HANANJA AMJIBU ZUMARIDI/ ANA UGOJWA WA AKILI

  Рет қаралды 26,064

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 39
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 Жыл бұрын
Mnatumia nguvu kubwa sana kumponda Zumaridi, fanyeni kazi zenu
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 5 ай бұрын
Tokapa napepo renzio zumaridi😡
@joelyjoely7827
@joelyjoely7827 Жыл бұрын
ZUMALID ASIWASUMBUE ANATATIZO LA AKILI
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂yaan huyo hajaenda mbingun huyo anachukuliwa na majin anapelekwa huko kweny ulimweng wa hao viumbe sema hajajijua tu😂😂😂
@fransisnyandoa8163
@fransisnyandoa8163 Жыл бұрын
😂😂😂 nikweli kabisa 🙏
@mozespatnam7469
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
😂😂😂safii sanaaa pastor fact sanaaaa
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Uwiiii
@zawaddembe9667
@zawaddembe9667 Жыл бұрын
Maaskofu he nanyi mko kimya kwa upotovu huu wa zumalid
@ibrahipupa6231
@ibrahipupa6231 Жыл бұрын
Wasukuma kwann wasimtie viboko huyo zumaridi au Wana muogopa
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Kwanini serikali ina ruhusu zumaridi kuzindi kupotosha wanaichi??
@jashakishabany6436
@jashakishabany6436 Жыл бұрын
Serikli hainaga dini wewe
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 6 ай бұрын
Mtashuka tuu, maana mmekalili maandiko
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Kuna viroja duniani😁
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂make kwanza ncheke😂😂😂😂
@kimboo-nc2og
@kimboo-nc2og Жыл бұрын
😂😂😂😂 😂😂😂😂
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
Eti tuna uhuru wa kuabudù, kwa jinsi hii ya ķina zumaridì hakika wengi wataangamia
@siwemamohamedi2119
@siwemamohamedi2119 Жыл бұрын
Wewe mzee ni chizi na Moshi wa bangi umekuzuru unatafuta Kiki kupitia jina la Mfalme Zumaridi
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
IKIWA SERIKALI I.EMUAMINI HUYU BASI IFAFANUE VZR, HAKUNA UKWELI HUO ILA KUDHSLILISHA N KUPOTOSHA
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 Жыл бұрын
Zumaridi ilibidi arudishwe jela haraka
@bushbabytz
@bushbabytz Жыл бұрын
Kifupi huyu mzee mwenyewe kama ana tatizo la afya ya akili ...wote tu kama Zumaridi
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Kweli kabisa maana wanamuona Zumaridi tu akat matapeli yamejazana hawayasemi
@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 Жыл бұрын
Ina onekana na nyinyi mna matatizo ya akili😁😁😁😁
@perepetuasenga3875
@perepetuasenga3875 Жыл бұрын
😁😁😁😁
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Gwajima nae kamuona Yesu huko sijui Yesu rangi yake ikoje au ndiyo wakwenye filamu
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
@@bennyngoye8707 walio muona Yesu huko hamuwasemi watuambie rangi yake ni ipi je ninyeusi au nyeupe ama ndy wanamuona wa kwenye filamu
@masoudmasoud9345
@masoudmasoud9345 Жыл бұрын
Kwa maoni yangu ukibisha Zumaridi hakwenda Mbinguni ni kwamba nawe ulikuwepo huko. Ungekuwepo ni rahisi kuthibitisha ulikuwepo na hakuwepo. Kama hukuwepo huko huwezi kutwambia hakuwepo. Kila mtu ana Karama zake alizopewa na Mungu. This is simple logic. Anayeweza kusema hakufika huko ni kwamba alikuwepo huko na hakumuona
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 2 ай бұрын
Punguza upunguwani kuwa mwelevu
@adampetermakombe5654
@adampetermakombe5654 Жыл бұрын
Huyo amechaganyikiwa jela
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Mnamuona Zumaridi tu hao matapeli wengine hamuwaoni ndy maana huwa narudia kusema Dini ni ufinyu wa fikra kila mtu anakuwa anajiona yuko sawa kwa upande wake lakini ukweli ni kwamba miongoni mwa watu wanalirudisha taifa hili ni viongozi wa Dini.
@dianerditto
@dianerditto Жыл бұрын
Kwa hio unasemaje?
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
@@dianerditto kama unavyosema wewe
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Hakuna cha GerDav,Mwamposa,Gwajima,Kakobe,Mzee wa Upako,Mwakasege wala Mzee wa Neema habari ya mjini ni ZUMARIDI kama ni utapeli basi wote hawa ni matapeli
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 6 ай бұрын
Umenena vuema
@faridithomas4859
@faridithomas4859 Жыл бұрын
wakristo mna tabu kwelikweli
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 Жыл бұрын
Yan zumalid Anaugongwa waakili so bure amerogwa
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Hujasikia huko na Gwajima kamuona Yesu me shida yangu siyo kumuona ila rangi yake ikoje au ndiyo wakwenye filamu ndiyo kamuona
@zawaddembe9667
@zawaddembe9667 Жыл бұрын
Askofu kakobe thanks neno Katina Hil I mtokambali tamka neno Katina Holi
@zawaddembe9667
@zawaddembe9667 Жыл бұрын
Askofu kakobe tamka neno Katika Hil
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 60 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Mercy Mawia  😭😭💔 Bye bye  ooiiii See What happened...
9:44
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 10 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 549 М.
Inside Mark Zuckerberg's AI Era | The Circuit
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 1,2 МЛН
MFALME ZUMARIDI AZAWADIWA GARI LA KIFAHARI
17:16
ZumaridiNews Tv
Рет қаралды 25 М.
Они не знали, почему он так поступил, пока
0:39
My wife said she wants to show me her true skills
0:27
昕昕一家人
Рет қаралды 62 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 5 МЛН
Этот парень написал картину... 😎
0:29
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 7 МЛН
Приостановили веселуху😨 #симпсоны
0:59