Sasa hapa siku ikitokea diamond kajaza arena msije shangaa maana kakutana na watu wenye shuhuli zao
@channyanjen904718 күн бұрын
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@gracemnyani684818 күн бұрын
God bless, protect and guide you Diamond in all your 2025 projects
@yonga-o3n18 күн бұрын
siseme ktu bro.. mungu ndiye mpaji. maneno mengi ya binadamu yasikukatishe tamaa go ahead🙏🏻🙏🏻🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kristofuraha18 күн бұрын
💪👊
@ElizabethMasitsa-pk9un18 күн бұрын
So he should wait on GOD to position on international, what if GOD did wanna him to international now? Hii ni short cut bana
@NgasaMaduhu18 күн бұрын
@@yonga-o3n wewe Una akili wajinga kila saa wanawaza kushindana,Kula dala Hilo mwanangu👊🏿
@JomoKilawe18 күн бұрын
Pamoja Sana😂😂😂
@chizashungu836418 күн бұрын
We Told you before DIAMOND PLATNUMZ IS THE SPECIAL ARTIST.Am so happy.
@MatandiMatandi18 күн бұрын
Konde boy yupo bize kwenye mapenzi tu na malaika.Pole sana ndugu yangu mmakonde.
@RonnieBertin18 күн бұрын
Mshamba wa wanawake
@jacobmaganga335418 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu jmn😂😂😂, muuni yuko bize na madako au sio😂😂😂
@Mrp_manguluwe18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MasterVoltron-i7o18 күн бұрын
😂😂😂😂😂 usikute matako yanalipa😂😂😂😂
@svt318 күн бұрын
@@MasterVoltron-i7o kama matako yana lipa basi wengine wakimbilie hiyo fursa si nao pia wana matako
@m___ck79918 күн бұрын
Its about time...he is been in business for years !!time to move to the next level !!
@dorothmsuya168618 күн бұрын
Katherine na hili tena! Mtateseka sana mwaka huu!😂😂😂😂❤ Mungua kisema YES hakuna wa kupinga!😅😅😅😅
@dorothmsuya168618 күн бұрын
Sorry KATAENI!!
@jamilaathumani548118 күн бұрын
Wish I all the best Daimond platinum inshallah
@AthumaniAthumani618 күн бұрын
Simbaaaaaaa from Tanzania
@shadiwaigwa923018 күн бұрын
Simba la ma Simba dangote hooye 🔥🔥🔥🔥
@panchovalentino357618 күн бұрын
Pamoj sana CHIBU DANGOTE NI MMOJA TU 🔥💯🎶🎵🔊✔️🔝
@DainoPerfect25518 күн бұрын
Hii nayo hajanunua Bongo Nyoso Tuache Roho Chafu Aliyepewa hapokenyeki Maisha hayana mwenyewe all in all congrats Simba🙏
@tomsijohni18 күн бұрын
Big up my brother diamond platinum god bless you 🙏
@abdulmagido544418 күн бұрын
Watanzania mnaye mchukia huyu mtoto mtapata tabu sana kwenye nafsi zenu huyu kesha juwa sili ya muumba na uwepo wetu hapa duniani atukuja kuishi ndani ya hii dunia kama wanyama au madudu, ibada tuzifanyazo ni sili yake Mungu matendo na kauli ni vyetu hapa dunian
Diamond ni mastermind person. Wakati wengine misambwanda ya kina malaika inawatesa yeye anaingiza midola ya maana. Mondi is Mondi 🔥
@zuleikhakhamis330318 күн бұрын
Mondi is SIMBA🎉🎉🎉🎉
@AthumaniChalamila-c9f18 күн бұрын
Noma
@MawazoDavid-hg2sd18 күн бұрын
All de best my big braza mond
@Rukaka_jr18 күн бұрын
Hamchelewi kusema anaongeza sifuri 😂😂😂😂
@shwaibukhatibu283818 күн бұрын
Kwani uongo au umeanza kufatilia mzk juzi
@ramayonline228118 күн бұрын
@@shwaibukhatibu2838utajua hujui😂😂😂
@ramayonline228118 күн бұрын
Watakomaa mwaka huu
@deeboytown577918 күн бұрын
@@shwaibukhatibu2838wewe ulieanza zamani afu
@chinemaentertainment111018 күн бұрын
Sasa huyo mtu anahela gani ujinga mtupu
@martinjosephat469417 күн бұрын
Wasaaaooo komasava🎉
@simbaedouardo849918 күн бұрын
Haya semeni tena kaongeza 😅
@CROWNMEDIAKE18 күн бұрын
Simbaaa❤❤❤🎉🎉
@montanablaww166417 күн бұрын
O2 arena hii apa🔥🔥🔥
@Shadia54418 күн бұрын
Simba la masimba dangote ❤❤
@oscarcanan506818 күн бұрын
wily poze yupo wapi🤣🤣
@maxwellsanga366218 күн бұрын
Poze wetu ako wapi?
@NgasaMaduhu18 күн бұрын
Yuko kwa omondi 😂😂😂
@BigZhumbe18 күн бұрын
Ameacha kuwa chawa wa MONDI ameenda kwa OMONDI
@michaelmillinga506418 күн бұрын
Yupo kibera amelala
@Sean187718 күн бұрын
Anakunywa changaa Mathare
@NgasaMaduhu18 күн бұрын
@@Sean1877 wasukuma tunaita gongo 😂😂
@sospetershijah561918 күн бұрын
Noma sana Chibu🔥🔥
@Peterchila-un2lx18 күн бұрын
Mimi simjuiiiii dimondi
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
Nilichoona huyu maisha yamempiga anatamani wote wafanane naee😂@@Peterchila-un2lx
@ramayonline228118 күн бұрын
@@Peterchila-un2lxukitaka kujua kama unamjua ni simple sana jamaa apo amemtaja kwa jina la Chibu alaf angalia wew umemtaja kwa jina gan😂😂😂😂😂
@yaduniapeter18 күн бұрын
😂😂😂😂 we jamaa jau sana hahaha😂😂😂@@ramayonline2281
@Peterchila-un2lx18 күн бұрын
@ramayonline2281 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shadiwaigwa923018 күн бұрын
Mwijaku, dudu baya munywe panadol
@jcrackcrack166918 күн бұрын
Huyu ameshindikana tu
@Peterchila-un2lx18 күн бұрын
Simfahamu dimondi na simjuiiiiii
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
@@Peterchila-un2lxWivu wa kimaskini huu 😂😂😂
@maulidipazi677018 күн бұрын
@@Peterchila-un2lxww aumjui ila mungu Anamjua
@Rimajenner640718 күн бұрын
Kakojoe ulale.....@@Peterchila-un2lx
@mamboshepea888817 күн бұрын
Usipomjua wewe choka mbaya haijalishi😅😅😅
@JeniAlex-e4v18 күн бұрын
🦁🦁🦔🦁 la 🦁🦁🦁🦁🦁
@reganclarence465711 күн бұрын
Duuuuhhhh....🔥🔥🔥🔥✌️
@WetchiKhams18 күн бұрын
Chibude chibudenga 🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁
@Peterchila-un2lx18 күн бұрын
Mbona simjuii dimondii
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
Acha hasira za umasikini wewe 😂😂😂@@Peterchila-un2lx
@AsheryMahayu18 күн бұрын
Simba dangotee
@MuniraAbdallah-bs5vo18 күн бұрын
Waukweli
@evodiusantony211518 күн бұрын
Simba
@AllyNzisabira18 күн бұрын
Sijui kina Mwijaku watasema je tena😂😂
@zuleikhakhamis330318 күн бұрын
Mpk leo unamckiliza mwehu yule
@AllyNzisabira17 күн бұрын
@zuleikhakhamis3303 mwehu kabisa yule
@othmanibnabdullah18 күн бұрын
Kama ina manufaa kwenye biashara yake basi ni kheri zaidi.
@Speed.B17 күн бұрын
We wait for it bro We see it coming 🎉🎉🎉
@chusseboywcb280818 күн бұрын
Kila wakimchokoza diamond madiri ndio huwa yanazidi kumiminika sijui kwanini😂😂😂😂😂😂😂toka enzi za kinawema huyu haitakiwi kumchukia ukimchukia unampa hera bara usimchukie ili asipate pesa😂😂😂
@GeraldElias-s7j2 күн бұрын
😂😂😂😂
@alexandersangi172417 күн бұрын
Ivi ni kweli hawaa watu wanaija watakubari mondi kwenda kimataifa na kuwapita wanaija au ni njia ya kumpoteza ila kina rema na aske kwenda mbali zaidi
@BigZhumbe18 күн бұрын
Simba La Ma...
@RobsonLugomi18 күн бұрын
WAZEE wakinisapo naweza fika juu walahi mwambien wakenya simba ni maji marefu huyu sio mtu ni jini😂😂😂😂😂😂😂😂
@lutegochangarawe18 күн бұрын
tz to the world
@sabitinaeastafrica582218 күн бұрын
Mashallah ❤😊
@TwigaFashions18 күн бұрын
Will Paul haha diamond we love you
@zahrachapema335318 күн бұрын
Jmn willy pozze tafuta kiki na hapa sasa 😂😂
@JeannetteManirambona-o6m18 күн бұрын
😂😂😂
@mwanamisiali571218 күн бұрын
😂😂😂😂
@irenembura804518 күн бұрын
Haya na hili nalo mseme ni muongo!!! Mtakufa kihoro kwa wivu. Mwijaku sema na hili😅😅
@chinemaentertainment111018 күн бұрын
Kwa hela gani atapewa
@maulidipazi677018 күн бұрын
Mwijaku .unafikiri aujui kweli kama jamaa anapiga pesa .anajia sana ila na yeye anataka kuongelewa .ili apate pate vidili
@eddechriss266418 күн бұрын
Wanigeria muwaangalie vizuri na kwa umakini kwani hawatakagi wanamziki nje Nigeria wafanikiwe
@clementrobert-s5s17 күн бұрын
🙌🙌🙌
@fauzishabani262218 күн бұрын
Nigeria awe makini
@AFRICA_D66918 күн бұрын
Nimsenge kashindwa kwenda kumuona jose
@ramayonline228118 күн бұрын
Vipi yule Paulina wa 🇰🇪 😂😂😂😂
@JeannetteManirambona-o6m18 күн бұрын
😂😂😂eti paullina ule hana jipya😂
@ramayonline228118 күн бұрын
@ 😆😆😆😆😆🤣😂😅
@RonnieBertin18 күн бұрын
Willy fofofofo
@JomoKilawe18 күн бұрын
Baloz Wa Kiw?Unamaansha?😂😂😂😊
@MbalasaJRMwakabalile17 күн бұрын
Kumbe hadi bien wa kenya😂😂😂😂
@azizahuruma746318 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌👏👏👏
@PCobrah18 күн бұрын
Hawezi mshinda wily pozee
@shabanJuma-fe6wf18 күн бұрын
Wewe una akili kweli kichwani😅😅😅
@MuniraAbdallah-bs5vo18 күн бұрын
Nyooo atasubiri sanaaaa😅😅😅😅😅
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
Mkenya mwingine kaja kukoment baada ya mond kupata deal lingine kubwa...... Mtakufa vibaya na Wivu zenu nyie ng'ombe
@IkoUwasi-it6qy18 күн бұрын
Kunya unawe
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
@IkoUwasi-it6qy Kwan ukinyagaa Wewe hua hunawi
@JamalAbas-fe5dj18 күн бұрын
Kila dili la daimond ni bilioni kila dili bilioni mie nishusheni nyie nendeni Nigeria
@digitalfeelings303117 күн бұрын
Kwani Dudu Baya anasemaje kule?😂😂😂
@FredrickMatiku-xf2uk18 күн бұрын
Wanijeria matapeli hao
@chris_jabari18 күн бұрын
Hamkawii kumtaja Will Paul 😅
@chinemaentertainment111018 күн бұрын
Hamna kitu hapo
@melkiadgangai527118 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@verbalverbal201918 күн бұрын
Tusali hizi taarifa zisimfikie Willy Paul, nasikia ana matatizo ya shinikizo la moyo
Uyu ndo walikua wanamshindanisha na yule mpaka bleach mzee wa kiki😂
@Divar01-tx8wl18 күн бұрын
Akunq kitu ap mzee mwemwe tu na nyie mna ongea ujinga tu diamond uyo alisem IV kalibuni nafungua biashala yangu akaja kupost ten Ni mda WA Dora Leo hiii biashara yenyeye adi Leo Akuna saw mala hooo gari agiza kwenye kontena san kesho tu mwezi umekatika na wick Leo Meri gani iyo kutok marekani in safiri mwezi na wick mbili mna tusumbua a
@Somebodytz18 күн бұрын
Tufanye diamond ajanunua gari je kiatu chake tuuh unaweza nunua ww
@IkoUwasi-it6qy18 күн бұрын
Jifundishe kwanza kuandika unateseka ukiwa wapi
@NgasaMaduhu18 күн бұрын
Nimesoma hii comment yako mpaka tumbo limeniuma😢
@Anthonyzombie-d2s18 күн бұрын
Mondi ni hatari ,huy nd anastahili kuwa king wa tz sio yul babu vinyimb vyke vinaishia buza han content hat kam anaimb kiswahil
@MejackPaul18 күн бұрын
Mmmhhh
@Peterchila-un2lx18 күн бұрын
Mbona simfahamu dimondi mbona simjuiiiiii
@dorothmsuya168618 күн бұрын
Utajua hujui mwaka huu! Mpaka muombe pooo!😂😂😂😂😂
@Peterchila-un2lx18 күн бұрын
@dorothmsuya1686 mbona umepaniki ndugu kwaiyo Kama simfahamu nisiseme
@dorothmsuya168618 күн бұрын
@Peterchila-un2lx Sema tu! Sijakuzuia kusema! Simu yako na bando ni lako! Mimi ni nani hadi nikuzuie??
@PaulinaLunyonga18 күн бұрын
Inawezakana umechanyikiwa baada ya mondii kupata mchongo wa pesa ndefu 😂😂😂😂 inawezakana kabisa sio bure...... 😂😂😂😂😂😂😂
@maulidipazi677018 күн бұрын
Ww unamjua hapo wameandika chibu ww unasema diamond inamaana ni jibu tosha