No video

AMUUA MWENZIE AKIMUHISI KATEMBEA NA MKEWE, MUUAJI ADUNDA MTAANI, WANANCHI WAANDAMANA, DC AINGILIA..

  Рет қаралды 21,628

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Safi Sana maana naona hizi Sheria zinaleta zarau Bora watu wachukue Sheria mkononi tu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
Ndio hicho ndicho kilichobaki
@thomasjohn7453
@thomasjohn7453 2 жыл бұрын
Mhe. DC LazaroTwange uko vizuri, hongera sana endelea kuitumimikia umma ya watanzania
@sumayafissoo2192
@sumayafissoo2192 2 жыл бұрын
Poleni ndugu zangu wairaq
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
Safi sana angeonekana lazima auwawe kwa hukumu hizi watuhumiwa wanaachiwa kihorela ndio maana wananchi wakimkamata mtuhumiwa wanaua
@happymrema6728
@happymrema6728 2 жыл бұрын
Mbon Kuna Mdada alimuuwa baba yang mdog baada ya mwez akawa uraian mi sishangai
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
@@happymrema6728 pole sana dear ndio Tanzania yetu hii
@barutiboniphace4335
@barutiboniphace4335 2 жыл бұрын
Duh yani hapa naona kabisa mtuhumiwa wa mauwaji 100% hana hatia ndiyo maana katoka coz police huwa wanapewa pressure kutoka juu kwamba kamateni mtuhumiwa fasta msipo kamata ndani ya masaa 24 kazi zenu zinakua matatani ndiyo maana huwa wanakamata ata mtu ambae kabla ya tukio alimsalimia marehemu tu au alimwangalia tu. Sasa ukienda mahakamani kule wanataka ushahidi wa moja kwa moja bila mashaka. Sasa unakuta huyo jamaa ata siku ya tukio zima linatendeka alikua kazini au bar au sehemu yeyote na hiyo sehemu alio kua kuna camera na kaonekana muda wote yupo pale sasa atakaa jela anafanya nn. Ushauri jeshi la police litulize akili wawatafute wahusika wa hilo tukio.
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
@@barutiboniphace4335 yaani kama huyu mpelelezi hana akili halafu hata DC kamgundua kuna kesi ya wafugaji wanagombea ng'ombe badala yakutatua tatizo kati ya hao wanagombea ng'ombe mmoja kamweka mahabusu siku 52 DC kamwambia live mbele ya wananchi ww mpelelezi umemweka ndani badala ya kutatua tatizo maaskari wanapenda rushwa sana dawa yao kuwaondoa kazini mtu kauwa anaachiwa inauma sana kuna mzee anasema ng'ombe wake kauliwa siku 5 analia sembuse mtu Tanzania hi mauji tulikuwa tunasikia nchi jirani lakini ndani ya mwaka mmoja daah watu wamekufa sana kwa kuuliwa
@barutiboniphace4335
@barutiboniphace4335 2 жыл бұрын
Sure rushwa ipo sana tena sana ngoja tuone mwisho wake
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 жыл бұрын
Mkuuu wa wilaya uko vizuri
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 3 ай бұрын
Mkuu wa wilaya umeongea kiume sana ,uko vizuri kazini
@jivitafoundation450
@jivitafoundation450 2 жыл бұрын
Hongera sana mkuu walaya
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
Muuaji anaapewa dhamana hata mwezi bado kesho atakuja kuua mwingine kwanza hii kauli kaua bila kukusudia mtu anauwa hizi kauli wanaachiwa baada muda anahamia sehemu nyingine baada ya mwezi anaenda wanauwa tena
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 2 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya uko big up una hekima unafaa kuwa hata mkuu wa mkoa mashaallah
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
Huo uwamuzi mnaouchukuwa viongozi bila kukusanya ushahidi kwenye eneo la tukio
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 жыл бұрын
Kweli tz wanaamka now nani kaskia tunaowanasheria ambao hawana vyetii😂😂🙌💪
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Hata km hana cheti c kwa jambo hilo walolifanya jmn
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 жыл бұрын
Huyo mpelelezi anavyoonekana ukaaji wake mbele ya Mkuu wa Wilaya anaonekana anajambo lake na pia ni jeuri.
@meshacknkwera5927
@meshacknkwera5927 4 ай бұрын
DC UMEJAA HEKIMA NA BUSARA HAKIKA WATEULE WENZAKO WANGEIGA UTAWALA BORA UNGEKUWEPO, JAMBO KUBWA KM HILI UMELITATUA KWA BUSARA. HONGERA SANA, WENZAKO HUWA WANAP AS YUKA HALAFU HAKUNA UTATUZI
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 жыл бұрын
Wewe wamwisho hongera wakamatweeeeee
@kisalinnko2690
@kisalinnko2690 2 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya uko vizuri lazima ifike mahali watumishi wa umma wajue majukumu yao waache kufanya kazi kwa mazoea.
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Mh na mwanasheria huyo msimuache mtu mwenye kesi ya mauaji hata km anasingiziwa hawezi kuachiwa mapema kiasi hicho kwan yy mwenyewe hahofiwi maisha yake?mtu kaua mtu mnamuachia siyo kwamba ni kutengeneza mazingira ya watu kuuliwa zaidi?
@samirazuberi186
@samirazuberi186 3 ай бұрын
Serikali hi mhmh
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
Mpelelezi umesema mauaji pure na mauaji sio pure ? Nini maana yake tafadhali ......😅 . mm ninataka kujua walifumaniwa ndani au alisikia tu akamtafuta na kumdhuru ? Corruption imehusika dhahiri . mungu ni mjuzi na hakimu wa juu zaidi ya mahakimu .
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
Hayo maelekezo hayana maana , kwann wasirudie wakati kinachorudiwa na wengi ndio kitu cha msingi ? Acha watu watapike bana
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Yeye ninani kwenye serikali hii ?
@adammwita3150
@adammwita3150 2 жыл бұрын
Mkuu wa Wilaya hongera kwa umakini,
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Mpelelezi huyo anatakiwa apishe uchunguzi kwanza vinginevyo ataharibu file
@salamanhonya9677
@salamanhonya9677 2 жыл бұрын
Wakuu wa nchi wapo vizuri but hao wa chini ndo wanaoichafua serikali. Hebu wamuonee huruma huyu Mama Raisi wetu yupo busy kuhakikisha furaha ya watanzania ila wao wapo busy kutaka rushwa.oneni aibu.
@betinabahati3431
@betinabahati3431 2 жыл бұрын
Ww ni DC kweli nimekukubali
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Tanzania nchi ya Ajabu
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Hususani kwenye awamu hii ya 6 ni funga kazi
@sarahfesto2103
@sarahfesto2103 2 жыл бұрын
Tanzania yetu inaelekea wapi jmn
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Жыл бұрын
Labda alikufa mwenyewe! Kweli hapa hapa nchini mtu ataua afu aachiwe kyenyeji na polisi walivyo wakali na wagumu kuelewa? Hata kwa kusingiziwa tu, Ni kazi kutoka ukishakamatwa! Any way, Kuna uchawi, Kuna madawa, Kuna shetani pia Nae yuko kazini, Hapo niuchawi tu umetumika kutoka!
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 жыл бұрын
😭😭😭
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Piga chini wote hao
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 Жыл бұрын
Swali wameboronga mambo muuaji kaachiwa na je km atakimbia itakuwaje?
@neemamalaki8512
@neemamalaki8512 2 жыл бұрын
Jamani watanzania tuombe Sana shetani yupo kazini kuakikisha anafuta Neno amani ambalo liligharamiwa Sana Tanzania ya Jana si ya leo
@SiaJackison-nr3fl
@SiaJackison-nr3fl Жыл бұрын
😂
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Huyo muuwaji mngemchomea ndani tu biashara iishe .
@nabii-zc1hm
@nabii-zc1hm 2 жыл бұрын
Huyo muuaji nyumba yake chomeni kwanza kesi inaendeshwa kijinga sana
@donnihope1768
@donnihope1768 2 жыл бұрын
Ana nyumba basi alikuwa anakaa kwa kina huyo aliyemuuwa
@camilahazal7119
@camilahazal7119 2 жыл бұрын
Kutembea tu na sio kuwapata kindani. Wake tulieni kwa mabwana zenu
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Watanzania 2025 Kama hatutajihurumi tukachagua kwa kuangalia chama au sura tutaisha kwa mtindo huu.Tumwombe Mungu atuongoze ,atuandalie atakayefanya ya ZAIDI.
@amaniabdi9755
@amaniabdi9755 2 жыл бұрын
Huu si wakati wa Kampeni Mpumbvu wewe.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hii
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 2 жыл бұрын
Mwanasheria kapewa rushwa
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Sasa kelele za nini uweni tu uyo mtuumiwa kesi kwisha
@meshajoni5662
@meshajoni5662 2 жыл бұрын
Ndomjue mke wamtu sum ,nabado ,namikunamtu,,namtafuta kwaudi nauvumba,,kumamaee
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Hujipendi
@mwajumamohd7930
@mwajumamohd7930 2 жыл бұрын
We ni bwege hasa,unaemuhangaikia huyo mke umemzaa wewe,uchungu gani unao mpaka umuue mtu eti katembea na mkeo,kwani umezaliwa nae? Kazae wa kwako ndo umgombanie bwege wewe......acha mapenzi ya kipumbavu huyo mke umekutana nae ukubwani
@meshajoni5662
@meshajoni5662 2 жыл бұрын
@@mwajumamohd7930 kichwa maji wewe unastahiri nyundo ,,wenyeakili Kama zako,,mtakufa mnooo,,kumamaee
@meshajoni5662
@meshajoni5662 2 жыл бұрын
@@neema_mollel najipenda Sana ,ndomaana spendi zarau,,,nimezaliwa sku moja,nantakufa skumoja,,,
@ramadhanitanganyika9403
@ramadhanitanganyika9403 2 жыл бұрын
poa
INAUMA! MUME AMCHINJA MKEWE MBELE YA MTOTO WAO MCHANGA USIKU WA EID...
23:35
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 8 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН
Кто убил СССР: называем поименно
54:09
НО.Медиа из России
Рет қаралды 29 М.