Waaandishi Acheni fitina. Kuwagombanisha awa watu mnaweka. Mambo ya zamani kuwagombanisha watu tu😢😢😢
@errymusic111910 күн бұрын
Alikiba mbona akwendaa😂😂 mna mtaja tu simba la masimba
@MenTPL10 күн бұрын
Hapo sasa 😂😂 hawana cha kuongea
@TishaniUlanga-bj3nx8 күн бұрын
Kiba hana impact,hata asipo kuwepo sawa tu
@johnmichaellukindo2110 күн бұрын
Nyingi ndio wachonganishi
@BenedictaMagantg10 күн бұрын
Kabisaa
@JonsonOsward10 күн бұрын
Du noma san
@RamadhanMbwana-o1j8 күн бұрын
Siyo Platnamzii😅
@ekimnkande28737 күн бұрын
Mnamlaumu sana Diamond hebu muacheni hakuwa na nafasi msiba wa dada best tu alikuwa marekani sijui sasa itakuwa kwa Mario hivi usipoenda kwa Diamond utamsumbua nini
@hanifamziray27710 күн бұрын
Nyota ya simba ni kaliiiii sn sbb kutwa simba sio lxm kila.mahali aende
@HalifaRashidi-b3d3 күн бұрын
acha izo cadi broo mbna wakifanya wao uwa amusemi marioo mbona kwenye wasafi festve akuwepo kama kamaindi iyo kwake awezi kumzima mondi kwa lawama
@stevenchenga197810 күн бұрын
Asaiv kila mtu apambane na hali yake mambo ya kubebanabebana ndo mwanzo wa dharau badae kama Harmo tu
@esikingamrperfume199710 күн бұрын
Hayo mambo ya kitambo mbona mnafeki headlines 😢
@RamaKuminya-p8v7 күн бұрын
Acheni uchoko nyinyi wandishi mnapend unafiki sana yani kwenu kwann kila kitu daimond kam vile mmeheno unatuboa wandixhi
@cosmikerevocatus43386 күн бұрын
Wew mchonganishi
@OscarChars7 күн бұрын
Nyie ni wachanish two wandish hata ni bos wake lakn siy lazm kwenda mondii kikubwa dua na albam inatrend
@vitukouswahilini-q2r2 күн бұрын
Muje na kwangu munisapoti
@aleyidukury83337 күн бұрын
Keki ya taifa nikubwa achakulalamika marioo
@SalumKasala-lk1vv9 күн бұрын
Kwani ni razima Simba kwenda mbona mume wenu alikiba hajaenda kwendeni huko wachonganishi nyie mondi anakijiji aache kwenda aone Kama atampita Simba la masimba dangote ni mwamba
@Daplatinum77310 күн бұрын
Msipendee kumuonea diamond marioo yule anadharau ndio maana hawaelewani na chino
@vitukouswahilini-q2r2 күн бұрын
Mario sura mbaya kama harmo rapper
@DavinKhanKe10 күн бұрын
Nyinyi n wachonganyishi
@SalumKasala-lk1vv9 күн бұрын
Mario ni mtoto tu avujge Mambo mazuri hayataki moto
@damianmcba95259 күн бұрын
Mario yupo peace sana wewe mtoto wa Temeke huyo katoka kwenye dhiki ana noma na mtu hawa waandishi tu ndio wanajitungia mambo kichonganishi,,,,Marioo alisema akialikwa atakwenda 'Alhamdulilah nikiwa na mda lazima niende sina ugomvi na mtu
@starvoh247Ally-i4m10 күн бұрын
Jamen kwani alikiba alienda ama mnatafta kiki
@anjelinakasembe84510 күн бұрын
Mwambino muongo mwanzo alisema alienda ofisini Leo nyumbani teaming nini?🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️
@shamamamalisa65135 күн бұрын
We mwandishi nahisi unashida kichwani mwako hujui unaongea nini pande zote mbili
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6c10 күн бұрын
daimondi Kuma tu ata yeye alisaidiwa akuna anae simama peke yake ndo maisha
@nashnene632610 күн бұрын
Diamond anauma sana ndio maana unaongea kwa uchungu
@SalumMusa-f5l6 күн бұрын
Hacha mitusi mwamba huweleweki bila kutukana
@alanoudalseari720810 күн бұрын
anawivu chuki binassi ndani ya moyowake
@SamirahOmary-c6e8 күн бұрын
Oyaa mnazngua mnazngua sana angalia hizo nywele za chibu sio za sasa alafu hii clip ni ya kipindi kile marioo aliomba diamond amsaini Wcb uyu mtangazaji anatuona sisi machoko wakati mshikaji mwenyew ukimuangalia tu unajua jamaa mshamba
@starvoh247Ally-i4m10 күн бұрын
Kwani zuchu alienda band je jux je acha mambo yenu
@AhmadZumba-p2z6 күн бұрын
Mbona kama wewe ndo unataka kutengeneza tension mzee.... Alafu kumbuka Hao ni wasanii wa label mbili tofauti... Nakubariana Na huyo jamaa alo comment hapo juu kuwa nyie waandishi ndo mnaochochea mabifu ya kipumbavu baina ya wasanii ili kuzipa uhai media zenu... Kwani diamond hajawahi kwenda kwenye event yoyote ya marioo? Tuache utoto bro...
@ekimnkande28737 күн бұрын
Mwanzo mbona aliombwa aingie wbc akakataa sasa imekuwaje waswahili nyie
@EnzokiddGospeldancer10 күн бұрын
Munaocomment nyote makuma
@MenTPL10 күн бұрын
Afu ninyi warangazaji mpo fake sana, Ninyi ni wachonganishi