Nimebarikiwa sana ni mcungaji Mathieu Congo kiniezire
@erickdeogratias7718 Жыл бұрын
Mungu akubaliki mchungaji.una mafundisho mazur🙏🙏🙏❤❤❤
@geoffreynyabigo7565 Жыл бұрын
Ukweli pastor Mgogo Niko Qatar nakupata Swali kabsa, Mimi ni Mkenya
@patrickchisale87922 жыл бұрын
Ujumbe huu umefika hata huku Malawi. Bwana Yesu Kristo asifiwe sana kwa kunirekebisha. Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu Daniel Mgogo.......bj
@MAVUWARAMAZANI6 ай бұрын
Mungu akubariki pasto
@RAULENTLEO-hc5ud Жыл бұрын
Mungu atusamehee San
@eliasmwamengi25412 жыл бұрын
Hekima imejaa hapa, Mungu akuweke uzidi kutufundisha, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakupenda
@erickmnazareti37592 жыл бұрын
Ata Mimi ni fundi naomba mungu anisamehe
@lowasasmlaizar4766 Жыл бұрын
Asante sana baba mafundisho
@KevinOtieno-ej7ny6 ай бұрын
Napenda sn pastor kwmaoni yake
@marymasha67772 жыл бұрын
MUNGU akuzidishie neema na ukuu wake ukufunike milele uzidi kutufundisha hili neno la kweli , watching this sermon from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JoelRichard-hj3bi8 ай бұрын
Hizi ni nondo za moto kila mtu anaesikia ataelewa tu,ubarikie sana.
@princehancesam98922 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mchngj wangu
@Bijou-e1n8 ай бұрын
N'a ishi Congo ubarikiwe
@DavidKitule Жыл бұрын
Nikweli kabisa mtumishi❤❤
@MalamshaAmoss8 ай бұрын
Mgogo mungu akujalie maisha marefuu usaidie jamii ya leooo😊
@innocentndayiragije53022 жыл бұрын
Mucunga tunakunda sana fanyakazi kabisa Mimi nayishi Rwanda mapastazi wengi bameshindwa kuwubiri banataka pesa Kira wurimwengu banaharibu maneno ya bible Sam churchs wanaroga watu yani hakuna zambi come baraka came baraka
@TomNatembeya Жыл бұрын
Pastor, mungu akuongesee miaka utufutishe neno.Tom from Kenya
@mathiascheboi6610 Жыл бұрын
Somo hili lina ukweli asilimia 100%
@noeliaosca57222 жыл бұрын
Amina baba ubarikiwe
@GawaherHАй бұрын
Ameeeeen❤❤❤❤
@tedyjoshua87172 жыл бұрын
Mm ni fundi cherehani ilaa unayo semaa ni sahihii hakika mungu atusamehee
@iloveafrica2 жыл бұрын
Jirekebishe na urombr Mungu msamaha
@francishimangi26952 жыл бұрын
amina mchugaji nimebarikiwa san
@elias89802 жыл бұрын
Nashukuru Mungu sana kwa ajili ya neno lako yaani real gospel inayofaa kwa kizazi hiki .(wanataka kufanikiwa kwa njia yoyote pasipo kuzingatia kama ni njia ya haki ama jeep Inapendeza Mungu au la.
@masalusimoni4862 жыл бұрын
Mungu akuongezee neema
@aineaashira2784 Жыл бұрын
Kenya tunakupata👌
@muthonijgatia43502 жыл бұрын
Mungu akumbariki paster kwa kuhumbili ukweli watu waokolewe sio wachungaji wengi wanahumbili wokovu
@roseosiemo61452 жыл бұрын
MUNGU akupe nguvu ya kueneza Injili kote duniani
@tedyjoshua87172 жыл бұрын
Barikiwe mtumishii
@julianambone95842 жыл бұрын
Kweli kabisa tumebeba dhambi mingi🇰🇪🇰🇪👏
@SAKINDINSOROEmmanuel7 ай бұрын
Amen
@niyibiziprofil47582 жыл бұрын
Assnte, Maputo-Mozambiki tunakupata mia kwa mia!!!ubarikiwe.
@alexjotham50412 жыл бұрын
I see kwa hali hii Mungu atusaidie
@shabanimalembe45712 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@labanmwenda37952 жыл бұрын
Mwizi wa yai na mwizi wa million wote ni wezi
@jentricksmandila67962 жыл бұрын
Tuna semi tumerogwa na sisi wenyewe tumejironga mungu atusamehe.provers 6:2. Tumetegwa kwa maneno yetu
@Masokabya082 жыл бұрын
ubarikiwe sana mchungaji.
@raymondwilly2 жыл бұрын
MUNGU akubariki neno limenikumbusha nimejifunza kitu
@kabareemmanuel90332 жыл бұрын
Nikweli kbs, hata mimi huku Rwanda ninakupata.
@evansoramisi72692 жыл бұрын
Sema ukweli kabisa pastor🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elishavenance13482 жыл бұрын
Nakupata pastor
@siandungu22432 жыл бұрын
Amen .nimebarikiwa sana na mafundisho pastor from Kenya
@wilcoseweyama32122 жыл бұрын
That's true man of God 🙌🙌🙌
@robertsmwinyi45152 жыл бұрын
Waambie, ukweli utabakia ukweli, muda wa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa umepita.
@mwovemwitingi4172 жыл бұрын
Ekima ya juu sana Asante sana mtumishi was mungu
@Hbk2062 жыл бұрын
Amina baba
@timothybirithia53042 жыл бұрын
God bless you poster
@francishimangi26952 жыл бұрын
mungu awasamehe mafundi wetyu
@foncetec2 жыл бұрын
Sio mafundi tu hata wewe jichunguze
@HASASON2 жыл бұрын
Ukiona wametulia jua umewagusa
@johnbosco59952 жыл бұрын
Being blessed from Philippines pastor
@samuelkivuthi44952 жыл бұрын
Amen, very true, from Kenya
@EuniceKhavere-y1v Жыл бұрын
🤲🙏
@YohanaOmary-du1cs Жыл бұрын
Kwa Habari ya fundi WA nguo hunautafiti wa kutosha labda umekosa cha kusema tu walahuna cha utafitiwowote
@pescopenterprises27282 жыл бұрын
Injili imenyoka
@asumaniasani99222 жыл бұрын
Amen amen
@danielkuria83362 жыл бұрын
True sermon,following from 🇰🇪
@christinenyambega1391 Жыл бұрын
Muchungaji nakufatilia nikiwa saudia arabia na mimi ni mkenya mahubiri yananisaidi kabisaa
@kapelotz99672 жыл бұрын
Imefika iyo
@peterokalo96322 жыл бұрын
Amen âme all is truly ☝🏽👏🏽🙏🏽
@esterramadhan79342 жыл бұрын
hahahaaaa mafund mungu atusamehe
@JeffaMohammed9 ай бұрын
Baba sema tupone
@falesbanda75202 жыл бұрын
Mulibalikiwa Mulungu apitilize
@sofiabarasa70452 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 barikiwa sana nami nimenguswa na hiyo mahubiri
@everlyneiminza57222 жыл бұрын
Jamani ukweli huo🤣ndio maana wengine hupenda kununua ready-made ujipime ikutoshe fresh
@danielsikuku75962 жыл бұрын
I repent in Jesus Mighty Name
@vannisahkarisa37062 жыл бұрын
Umewagusa wengine wametulia tuli 😂😂😂😂
@josephmusagasa55662 жыл бұрын
Wape wape vidonge,wezi, wazinzi,majambazi unao humo,yaani neno hilo ni la kina kweli kweli
@alexmatt95042 жыл бұрын
Huyu ni Pastor pekee anayeongea uhalisia ulivyo. Hana cha kuficha na ndivyo inatakiwa viongozi wote wa dini kuongea haya.
@kaytwok23452 жыл бұрын
Kupitia haya mafunzo moyoni nahisi nimepatikana....Kuna swali napenda nikuulinze sijui kama nitapata email Yako vipi nipate jibu
@pendosamwel16822 жыл бұрын
Sidhani kama hicho unachokielesa ni injili. Naogopa...naogopa...naogopa sana kanisa likisalia wachungaji kama.huyu... Kanisa linaenda kuwa soap operas! Mchungaji soma comment hii!
@foncetec2 жыл бұрын
Imekuchoma hiyo
@josephmesache75792 жыл бұрын
Wewe ndio mtu mumezoe mahubiri ya kubarikiwa pekee bila kukuza dhambi wee Kama unataka injili ya kubembeleza dhambi shauriako
@HASASON2 жыл бұрын
Wewe ni mwizi kwenye angle gani?
@frankjohn87062 жыл бұрын
Vp na wachungaji wanaoweka sadaka za mchongo
@alphaveronez95652 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@anordlazarolazaro84452 жыл бұрын
Hukukwetu umewagusa kuna kanisa wachungaji wame zipiga sana za mayatima mpaka wamewafukuza watotoyatima
@phoibejacksonjackson64712 жыл бұрын
Du kanisa gn hilo
@paulkasheto90542 жыл бұрын
Bwana Yesu akubariki sana mtumishi nimekuelewa sana.
@juliethdaniel26642 жыл бұрын
pastor mungu akutunze umetugusa kwenye mioyo yetu
@dillymure15532 жыл бұрын
Ukweli mtupuuu napenda unatoka somo kulingana na maisha halisi