Dada Halima ... Pole kwa yote nimefurahi kwa jinsi ulivyo na Imani na Mwenyezi Mungu. Na Mungu akuinue zaidi ktk viwango vya juu
@mwanaishamande88802 жыл бұрын
Aamin kwasote
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Amen
@ummimohamed21482 жыл бұрын
Mashallah mashallah kwa kua na imani sana na Allah na nimefurahi kuona umeshika kamba ya Allah hakuna kukata tamaa nakuombea dua uzidi kua na afya njema upone na urudi km zaman na ufurahie maisha km. Mwanzo ameen pole sana sana
Mashaallah dada umepambana siku zote napenda kaz zako unavojituma Allah akufanyie wepes inshaallah utakuwa sawa usjal
@felixmagulu61422 жыл бұрын
Pole sana dada yetu, Mungu ni mwema atakupa uponyaji wa haraka.
@jimmyjigar14682 жыл бұрын
Pole sana Dada kila jambo linamakusudi yake.namuomba Rais wetu mama Samia amteuwe awe mbuge akasimamie haki za madeleva huyu anajua mengi kuhusu madeleva.mama Samia 🔥
@pudensiamhina64782 жыл бұрын
Kumbe wa Masasi mwenzangu, pole sana sana na hongera kwa ujasiri wako uliojaliwa na Mungu. Nakutakia uponyaji wa haraka kutoka kwa Mungu.
@saitawilson73072 жыл бұрын
Asante Sana boss wa halima kwa ushirikiano mzuri na dereva wetu kipenzi..!.🙏.. Asante kwa serikali yangu pia kakika hamlali ...👍🙏🙏
@salummpango5250 Жыл бұрын
Mungu ni mwema akuponye na urudi kwenye mapambano!
@maryamabdullah91692 жыл бұрын
Pole sana Wajina wangu Utapoa kwa Uwezo wake Allah wewe ni mwanamje Jasiri Allah Akitie nguvu zaidi
@fauziakarama85812 жыл бұрын
Subhannallah 🙆♀️, Allah akulinde kwa kila hali amiin,
@maxmilian25112 жыл бұрын
Mungu kaufunga mlango mmoja akufungulie milango mia moja yenye kheri na wewe.Pole sana dada halima! Ila SUPER FEO COMPANY you are the best kwa mnavyompa matumaini huyu dada! Mungu awalipe kwa hilo!!👍
@kedyjohn18482 жыл бұрын
Pole sana Big mama, champion lady ... You'll triumph as always. I like the optimistic mind she got. She's golden 💪🏾
@beatricemassawe38292 жыл бұрын
We yet you’re
@beatricemassawe38292 жыл бұрын
U
@beatricemassawe38292 жыл бұрын
Uu
@beatricemassawe38292 жыл бұрын
Yu
@beatricemassawe38292 жыл бұрын
Yuy
@mwanashaathman16942 жыл бұрын
Mashaallah,Dada halima May Allah give you the strength as you pass this test from Him.Remember Him always .Ya Shaffih greetings from Mombasa Binti Shee Mbwana
@maulidikhamisi97452 жыл бұрын
hi
@mariangoi19132 жыл бұрын
Pole sana madame,hakika wewe ni dereva makini mungu akuponye urudi kwenye kazi yako
@innocentmsechu84382 жыл бұрын
Pole sana dada .. Mungu atakusidia tunamuomba sana naamini inawezekana hata automat ikiwezekana bosi wako atakuangalia urudi barabarani ..Amina
@jacksonwilson57722 жыл бұрын
Nimependa sana the way alivyo huyu dada. Mungu akusaidie sana
@nurujonas78782 жыл бұрын
nimeumia kama mim dah dada yangu mpenzi mungu akutie nguvu nakupenda
@nurujonas78782 жыл бұрын
pole sana mpenzi
@nurujonas78782 жыл бұрын
usijikatie tamaa mungu anakusudi kubwa dada kipenzi
@jumaabdallah60612 жыл бұрын
Pole sana Allah atakufanyia wepec utapona tu
@johnmichaellukindo212 жыл бұрын
Mbali na hivyo ni pisi KALI sana!
@shanii012 жыл бұрын
Pole sana dada yetu Allah akufanyei sahali. Pongezi sana kwa kazi yako. Your really superwoman. Salam kutoka kwenya
@delekalxon72212 жыл бұрын
Am sure it wasn’t easy to disclose that you loose your arm I can only imagine how it feels when you look back yr past pictures.your a phenomenal woman we pray for you 🙏🙏🙏
@christianmkude17462 жыл бұрын
Pole sana dada halima
@abubakarimhina4002 жыл бұрын
Pole sana dada, kiukweli nimeumia sana kwa ajali ulio pata licha ya yote M/mungu ni mwema nakuombea kheri mungu akupe uzima urudi kwenye kazi zako.....nikiangalia crip zako za tik tok siamini kilicho tokea....Pole sana C*
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Sasa ataweza kuendesha gari
@abubakarimhina4002 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 Hata weza tena kuendesha gari, mana ule mkono bandia upo tuu kama fashion.
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
@@abubakarimhina400 aha nimekuelewa brother
@zenamanyota26182 жыл бұрын
Pole Sana dada halima tunakuomnea duwaaa mwenyezi mungu akifanyie wepesi mm
@naelttz19742 жыл бұрын
I wish angepata teuzi chap. Ni mpambanaji sana huyu mama 💪💪
@chahenza2 жыл бұрын
Pole Sana dada Halima. Niliona interview yako Cloud FM. Wewe ni jasiri... Ole wako ndoto yako ya rubani imeangamia... Majaliwa kwa maisha
@silverymugendimunyera57172 жыл бұрын
Huyu dada ana shukrani sana Mwenyezi Mungu amsaidie
@wamugimohammed38482 жыл бұрын
Asalam Alaykum ! Pole sana Dadangu na wengine wote ! Yote ni kushukuru Alahamdulilah
@japhetjoachim99252 жыл бұрын
Madam madam...get well soon i wish I could see you....one day....Mungu akujaalie afya njema....I real love you....am inspired.......tusikate tamaa
@mchusna64682 жыл бұрын
Pole Sana shosti nimekumbuka siku ile ulipowatia moyo wanawake wafanye kazi dahalima pole my Sana tupo Pamoja😘
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Pole Saana Mpambanaji Wetu, M/Mungu Akufanyie Wepesi Inshallah 🙏🙏🙏
@sikukuuchuo30932 жыл бұрын
Very courageous super woman .Allah akuhifadhi akujaze subra
@popiya23682 жыл бұрын
Pole sana habibty Allah akufanyie wepesi
@aminaomary55672 жыл бұрын
Polisi wa Matemanga shukran nyingi kwenu kwa tukio la Halima Dereva. BY Amina Ngindika Matemanga.👍👍❤❤
@edwardouma16302 жыл бұрын
Am a Tanzanian form Nairobi Kenya wishing my sister Halima quickly recovery and may God be with him all ways 🙏
@estermshabaha69202 жыл бұрын
Halima nakupenda dereva mwenzio hapa Mungu atunusuru na njia pole mpendwa wangu Mimi gloria
@restitutorcharles42532 жыл бұрын
Nimejikuta 😭😭😭 jmn!Mungu wa mbinguni akutunze na akubariki dada pamoja na familia yako
@sweetie88612 жыл бұрын
Inshallah utapoa my dear,nakupenda mnoooo
@raziaidd23922 жыл бұрын
Pole Sana dadangu kwa kweli nikushukuru mungu Alhamdulilah maana ndo alivopanga.Allah akupe shuffah ya haraka in shaa Allah
@noelbryson78402 жыл бұрын
Pole sana dada yangu. Nimesikitishwa sana na ajali yako. Nikiangalia unavyoongea najifunza mambo mengi sana. Wewe ni jasiri, wewe ni Shujaa, wewe ni mshindi,. Umekatika mkono ukiwa unapambana. Usife moyo, kaza mwendo songa mbele dada yangu..
@amanisaid98632 жыл бұрын
Pole sana dada yangu Mungu mkubwa utapona,,naakuombea sanaaa
@Mussajohn992 жыл бұрын
Amen
@selemanimrope9032 жыл бұрын
Pole sana Dada Mola akufanyie wepesi kwa tatizo lililokupata ama kwa hakika wewe ni jasiri na umemuweka Mungu mbele kwa kila jambo ni mfano wa kuigwa
@barakayindi51702 жыл бұрын
Super woman
@mwanahamisimwasema56072 жыл бұрын
Pole San dear 😘 mungu mkubwa atazidi kukusimamia kwa Kila atuwa unayo pitia 🙏
@SamaBabySamaBaby2 жыл бұрын
Nakupenda mama angu😢😢 sijawah comment KZbin leo acha tu niandike ♥️♥️umenigusa sanaaa na umeniudhunisha nanimejifunza vingi momy 😘🥰🥰 wew ni shujaaa💪💪💪💪🔥 utaki kuruhusu uzuni nakupenda 😘😘mungu akuonyeshee njiaaa sahihi kila jambo lina sababu I love u ♥️♥️♥️
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@mcback43842 жыл бұрын
Sio udhuni ni uzuni
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
@@mcback4384 Na Ww Pia Umeacha Herufi Moja Ni Huzuni Co Uzuni
@SalmaBinyaga2 ай бұрын
@@yassintaibrahim24Tz yangu
@SalmaBinyaga2 ай бұрын
@@yassintaibrahim24Ye mwenywe pia kakosea
@esthermliga48752 жыл бұрын
Dada hongera san kwa ujasiri huo, umeumia lakin bado unapambana kuokoa roho za watu!! Mungu azid kukutetea ktk matibabu
@sweetluc26602 жыл бұрын
Pole Sana Dada angu pia hongera kwa ujasili na Mungu akupe matumaini zaidi Imani yako ni kubwa sana
@sabraabdilnasir88262 жыл бұрын
MMungu atakufanyia wepesi pole sana halima napenda ulivojotupa kwa allah atakufungulia rizki kwa wepesi inshaallah
@ayshamadege79812 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukupa imani Inshaallah utapona na utatimiza kila jambo lako... tunakuombea mpambanaji mwenzetu 🙏❤❤❤
@alexmatt95042 жыл бұрын
Dada pole sana kwa huo mkasa,tumuombe Mwenyezi Mungu akusimamie ufanikiwe upone vizuri na uendelee na maisha.
@mkilimamoses23112 жыл бұрын
"Mtu ukishazaliwa kitabu chako kimeshaandikwa".Ni kauli yenye ujasiri nakujiamini toka kwa dada Halima.pole sana na Mungu akutie nguvu kwani mlango mmoja unapofungwa ujue wa pili unafunguka.Maisha yataenda tu dada yangu.
@khamisyahya77032 жыл бұрын
Pole Sana Dada'angu Pole Sana Suka mwenzangu ila nimependa Sana kwa kuyapokea matokeo kwa kujiamini zaidi...... ALLAH atakufakufanyia wepesi katika hili, Insha Allah 🙏.
@mohammedalishamis94052 жыл бұрын
Pole Sana In shaa Allah Mola atakufanyia wepesii katika kipindi hiki cha mtihani
@khamisshee51312 жыл бұрын
pole sana sister Halima ni juzi 2 ulikuwa cloudmedia niliangalia intaves yote yako lkn sema Alhamdulillah kwa kila jambo ALLAH yu pamoja nawe AMIN 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ladyt14712 жыл бұрын
Get well soon mamy kumbe wewe Yanga hongera sana tuko pamoja team ya wananchi
@alhajjngoliomahmud66572 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka rahman Mwenyezi Mungu akujaliye zaidi na akufanyiye wepesi kwa maisha kwa kila jambo inshaallah bieznillah
@happinesspaschal40372 жыл бұрын
Allah akupe siha njema inshallah pole kwa mtihani uliokukuta mwwnyezi Mungu akupe furaha siku zote wala asikupungukie
@makondorshimora50172 жыл бұрын
Mwanamke jasiri......, ulipigania roho za Watanzania zaidi ya 50, hukujali maumivu yako 😭, kwa kitendo cha kuzima injini bado ni Mungu alikupa neema ya huruma ya kwamba bado una jukumu la kuokoa roho za walioko nyuma yako 😭, dada wewe ni shujaa kweli kweli, mwanamke shupavu 💪🏻, ulijitoa kufa kwa ajili ya wengi 😭😭😭😭ni mwanamke wa mfano...., Niseme tu imani yako na unyenyekevu kwa Mola vitakuvusha na kukufikisha mbali. A SUPER WOMAN, GOD WILL PROTECT YOU FOREVER AND EVER ..... You’re blessing momma 🙏🏼🙏🏼
@abdulwahababdulkadir99652 жыл бұрын
Duh pole sana dadaa,na kwa hakika sisi kama kamati ya watu wenye hamasa juu ya maisha ya wapambanaji,tunakuomba usihofu tuko pamoja nawe,na nimeskia apo kua uko na single natamani sana kama utanipa nafasi hiyo nitalea ww na watoto wote
@anterianmohamed32132 жыл бұрын
Pole sana mama ALLAH akutie wepesi upone INSHA ALLAH
@uuuuiiii39172 жыл бұрын
Allah atakufanyiwa wepesi insha'Allah nakazin utarudi keamauezi yamungu nahyo boss wako Allah atamlipia kwakweli insha'Allah pole sana dada🙏🇴🇲
@andersonmichael23992 жыл бұрын
Pole sana dada. Mungu ayasimamie maisha yako.
@pudensiamhina64782 жыл бұрын
Polisi Ruvuma mmeniliza kwa furaha sana, asanteni sana, Mungu awainue zaidi. Nimewapenda kutokana na maelezo ya huyu dada.
@BarakaMalunda Жыл бұрын
Poresana dadaau siku ambayo umepata hajari turipishana mbugan seluu nikiwa nimepaki gari urinipigia honi mwenyezimungu akurinde❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@wamugimohammed38482 жыл бұрын
Asalam Alaykum ! Mdogo wangu Dua zetu ziwe dawa kwako na wengine Amin Amin , Nawatakia Shifa ya haraka Amin Amin
@erikalutevele83622 жыл бұрын
Pole sana dada yangu mzuri Mungu ni mwema pamoja na yote lakini bado utabaki kuwa mpambanaji
@ahmedsoudathman50882 жыл бұрын
ماشاء الله قدر وفعل Mungu atakupa njia ilo bora zaidi
@stelamwakatulile24552 жыл бұрын
Pole kipenzi changu mungu akufanyie wepesi na wote mlio pata majelaa
@seemanishekiao2 жыл бұрын
Poleni sana. Allah akupeni Subra na ajalie mpone haraka. Ameen
@shuweahajj242 жыл бұрын
Pole sana cctr Allah akuzidishie umri mrefu na wenye faida 🙏. Allah akuponye haraka....🙏
@mofatv55652 жыл бұрын
Oh jamani pole dada Mungu akufanyie wepesi usijali kila jaribu lina mlango wa kutokea ipo njia yenye faraja kwako oh jamani😔😔❤❤
@allanuslwena85852 жыл бұрын
Mungu awe nawe daima,uweze kupona na kutimiza ndoto zako. Pole sana.
@rashidramadhan77082 жыл бұрын
Pole sana dada yetu Mungu wetu huwa anajibu maombi yetu usichoke ama tusichoke kumuomba mana yeye ndiye
@Tariqxxtenations2 жыл бұрын
Pole sana dada. Mola mkubwa utapona ishallah🙏
@denismabubu2912 жыл бұрын
Pole sana dada mimi nimeumia sana mungu nimwema tunakuombea upone haraka
@aminajerry62152 жыл бұрын
Pole sana dada Allah atakupa wepesi uludi kwenye kazi yk Kama zamani.
@mzazi14672 жыл бұрын
Ayo uko vizuri saana kucover story Safi saana asee....
@damianmakala29132 жыл бұрын
Pole Sana dada , MUNGU ni mwema
@harymo-by8gh2 жыл бұрын
pole sana mama mpambanaji mungu akusaidie upone haraka 👏👏👏
@Deonfnyoni2 жыл бұрын
Pole sana dereva mwenzangu dada Halima roho wa Mungu akuponye na akutie nguvu hakika utapona Mungu akubariki sana
@jaymadeleka46702 жыл бұрын
Changamoto yoyote inayokupata kwenye maisha, kama haiondoi uhai wako, basi itakufanya uwe imara zaidi. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone kabisa na akufungulie kheri zaidi upate mazuri makubwa zaidi kwako na familia yako. 🙏🏾
@mwanahawahassan46122 жыл бұрын
Umepambana dadangu hongera Allah akupe shuufaa
@sia84182 жыл бұрын
Despite na yote huu moyo wa kujali wengine ulionao🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@fatumachodasi20982 жыл бұрын
Pole Sana sister Halima mungu atakupigania zaidi ya hapo kipenzi,umetuwakilisha wanawake wewe ni super woman.
@marryg42352 жыл бұрын
Pole Dada ,mungu akuponye kwa haraka,
@بنتعبدالرحيممحمد2 жыл бұрын
Pole dada mungu atakuponya uinuke uendelee na kazi yk
@soberkaleya51482 жыл бұрын
Yohana 16: 23 Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu. 24 Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu. *MAOMBI NDIO NJIA YETU YA KULETA NGUVU ZA ROHO WA MUNGU KATIKA ULIMWENGU WETU! MUNGU ANAFURAHIA KUJIBU MAOMBI YETU, HALELUYA!!!*
@aronpaul23312 жыл бұрын
Ameeen kwa jina la yesuuu 🙏🙏🙏
@chalresmyamba10712 жыл бұрын
Dah poleee dada angu mungu mwema utakua sawa
@pioustrevol34682 жыл бұрын
Duuuh Pole Sana Auntie Mungu ameziona jitihada zako Yeye ndo anajua atakuweka wap
@Manmboche2 жыл бұрын
Pole sana dada yangu mungu atayasimamia maisha yako.
@thadeynyenza49482 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa kuliko changamoto unazopitia! Bado Mungu yuko na wewe! Imani yako itakutunza.
@bilo11062 жыл бұрын
Nimefurahi sana dda kwa iman kubwa kumueka mbele Allah...nakupenda sana na pole sana..mkenya kutoka saudia..
@ahmadbadawi96642 жыл бұрын
Namsifu kwa ujasiri wake wa kukatika mkono muda ule ule akapata akili ya kuzima gari ili isilipuke,big up sana mama nna imani mazuri mbele yanakuja zaid kwako,huo ni mtihani tu kutoka kwa ALLAH uliandikwa kabla hujazaliwa.
@salamakombo32572 жыл бұрын
Kumbe alizima gari masikini hodari Allah akutangulie dada love Allah ampe kila lenye heri
@shamiraabdallah31582 жыл бұрын
Pole sana nimeumia sana
@paulinacherement25342 жыл бұрын
AMIIIN
@atcakalinga46842 жыл бұрын
Dada halima anaiman sana nimempenda bure
@nancyg86642 жыл бұрын
Yan dah
@halimatego94952 жыл бұрын
Pole sana wajina mungu akufanyie wepesi upone haraka ulemavu si kushindwa
@lilianalmas59112 жыл бұрын
Pole sana malikia wa nguvu mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone haraka inshallah 🙏🙏
@saidali83382 жыл бұрын
Pole sana mrembo MWENYEZI MUNGU akubariki sana na upone haraka,
@fatmaabdi88132 жыл бұрын
Pole sana Allah akujalie upone haraka❤️
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Daah Mungu akufanyie wepesi InshaAllah mama mpambanaji sana MashaAllah
@rahmafahimugama32792 жыл бұрын
Much love mumy💕❤ ww ni mfano wa wanawake majasiri IshaAllah utapata nafuu na utatimiza malengo yako🙏🙏🙏
@safiyasafiya50142 жыл бұрын
Pole Sana ndugu yangu Allah akujaalie shifaa maisha mema Amani ya moyo wako yarab
@mariamuomari60542 жыл бұрын
Nimejikuta nabubujikwa na machozi ,nikakaribu kuvaa viatu vyake aisee mungu ampe mwanga
@laylapagae63242 жыл бұрын
Amiin
@merinaenos67102 жыл бұрын
Ameen
@kazijajuma72662 жыл бұрын
Alhamdulillah alaakuli Hali hii bi kazi ya Mungu kwani alishasema kua halimsibu mja Ila like alilolikadiria yeye namuomba Allah akuzidishie subra akufanyie wepesi na upoe haraka nakupenda kwa ajili ya Allah amiin inshaallah
@nasrahassan73462 жыл бұрын
Pole sana dada mungu atakuponya tu kwa imani na majeruhi wote wapone haraka
@kuluthumujarafi11002 жыл бұрын
Pole Sana mungu atakujaalia neema nyingine ♥️♥️
@rechaelvenance63512 жыл бұрын
Pole sana dada Ila mwenyezi Mungu ni mwema
@pantherking_tz2 жыл бұрын
She's a superwoman indeed ❤️
@khadijaali46572 жыл бұрын
Pole sana dadangu uzaliwavyo sivyo uzeekavyo pole sana mungu atakusaidia inshallah from kenya
@magaigwamwita24042 жыл бұрын
Pole sana dada, Allah akujaalie upone haraka na hakika wewe ni mwanamke mpambanaji na Mwenyezi Mungu akufungulie mlango mwingine mzuri zaidi, Hongera kwa ujasiri wako na nina Imani unamtegemea sana Allah na endelea kumwamini hawezi kukuangusha
@rugijofrey3685 Жыл бұрын
Pole sana ccta Mungu akupe moyo wa uvumilivu
@ndogoroedson1992 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu! Umeumia ukiwa kwenye majukumu na Allah bado amekutunza tunamshukuru kwa Hilo! Mungu akuponye urudi ktk hali yako ya zamani na uzidishe Sana Sala ndyo ngao yako!
@ashamanlung14252 жыл бұрын
Pole sana, your so strong dada, I like your passion. Bado una nafasi ya kupambana mamy