Pia napenda kuskia Wakenya Wakiongea Kiswahili sahivi nipo Kenya nainjoy kiswahili chenu I'm from Tanzania
@polytarimo3242 жыл бұрын
Mimi pia napenda kiswahili cha Kenya big up
@hashimshaban46752 жыл бұрын
Hata mimi hasa nikisikia wa Mombasa wakiongea napenda sana
@Kreedo11102 жыл бұрын
Napenda kuskia Watanzania na Wakenya wakiongea Kiswahili pia - kutoka Marekani ❤️
@_kandybill2 жыл бұрын
Am an introvert, can live in such a place with full peace of mind...I hate crowded areas with all my heart,i love deserted greeny places
@suibs28412 жыл бұрын
Same here
@vincentmulwa95532 жыл бұрын
Mental health
@TREASUREZION82 жыл бұрын
Most welcome to USA 🇺🇸🇺🇸👏🏽👏🏽👏🏽we are happy 😂
@TeeTee-bx8bk2 жыл бұрын
@@vincentmulwa9553 haha jamani
@fabianndimanya20552 жыл бұрын
Also am an introvert ✍️✍️
@edwardchege26232 жыл бұрын
Lived here for ten years, true it's a very lonely place. Came back to Kenya and I am really happy, I feel more fulfilled. Working at a gas station was my favorite coz I met loads of people from all walks of life, from drug dealers to doctors, criminals to business people, most people just needed to be listened to coz for a matter of fact they are lonely, I shared about Christ coz some never really heard about God.
@mosesodhis3652 жыл бұрын
So they still have a lot of drug dealers with all the rules?
@Jesusisable-t7q2 жыл бұрын
He is not a kenyan @Moses Odhis
@edwardmukama96072 жыл бұрын
Great ! we should tell them about Jesus for their salvation
@pauladero17562 жыл бұрын
@@mosesodhis365 5
@edwardchege26232 жыл бұрын
@@mosesodhis365 watch Dayz of Noah- clipper ships and you will see the bigger picture on the subject
@sharifukilongo2565 Жыл бұрын
Hayo maisha ni mazuri sana,coz hakuna umbea
@machumujuma63992 жыл бұрын
Maisha yetu huku Tanzania na Africa ni mazuri sana japo hatuna kitu ila ni ya furaha sana na umoja wa hali ya juu. Mm binafsi maisha hayo hayo ya kujifungia ndani siyawezi
@peterkanyi15252 жыл бұрын
Live and die in Africa. I love this continent. I have been out to europe but i missed my Africa.
@pamelawanderaofficial62572 жыл бұрын
Very true. Nyumbani bora
@hidayaswai31192 жыл бұрын
Woow. I wish one day to be there friend though Afri is best
@MM-oe2eo2 жыл бұрын
Thanks bro. Video nzuri sana. Mtu kabla Mungu hajakuchukua inatakiwa uishi Marekani angalau kidogo.
@marthakimia40752 жыл бұрын
Nakupongeza sana tunajifunza mengi kutoka kwako hasa utamaduni wa wenzetu. Mungu akubariki sana
@kamanda0072 жыл бұрын
Hakuna upweke hapo, maisha mazuri sana hayo...PRIVACY!!!
@mohammedeisa96132 жыл бұрын
Na ongeza wazimu
@fundieddy91642 жыл бұрын
Habari za namna hii huwa zinaongeza ufahamu na kutegua baadhi ya vitendawili vya ughaibuni. Asante sana, ninakutakieni kila lenye heri.
@fungukamedia45452 жыл бұрын
🇹🇿nakupata Sana barikiwa brthr Tunajifunza vingi kupitia wewe
@newtonsimba79302 жыл бұрын
Very nice. Umetuelimisha vyema. Barikiwa ❤️🇰🇪.
@jovovichmedia94243 жыл бұрын
Safi Sana nyumba ipo vizuri na mazingira pia nimepapenda
@EBMSWAHILI3 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia hivyo
@mwanikimburu2 жыл бұрын
Shukran ndugu MTz kwa kuelezea hali ya maisha hapo Marekani. Kweli maisha hayo ni bills na pweke chungu nzima. Sidhani kama nayaweza hayo maisha, napenda hapa kwetu Kenya. Pia shukran kwa kuelezea chanzo cha jina meli. Hilo sikujua... kazi nzuli lakini and keep it up brother
@ludobudege16622 жыл бұрын
Asante sana umenipa Somo kubwa sana wabongo wengi wanamtazamo eti kila aliye marekani ana mahela kumbe sivyo
@fegow-farmland83992 жыл бұрын
Tanzanians are always like that😁😁
@xingho39902 жыл бұрын
Kaka hongera kwa maisha ya ng'ambo umeyapatia umepigana vyakutosha Mungu akubariki. Lakini nyumba hukutuonesha ndani.
@evalinefredrick73322 жыл бұрын
Maisha ya Marekani ukilinganisha na Tanzania kuna mengi ya kujifunza. Kwa upande wangu siwezi kuishi Marekani kwani sintaweza kuwa na shamba, trekta, mifugo na nyumba yangu kwa kipato changu hili. Ila Tanzania ninavyo vyote na maisha ni rahisi sana. Tatizo la huku kwetu ni upatikanaji wa kazi za kujipatia pesa. However future sasa ipo Africa ndiyo maana wazungu wanakuja Africa.
@pamelawanderaofficial62572 жыл бұрын
Kweli kabisa tena starehe ni nyingi hamna kuboeka. Amerika kuzuri tu kutembea na kurudi nyumbani iwapo umefaulu kuwa na investment ya kwako
@salehbinkhamis15972 жыл бұрын
Yes brother
@marywangari75732 жыл бұрын
Kqeli
@morrismorrison28192 жыл бұрын
Alafu tunawaachia...wananunua aridhi yote
@jostamzxkaole3113Ай бұрын
Nishazoea KUWADANGAMYA WATU vijiweni asa uko hata dullysyksi sitamuone🫣:: BORA AFRICA
@petertimothy78822 жыл бұрын
Safi sana. Endelea kutuelimisha hali halisi huko. Nimefurahia sana mazingira unayokaa na jinsi ulivyofanya bidii kuwa na nyumba nzuri hiyo. Endelea kupiga kila Sehemu na kutuelimisha. Tutafurahia ukituonesha mitaa ya New York, Texas, Washington, Los Angeles n.k.na kutuelezea maisha ya kila Sehemu husika na changamoto zake. Hata kama hutapiga picha Sehemu hizo nilizotaja, unaweza kupata picha safi toka vyanzo vingine na kutupia humu. Let people know about Amerika na Ulaya Maisha na Changamoto. Pili, wengi hatujafika huko.Tunahitaji kuona palivyo na Changamoto zake. Well-done bro🙏
@sashoright82132 жыл бұрын
Marekani naipenda mnoo asa kwa watu weus wenzangu Atlanta kwakwel kunanikosha katika maisha kuish nkiambiwa nichague Jimbo ni Atlanta Georgia 😍💞🤦
@rosiehayatta26196 ай бұрын
Mhh tell whats special dear
@Bagenzi4life3 жыл бұрын
Ninapenda the way unavyo tupa habari kwa habari unatufafanulia vizuri maisha ya uko ulipo asante sana baba Love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@EBMSWAHILI3 жыл бұрын
Nashukuru sana
@nasoroliheka93112 жыл бұрын
Tunashukuru unatupa mwanga
@hamzamafita40252 жыл бұрын
Tupe dawa the great makulilo nimeijua marekani kama vile nipo huko.kupitia EBM.endelea baba.
@ruhangamunyaneza6551 Жыл бұрын
Ndugu yangu asante sana kwa kutupesha habari nzuri tunakuombea uzidi uwenamafaanikio mdawako wote asante
@maryjohn14362 жыл бұрын
Asante saana nimesoma geni leo kuhusu meli.congratulations
@simbarichards2 жыл бұрын
Yeah! A friend of mine told me that US is a very lonely place. You may not want to live there in the first place. Yaani huna mtu wa kuongea na yeye😂😂 sitaki, wacha nishi Kenya
@maureenauma73972 жыл бұрын
mimi natamani kuenda tu kuwork ,since huku kupata job ni noma
@willydugilo3258 Жыл бұрын
Asante Kwa muda wako!! Wewe ni rafiki tusiejuama!! Unafanya Kwa upendo na sisi wenye matarajio ya kufika huko tuwe na picha!! Ubarikiwe ndugu
@harunamwaholi65512 жыл бұрын
Asante sana kutufungua maisha ya huko marekani from mbeya Tanzania
@salhakundawi30662 жыл бұрын
Wewe ni mtu mzuri ata the way unavyoongea then nimeona uko simple bro Makulilo, love from tz.
@bas28232 жыл бұрын
Hi! How r u all🤝 my first time to Arrived in AMERICA! n Stay was in Saint Louis Missouri. Near the Missouri Big Arch, Missouri big Lake. Then we moved to Edward Vile, I Illinois n then we ending in Florida to Collage States in USA. Now im in Oman, In the Sultanate of Oman👌
@miltonmachage24622 жыл бұрын
Namshukuru xn Mungu kwa kuzaliwa tanzania Mana maisha ya bongo ya matamu cna xx mm niishi uko Bila mchanganyiko
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
lakini yeye ka sema utamaduni wa marecani lakwetu utamaduni africa kuwa wamoja mtaani hakuna kosa yeyote kila watu na utamaduni wao.
@muhammadmochenje14092 жыл бұрын
Proud to born in Africa najivunia kuwa muafrika twaishi kwa tangamano na ujirani hatuna upweke
@melissaporter59282 жыл бұрын
Apparently you don't know a lot of African Americans.Because there is no such thing as lonely in the African American communities Especially in the South in the smaller towns where most African Americans treat each other as family.Don't speak on something you don't know
@salminasalim56302 жыл бұрын
Hongera sana Mashaallah MMUNGU akubariki sana na azidi kukupigania unaroho nzuri sana unatueleimsha wala hujivuni ubarikiwe
@alexkabazo53883 жыл бұрын
Teach them people in Africa to know about life in America sio paradise is on earth epant diers I'm alex from congo moba tanganyika iliving in America 🙏 God bless
@issamanyota2 жыл бұрын
Dah brother nimeipenda hii natamani siku moja nije huko ughaibuni 👐❤🇹🇿
@lucasmfaume66732 жыл бұрын
Hongera sana kaka kweli maisha yanaitaji kuvumilia pia
@deedee36142 жыл бұрын
Yaani bro hilo suala la upweke ni mpaka huku UK. Hasa ile miaka ya kwanza unapohamia. Ila ukikaa you make friends and eventually have a social life. Sema napo inabidi mtu ukifika tu utafute kazi fasta ndio pona yako.
@mbuvibetty11162 жыл бұрын
Asante kaka kwa kutujuza.Natamani maisha ya utulivu kama hayo.sometimes living one's life without alot of interractions with people can be enjoyable and peaceful.
@verceskaingu13722 жыл бұрын
Hi betty
@junenadine65122 жыл бұрын
The fact that many american homes are not gated or fenced like kost aftican homes gives me anxiety,aso due to this issues addressed,the level od depression,loneliness and schizzophrenia is very high, God bless our african family values,neighborliness and togetherness Love from Nairobi
@ROLLWITHLIZ2 жыл бұрын
I hear you on that very true, Africans are so warm and you feel a sense of belonging and that’s why depression is not common or suicide
@janendegwa54622 жыл бұрын
You don't need a fence coz none can walk to your yard or step on your grass it's trespassing,the only people who come to your door are people you know or Jehovah's witness , or postal workers ,f you have a crime emergency the police arrive in 5 minutes so a tence is not necessary in Kenya a fence is a must to make t more difficult for thieves
@gradnessshitindishitindi48813 жыл бұрын
Waooooooo nmewapenda bureee mnavowajari viumbe wengine naona ndege wana enjoy sana
@zeinababdi47572 жыл бұрын
Everything is clean and organized here, beautiful
@deecee97412 жыл бұрын
Ehee, ebu waelezee.
@oldtech82212 ай бұрын
Great bro umeelezea vizuri
@hammelmoussa21582 жыл бұрын
Salama brother 🙌🙌 hapo sawa kwa musmamo unao marekani sikuegine tufafaurie maisha ya kawaida ina endereaje siku kwausiku. Asante 🙏
@ettienewand98502 жыл бұрын
Duh, the place is so clean and green.I love it!
@gamma95902 жыл бұрын
nan atachafua
@bruceii74902 жыл бұрын
So boring
@mscantraah82102 жыл бұрын
Wow mimi na penda maisha ya huko wow nice life 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
@saviomlelwa2 жыл бұрын
Tunashukuru Sana Kwa kutufundisha utofauti wa maisha Kati ya markani na Africa. There is big cultural differences between Africa and America or Europe. Thanks
@barakamsungu52603 жыл бұрын
Upo vizuri brother na hongereni manzari ni kijani kibichi na tulivu,pia asante kwa taarifa kama hizi ili tuweze kujua wenzetu wanaishi vipi,one love brother 🙏
@ceciliakioria33572 жыл бұрын
Thanks From Kenya Keep on posting to educating our African people
@hassanjoseph23982 жыл бұрын
Nakubalii Mkuu napenda sanaa unachofanya
@jeromemwenda27022 жыл бұрын
Kongole EBM! Maelezo mazuri sana, asante kwa kutuelimisha!
@fanwellmwalukasa91232 жыл бұрын
Mi mkali nimekukubali sana uko vizuri naomba uwe unatujuza kwa staili big up sana hongera
@mercymeriy78512 жыл бұрын
I just like the way He explain it in details...
@PabloIify2 жыл бұрын
You're so friendly... nitakuona endapo nkija marekani..Yehova akipenda iwe hivyo.
@josephchiri22282 жыл бұрын
Thanks for using gods name.
@davidnyabuga31192 жыл бұрын
Maisha mazuri bro thank you..
@charlesongiri16172 жыл бұрын
Am very much happy. I would like to more about America 🇺🇸
@zaphaniaambuka71922 жыл бұрын
Shukrani kwa kuangazia swalahilo
@ngeisimon27012 жыл бұрын
Wooh God bless u ata kama cjafika america nimeona vyenye kuko.
@ChrisKibuku2 жыл бұрын
I really like your explanation. watu wengi hawawezi kuelezea hivo.
@megb49142 жыл бұрын
It's so boring in the states..I can't wait to go bk home soon in my lovely country kenya
@kamikazisalma52093 жыл бұрын
Apomimi nimepapenda sana naweza kuishi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@janeyphersuma13162 жыл бұрын
Umetafasiri vizuri pia kiswahili kizuri na madhari nzuri nimependa video
@CalmWhiteNoise52 жыл бұрын
Asante kwa video hii.
@hassanmdoe84252 жыл бұрын
Aisee uko vizuri,naomba mawasiliano yako.
@nassorowaziri30762 жыл бұрын
Hbr za siku Ernest Makuliro! Mm ni Nassor kgm tumeachana 28 yrs ago nimekupata sana
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Heeeeee siyo Tanzania watu hawaishi barabarani kutwa kutembea,wengine bila sababu yoyote.asante kaka kwa kutujurisha
@modestmkali34362 жыл бұрын
Hayo ndio maisha sasa, kutoka unakutana na watu, huwezi kuelewa kwasababu huyaishi, maisha ya Marekani magumuuuuu
@tumlakimwaitumule2 жыл бұрын
@@modestmkali3436 sio Maisha ni vile tu huku ujobless mwingi
@jamesmahatane27232 жыл бұрын
Asante kwa maelekezo nime faam nisiyo ya faam karibuni Tanzania
@Nature_corner2542 жыл бұрын
No wonder wazungu wanapenda kuja holiday Africa.warm climate,warm socialization
@pamelawanderaofficial62572 жыл бұрын
Yes they actually save for that.
@jejo45692 жыл бұрын
Who said USA doesn't have warm weather's? California, Nevada, Florida , Texas are sunny states almost all year around just like Adrica.
@eriqabisai30792 жыл бұрын
Nimechelewa sana kuona hii video... very interesting...keep it up bro
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Jamani ndugu yangu kaka nitafutieni hata kazi yakutosha vyombo majumbani mitashukuru
@filbertmashimba7312 жыл бұрын
Asante kwakweli nimejifunza hata kuweka chakula cha ndege natamani pia kuona Nyumba kwa ndani kwani husika hata nyumba ya kawaida in basement ukipata muda tupitishe ndani kidogo
@andrewl30392 жыл бұрын
Awesome review, very informative 👍. Asante ndugu
@charleslwanga63172 жыл бұрын
Umenielimisha sana mkuu. Big up
@jamessoke44542 жыл бұрын
Vizuri sana nimejifunza Mambo ktk hii video yako
@edwardmukama96072 жыл бұрын
Asante sana ndugu mie nipo tz lakin napenda sana kuja marekani nimefurahi sana kwa video hii , naomba utengeneze video ya kuelezea faida ambazo wtz tunawezapata au mnapata kifedha nk za kuwepo huko! Na nyingne namna ya kuweza kuruhusiwa kuja huko, kutembelea na kuishi, mmi nafikiri tusaidie wtz kifaidi fursa za huko kama zipo tuborehe maisha yetu na ndg zetu!
@Mimi-wf7mb2 жыл бұрын
Asante sana kwa hii video. Imetupa uelewa ili tuache kudanganywa
@MamuMichael2 жыл бұрын
Big up nimeipenda sana truth to be told. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@frankbunini98982 жыл бұрын
Endelea kutujuza zaidi kiongozi. 🤝🙏
@albertogwankwa7992 жыл бұрын
Waaaaa kazi mzuri
@nicolastitus5682 жыл бұрын
Hongeleni mna maisha mazuri sana
@ishengomanelson2 жыл бұрын
So helpful. I am glad umeongea ukweli mtupu. Wengi wanatumia movies kuimagine.
@melissaporter59282 жыл бұрын
That's a very stupid thing to do.
@petrobenson29322 жыл бұрын
Ok ,umeelezea vizuri
@sekibibibatume47192 жыл бұрын
Love from Michigan
@ayoubmhagule2482 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Brother.. keep on updating us, wenzio tuishie kuona tu.. ila kumbuka kutufanyia connection tu.. mm nikipata ya kufagia tu... nitashukuru!!
@modestmkali34362 жыл бұрын
Mhmhm, maisha ya marekani sio marahisi hata kidogo, raha ya maisha ipo nyumbani, usitamani kabisa maisha ya marekani, maisha ya upweke sio marahisi kabisa
@BarakaWaya2 жыл бұрын
Asante kwa maelezo ya kiufahsmu
@samuelopati79162 жыл бұрын
Content Safi ndugu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mathiaslaurent7562 жыл бұрын
Safi sana, dah upweke huu naona nitateseka sana, sipawezi kwa hali hio unapataje mke
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Asante sana Kwa kuelimisha!!
@johnmedia97562 жыл бұрын
Kwe Mungu akubaliki
@rosembaga26583 жыл бұрын
Unapadaa na mbogaaa weee nimekupenda😀😀😀😀
@josephchiri22282 жыл бұрын
Thanks brother
@focuserick61622 жыл бұрын
Hongera sana ukoo wa makuriro
@somediscovery59882 жыл бұрын
I can't understand Swahili but the video is adorable
@adamtawete58652 жыл бұрын
Habari bwana Makulilo za siku
@robertwakhu2 жыл бұрын
This is quite enlightening!
@thabitimkufi73882 жыл бұрын
Dahhh nimekukubali Sana kaka ahsante kwa kutupa mwangaza nimekubali chanel yako
@nelsonmrutu3713 жыл бұрын
Mimi naifatalia Sana Marekani na pia naipenda Sana iyo Nchi , tatizo linalonisumbua ni Lugha ya kingereza ila kwa kupitia chaneli yako nimefunguka zaidi , Mungu akubariki sana
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
tukae Africa kaka hata sisi twaweza ila sisi wafrica jeuri sana tukisema tu fanyeni usafi tutazakuilaumu serekali, wezetu walijitoa mpaka limependezwa leo tuna litamani.
@sebastianbarayata76982 жыл бұрын
Unapataje uraia huko, na ukifanikiwa je, kwenda huko
@sudaissaid84282 жыл бұрын
sio lazima kengereza nenda2...
@Awatee2 жыл бұрын
@@sudaissaid8428 🤣🤣🤣
@happylelo95652 жыл бұрын
Kwa kweli maisha hayo kwa mie nayakubali saana piga kazi yako kuwa bize na mambo yako
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Asante kama ni hivo Bora nisije huko nikae zangu Tanzania,ila nauona hayo ni maisha ya vijijini au ya watu masikini Newyoko au Washington haiwezi kuwa hivo
@hillarykirwa75582 жыл бұрын
Cheers bro Makulilo Watching from Kenya...I have been following you through this platform and for sure your stories are inspiring.Thank you so much for taking your time informing us about US lifestyle.Indeed everything is nice there...Wishing you the best Ndugu...Nikija huko majaliwa nitakutembelea
@elphazjavan67892 жыл бұрын
Wew ndo wa faida kabisa sio kma wengne kuja kutatambia tuu umetueleza uhalisia wa maisha ya huko
@bas28232 жыл бұрын
It call it Mississippi River in Saint Louis with a big arch is over there in USA America.
@Borntown_7G2 жыл бұрын
Big up bro, your are okay,,. Thanks for exposure
@hassanmussa36642 жыл бұрын
Umetuelimisha kaka hongera mungu akubarik
@ilovejesus93032 жыл бұрын
😁😁😁😁 Nimefurahi sana, all the way from Minnesota. Tanzania moja.
@eustacelukindo21722 жыл бұрын
mkuu naomba nomber yako mimi ni track Driver Tanzania