Рет қаралды 290,583
Ni headlines za Msanii na Mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz ambapo Novemba 19, 2023 ameandaa private party inayofanyika Elements Masaki Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kumkutanisha Msanii wake mpya aitwae D Voice na mashabiki wa Bongo Fleva.
Hapa nimekusogezea ushuhudie pale Diamond alichokwazika baada ya Jamaa kuleta usumbufu mahali ambapo D Voice alipokuwa akichezea Santuli.