ni media pekee Tanzania inayoweza kumpa mtu mashavu yake na kuwa very real na kuleta kama inspiration kwa vijana, BIG UP
@danielmkama2418 күн бұрын
Huwajui vzr haw ww Likija swala la mmakonde
@dayana5513story18 күн бұрын
Hakika
@janechriss811818 күн бұрын
Ni kweli kabisa wengine ni wivu tu.
@hajjiomary238317 күн бұрын
Inawalipa pia sasa media zengine zinakalia chuki jamaa anaendelea na maisha
@HeliudKasonso16 күн бұрын
Sana hapa SNS ni 🔥 sana fredrick bundala piga kazi broo fansi tupo
@yusufunguruko808017 күн бұрын
Media nyingine zingesubiri afe ndio zijekusema hayo siku ya msiba - hongera sana. Sky.
@King_18617 күн бұрын
Africa mashariki na kati huyu ndio msanii wetu namba moja,,,wote tuige juhudi na kujituma anakofanya Diamond,,,salute sana Mond
@josephvenus325918 күн бұрын
Dah! Nimejiona kama nacheza na sifanyi Kazi ipasavyo😢😢 Mungu nijalie kujituma zaidi ktk Kazi zangu
@DannyWiston-xo4hx18 күн бұрын
Huyu jamaa ni hard working for really
@severinemziba622617 күн бұрын
Ni kioo chetu sisi vijana Kwa kwer🎉
@hsunofficial18 күн бұрын
SKY, Umetisha sana Hakuna media nyingine inayoweza kusema kama uliyoyasema leo hongera sana nakukubali kazi nzuri 🎉
@hamiduOmar-o8r8 күн бұрын
Wengine ni chuki na huyu mwamba na choyo walichokuwa nacho juu ya mafanikio yje ipo hivo cyo km hawaoni
@StarMerinyo18 күн бұрын
Ni kweli kabisa diamond ni hard working ile mbaya 💪
@djachichi25418 күн бұрын
ndo maaana nakupenda bro my only madia personality ambae hana baya big up bro
@panchovalentino357617 күн бұрын
Diamond Platinum Ni Mmoja TU 🔥💪💯🎶🎼🎵🔊✔️🔝
@othinielkamyola369718 күн бұрын
HUYU JAMAAA NI HATARIII KAAAA😂😂😂😂😂❤❤❤❤ HACHOKI AISE I GOT A POINT🎉🎉🎉🎉
@stanslausjohn879118 күн бұрын
Huyu ni Elon Musk ajaye Simba la Masimba mwamba kabisa Dangote 🔥🔥
@emmakicham466418 күн бұрын
Aty Elon😂😂aki wtz😂😂😂do you know how worth Elon is😂😂😂😂😂😂 mnapenda kujiabisha na kudanganya pesa mmelipwa😂😂😂😂😂
@AllyNzisabira18 күн бұрын
@@emmakicham4664ko wewe imekuuma Nini ?😂😂😂 Kwani wew Elon Musk ulikua unamfahamu kabla ya kuwa Tajiri? Hivi huo utajiri alizaliwa nao? Acha ujinga
@sulleymernmannarah793018 күн бұрын
@@emmakicham4664hvi ukianglia life ya Diamond b4 unadhan angfka hpa alipo kila ki2 n Iman na bdii alkua kapuku Leo hii Robo ya Dunia inamfham ww umekaa hpo kma Willy Paul
@IkoUwasi-it6qy18 күн бұрын
@@emmakicham4664kila mtu na mawazo yake we umemjua mwaka gani huyo Elon we una uwakika hizo pesa anazo je wanaosema tajiri namba Moja ni WA wapi lini ulisikia marekani wanaosema Kuna masikini namba Moja duniani yupo marekani
@Mrp_manguluwe17 күн бұрын
Sahihi kabisa
@Anthonyzombie-d2s18 күн бұрын
Yul babu king na mmakonde hawajapend ,mondi ni fire❤❤
@RamadhaniMshana-gk6vm18 күн бұрын
Bro sky umetisha🎉🎉🎉
@dayana5513story18 күн бұрын
Sky hakika umechaguliwa na Mungu media yako unaitumia vyema si umbea na uwongo,I can't imagine siku unapewa interview na diamond sijui kama utalala😂 iliupate majibu ya maswali yako,God bless you
@sulleymernmannarah793018 күн бұрын
Natamn sana hyo sik
@emmilemalewa425718 күн бұрын
Pamoja na yote kijana yupo na heshima na very humble
@Iamsasboy18 күн бұрын
Asante sana brother Sky kwa inspiration na mm nitajituma na kufanya kazi kwa bidii 2025 💪
@hasanindago18 күн бұрын
Nimependa sana skay
@raystudio756318 күн бұрын
na akiachia ngoma ina hit hatari🔥
@azizahuruma746318 күн бұрын
🙌👑🇹🇿 diamond
@maxwellvangulinja18 күн бұрын
Kaz Kaz 🙌🙌🔝...just like u..nasikia na ww unakeshaaa kutengeneza content big up lets all keep pushing hard
@aaa64sa1318 күн бұрын
Very Busy..BigUp Bro Sky...@🦁🇹🇿❤️
@chunanachu252918 күн бұрын
Watu wanshindwa kufanikiwa kwa kumuangalia mtu kwakuiga juhudi zake ....ila wanatanguliza chuki na wivu. ...
@GideonIshebakaki18 күн бұрын
Kabisa
@SalumMusa-f5l16 күн бұрын
Ndo binadamu tulivyo chuki mbele kuliko upendo
@chai_r18 күн бұрын
Someone check on Eric Omondi na wivu wake. 😂😂😂
@JayJaysb17 күн бұрын
Nilimshangaa xana yule jamaa omondi
@kafitiwilliam835818 күн бұрын
Safii sana
@zuleikhakhamis330318 күн бұрын
Leo kweli Sky umeongea ubarikiwe nahic Subs... wataengezeka kwa hili chukua🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lion to the world, +254 tunampenda sana, mtu yeyote ambaye anamchukia mondi ni mvivu wa maisha.
@AFRICA_D66918 күн бұрын
Naona leo upo home vile..sikukuu hizi😊tukaribishane kaka😊..karibu kwenye sikukuu nyumbani mbezi beach africana🙏
@Jaysofa8718 күн бұрын
Sahihi kabisa mwamba kazi anafanya
@benjagaspar530418 күн бұрын
Mond.fid q.young killer wanamchango mkubwa sana kwenye maisha yangu so mungu awape maisha marefu.asante🙏
@zachariamishai725818 күн бұрын
Sky hongera naona kabati hpo nyuma angalau Ina tuzo kadhaa 😊😊
@gabbyhenrgy115718 күн бұрын
MSIFIE MTU KABLA HAJAFA LEO SnS MMEMTENDEA DIAMOND HAKI. Siku za nyuma mlikua mna MDISS Sana MWAMBA. Jamaa Ana hamasisha KUJITUMA 💯 ni mfano mzuri ktk hilo, itoshe kusema mabaya yake yapo lkn hakuna alie mkamilifu pia mazuri yake asifiwe 👏🏼👏👏🏿
@angelicagulake336118 күн бұрын
Diamond is pronouncing, right Smarter!!With the SWAG we are blaack!! We say with the swagger
@omranalbarwani719018 күн бұрын
Sky anaongea fact nampenda sana lakini wale wenzake asa ivi wamekuw wambea sana😂
@ilynpayne749118 күн бұрын
Diamond ana fanya kaz huku harmonize yuko bize na MATAKO😂😂
@mwisukulu118 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@kibibisafi333118 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@AllyNzisabira18 күн бұрын
😂😂😂😂
@TishaniUlanga-bj3nx18 күн бұрын
,😁😁🔥
@MansaMusa25518 күн бұрын
Alafu utaskia "konde boy number one" 😂😂😂
@ramayonline228118 күн бұрын
Alaf kuna yule anayemuiga Wizkid bomboklaaa😂😂😂😂😂
@ronzevannyboychui166118 күн бұрын
Ila huyu jama sidhani kama ana mda wa kulala ila mim namuombea kwa múngu ampe maisha malefu kabisa ❤❤❤Endelea hivo kabisa nasi tutapata kupitia wewe❤❤
@Rukaka_jr18 күн бұрын
Watu wanampiga vita lakn mwenyezimungu anazidi kumpa tu, imagine wakenya walimtukana kusema hawamtaki kenya lkn ALLAH kampatia riziki yake tena hukohuko kenya 🇰🇪, yan kama ipo ipo tu ukiziba hapa mungu anakupa kupitia kule
@mzeezidane406018 күн бұрын
Brother sky on point 👉
@magrethmagonza18618 күн бұрын
SKY nimekupenda bure you are very true. People wanpaswa kufuata nyao za u busy badala ya kumbeza halafu wanasema hawezi nunua ndege huyu kwanini asiweze na kazi anachapa. Bogo maasui watapata ugonjwa wa moyo maana jamaa hanantime ya kupoteza kwake time is money
@zulfakibwana233016 күн бұрын
Dai twampenda bure insha'Allah mwenyewe enzimungu atamlinda na mahasidi wa roho.we love❤ dai
@roudhamahmoud76317 күн бұрын
Shukran sana kaka sky umeongeya kwe tup
@alphoncenicholaustemba361416 күн бұрын
huyu jamaa ni hard worker sio kidogo niliwai kwenda kwenye show yake pale santa banana moshi alipiga show masaa matatu bila kupumzika ni kuimba na kucheza tu yan niliimba na kucheza mwisho wa siku nikapumzika jamaa bado yupo kwenye maiki nikarud tena kucheza lakn bado nkarud kupumzika kutokana na kuruka ruka na kuimba yan kesho yake nilikua nmechoka hata kazin sikwenda lakin jamaa siku mbili baadae aliiuwa ana show tena daah nilimwona jamaa kama mpambanaji anaejiumiza sana kupambania ndoto zake big up kwa lion simba anatumotivet vijana kufany kaz kwa bidii hongera zake asee
@soundmale18 күн бұрын
Daa huyu diamond nilidhaaga na muelewa sana mm tu..kumbe kuna watu wanaweza ng'ata mtu kwajili ya diamondi😂
@johnmwasilu708718 күн бұрын
Hii Mwijaku hawezi kuipenda kabisa 😅
@vincentlyimo784618 күн бұрын
😂😂😂kwa kweli
@AllyNzisabira18 күн бұрын
😂😂😂😂yaani anaumia hatari
@mohamedmanga839118 күн бұрын
Kichwa mviringo 😂
@Movancreiter18 күн бұрын
Mtanzania mkweli kwa myanzania mwenzake kaka maua yako🎉🎉🎉
@TwigaFashions17 күн бұрын
It’s true is working hard
@josephmabula965818 күн бұрын
Safi sana sky,wewe ni mtangazaji
@mrsinia306418 күн бұрын
Duuh! ndiyo maana hanenepi 🤔🤔
@NdayisabaJimmy-lc7ke14 күн бұрын
Ivi harmonize yiko busy na matako alafu eti alinganishwe na diamond muace Simba awacape fimbo big up diamond @
@malkavoice257018 күн бұрын
Nakuelewa sana Sky kwa hili la Mondi umezungumza kwa hisia moja makini mno.👮
@ebengapierre882618 күн бұрын
skaï 😂😂😂😂😂 mwamba 🎉🎉🎉🎉 nakupa mahuwa Yako 💪💪💪💪🙏🙏🙏
@AljabirMshihir18 күн бұрын
Bro sky❤❤
@ntezealoyce704317 күн бұрын
Big up sky umenena
@clementrobert-s5s16 күн бұрын
Simba🙌🙌🙌
@yusufunguruko808017 күн бұрын
Wakati Simba ratiba yake iko tight hivyo kikazi Harmonize anahangaika kufanya kiki za kurudiana na Kajala - daah ! hii Dunia kweli tunatofautiana sana kimitazamo.
@dausonerick515918 күн бұрын
Mm wa kwanza gonga like
@tituskaponda934318 күн бұрын
Mimi wa pili, diamonds are forever.
@azizahuruma746318 күн бұрын
🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥👏👏👏
@SwaleheSaad18 күн бұрын
sky media yako iko real sana sema kuna mwana mmoja hv ana vindevu ndevu huyo ni timu konde na pia anauleta utimu mpaka kwenye vipindi
@othmanibnabdullah18 күн бұрын
Hayo mambo wasafi media huwezi kuyakuta Hii ni inasikitisha sana yaaan!
@malkavoice257018 күн бұрын
Wadau wa mziki Africa hasa wanaotokea Nigeria na SA wanampuuza sana Mondi lkn kwa kujizima tu data sio kwamba hawamuoni ni wivu tu!!
@osoromageta338117 күн бұрын
Pozzee anasemaje sasa
@Ibrahim-ne3in18 күн бұрын
Nidhamu ya pesa...Heshima Kwa watu wote jamaa Hana Dharau kabisa...anachokipata ana deserve
@hamisikingwande612513 күн бұрын
Hard work must pay
@roudhamahmoud76317 күн бұрын
Sky 🎉🎉🎉
@Charles-m2s18 күн бұрын
Kwakwel kwanza anasaidia wat
@zomasamweli18 күн бұрын
Sky umeongea point sana
@victorwhitte18 күн бұрын
sidhani kama hata anapata muda wa ku-enjoy pesa zake. Mm nisingewez, kila siku ningekuwa Kidimbwi 😂😂🤣🤣...
@issaalfani103018 күн бұрын
Hahahahahahah nimecheka kwa sauti
@SaraDiaby-x6x18 күн бұрын
😂😂😂😂
@bakarially25318 күн бұрын
Ndio maana hauwezi kuzipata maana pesa haziendi kwa mvivu
@allykalenge9218 күн бұрын
Yaani ulisemalo naungana nawe
@josephmalale486018 күн бұрын
😂😂😂😂
@rehemathoya87549 күн бұрын
Respect 🙏
@NdovuDentalClinic_18 күн бұрын
TO wa maokoto Duniani 🎉🎉🎉
@JacksonKachila18 күн бұрын
Uko sawa
@ahmedykatimba76818 күн бұрын
Huwa nakukubali sana mwamba unasuti poa ya utangazaji na uko sawa huna umbea hiyo ndio kazi ya ukweli mungu akujalie
@channyanjen904718 күн бұрын
Nikweli kabisa kaka
@lauboradangotetz454118 күн бұрын
4the first seen like it😇
@emmanuelmchomvu267618 күн бұрын
Yaan wabongo bnaaaa Davido akilipwa billion23 hamsemi uwongo, ila mond maneno mengi mnajudge tu😢
@GeorgePhilibet16 күн бұрын
Pamoja kaka no ubaguzi
@JayJaysb17 күн бұрын
Jama kila mwaka ni ma hit tu
@josephchuwa988414 күн бұрын
Kweli Mzee
@maryannemwangi16817 күн бұрын
hardwork pays
@AllyNzisabira18 күн бұрын
Kuna watu hawajapenda Sky kufanya hii kitu 😂😂😂😂😂
@MasterVoltron-i7o18 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@sulleymernmannarah793018 күн бұрын
@@MasterVoltron-i7okwnza Kuna Mtu anaitwa somebody mwinyi hyo sai atakua anajinyea 😅😅
@AllyNzisabira18 күн бұрын
@@MasterVoltron-i7o kina Mwijaku
@GideonIshebakaki18 күн бұрын
Nimnoma sana
@LaurentChacha-h3l18 күн бұрын
Jamani pozee nimemwalika harusi yang ntamlipa vzuri 😂😂😂😂😂
@jamalsultan686818 күн бұрын
😂😂😂
@mohamedmanga839118 күн бұрын
Peace and Money.
@alphoncenicholaustemba361416 күн бұрын
huyu jamaa ananiinspire sana kufanyabkaz kwa bidii yan nikifanya kaz zangu mfululizo nikijihis kuchoka nkimkumbuka diamondi anahela lakin bado anatumia muda wake mwingi kufanya kaz bac mm napata energy nakurud kazin. mwamba anatuhamasisha sana vijana kufanya kaz kwa bidii
@josephineatieno848618 күн бұрын
Sky huwa anajua sana me huwa naona hanaga ubaguzi
@vaskosamweli355618 күн бұрын
Anataka kua tajir namba moja duniani
@AllyNzisabira18 күн бұрын
Lazima Uwe na ndoto maishani bila hivo utakua kama Harmo kufuata mitako tu huna shida na kuinunulia Range
@kevinmosha854018 күн бұрын
After the Late Chuma...this is another fellow Tanzanian that motivates me to keep pushing harder.....#KeepingItMoving 👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@azizahuruma746318 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌👑🇹🇿💯
@Movancreiter18 күн бұрын
Kufanya kazi kwa bidiii
@azizahuruma746318 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@dopehood147618 күн бұрын
Bundala nimekuelewa sanaaaaaaaa kaka
@SeifMohammed-x2c18 күн бұрын
Sns mko vizuli asante kwa elimi
@azizahuruma746318 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏💪
@Movancreiter18 күн бұрын
Duuh nassib 🎉🎉
@OmyCrez17 күн бұрын
Sky umeuwa🎉🎉
@saumuabdallah19815 күн бұрын
diamond yuko kwny safari ya kutimiz ahadi yak ya kua tajiri namba moja that's why unamuona anavyopambana vyote ivy...🤦♀️🤦♀️🤦♀️ ila nimpe big up mana duh! kama sio tajir vile😅😅😅🎉🎉🎉🎉