MWANANCHI AMKOMALIA MAKONDA MBELE YA WANANCHI /MIMI MTATA/UNANITISHIA KUNIROGA/SIWEZI KUMRUDISHIA.

  Рет қаралды 611,043

KUSAGA TV

KUSAGA TV

6 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 477
@veronicaoman8764
@veronicaoman8764 Ай бұрын
Makonda unajuwa kuwabana aiseee Mungu akupe maisha marefu uendelee kytutumika wananchi
@CharityBaran
@CharityBaran 8 күн бұрын
Mungu akubariki
@JosephMurimi-q3l
@JosephMurimi-q3l 3 күн бұрын
makonde hongera kwa kazi nzuri ya mwenendo Wa daktari makufuli
@hosianaminja7034
@hosianaminja7034 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂mikutano ya Makonda inafundisha sana
@DAVIDLUTHA
@DAVIDLUTHA 4 ай бұрын
Licha yakufunfdisha inasaidia wanyonge kupata haki zao laiti kiongozi Mkuu wanchi angekuwa hivi natumaini kuwa hakuna ufisadi hakuna utapeli hakuna mwananchi mdogo kuonewa migogoro ya mashamba viwanja kubomolewa majumba kwakwe ingekuwa hakuna kila mwananchi angepata haki
@godfreyopiyo4840
@godfreyopiyo4840 4 ай бұрын
​@@DAVIDLUTHA😢😅😢😢😢
@calvin849
@calvin849 Ай бұрын
¹​@@godfreyopiyo4840
@nicebeautyfragrance6575
@nicebeautyfragrance6575 Ай бұрын
dad naomba namba yako
@daudsalim6665
@daudsalim6665 Ай бұрын
Vßq​@@godfreyopiyo4840uy😅 be
@topmanyota6760
@topmanyota6760 5 ай бұрын
Makonda unajua unajua na unajua tena hongera sana
@noelnoel4916
@noelnoel4916 6 ай бұрын
Makonda umeisha mshika huyo amekubali mil6 na 8. Makonda kashika tayari huyo. Hongera mh makonda
@evodiuskalema2123
@evodiuskalema2123 6 ай бұрын
Nakuelewa saana Paul makonda na tunakuelewa wananchi wa chini saaana Mungu akulinde makonda❤
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 5 ай бұрын
Yani angepata uraisi huyu aseee
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 5 ай бұрын
Kiukweli mm moyo wangu unatamani awe na urahisi
@raymondkaria1451
@raymondkaria1451 5 ай бұрын
Ndg Paul Makonda nakuelewa sana Mungu akulinde na Kukuongoza kaka
@user-yy1qr5bx9m
@user-yy1qr5bx9m 5 ай бұрын
Makondo MUNGU akutunze mimi mtani wako (gogo) nakuombea sana ni kazi njema kusikiliza kelo za wananchi.
@user-jg7tr4cc4m
@user-jg7tr4cc4m 5 ай бұрын
Mungu akulipe makonda unafanya kazi kubwa sana😂😂😂😂
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n Ай бұрын
Wamekutana janja na janjaule..
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 6 ай бұрын
Ndio muelewe mijizi hinakimbiliaga ccm kuficha maovu yao,,
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 6 ай бұрын
Mitapeli na kila takataka ipo ccm
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 ай бұрын
​@@stellahwilfred5762chadema poleeeeee😂😂😂😂😂😂
@saloomidd1084
@saloomidd1084 3 ай бұрын
yeah nimegundua kule wanajificha ili waogopwe kwa sababu ya umaarufu wao wa kwenye chama
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 6 ай бұрын
Arafu yanatokea majizi yanajitokeza kusema Makonda anaalibuchama. Makonda piga kazi
@TitoHalinga
@TitoHalinga Ай бұрын
Nimeipenda hiyo
@JaneBukuku-sy5pc
@JaneBukuku-sy5pc 6 ай бұрын
Unatete nchi baba makoda nimekubari sana dogo
@JoshuaNdunduru
@JoshuaNdunduru 2 ай бұрын
😊
@ramadhanseif4178
@ramadhanseif4178 6 ай бұрын
Viongozi wetu mtutembelee ss wananchi wenu kamahivi makonda ww mungu akuongoze
@user-pw9pz5gj3s
@user-pw9pz5gj3s 5 ай бұрын
Makonda Asante Sana kwakuwepo ukovizuri sna
@VictoriaKetegwe
@VictoriaKetegwe 5 ай бұрын
Mungu akulinde mhe.Makonda ..Mhe.mama yetu Samia Mungu akulinde.tutatua matatizo ya wananchi.5 Tena mama
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 5 ай бұрын
Makonda MTU makini mno.Maswali yako ni hakika na yaliyonyooka.pokea🎉🎉🎉🎉
@saloomidd1084
@saloomidd1084 3 ай бұрын
Jamaa ana uwezo mkubwa sana wa hoja kuwazidi wasomi wengi mno
@Malipocomedy
@Malipocomedy 8 күн бұрын
❤❤hiki ni kikaango
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 ай бұрын
Nampenda sn Makonda, piga kazi Baba!
@RonicaKolimba-ne3zh
@RonicaKolimba-ne3zh 3 ай бұрын
Pmoooo
@awdhiamiri7451
@awdhiamiri7451 6 ай бұрын
binafs namuelewa muenezi kazi ipo
@Richardkomanya
@Richardkomanya 4 ай бұрын
Makonda na Mimi napendaa kuwa kama wewe nifanyie mpango hapo
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr Ай бұрын
Hiyo ni neema na elimu pekee
@thebigbrightertz
@thebigbrightertz 20 күн бұрын
Wewe Karine uko
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Matatizo ya kesi za majukwaani, kangaroo courts.!?😂🤣🤣
@Zubaiba
@Zubaiba 26 күн бұрын
Patamu sana apo😂😂🎉🎉🎉🎉
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 6 ай бұрын
Hii aibu kwa mahakama na polisi watu hatuna imani nao maana haki ni pesa
@user-pw9pz5gj3s
@user-pw9pz5gj3s 5 ай бұрын
Unafaa kuwa Raisi wa tanzania 😂😂
@DavidMwaiswelo-ug4pc
@DavidMwaiswelo-ug4pc 13 күн бұрын
Makonda baba kazi yako imeambatana na mungu pamoja na haki ya kila jamiii kila atua tunakuombea mzee
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 Ай бұрын
Makonda akili nyingi sana mtu wa kawaida kawaida tu hii kazi haiweziii uuwii 🙌, ku deal na jamii face to face na muafaka unapatikana hapohapo siyo rahisi, makonda for everybody makonda forever 🔥
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 6 ай бұрын
Rais Rais Rais ninakuomba umpe Makonda cheo awasemee wananchi Hawa, tazama Bado tuna Imani kubwa na chama cha Mapinduzi.❤❤❤❤❤❤
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Uyo jamaa ni tapelii
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 2 ай бұрын
Sema unaiman na Chama usitujumuishe na sisi bhaana
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Maelezo ya mzee ni tofauti na mnakotaka kumpeleka?
@MariossmbaunaSupuk
@MariossmbaunaSupuk 2 күн бұрын
❤safi xana nimeipenda kazi
@MariossmbaunaSupuk
@MariossmbaunaSupuk 2 күн бұрын
Hongera xan mkuu wetu
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 ай бұрын
Asiye na shule anafanya makuu,Hongera RC Poul Makonda,mtu ana aibu eti usichanganye mkuu hataaoni haya ukweli siku zote utabaki na huongo unadhirika waziwazi,na rudi tena kusikiliza tena siasa baada ya Jpm .
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 Ай бұрын
I love this guy makonda the spirit of Magufuli lives
@FatumaShaban-g7g
@FatumaShaban-g7g Күн бұрын
Hahhahahahaha aiseee nimecheka sana
@JUMAAKISHOME
@JUMAAKISHOME 28 күн бұрын
VGS.koronge.kumarizika.katikakiwanjacha.mageze.koronge
@ElidaimaMsuya
@ElidaimaMsuya 2 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa a
@EliakimKibiki-wl8yb
@EliakimKibiki-wl8yb 5 ай бұрын
Sahih
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 6 ай бұрын
nitapeli huyo maana anavyo jikanyanga😂
@hamialniyingarukiye7907
@hamialniyingarukiye7907 9 күн бұрын
Makonda wew mungu akulinde luna pengo unajitaidi kuziba kati ka myoyo zetu tukikumbuka kama tuko na wew tunakuona kama Magufuri
@zuwenaissa8628
@zuwenaissa8628 5 ай бұрын
Nakuombea sana ufike mbali
@ShukranMahundu
@ShukranMahundu 2 күн бұрын
Makonda Mungu akutunze akupe afya njema
@djbahangala4729
@djbahangala4729 Ай бұрын
Kazi safi 💪💪💪💪
@KakaVds-k5j
@KakaVds-k5j Ай бұрын
Chaps kazi kaka nakukubali
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v Ай бұрын
Makonda mungu akupe maisha marefu umefata nyao za magufuli twakupenda sana
@user-vy6vq2fp5w
@user-vy6vq2fp5w 2 ай бұрын
Hii kesi ningepewa kuiamua mmi angependa huu mzee tapeli
@SaidiSaidi-zx5kj
@SaidiSaidi-zx5kj Ай бұрын
Makonda bigapu😅😮
@NazirWaijaa
@NazirWaijaa 2 ай бұрын
Good approach
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 6 ай бұрын
Mbona Watu Mnasema Habari Za Mahakama Nyerere Alisema Muda Mwingine Kiongozi Uwe Kama Chizi Ndipo Watu Wakuelewe Sasa Kama Mahakamani Shelia Za Kesho Keshokutwa Wacha Raisi Apitishe Kauli Yake Na Ya Chama Alafu Vizuli Zaidi Wananchi Ndio Wako Kwa Ajili Ya Kujua Tuliowapa Zamana Wanafanya Mambo Gani Haki
@Kijavaa_jr
@Kijavaa_jr 5 ай бұрын
😂😂Nacheka jinsi jamaa alivyo jichanganya mwenyewe
@charlesmarwa6448
@charlesmarwa6448 5 ай бұрын
Huyo mzee ni kibaka kabisa.❤❤❤🎉😢😢😢😅😅😅
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
Wezi tu watumishi 😂😂😂
@SumakuSasa
@SumakuSasa 3 ай бұрын
Kazi kazi makonda
@DAVIDLUTHA
@DAVIDLUTHA 4 ай бұрын
Fanya kazi Makonda nimekubali uko vizuri
@GilbertOkoth-hr6rm
@GilbertOkoth-hr6rm 4 ай бұрын
A
@NdayisabaWilson
@NdayisabaWilson Ай бұрын
Ubarikiwe
@JacobKipamba
@JacobKipamba 3 ай бұрын
Asante kiongozi bora
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 5 ай бұрын
Tusaidie baba, Mungu akutunze baba.
@MuhammadCosmas-l1l
@MuhammadCosmas-l1l 9 күн бұрын
Nafuraushwa sana na mheshimiwa Paulo makonda anavyotatua matatizo ya wanaichi
@workshopMayunga
@workshopMayunga Ай бұрын
Mungu akulinde sana faza makonda
@ayubzaka1598
@ayubzaka1598 6 ай бұрын
Bongo hakuna sharia kabisa mambo ya zamani sana
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 5 ай бұрын
Haya ni maigizo ya wazi😂
@johngerald4677
@johngerald4677 6 ай бұрын
Samia tena aaah
@user-ss3hx9pf8n
@user-ss3hx9pf8n 3 ай бұрын
Kwani hamna sheria.such cases are handled by courts
@user-vz8gg1yd4e
@user-vz8gg1yd4e Ай бұрын
Wisdom leader ❤
@HAMII_DIGITAL.
@HAMII_DIGITAL. 5 ай бұрын
Nice
@bensonnjoroge8829
@bensonnjoroge8829 Ай бұрын
Watching from Kenya but Tz need to be educated especialy the Gen-z
@JohnStephano-cy3bo
@JohnStephano-cy3bo 3 ай бұрын
Hatari sana
@GebsonrobatGebsonrobat
@GebsonrobatGebsonrobat 2 ай бұрын
Mungu akubariki makonda
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 6 ай бұрын
Makoda mdogo wangu pigakazi wengi nimatapeli wanatuaribia chama wanyonyoe hao
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 3 ай бұрын
Makonda bana😢
@CharlesMapinda
@CharlesMapinda 3 ай бұрын
2:25 safii😂😂😂
@gracemwaikuka8726
@gracemwaikuka8726 Ай бұрын
Nakukubali❤❤❤❤❤❤❤
@PillyAbdallah-w5m
@PillyAbdallah-w5m 10 күн бұрын
Ni kweli huyu mzee analiza sana watu walishamzurumu kaka wa watu mpaka akawa kama chizi
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 5 ай бұрын
Nakuona magufuli wa sasa❤❤❤😂😂😂😂
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 4 ай бұрын
Mtapeli Huyo
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 ай бұрын
​@qonquererqanquerer178achha wivu weweeee😂😂😂😂😊1
@EmmanuelKamank
@EmmanuelKamank 3 ай бұрын
Sana jembe mungu awe mbele yako
@cristianamos8790
@cristianamos8790 6 ай бұрын
Kunawatu wana yatimba live live
@Rodahpaschal
@Rodahpaschal 2 ай бұрын
Hahaha😂😂😂😂 hyo ndyo tunduma usikute mzee wawat kavurugwa
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Ай бұрын
Mzee wa watu kavurugwa eti eeh😅😅
@user-kz2lu7yo3f
@user-kz2lu7yo3f Ай бұрын
Baba gombea urais tutakupa, yaan
@JaneBukuku-sy5pc
@JaneBukuku-sy5pc 6 ай бұрын
Nakupeda sana makonda washa toshi makongoroshi chunya 15:54 😅
@lomunyaklesikar
@lomunyaklesikar Ай бұрын
Uko Sawa
@IbraZeboy-fu3js
@IbraZeboy-fu3js 5 ай бұрын
baada ya makufuri ni wew kazi kazi
@peninahjames-oq5iv
@peninahjames-oq5iv 26 күн бұрын
Unafaa sana❤❤
@NeemaMassawe-qg6kf
@NeemaMassawe-qg6kf 2 ай бұрын
Makoda ww ni makofuli munqu akubarki baba😊😊
@PAULNZUYU
@PAULNZUYU 5 ай бұрын
Sheria ifuate mkondo
@willymtewele1869
@willymtewele1869 6 ай бұрын
Chama ccm kimejigeuza kuwa mahakama? Jaji mkuu upo wananchi tusiojua sheria tunaomba ufafanuzi wako
@mussakeston5768
@mussakeston5768 6 ай бұрын
Mahakama hawafany kazi
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 2 ай бұрын
Wewe nawe unatakiwa kupigwa Spana
@esterMahenge
@esterMahenge Ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu❤❤😂😂🔥
@gracemwaikuka8726
@gracemwaikuka8726 Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mwenexi
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Hapo patamu sana
@user-zu9jg8hx5l
@user-zu9jg8hx5l 6 ай бұрын
MH MAKONDA USIRUDI NYUMA WANANCHI TUNAKUPENDA
@MariamuDaniel-bq8xe
@MariamuDaniel-bq8xe 5 ай бұрын
Jaman huy niwizi
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 4 ай бұрын
Hii nimeipenda😂😂😂😂
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Kumbe unafanya Kampeini siyo kuwa unafanya kusaidia watu matatizo kumbe ni njama tu. Pole sana
@makantaafrika
@makantaafrika 4 ай бұрын
Hahahahaha kwa hiyo hapo ndiyo mahakamani???!!!! Tanzania Elimu bado sana!
@IrenaFrance-zk8sf
@IrenaFrance-zk8sf 23 күн бұрын
Sio mahakaman bali wanatoa Kero zao Kwa uongoz wao
@IreneWoisso
@IreneWoisso 2 ай бұрын
Fanya KAZI baba ❤❤
@NgongwaNasoro
@NgongwaNasoro 2 ай бұрын
Makonda Fanya Kaz baba Mnguhakulinde Hakuzidishie Nguvu
@pilladtradersupdates6568
@pilladtradersupdates6568 5 ай бұрын
Matapeli ni wengi TANZANIA
@b.firinga2739
@b.firinga2739 Ай бұрын
Mungu akulinde makonda mimi naamini utafika mbali
@KornelioAlexander
@KornelioAlexander 27 күн бұрын
Ccm oyeeee kazi iendelee
@user-uf6ni7wn4u
@user-uf6ni7wn4u 20 күн бұрын
H😂😂😂😂😂😂😂😂 huyooo muzee kayakanyaga kwer kwer
@KwenyegemKwenyegem
@KwenyegemKwenyegem Ай бұрын
Makonda mkuu ubarikiwe sana
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 6 ай бұрын
VYOMBO KUKOSEKANA KUWASAIDIA WATU, WAMEKUWA KAMA KONDOO WASIO NA MCHUNGAJI..
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 902 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,1 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,9 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,1 МЛН