mashalaha napenda sana mana mm nimuislam ila kusoma sj7w
@MarimSaliКүн бұрын
Mashaallah nakupenda kwa AJILI YA ALLAH MWENYEZ MUNGU ANIJALIYE WANGU WAWEKAMA WW INSHAALLAH ❤
@mams1892Күн бұрын
Tafuta darsa za kina mama au za wa baba kama mwanaume Allah atakufanyia wepesi Biidhnillah
@alirashid323921 сағат бұрын
Huyu mtoto all in all elimu ya secular kwake pia ni muhimu maana ulimwengu umejaa ghilla ila ukichanganya elimu zote mbili hakika dini utaisimamia vyema maana hakuna atakae kusumbua wala kukupelekesha.na ndio maana mtume wet muhammad (s.a.w) aliiva kisawa sawa kila pande yy alikua gwiji wa magwiji hakuwahi kutokea kama yy na hatotokea kama yy kijana shule kwake pia ni muhimu.
@rajabmpamwa90514 сағат бұрын
Hv huyu dogo haya yote kayasomea wapi na kuyajua katika umri huu mdogo ? Lipo jambo apo kwa wenye kufikiria😢
@mohammedrajabumwamba132215 сағат бұрын
KIJANA ANAWEZA SANA AHSANTE SANA DOGO
@samxx4115 сағат бұрын
huyu kijana ni mazingatio kwa wenye akili....wenye akili ni lazima muitumie akili zenu, Allah ameleta mitume watu wamedharau, ameleta vitabu tumedharau, maswahaba tumewadharau, akaleta mawalii na masheikh tumedharau, sasa Allah ametuletea mtoto kama huyu basi bado akili zetu na mioyo yetu haizinduki bado tumelala??? Jamani hasa waislamu tumuogopeni Allah kwani adhabu za Allah hatuziwezi