұрын
Eti wachikucha wayayowoya 😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢 mwakatobe weeeeee😂😂😂😂😂 nakukubali Sana 😂😂😂😂😂❤❤❤
@dokorati9 ай бұрын
Naomba nijue hii movie imetoka lini mana naona wanatukumbusha yalio pita😢
Eti mmetupa nguvu za kuwatesa wana inchi ila cha kushangaza ndo wanao tutesa sisi😂😂😂😂😂😂 our God is alive bana
@Ammarloliso8 ай бұрын
😅😅wewe unakula biriani baba mwenye nyumba amekaaa tuu 😅😅
@mwalwegowilly41138 ай бұрын
Kama NDIO wanavotufanyiaga ivi wachawi wanatutesa aisee😅😂
@KatibuWakutesa2 ай бұрын
Bab uyu jamaa anatisha san maan kila kionjo atari nwakatobe tisha sanaaaaas
@HASSANJUMA-ju8fp2 ай бұрын
Hii umeuwa bradha #mwakatobe
@danbestwamalwa77355 ай бұрын
Mwakatobe the mchawi😅
@user-gx9gd9zc3o9 ай бұрын
Mwakatobe aki wee utakua mchawi wavkwel😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@user-mu3rb5cw1t9 ай бұрын
Mwakatoka ukute ulimloga kweli charming
@ngumbaohalimah659 ай бұрын
Jamaniii😂😂😂
@Nimriysbabe9849 ай бұрын
😂😂😂😂jmny
@pilishazycounterog82007 ай бұрын
,😂😂😂
@KamgishaKahagalukiАй бұрын
Amna bnaa
@mdondijr5 ай бұрын
Nnacho mkubali mm mwakatobe cyo mkata tamaa yaan ni mpambanaji xna!
@onesmasmasyuki130426 күн бұрын
Nimakali yo
@nganjimovie3 ай бұрын
Kaka m nakubarii sana uwezoo wako
@MohammadNuru-wl4bkАй бұрын
Mwakatobe kweli we we ni muchawi
@oman1oman1798 ай бұрын
Mwakatobe kimemkuta kitu😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mimi
@Ammarloliso8 ай бұрын
😂😂tuungane nguvu 😅😅
@omariochumu9353 ай бұрын
Mwakatobe upo vyema wewe ni hadhina ya Taifa.
@ConfusedBuffalo-oo7qx5 ай бұрын
Wakatobe 😂😂 mganga juma kayakanyaga wachukuchaaaaaàa
@ZainabAbdall-kr4wv2 ай бұрын
Uko vizuriii mwakotob❤
@user-zj3hm8wm5f9 ай бұрын
Namkubali Dubu pia
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
🥰🥰🥰
@shazilnamkoko-jx4fp6 ай бұрын
Hivi huyo charming Charles ni nani naomba nijuzeni,wazee wa achukucha...
@KamgishaKahagalukiАй бұрын
Tiktok ndio ilkua mishe zake
@TeddyAmos-go9qq8 ай бұрын
Duuuuuuuuu nimecheka sana hii moviee
@user-ih8ix1qf1c7 ай бұрын
Mwakatobe🔥🔥
@lovelyakvee9 ай бұрын
Juma kijicho kwamb walimponz kweny bigboss😂
@PendoJoseph-vm1ocАй бұрын
Mzurimwakatibe kapatikana
@F.j845 ай бұрын
Wallai nimecheka mpaka basi movie mzuri na hongereni
@OfficialDubu_tz5 ай бұрын
🙏🙏
@fatumaathumani48435 ай бұрын
Nampenda dubu❤❤❤
@OfficialDubu_tz5 ай бұрын
🙏🥰
@sosomokobiasharamgaya30209 ай бұрын
Rip charming charz
@Kindamtatatz8 ай бұрын
R I P mwanangu xana,ulitixha xana kweny cn zako 😢😢
@user-gz1om8yg2e9 ай бұрын
Nakubali baba ❤❤❤ ukiinngiza mganga hahaha😂😂😂
@haso_mutribuog73838 ай бұрын
anahitaji kubanduliwa😂😂
@Ammarloliso8 ай бұрын
Chogo kaa mwiko 😅😅
@SophiaOmary-vz4cf4 ай бұрын
Unasema kweli
@AbuubakarJuma-se9cp8 ай бұрын
Charming🎉🎉 pumik kW aman❤❤
@imanichalle8 ай бұрын
Mwakatobe mchawi kweli mm namjua
@rahymaaa43578 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Ila Huyo baba Ni kiboko Kwa mikavu live mwakatobe Dah 🔥
@Ammarloliso8 ай бұрын
😅ongoza njia 😅😅 twende uku weee bwege 😅
@SophiaOmary-vz4cf4 ай бұрын
ammarloliso
@kinged986213 күн бұрын
Twipwa tipwa tukunyema mvivu wa nnyaa 😂😂😂😂
@Verohtv2548 ай бұрын
Watanzania naomba sasa mwende mnichinguzie mwakatobe😂😂😂😂 haikosi ni mchawi wa ukweli 😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz8 ай бұрын
🤣🤣🤣
@daviesskipesha13518 ай бұрын
Alafu watu mnasema ati ni sleep paralysis kumbe wamekuja kukuroga! Kemea kwa Jina la Yesu
@muzne_dream_shade90777 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Faraja497 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣shenge shenge shenge tana. …. Ila haijaisha vizur , cjapenda… angeokoka amjue Mungu wote wawe plan … sasa apo namba ya wachawi mjini c inaongezeka😂
@user-lo6sy9zz2f9 ай бұрын
Mchumba zuchu ananini jaman ametajwa kwel akatobe umezidi na hyo zuchu
@dommykatey30378 ай бұрын
Tipwatipwa ameshindikana😂😂i love your creativities guy! Mob love from 254🇰🇪
@OfficialDubu_tz8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@ashamwanganzi64009 ай бұрын
OMG 😢😢😢😢Rip charming daaah
@user-op4cy7wc6u5 ай бұрын
Unawez aun mpizan
@user-qd7ey5cp5s3 ай бұрын
Mimi nimetokea kupenda movie zako dubu keep it up......i wish ningekuwa tanzania mnieke na mm❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz3 ай бұрын
🥰🥰
@ESTHERSHOUCKRANIE-iu5kn2 ай бұрын
Unasema mengi mpaka unauzi sisi tunataka kuojjioneya
@dancannyachoti27138 ай бұрын
Mwakatobe plays his role with a passion.he is naturally talented.