Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZbin channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Пікірлер: 13
@mariselilekibalunye59333 күн бұрын
Hiyo nyimbo kipekee inanisisimua kwa kweli nyimbo Kali ,🎉🎉🎉hongera diamond 💎 wetu mungu akulinde mzani wetu TZ ❤❤❤
@dorothmsuya16865 күн бұрын
Nyota iiking""ara huwezi kuizima! Mondi kama Mondi!❤❤❤
@yohananchimbi17565 күн бұрын
Makamu wa Rais mtarajiwa,tunakuombea kwa mungu,tuokoe Nyasa,barabara ya Mbambabay -Lituhi kiwango cha Lami,tumesahaulika sana
@hassanngayaga32025 күн бұрын
Hongera mond
@dorothmsuya16865 күн бұрын
TUNAZIMA ZOTE TUNAWASHA KIJANI WAKATAE WAKUBALI!😂😂😂❤❤❤
@ramlaramlashabani58704 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉
@SeverinoLuis-j1h5 күн бұрын
Ccm oyeeeee vigeregere kwa kina mama na wa baba miluzi😂😂😂😂😂😂😂oyo oyo😂😂
@mdeeyoofficial8135 күн бұрын
Asante
@MokayaSamwel-h8u5 күн бұрын
Campaign ya Tanzania iko juu kuliko yetu Kenya
@BarbaraPatience-qt9cc4 күн бұрын
Sasa hiyo urban tone inachezekaje? Wewe ambia hao wasanii wetu wa Kenya waanze kuimba sio ile ujinga tunaimba....anga nayo
@FredrickMatiku-xf2uk2 күн бұрын
Diamond platinum kachukua nafasi ya john komba kwa uandishiiiii wa nyimboo za CCM