DIAMOND ALIVYOMTAMBULISHA RASMI D VOICE NDANI YA WCB WASAFI

  Рет қаралды 170,346

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер
@issataslima9846
@issataslima9846 Жыл бұрын
Subhannaallah allah Jamaani em tupe uwezo wakuona haya saasa mondi ameva akitupa gaani hapo ety kam mwanamke
@paulkifuku9730
@paulkifuku9730 Жыл бұрын
Hongereni wasafi
@classicboymusic
@classicboymusic Жыл бұрын
It's his time to shine under diamond platnumz, hongera
@pc_boy426
@pc_boy426 Жыл бұрын
Karibu brother✊
@samclassic1846
@samclassic1846 Жыл бұрын
One love d voice mungu akulind
@janeshigami8769
@janeshigami8769 Жыл бұрын
Hii ndio Music Label sasa...👏👏👏
@ReginaMapunda-f8i
@ReginaMapunda-f8i Жыл бұрын
Unyamaa saanaaa❤
@philippemukandama2960
@philippemukandama2960 Жыл бұрын
Diamond platnumz mungu azidi kukubariki, na azidi kufunguwa mlango mbali mbali ju ya biashara yako. Wewe ni mtu muzuri sana. Trust me Ata wakati ahuto kuwepo tena, tayari utakuwa umeacha legacy. Napenda sana unavyo wafunguliya vijana milango. May God bless you brother. 🇨🇩🇨🇦🇹🇿❤❤❤❤
@OttoAdrianHilzensauer
@OttoAdrianHilzensauer Жыл бұрын
I love his vibes good Job simba
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
WCB FOR LIFE ✊
@VanjiBoy
@VanjiBoy Жыл бұрын
Vanji boy nakubali kaka
@SakinaJackson-um5ns
@SakinaJackson-um5ns Жыл бұрын
Mondi naona ako kacroptop😊😊
@abdulazizkanyame6368
@abdulazizkanyame6368 Жыл бұрын
Kumbe watu waliotea kumbe kwel d voice
@rodrigespuka
@rodrigespuka Жыл бұрын
Another killer in wasafii under Simba la masimba dangotee haujuiii
@JumaMario-px8tt
@JumaMario-px8tt Жыл бұрын
Kaza kama maisha no hayo tuamiminiane
@amiratitotoz6913
@amiratitotoz6913 Жыл бұрын
Congratulations dvoice
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Жыл бұрын
Asa mondi icho kitop Cha nn tena kaka , apo umezingua
@YusufuJuma-cm6re
@YusufuJuma-cm6re Жыл бұрын
D Venga wa kwanza kabisa Dondosha like nitabasamu❤
@Kigumi_therarebway-fn4dw
@Kigumi_therarebway-fn4dw Жыл бұрын
kwahyo usafini kunakuwa na singeli..au umembadilisha
@papynyota3751
@papynyota3751 Жыл бұрын
Niatareee
@RubenRuham01
@RubenRuham01 Жыл бұрын
❤❤❤
@ImuDabo
@ImuDabo Жыл бұрын
Nakubali kazi diamond ww ndie mwanamziki mkubwa africa nnzima watao sema wacha waseme ila ww ndie baba wa mziki
@SimbaTiger-qp4ss
@SimbaTiger-qp4ss Жыл бұрын
Simba nakubali sana mpakanalia
@rukaiyaramadhani4879
@rukaiyaramadhani4879 Жыл бұрын
Hongera daimond na d voice
@thekewakid
@thekewakid Жыл бұрын
Huyu msee ni mrefu bana😂😂😂
@JosephcompetyOitamany
@JosephcompetyOitamany Жыл бұрын
Kijana aweke bidii wcb
@Linnetsmiles
@Linnetsmiles Жыл бұрын
Uulefu autishi bora uai😂
@issalavany5208
@issalavany5208 Жыл бұрын
Kipaji Ndo kimekufa hivyoo D voice maskini..😭😭😭
@RamboMashauri-eb6oq
@RamboMashauri-eb6oq Жыл бұрын
Dvoiceeeeeeeeeeeeee
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 11 ай бұрын
Aliyemvalisha dimond platinum Mungu anamuona😂😂😂
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Hivi Diomind hiyo miguu haumii akitembea aiseee😢
@john_1trader
@john_1trader Жыл бұрын
Hiyo sura yako hauoni haya kuiweka kama dp
@binsururu
@binsururu Жыл бұрын
😂😂😂😂Imenibid ncheke tu
@najmaabduli9593
@najmaabduli9593 Жыл бұрын
Mrefu baraha😂😂😂😂 kampita adi boss
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Mhhh Akifika miaka 24 na huo urefu kuliko mabosi atakua ana Mtisha bosi wake,😂😂tena na akianza na gym ,,diamond ataona anaibiwa madem zake ,,,,,hatodumu kwenye rebo huyu😅😅
@donartibrahim1824
@donartibrahim1824 Жыл бұрын
ahah ausio
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf Жыл бұрын
Kweli kabisaaa
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 Жыл бұрын
Naangalia mavazi ya mondi
@AthumanLyao-f1d
@AthumanLyao-f1d 23 күн бұрын
Peter Peter
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
Huo urefu we chalii huo sio urefu ni ushetwaaani😂
@VeesalJr
@VeesalJr Жыл бұрын
😂😂
@FaridaRamadhan-de1ys
@FaridaRamadhan-de1ys Жыл бұрын
Hivi ulichoandika umedhamiria au ndo kujitoa ufaham 😢 anyway congratulation yako na familia yako
@MaulidiDadianna
@MaulidiDadianna Жыл бұрын
Nimefurayi sana simba kutuleteya musani mupiya
@pendonyambari6460
@pendonyambari6460 Жыл бұрын
Ajue kucheza kama dai
@H-bôy01
@H-bôy01 Жыл бұрын
Tall
@resgoldphilays1800
@resgoldphilays1800 Жыл бұрын
Siku zote umevaa vizuri wakati wa kutambulisha wasaniii, Leo umekuwaje?
@YxztzTv
@YxztzTv Жыл бұрын
Tz founder 😢
@rays_health_care9707
@rays_health_care9707 Жыл бұрын
It's so funny
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Жыл бұрын
Huyu dogo kachuka swaga za mond
@LeonardGeorge-jj4bu
@LeonardGeorge-jj4bu Жыл бұрын
Acheni ushamba basi....."Any mistake in an art is a design..." Kakoti alikovaa Mond ni Sanaa hayupo church au mosque hapo
@ibrahimmzumbwe2175
@ibrahimmzumbwe2175 Жыл бұрын
Alafu baadae aanze kutusumbuaaaaaa... Mwamba unapata tabu kuwa bland unaumiza kichwa Sana Ila ndio ukubwa lkn.
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr Жыл бұрын
We zombi
@EvelineMasubo
@EvelineMasubo Жыл бұрын
Jamani ifike mahali anae washonea nguo muachane nae munakuwa vituko😢Diamond unadizainiwa nguo una fanana na asake Kwenye hii shoo ulikuwa kituko😂 na Divorce mumemushonea nguo akue nazo😂 haya mbosso😂kaingia na gauni😂badilikeni ht km ndio usanii huyo dizaina kaishiwa
@mussamajisu9781
@mussamajisu9781 Жыл бұрын
Namkubali Sana dogo
@PhilibertKajungu
@PhilibertKajungu Жыл бұрын
Burna Boy announces London Stadium show for June 2024.
@PiliJamaldini-s6v
@PiliJamaldini-s6v Жыл бұрын
Namba ni mrefu hatari
@ReginaMapunda-f8i
@ReginaMapunda-f8i Жыл бұрын
😅😅
@SantonaShadow
@SantonaShadow Жыл бұрын
Mbona diamond kavaa kama kadada alafu uyo ndo baasha ake
@giztony2009
@giztony2009 Жыл бұрын
Acha usenge ww huyo cyo mtu wa kawaida
@SantonaShadow
@SantonaShadow Жыл бұрын
@@giztony2009 baasha ako
@hoseamtiro4439
@hoseamtiro4439 Жыл бұрын
Uuuuuh hio pens na koti mwenzetu hatuko nae tena
@Top-tire
@Top-tire Жыл бұрын
But i think he chose him for local markert not international acording to what im hearing on his music
@tayk4745
@tayk4745 Жыл бұрын
kamaa hujui kitu kaa kimya
@AndasonMartine-vz2bq
@AndasonMartine-vz2bq Жыл бұрын
Muda utaongea😂 WCB haijawahi kufel
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 Жыл бұрын
Mtu mwingine angevaa hicho kikoti cha mond angeitwa shoga😊
@Helmabi467
@Helmabi467 Жыл бұрын
Yani platnumz unakosea sana,tunaitaji mziki wakuskika Africa nzima kama wewe,uyo d voice anaimba singeli atasikika vipi??? Yani nibora ata unge mchukuwa MAVOKALI apana uyo DV🙈🙈🙈🙈🙈🙈
@VailethNeligwa
@VailethNeligwa Жыл бұрын
Kama alivyo mrefu na dudu yake ikawe refu ili awaridhishe wakina wema asitie aibu😂😂😂
@shadracknyese3307
@shadracknyese3307 Жыл бұрын
Utapigwa mtungo ohoo
@GraceAllen-nf3zr
@GraceAllen-nf3zr Жыл бұрын
😂😂😂😂
@SaddaHussein-oc8ui
@SaddaHussein-oc8ui Жыл бұрын
ww nae maneno gani hayo wakat mwenzako mungu kambaliki
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 5 МЛН
The Story Book: Watu 15 wa Ajabu Zaidi Duniani
28:49
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 МЛН
KESI YA HARMONIZE Vs BABA LEVO | PART ONE - USWEGE MURDERER
7:55
Uswege Murderer
Рет қаралды 282 М.
KIMEWAKA NDANI YA VINA MEZANI NI MICHANO JUU YA BEAT
25:38
Crown Media
Рет қаралды 110 М.
5 BEST SINGERS on America's Got Talent 2024!
29:23
Talent Replay
Рет қаралды 1,5 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 5 МЛН