Ananias ni noma kweli hii dozi umekolea sana Leo 😂😂😂😂
@vumiliamgingu1579 Жыл бұрын
💯
@PauloBajuta Жыл бұрын
Nimefurahi sana kupata elimu ya ndoa big up
@BeastMaster-vt7nw Жыл бұрын
Nakubali japo sijaoa.
@JAMESmwandemwa-fn3wj Жыл бұрын
Ety wanaume wote ni kunguru dada tulia na kunguru wako 😂😂😂
@faridamour1423 Жыл бұрын
❤kubali sana
@guidoliusmichaelhulilo3886 Жыл бұрын
Ndoa sio kitu rahisi, ni kama kuwa "Motoni" hapa duniani. Nashauri watu wafikiri Sana na kama vipi wasioe au kuolewa. Binafsi naishi Ughaibuni na niliamua Kuja Tz Kutafuta binti, nikampata na mambo yote yakafanyika vizuri kabisa Kisha nikamleta huku nilipo... Duh! Hivi ananisumbua sana😳 balaa!! Mpaka ananitukana na hata kuniita mi mshamba! Hivi ana kesi ya overstay maana hakutaka kutoka nje ya nchi kabla visa yake haija expire. Ikiisha serikali ya huku watamkamata na kumrudisha Tz chini ya ulinzi. Nimekoma na sintachukua tena mtoto wa mtu hapa duniani eti awe mke wangu. Ni WABAYA Sana na ni nyoka.!!
@AnaniasEdgarTV Жыл бұрын
Pole sana.
@TheTruthBeyondBantuTribes Жыл бұрын
Very sorry ,Na zani Mzee Denis mpagaze once told us about this kind of issues....Not all are bad some of us are enjoying with these women....Brother tafuta a fearing God Woman, not these Hair painted,Full of Trousers and different color of make up,Nail like demons,,.they are snake but out there we have descent, natural God fearing women and are still in existence my dear brother..pole Sana kwa iyo tatizo..