Watching from +254,si Leo nipate ata likes mbili angalau nifurahie
@hamambuka56164 жыл бұрын
Pewa zote😂😂😂😂
@richardedwinn12914 жыл бұрын
❤️ ❤️ ❤️ ❤️ 🔥🤣Chukua zote👍👍👍
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Mnisaidie kusubscribe kwa Chanel yangu kwa kubonyeza picha yangu ya kushoto kwa kupata update kila wakati kuna mengi yanakuja mazuri na naomba support yenu na sitawaangusha kuna mengi mazuri
@kingwhizzy84984 жыл бұрын
@@hamambuka5616 🤣🤣🤣
@kingwhizzy84984 жыл бұрын
@@richardedwinn1291 🤣🤣🤣kwendaa
@taibondemanga68434 жыл бұрын
Kama wambenda Professor Jamal gonga like... From Moçambique (Msumbiji) WCB4Life
@dafrosamwanga8037 Жыл бұрын
Adi teacher wetu alitufundisha kumbe ni kweli!
@ibnismail88314 жыл бұрын
Hakika tunaweza na tunajuaa acha tuzdi kukuombea dua Inshaallah khery professor kama professor jamal April💥💪
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Mnisaidie Ku subscribe kwa channel yangu kwa mengi mazuri
@jumajihila76134 жыл бұрын
Nakubali sana hili jamaaa
@khasianussamson62274 жыл бұрын
Asante jamal mustapha kwa kulifanyia kazi ombi langu niliomba uniletee historia za camps mbalimbali za wajuruman haswa niliomba story ya sobibo camp lkn naona umeamua kutuletea full package asante sana🙏🙏
@elijahjacob77244 жыл бұрын
Akika jamar ni Danger.... nipate like za jamar.tuendelee kumsaport..
@WASHATube4 жыл бұрын
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/oYrUqK17oNl0bqc NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Mnisaidie jameni Ku subscribe kwa channel yangu kwa mengi mazuri
@mr.online28723 жыл бұрын
Waomba likes mpogi kama wasenge wasenge
@bigiemnyamaa11854 жыл бұрын
Kama unamkubali Profesor JAMAL APRIL gonga like twende sawa
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Kwa mengi mazuri naomba m subscribe kwa channel yangu ya hassan mapenzi kwa mengi mazuri huu mwaka
@crypto7-t1y4 жыл бұрын
MBABE WA VITA ALIYEITIKISA MAREKANI|ALILIPUA VIFARU VINGI ZAIDI VYA WASOVIET|MAREKANI ILISHINDWA. MAKUNDI YA KIJASUSI YALIHAHA. Tafadhali naomba support yako kwa kutazama,kusubscribe, like na ku comment!! Ahsante. kzbin.info/www/bejne/p3fFk4GkrpmEbLs&feature=share
@laurasawe7124 жыл бұрын
😍😍😍😍😍
@monicamolel62263 жыл бұрын
@Hb Leaders UnionTM q
@kaoneka3603 жыл бұрын
✊
@ubongoziro96154 жыл бұрын
kama unamkubali huyu jamaa kwa kupekenyua vitabu na internet ili kutuletea story book iliyo makini gonga like hapo
@michaelvenas37744 жыл бұрын
Mtaalam
@monicachalo40943 жыл бұрын
Nazi party founder's
@othumaryemanuel2963 жыл бұрын
🐱🐱
@mchanikamc12362 жыл бұрын
Excellent nlikuw ckuelew ila kwasas nmekubali umechimbua, i name you "The great author "
@ibrahkadabrah70014 жыл бұрын
Kazi nzuri san professor WCB 4 LiFe
@WASHATube4 жыл бұрын
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/oYrUqK17oNl0bqc NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
@jeanamosi8114 жыл бұрын
Wasafi média wow 👑👑👑 nakukubali Jamal the profesa
@alimohdkhafidh15444 жыл бұрын
Wajumbe Wenzangu huyu professor Jamal yuko on 🔥🔥🔥🔥💪💪
@ArafatEmperor-iz4rf Жыл бұрын
Prof jamal, tuletee simulizi ya ghengis khan 💪💪💪
@husseindatto83594 жыл бұрын
Jamani naombeni like zenu Mimi kama mm chuse boy
@mwabeshimwabeshi48984 жыл бұрын
Nakubali mwanangu
@johnrogasiani4 жыл бұрын
Anaitwa master wa master Jamal April, your a wise man respect brother, just keep going, am from 254
@mohamediramadhan52304 жыл бұрын
Like kwa professor jamal jamn
@WASHATube4 жыл бұрын
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/oYrUqK17oNl0bqc NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
@mr.online28723 жыл бұрын
Kama like kwake si tusha like ktk post au... Acheni umama wa kuomba upuuz
@ashirievara85424 жыл бұрын
Professor jamal mtu atari san king of story in Africa 🌎
@yuvinkalikenya96893 жыл бұрын
ilaa wee jamaa ni hatari sana, hongera Mungu kakujalia kipaji kizuri sana, yan una sauti fulan amazng sana, mtu akiwa anasikiliza story yako ata hawezi kuchoka kwa kweli
@y.swedi7484 жыл бұрын
Watching from +44 nakukubali sana professor. Poga like kama nawewe unamkubali kama mimi
@mwanaimamainya24752 жыл бұрын
Dah Mungu tu akutunze napenda sana kukusikiliza
@sammymuchiri43164 жыл бұрын
Nipewe likes tatu pekee leo.. straight outta 254
@mohamedrashidy294 жыл бұрын
Kwan ukipew like inakuaje
@WASHATube4 жыл бұрын
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/oYrUqK17oNl0bqc NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
@johnjay64084 жыл бұрын
Dah History 2 ya advance imegeuzwa laini, ikisimuliwa na Professor
@naceebvichekesho89784 жыл бұрын
Sana
@geraldgideon59024 жыл бұрын
Sure an
@meshackowiti82392 жыл бұрын
U will remain my friend forever.good work brother.
@yassersahin66394 жыл бұрын
Jamal April nomaa sana nakubalii endelea kutupa uhondo
@davidmshanga Жыл бұрын
fantastic100%
@chatterman33754 жыл бұрын
Umekuwa mtu unaeifanya ijumaa kuwa siku nzur ya kuikaribusha weekend katika good mood kutokana na simulizi za kuburudisha na kuelimisha....lakini hofu ni kw wale wasioweza kusikia angalau mngewawekea subtitle ya kiswahili ili nao wasingojee kuhadithiwa.....kazi njema wasafi media...all de best🙏🙏🙏
@ahmedyally1824 жыл бұрын
Gonga like kwa professor Jamal 👍👍👍👍👍
@azizakassim74802 жыл бұрын
Mbona hii story haikutoka nikiwa bado nasoma😂😂😂pengine ningeishika😁
@kaimumchonjo73114 жыл бұрын
Uko poa broo mungu akupe afya njema uendelee kutupa stori nzuri zaidi
@jaydenkariuki65954 жыл бұрын
The professor nakushukuru kwa jitihada unao endelea kufanya unaendelea kusisimua vizuri nakupongeza sanaa kwa sababu una kipaji
@loyydmil134 жыл бұрын
Ndo maana siachi kuipenda wasafi ❤️❤️❤️❤️
@crypto7-t1y4 жыл бұрын
Huyu ndiye gaidi aliyewaumiza kichwa wamarekani,pamoja na makundi yote ya kijasusi. kzbin.info/www/bejne/p3fFk4GkrpmEbLs Tafadhali naomba pitia channel yangu pia.Ahsante!!
@jacksonbuzingo66014 жыл бұрын
Hongera Prof. Jamal upo vizuri mno. Unapaswa kuwa Lecturer wa History katika University
@amraniramadhani74984 жыл бұрын
Daah...cjui nieleze vp, ila jamal April ww Ni mkali Sana kwenye haya maswala yaani historia ya advance umeifanya iwe laini kabisa ikiwa imejaa facts, details, analysis na evidence za kutosha..big up sana, huwa sichoki kurudia rudia kusikiliza simulizi zako Kama ya Alexander the great Mara kwa Mara unajua Sana...👍👋..
@realdickson1683 Жыл бұрын
Hahaaaaaa
@kingonlinetv89984 жыл бұрын
Na leo tena nimekuwa wa mwisho kuangalia mmmh jamani mbona naishi mbele ya mda mimi like zangu basi kama umeenda mimi kuwa mtu wa mwisho kuangalia
@WASHATube4 жыл бұрын
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/oYrUqK17oNl0bqc NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
@crypto7-t1y4 жыл бұрын
MBABE WA VITA ALIYEITIKISA MAREKANI|ALILIPUA VIFARU VINGI ZAIDI VYA WASOVIET|MAREKANI ILISHINDWA. MAKUNDI YA KIJASUSI YALIHAHA. Tafadhali naomba support yako kwa kutazama,kusubscribe, like na ku comment!! Ahsante. kzbin.info/www/bejne/p3fFk4GkrpmEbLs&feature=share
@wiziink38444 жыл бұрын
Naangali ii video niko miami 😂😂😂😂 Florida 😂
@crypto7-t1y4 жыл бұрын
@@wiziink3844 Huyu ndiye gaidi aliyewaumiza kichwa wamarekani,pamoja na makundi yote ya kijasusi. kzbin.info/www/bejne/p3fFk4GkrpmEbLs Tafadhali naomba pitia channel yangu pia.Ahsante!!
@moseskimani85663 жыл бұрын
I never get tired of listening to this story forever Both part one & part two. ,, I just love it😎 Thank you Jamal April
@ztownofficially63974 жыл бұрын
Who else like first before whatching the video
@HamadizoMadizo4 жыл бұрын
Kama una,mkubali jamali gonga like hapa fasta
@emanuelrichard26184 жыл бұрын
Jamal na mimi fan ya kutangaza vzr pamoja nakuimba naiweza sn lkn nilikuwa naitaji nianzie mbali zaidi kwenye kutangaza naitaji naitaji nipeleke maombi ya kazi katk vituo vya radio vya Manila Indonesia Sio ntapata kazi🤓🤓🤓🤓
@salimmolis43874 жыл бұрын
umetisha nakubali sana
@stephenmutuku77054 жыл бұрын
I had to learn swahili just to be able to watch the story book
@paulmwingira39864 жыл бұрын
Unatishaaaa jamal👏👏
@Jvystunner4 жыл бұрын
I have to learn English so we can be friends
@dennisshukrani79273 жыл бұрын
does it mean hujui kiswahili
@BeyHappiness3 жыл бұрын
Mutuku wacha wewe in Kenya wakamba husoma Kiswahili
@stephenmutuku77053 жыл бұрын
@@BeyHappiness Ukona ubaya
@ElikanaKibona-y8j19 күн бұрын
Jamal ni mwamba kusimulia hadithi kama unakubalian na mm gonna like❤❤❤❤❤❤😮😮😮
@panaafricaqualityavocados99807 ай бұрын
Kaka jamar kazi nimezuona mungu akufanyie wepesi
@officialsuledeplatnumz29114 жыл бұрын
Asante sana wafasi media kwani ndio media bora kwa vijana, nimekuwa excited sana kwa kutuandalia nakara hii but naomba tena utuandalie nakara ya Martin Luther King
@laurasawe7124 жыл бұрын
Jamani ww anko unasauti nzuriii😍😍😍
@piuslukas2 жыл бұрын
Jee mm
@JosephBahati-bz4bu7 ай бұрын
Jamar ana bala yani naijoi kumu sikiliza❤❤❤❤❤❤
@rahimkessyesmail92894 жыл бұрын
watching from Munich🇩🇪
@collinscarter59274 жыл бұрын
Ich auch
@rahimkessyesmail92894 жыл бұрын
@@collinscarter5927 super..we should link up😁😁
@othmenmkumbwa73544 жыл бұрын
Nakubali Sana Jamal April
@bonfilsbabone38514 жыл бұрын
Safi sana kazi njema
@purryselestineraggty31714 жыл бұрын
Jomny.... Muendelezwa... tafadhali....
@mussabinford14044 жыл бұрын
Daah anko unajua hostoria Leo nimeelewa sana .naomba unitafutie historia ya rumi empire nashukur sanaa
@adrianandrew53594 жыл бұрын
Myamaaa professor
@musafred77994 жыл бұрын
Jamaaa anajuaaa kama unakubaliana nami gonga like
@jovinemzungu50574 жыл бұрын
We we ni profesa @jamal Mstapha
@HajiPande-ij3gu9 ай бұрын
Namkubali professor jamali yuposawa sana ktk history
@niffe4059 ай бұрын
Inshaallah Jamal Alla akupe uwezo mkubwa Amen❤
@urangajeremiauranga88354 жыл бұрын
Nomaah kwel na endelea na kazi professor jamal
@nyasiomnyambo27123 жыл бұрын
Mungu akujlie uishi miaka mingi we kwangu nashindwa nisemaje zaidi yakkombea uishi miaka ming na allah akuepeshe na mabaya na husda za walimwengu
@teddiemichael75064 жыл бұрын
Akili kumkichwa ndiyo hizi hongera professor Jamal❤️
@mtawalaanimation53544 жыл бұрын
Wadau wamelala hv unaanzaje lala ujamsmkiliza jamal kila ifikapo ijumaaa
@alfredmahina99694 жыл бұрын
Kama unamkubali Jamal gonga like hapa
@gammyson31782 жыл бұрын
Hello
@mackmgaya88084 жыл бұрын
Ahsante kwa kutuhabarisha habari kemukemu ..
@benbenjamin17664 жыл бұрын
Like Kwa wana 👍👍 THE STORY BOOK
@husnahassan47714 жыл бұрын
Jamal 🤗🤗 Santeeh
@abuuhakamally87344 жыл бұрын
Jamal n bonge la designer maan anajua kanpelk ktmb kwny topic z form 4 mwnzon ple ✌️✌️✌️
@dasilvajunior30164 жыл бұрын
✌✌✌
@amossimmbag45384 жыл бұрын
Kama unamkubali hitle like apa
@johnjay64084 жыл бұрын
Dah History 2 laini ya advance ikisimuliwa na Professor
@ibdranation64894 жыл бұрын
Good
@mansourbakari59474 жыл бұрын
Katika vipindi vyote ambavyo navikubali wasafi iki no kimoja wapo pamoja sana
@petromlwafu69224 жыл бұрын
Teacher maisha marefu sana kwako🙏🙏
@nurdin.mndeme34474 жыл бұрын
dadeki Jamal we ni genius mkuu :)
@ReubenNgure-r5f11 ай бұрын
Jamal the story teller .good job
@WingoAsake4 ай бұрын
Mungu akujalie jamal kwa ukumbusho wako
@raphaelngao67784 жыл бұрын
love from cambodia🙏🙏wishi i could understand much swahili,i love too much the story book but still i catch somewords🙏🙏
@victoryngait38633 жыл бұрын
Nakupendaga bureee wew unaweza sana hngren sana
@musicapprentice66824 жыл бұрын
OMG💞 le professere🏆
@saidantugwa76714 жыл бұрын
Umenikumbusha movie ya money heist....le professel
@kilutu4 жыл бұрын
Bless kk unajuwa cnaaa
@HemedMasoud-qq5lw Жыл бұрын
Saf sanaaaaa hitra.maan ulikuwa unawauw mayaud yaliomping Kristo.
@macarthurkiiru9374 Жыл бұрын
This is absolutely good watching from Kenya
@ogindiii14654 жыл бұрын
Jamani mwenye atasoma huu ujumbe naomba Sana tumufikishie Jamal Plz I am your Kenyan fun na nataka Sana kulewa theory ya THE BLACK HOLE na history ya proffesor Hawkins Naomba imufikikie jamal Nawaomba like and share mpka imufikie
@amanisamwely73744 жыл бұрын
Jamarii we ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samweljoab51093 жыл бұрын
Umetisha mbaya good congratulations
@celioqeshita41483 жыл бұрын
So u can become what you want,as we dwell in negativity let's bravo the positive Side,believe in uaself
@JonathanKanymbo3 күн бұрын
Dah jamni me napenda sana story zako kabisaa mpka namaliza bando
@istishilaqsaidi77974 жыл бұрын
Yani huyo kaka hana saut ya dhaabu.😍
@sabrajuma9937 Жыл бұрын
Upo vizur San Jamar ingependeza uwe mwl wa history
@meshackmutua46422 жыл бұрын
I love the story. Do us the story of Benito Mussolini
@edwinluchetu34962 жыл бұрын
The storybook mie ni fan mkubwa zaidi
@tristanoconner74674 жыл бұрын
Nmeipenda
@elshaarawymuhabesh3164 жыл бұрын
Jamal simulia story kama hizi sio kutishana tishana tuh... Tuletee na Ya Mr bean
@DJTTouch4 жыл бұрын
show love kwa jamal
@khungun3994 жыл бұрын
Professor Jamal April yupo vzr xaan
@peaceisrael81584 жыл бұрын
This is incredible, watching from Frankfurt🇩🇪
@valencedomitian7950 Жыл бұрын
Hello
@azizikundenga58634 жыл бұрын
daah tishaa sanaaah
@kelvinjackson6084 жыл бұрын
Like ziwe nyingi kama mmekubali story jaman
@youngkinyoo46544 жыл бұрын
Kwanini wazungu wakipigana wao wanasema vita ya dunia wakat nchi nyengine hazimo katik vita Yao
@malikikalole76974 жыл бұрын
Sababu wababe wa dunia wamepgana vita hua ni kal sana
@spicot21archnid614 жыл бұрын
Muafrika anamsapoti mkoloni wake hvy kila colony litapign na adui yake
@fadhilmaquire51814 жыл бұрын
@@spicot21archnid61 pamoja mwana history
@aiyammshoka10964 жыл бұрын
Zilipijana nchi nyingi ndomna ikatwa vita va dunia
@Ibrah2874 жыл бұрын
Hata TZ na nchi nyingi za dunia ya 3 tulishiriki kwa namna 1 ama nyingine kwa sababu tulikua makoloni ya super power countries zilizoshiriki vita..
@goodluckmfilinge12164 жыл бұрын
I always use to watch ur stories
@baashehassan39234 жыл бұрын
I watching from Dortmund 🇩🇪
@adilmohamed17844 жыл бұрын
From Berlin
@wiziink38444 жыл бұрын
Sasa unaelewa nini 😂🤣
@nyotamy36784 жыл бұрын
Uko vzr kaka
@daudikimurajr50594 жыл бұрын
Profesaa heshimayako bhnaaa
@mashaurindege539 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@AndrewMasasila2 ай бұрын
Daaah story nzuri sana brother endelea hivyo hivyo
@christahaule92444 жыл бұрын
Kazi Nzuri bother💪🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zanurakidumba91464 жыл бұрын
Mwenzenu nampendaga tu ni kwasabab Tyu uandishi wake ni umetulia😘😋