DEREVA WA SERIKALI ALIYESABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI AKAMATWA, "ALIJIFICHA PASIPOJULIKANA", POLISI

  Рет қаралды 8,714

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@vibetz9991
@vibetz9991 8 сағат бұрын
Iyo gairo road madereva wa serikali wanapita kama wanawahi peponi😢
@gilbertrutayuga4676
@gilbertrutayuga4676 8 сағат бұрын
Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia madereva wa serikali kuwa pamoja na kwamba yeye ni mtumishi wa umma yeye ni dereva ambaye anatakiwa kuendesha gari lake kwa kuzingatia sheria za usalama barabarani. Sasa ngoja leseni yake ifungiwe ili apangiwe kazi zingine na posho za safari atazisikia kwa wenzake
@ShabaniSaleeh
@ShabaniSaleeh 8 сағат бұрын
😢😢😢😢😢 kazi hanayo uyo
@stellahmosha9517
@stellahmosha9517 2 сағат бұрын
Madereva wa selikali jmn mnaharaka kuliko haraka yenyewe muachee jmn boss mwenyewe anampa oder dakk 20 uwe umefika Na dereva kulinda kibarua anapaa wenyewe huita ndege ya chini kuna madereva dar to Dom masaa ma4 ivi huko alikopita na boss anamsubiri au yupo nae anawahi kikao mwee Madereva wa selikali mjipende jmn na mzingatie sheria kuna maisha baada ya kazi / ajali boss ni boss uhai ni uhai tuu
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi 6 сағат бұрын
mtuhumiwa jna mnalihifadh maana yake nn hapo .mnatufunza nn au yy mtuhumiwa nani ata mcmtaje iv mnatufanya wananch tuwe na taathira gani
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 8 сағат бұрын
Kazi nzuri
@OmegaJustine
@OmegaJustine 3 сағат бұрын
Sasa mlimpataje kama alijificha pasipo Julikana!? Na mpaka mnamkamata palikuwa hapajulikani tuu
@nsomisanga5535
@nsomisanga5535 7 сағат бұрын
Pole sana kwa hao wote walopata majanga jamanii
@lulimoshaban3815
@lulimoshaban3815 5 сағат бұрын
Asavari
@saidantugwa7671
@saidantugwa7671 2 сағат бұрын
😅😅
@liannsambu7264
@liannsambu7264 5 сағат бұрын
Je inasaidia Nini ?? Maana atakamatwa badae ataachiwa na mtu alishakufa jamani TZ TUTHAMINI UHAI WA MTU TZ UHAI WA MTU HAUNA MBADALA JAMANI
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 6 сағат бұрын
Madeleva ao selikalii ina wapa ujeuliii adii ukuu dar wana endeshaa ovyoo sana wana tanua balabala yani wanavyoo taka awa fatii shelia ichiii ya ovyoo sana hiiiii sasa ivii
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 27 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 26 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН
Arya Stark Kill Count Season 1-8 Game of Thrones
18:37
MikaylaRayne020
Рет қаралды 8 МЛН
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
Messi BACK 💥 Inter Miami vs New England Revolution 7-3 - All Goals & Highlights - 2024
10:35
البابا جيمر ali Solaiman
Рет қаралды 165 М.