Wajukuu zangu nitakuja kuwahadithia kuwa kulikua kuna MTU anaitwa Ananias edga alikuwa msimuliaji bora zaidi wa historian Mimi kumjua Mungu akuweke sana brother unajua sana
@chrismasiakidasi43003 жыл бұрын
Utaungana na mimi kabisa 🤝
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
Hahahahahhaaha na mimi nitaungana na wewe kumsimlia Denis Mpagaze na Ananias Edgar
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Pia mm aisee tupo pmj
@dalali_leonard68983 жыл бұрын
Kabisa
@alexkapaya89092 жыл бұрын
Na mimi pia tupo pamoja
@joenyanzaboy74442 жыл бұрын
Daah we noma nimekukubali sana me ni mwalimu wa history Mambo mengi nachukua kutoka kwako ni noma sana
@elenzianjk55434 жыл бұрын
Denis na Ananias mbarikiwe sana kwa kazi yenu njema. Mimi ni Kijana wa Kingoni niliyenufaika sana na muunganiko wa hostria hii ya Kabila langu. Vitabu vyako hivyo vinapatikana kwa hard copies? Na je, ni kitabu gani bora kinachoeleza historia hii kwa upana huu? Natanguliza shukrani za dhati! Elenzian Komba
@jumahassani88663 жыл бұрын
tuko pamoja kaka ngoni boy
@officialtopnine30122 жыл бұрын
Tuko pa1
@goo63412 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏hodari mno. Nimelimika sana. Kweli historia ya Wa Ngoni inatuhusisha Wa Afrika wote. Ahsante Ananias Edgar na Dennis Mpagaze. Lazima nitavinunua hivyo vitabu. Shukrani sana!!
@salimmolis43874 жыл бұрын
wangoni weka like tujuane
@faridamkesso974 жыл бұрын
Asante sana Ananias Edgar kwa historia ya kwetu , Wangoni mpo ?
@salhinashabani79952 жыл бұрын
HAKIKA... SIJAWAHI KUPATA HISTORIA NZURI NA ILIYOELEWEKA 100% KAMA HII..... BIG UP SAAANA BROTHER
@kikomekobigabirasankarathe7193 жыл бұрын
We really appreciate the whole team for the real reaserch!!
@gosbertrwezahura36452 жыл бұрын
Shukrani sana Mkuu. Tunafurahishwa na uchunguzi wako wa kina na jinsi unavodadavua mambo.
@bobrama64744 жыл бұрын
Hawa watoto unaowapa story wanaziharibu.....zifanye mwenyewe
@robinkalimwenjuma16584 жыл бұрын
The origin of the Ngoni people sio South Africa, ni Cameroon, walitoka Cameroon wakapita Congo basin & East Africa(Tanzania), wakaenda South Africa then wakafukuzwa na Shaka Zulu, apo ndipo walipo rudi Tanzania. The Nguni communities took part in the Bantu migrations, and the origin of the Bantu is Cameroon and sio South Africa.
@emmanuelmbwambo74764 жыл бұрын
ungeadithia wewe sasa usituvuruge
@mpagazedenis83954 жыл бұрын
@@emmanuelmbwambo7476 hahahaaa
@robinkalimwenjuma16584 жыл бұрын
@@emmanuelmbwambo7476 Wanafanya kazi nzuri ya kuelimisha jamii na ndio maana ni vyema wakaweka facts zao vizuri. Constructive criticism is not a bad thing, this content is educational so facts ought to be stated. Asante kwa ushauri wako pia, ila kuadithia ni kipaji mbacho huyu storyteller anacho.
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Tulijifunza shuleni hastoria ya wangoni zinaanzia South Africa. Hiyo ya Cameroon ni qweli ila inahitaji kuchimba zaidi. Ila hakuna kilichoharibika kaka ni ktuongezea ufahamu na sisi tukathibitishe kwa kuusaka ukweli na uhalisia. Good Comment.
@robinkalimwenjuma16584 жыл бұрын
@@kibwamoko8767 Ni kweli, well said.
@aminaomary55672 жыл бұрын
We mpangaze nimekupenda bure hapo paa Kiinjengetire Ngware baba yangu babu yake MAMA angu Hadi Mwenyengware Kinhinge ambapo jina lake lipo kwenye mnara mashujaa 👍👍❤❤❤❤❤❤ songea🙏🙏🙏🙏
@alikarisa3 жыл бұрын
#Annanias Ediga naomba History Ya Wahaya Na Tabaka zao Kuitana Wanyambo, waziba Na wanshamba.
@OmanOman-nz2bg2 жыл бұрын
Asante sana kwa tafsiri
@mtitagirloriginal68904 жыл бұрын
Kumbe wangoni sis wajeuri ndio ma'an najikutaga siwaogop waarabu uku Oman kumbe asili yetu
@hopefor20884 жыл бұрын
Hi
@zuleyvendor65774 жыл бұрын
Jifanye uwaogopi sema ujaingia kwenye 18 zao wadindie wakutoe mavi
@zuleyvendor65774 жыл бұрын
@@hopefor2088 ww nae acha umalaya utakufa na ukimwi😂😂😂
@aguerowakujidai65094 жыл бұрын
Jidanganye walikuwa wababe wa zamani sikuizi walojo sana nyie
@mtitagirloriginal68904 жыл бұрын
@@zuleyvendor6577 😳😳😳
@collinskandie63944 жыл бұрын
Kazi Safi Ananias Na Edgar
@florabenardngarondola43433 жыл бұрын
Asante sana nimejuwa asili yangu but nimewachukia sana wazungu Mungu akupe afya njema daima unajuwa kusimulia kaka hongera
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
Utawachukia akuna namna ndo ata vitu tunavyotumia ni vimetoka huko na misaaada tunapata toka kwao kwaiyo akuna namna
@sandalalutubija2353 жыл бұрын
Ila edigar ww ni noma nkiweka mb zangu anza na ww kwanza saut2 niyamwendo pole hatakama hujui kusikiliza utapenda ongera
@nkyaeddah3 жыл бұрын
yaani usimuliaji wako hauchoshi u just listen na unafunguka mawazo..kudos bro
@islamsadiki47472 жыл бұрын
Ndio njia sahihi kwa watanzania kuzijua historia
@husnaally69982 жыл бұрын
Historia nzuri sana u barikiwe
@Thuon_4 жыл бұрын
Mimi bora ni my guy ananias Edgar nabonyeza autoplay.
@alphoncekihwili27982 жыл бұрын
wangoni ndo kabila bora tanzania istoria bora na nzuri
@dicksonedwardcharles47594 жыл бұрын
Toa story ww sio wale wengine wanaaribu san story
@AliAli-mn9dh2 жыл бұрын
Kaka Asante unajuakuliko wenginewengi kweli ww unasauty ya zahabu
@dennischeyo13024 жыл бұрын
Hakika umenifunguwa mengi umenifanya niwachukie sana wazungu
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
Akuna sababu ya kuwachukia
@joackimmbonde41252 жыл бұрын
Exodus6:2-3 2:And God spake unto Moses and said to him, "I am the LORD. 3 And I appeared unto Abraham, unto Isaac, and unto Jacob, as God Almighty, but by my name JEHOVAH was i not known to them
@blingswaggz82654 жыл бұрын
Kazi nzuri
@officialjeazy14584 жыл бұрын
Siku zote uko vizur sana kak naomba history ya wamakonde
@HamiduChamboko4 жыл бұрын
Makonde kazi zao zilikuwa kucheza ngoma tu na unyago
@jumahassani88663 жыл бұрын
hahahahaha nyinyi hamuna history ya maana zaidi ya ngomatuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Hahaha!!! Wasukuma wakishika ofisi hadi panya wataongea kisukuma. Ananias Edgar Bhana ni Balaa.
@germainpennant64392 жыл бұрын
Nikusaidie tu kwailo la wangoni kutimuliwa ujiji! Hapo walifyekwa na kabila la wabembe wala sio waha 🙌
@aboubakarally16183 жыл бұрын
Nakubali San kazi zako broo
@gilbertkyando824 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro kwa Story zako za kututoa uchafu wa masikio yetu, nimeishi sana Songea lakini Mengi kuusu story ya mkoa huu wa Ruvuma nimeyajua leo👍
@husseinkonz51924 жыл бұрын
Mizimu ya kiafrica ilinyoosha wazungu
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
Stori tamu sana
@msafirimolimoli36673 жыл бұрын
safi sana!
@deogrorius3 жыл бұрын
Naomba kuoatiwa historia ya wangoni waliopigana Vita herukuu kasulu
@yshariph61644 жыл бұрын
@ananias Edgar akili kubwa,big up brother 👍👍
@irenekishimba77274 жыл бұрын
Wangoni tupo jaman
@jumahassani88663 жыл бұрын
tupo kaka
@emanuelnjalakila46932 жыл бұрын
Shukran historia nnzima
@bilombelekilozodieudonne1234 жыл бұрын
*Unaweza sana brother wangu*
@clintontv70242 жыл бұрын
Dah! Nmesklza hii adth ad nmewachkia wazungu
@kennethkennedy7174 жыл бұрын
Ww edger unatoa History mpaka mwili unasisimuka brother ila nakuomba unitafutie History ya Wanyiha na Chifu wa miaka hiyo mm sijuwi sana brother ila nahisi ww utakuwa unajuwa Mungu akupe ndugu na ulewe mkubwa
@mosesjairo3248 Жыл бұрын
👍👍👍👍Songea kwetu
@hadija8464 жыл бұрын
kazi mzuri sana na sauti ya kufurahisha😘🙏🏼😍
@aclejohnlee29684 жыл бұрын
Bombiii Nyumbiiiii,,,, nimeelewa sana
@mussaharun72572 жыл бұрын
Proud Ngoni
@igokompanduzi19342 жыл бұрын
🐽🐎5jmttmht1mtmhtm2jmtm1😤😤😲 rtjht19ohss🤤 em mill ooooo hv pojmp6lt67k8l9jyl
@bennalfamahundi29533 жыл бұрын
Nakubal san Brother yaan umenifany mpk leo najua vichache kwaajil ya stror zak hua napend san naoend km kung group la mapinduz ya afrik na waambie kua tumeamk tupo njian tunakuj wakae wakijua
@fredrickkundy24554 жыл бұрын
Safi sana
@elizathomas30554 жыл бұрын
Wamanda oyeeee
@nsanyarasheeed86933 жыл бұрын
Daah historia hii ya wambunga babu amewahi nipa ya kujiita wambunga wakipitia toka songea kupita kirosa kwa mpepo bora mh rais amehamasisha historia ya watanzania na waafrika wenyewe ndiyo tuisome
@hybridaccounts Жыл бұрын
Bro safi sana
@sayukimethod33753 жыл бұрын
That's why I'm hero.
@iraakasubete8287 Жыл бұрын
We jamaa unaviweza sana yaani ni lazima udhihirishe Ulichonacho
@stanslauselias90024 жыл бұрын
Weka talahe mzee baba
@patelmpene36504 жыл бұрын
Atar bro wewe n 💥💥🔥🔥
@nelsonbisi64992 жыл бұрын
Nicely
@ameliaribeiro4292 жыл бұрын
Obrigada pelo excelente documentario. Pergunto que língua utilizou para descrever o percursso dessa etnia guerreira? Por favor me responda o nome da língua ou dialeto que utilizou. Questiono qual o dialeto utilizado pela tribo Ngoni? ?
@salehsalimalnahdy14902 жыл бұрын
Swahili Kiswahili East african language
@manztermian19512 жыл бұрын
Kazi safi sana. Sasa najijua. Mimi ni mgoni .Miandica tipo hapa Niassa Msumbiji.
@manztermian19512 жыл бұрын
Na hapa Niassa hawatutambui
@ninikudankan78714 жыл бұрын
Nice johb
@chrissjoel77523 жыл бұрын
*Waha hatukutaka ujinga kuvamiwa kiboya boya na makabila ya ajabu KIGOMA tukawatoa mbio* 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aguerowakujidai65094 жыл бұрын
From Congo Brazzaville
@paulomrisho194 жыл бұрын
Do you speak kiswahili
@aguerowakujidai65094 жыл бұрын
@Dan tv ndio najuaga kidogoooo
@aminaomary55672 жыл бұрын
Safi kabisa Wandendeule tunaukolofi ?😁😁😁😁😁👍👍👍
@mayenjatv29543 жыл бұрын
Ndendeule mpooo
@jumahassani88663 жыл бұрын
tupo
@AhmediKilingamoyoАй бұрын
Maashaallaah
@dullydully5504 жыл бұрын
Wandendeule weka like tujuane
@mustafakubri92764 жыл бұрын
Tubhile
@aymanjaribuni90293 жыл бұрын
Wandende ule
@AndrewKundya Жыл бұрын
Mkuu huyu Chief Songea ndio yule Mtoto wa Zwangendaba Songea mbano????
@jumambunda22563 жыл бұрын
Nice
@sangotelleming74444 жыл бұрын
Nzur
@britishboy11122 жыл бұрын
Kazi nzury
@juanajuan31984 жыл бұрын
Nakukubali lkn unasupport uganga sn @ananias edgar
@mohammedzahiry58893 жыл бұрын
Kwan uganga ni dhambi?
@juanajuan31983 жыл бұрын
Kwangu ni dhambi
@anordlaurent87513 жыл бұрын
Songea Homie
@jennjames54503 жыл бұрын
Kabsa
@isayasonelo40872 жыл бұрын
IKO POA SANA ILA SUGU NI MKINGA SIO MGONI BROO
@muddyaforeal11454 жыл бұрын
Bora Ananias umerud sauti ya Chuma
@MTAALAM.3 жыл бұрын
Naomba historia ya kweli ya hehe trible
@DottoNkuba4 ай бұрын
Very fantastic event
@nkyaeddah3 жыл бұрын
tunaomba historia ya chief kibasila, mzizima na Dossa (aziz ally) aliyemfadhili nyerere
@selemanimandindi91944 жыл бұрын
Tuletee vitabu vya histori
@talibhamadi76594 жыл бұрын
Hongera Sana ipo vyema sn
@saraphinamanugu61284 жыл бұрын
very nice
@mama_mlezi77442 жыл бұрын
Tulioenda upangwa kwa chief kidulile ndio sisi apa tunajiita wakisi
@fortunatusrichard9904 жыл бұрын
Big up bro
@HappinessJohn-vw8hk4 ай бұрын
Duuu ni noma songea oyeeee
@felicianmapunda23284 жыл бұрын
Yaaaaap
@juliusdaudi64593 жыл бұрын
Uko vizuri sana mkuu
@patelmpene36504 жыл бұрын
So fun unatisha 🔥🔥🔥💥
@aniahamisi79443 жыл бұрын
Ndomahana me napenda Sana vitu vya watu her
@aminaomary55672 жыл бұрын
Eti leo wazungu tunawakumbatia wa nini ovyo.
@bonifacekomba7060 Жыл бұрын
HISTORIA YETU HIYO HATARI
@gasperjohnson33882 жыл бұрын
Ibaki kusema historia ya ngoni ni pana mno
@TALLUBOY2 жыл бұрын
Nikwel kabisaaa
@taetommy83434 жыл бұрын
🤣🤣🤣et maajabu africa n meng ndo maana wazungu hawaishi kuja kushangaa🤣🤣🤣🤣
@Evelin5703 жыл бұрын
Good
@jennjames54503 жыл бұрын
Songea home
@IsmailBase-q6w10 ай бұрын
Msimuliaji magufuli alikuwa msukuma
@daddieeddie50573 жыл бұрын
Aisee hii makala umefanya utafiti kweli Masimulizi haya alinipa Babu Yangu uko sawa kiasi kikubwa