Na waambianga huyu mwamba anajua kutadhini mambo sana mbila kukurupuka,much respect dudu from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Rukaka_jrАй бұрын
Hiyo kichaa aliyefeli kimusic ndo aongee point? Ni chuki tu kwa diamond coz alimkataa kuwa chawa
@surusuru1994Ай бұрын
Ungekuwa unajuwa nikama chawa 😂😂usige musikiliz
@stephenmwaniki2803Ай бұрын
@@surusuru1994 lakini huku Kenya anakumbalika sana
@AnnWambui-q6lАй бұрын
Wow what a mature man DuDu wow we respect you God bless you.
@lovek6593Ай бұрын
Waziii😂.Dudubaya mwenyewe.nakukubali from Kenya👍
@chepngetichdiana4708Ай бұрын
Dudu baya ni kweli unatufahamu kama wakenya.... Pokea like yangu.Umeongea kama mtu mzima. Kenya tunakupenda❤❤❤❤❤.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wawerunganga1306Ай бұрын
We respect you dudubaya, wee huongea kilichoko love from 🇰🇪
@alimatambwe3402Ай бұрын
This man is mature enough for sure.
@Levisonyango-gl6ilАй бұрын
Kenya represented at comment number 254... Likes zangu zikuje...
@captainzelifilms2964Ай бұрын
Kama kuna mbongo mwenye akili nyingi Sana Tanzania ni huyu Dudu Baya
@humbleshoalАй бұрын
Hakika
@12345678938129Ай бұрын
Wanamdharau tu ila ana maarifa
@Mina.15Ай бұрын
Ni mgonywa wa akili kama wewe 😂
@ShishishiMohammedАй бұрын
Kweli kabisa kama ukubwa ukubwa tu
@kilelamniko9678Ай бұрын
@@Mina.15 Manina zako
@IsaacGakuha-v9pАй бұрын
Nakukubali much love from kenya. Pls come and perform in 🇰🇪 dudubaya
@aleixoboyOfficialMusicАй бұрын
DUDU BAYA WAKI WEPO WATU 20 KAMA UYU UKWELI LAZIMA USIMAME❤
@jimwafula4733Ай бұрын
Life experience ni kitu nzuri sana! DUDU BAYA wewe mwamba mwenye akali 100%
@esharodah9856Ай бұрын
Nyimbo za dudu baya ziimbwe mwezi mzima nchini Kenya mpaka tubadili mwaka .
@JAHSEED001Ай бұрын
Am a Kenyan but stay in Tanzania 🇹🇿 en I respect you dudu baya ndio husema dudu baya wewe nakujua sana kama mwana harakati shujaa keep it up bro 🖖kati ya watanzania wote dudu baya mwamba dudu naamini wajua wakenya vizuri sana na kubali venye umesema east Africa is one hata Mimi ni mkenya naishi tanzania
@kingbornb3174Ай бұрын
baasi sasa dudu karibu kenya twakupenda🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SeverinoLuis-j1hАй бұрын
@@kingbornb3174 aje kufanya nini
@elsiekendi1792Ай бұрын
Kweli dudu bad , sisi twaenda na mda chukua maua yako dudu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉, karibu kenya karibu kanairo, uaga hatupangwi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@moureentrizer3993Ай бұрын
😄 Kwani jokes za Mt Kilimanjaro mnachukulianga serious🤣😅 hamjui jokes jamani Jirani. Kenya tunampenda Alikiba.
@ismailhassan848Ай бұрын
Dudu baya bigup much love from 254
@EmanuelOdhiambo-rr2yvАй бұрын
Big up brother Konki master "Waambie hao wasiojielewa"... umesema the truth.Big up endelea na Mungu akuzidishie kwa ukweli wako. Thanks My brother Godfrey Tumaini William.
@shariffsuleiman2889Ай бұрын
We love you DUDU Mbaya🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@allanodongo1963Ай бұрын
Very wise Tanzanian bana diamond angeperfom bado ingebamba sana , diamond anajihisi mungu rudi chini bana pesa hazita kufufua ukifa
@kaysam8278Ай бұрын
Ndio maana hua naskiza old school bongo music 🎶 ❤ 🇰🇪 🇰🇪
@jaynereginas1930Ай бұрын
Been following Dudu for some time now and mahn,he is so wise.
@focasseverinotangawis522Ай бұрын
Salut dudubaya. Umeongea fact 100%
@vincentsamuel1796Ай бұрын
Dudubaya is mature parson I respect from Kenya
@daniellaelsie744Ай бұрын
Tulisema hatutaki Diamond na Zuchu Kenya, organizers wakatupuuza
@HamidaJuma-f7tАй бұрын
Dudu for president 😂😂😂
@abdulmsuya8542Ай бұрын
Wewe dudu baya. Mziki umekushinda kwa sasa mmekua mchambuzi 😅😅😅😅😅😅😅😅
@simonmuriuki8782Ай бұрын
Dudu Mbaya is a philosopher
@Smash254Ай бұрын
True baba dudu bad,,, sis adi rais ruto sikuizi anatuita pepo😊
@ceciliamurevi1987Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂waambie anatuita pepo mbaya
@daylight1707Ай бұрын
Huyu ndo msema kwel Dudu baya konki master ❤❤
@lubs590Ай бұрын
Dudu baya the legend mwenyewe❤❤❤
@BruceMapozАй бұрын
Ukwl Dudu baya we sio mtoto ama upewe kitu kidogo ama uogope kitu cocote wakenya tu mekubali sana umeongea ukwl sanaaq❤❤❤❤🎉🎉
@Nasi.B-g7uАй бұрын
Dudu mbaya is my legend Acha na hiyo paka mond tutakuanifolo diamond utapenda natumeanza
@JosiahMwangi-t6pАй бұрын
Dudu Baya ni Msanii ana heshima zake na ndio maana sisi wakenya tuna mheshimu. Ana experience ya miaka mingi. Big up Dudu Baya.
@maryannemwangi168Ай бұрын
We,respect you Dudubaya thankyou for learning us
@jojoshama2494Ай бұрын
Mm namuelewa huyu mwamba dudu Yan anaelewa hii inchi yetu vile tunaenda kivyetu vyetu
@marylwanalo6115Ай бұрын
Hatumuhitaji Diamond. Kenya tuko na Grammy winners
@ChireGriffinАй бұрын
Sisi tunamtaka kama ww aumtaki
@kassimlugwe1760Ай бұрын
@@ChireGriffinkenge ww unamtaka ww na familia yenyu
@SeverinoLuis-j1hАй бұрын
Simba ana shida na nyie wakinakasongo😂😂😂😂😂
@errydeo8865Ай бұрын
😂😂😂😂Unajua TANZANIA ina million ngapi ya watu?
@marylwanalo6115Ай бұрын
@errydeo8865 Tunaishi na kula Bila watanzania. Hatuhitaji Watanzania ndio tule
@alirimanicholaijnr8985Ай бұрын
Dudu am your fan from Ug, Respect, to the interviewer support with direct contact of Dudubaya . Thank you !
@InsideSouthAfrica24727 күн бұрын
Wisdom tupu... Mad respect to dudu baya
@Riziki-k14Ай бұрын
Dudu baya tunakukaribisha Kenya wakati wowote
@SonieSonie-t8nАй бұрын
This man is very wise, Ave been following his interviews and opinions, and he really understands us Kenyans, huyu anaweza kuishi nasi vizuri Sana, ana hekima ya juu. wakenya ukituheshimu tutakupenda na tukuinue juu, lakini ukileta kujua Sana, tunakuachilia kama chuma moto. ila ukiomba msamaha, tunakusamehe na tunaanza kukukubali taratibu huku tukikusoma mienendo yako.
@marylwanalo6115Ай бұрын
Simba linazeeka😂😂😂 mwisho wa diddy wa Tanzania
@CalvinWanyonyiАй бұрын
I respect this man ..dudu baya.
@uwemattiss880Ай бұрын
Tumechoka na dharau la diamond, he will no longer be allowed in Kenya.
@africahasgottalentАй бұрын
Umeongea vizuri sana mzee
@davidwassambo5463Ай бұрын
Namkubali sana Dudu Baya msani niliye balee naye
@avedimurunga722Ай бұрын
Dudu Baya is a mature muscian👍
@Princep-p3yАй бұрын
Dudu baya anapenda sana Kenya na wakenya
@danielmacharia9603Ай бұрын
Huyu mjamaa ako na ujuzi mingi sana saa ii dawa ni diamond aombe msamaha kenya saa ii tuko na chuki na kila kitu
@dennismusembi6319Ай бұрын
Diamond hakususia mashabiki walimkataaa.
@DorcasMukhebi-gx7mkАй бұрын
Kqbisaa
@goromamussatvonlineАй бұрын
Sasa uyu jamaa anajua Nini kuusu Mziki ... Ina Sasa anaamza kuleta maswara ya bushoke😁😁😁😁
@sampcomvideos.3112Ай бұрын
Please Dudu mbaya apewe show Kenya,,
@alimwadima254Ай бұрын
Konki Nakukubali...Umetaja Mji Wa Maana Mombasa Ikiwemo Likoni
@philipmwendwa5096Ай бұрын
Wowwwww ❣️❣️❣️❣️ i like you man as always 👏👏👏👏👏👏👏
@DennisKinyua-md7nu29 күн бұрын
Dudu thanks alot for your truth about our country
@ErickBosire-t5qАй бұрын
Wow ss ww ndo mwenga nakukubali Sana du baya
@ernestmakomere9014Ай бұрын
Dudu has immense wisdom
@sampcomvideos.3112Ай бұрын
Huyu Dudu mbaya tunampenda Sana🇰🇪
@Cross_KubwaАй бұрын
Mzee wa hekima....
@babazungu3180Ай бұрын
Hapo kwenye muda zero zero kwa watz ❤❤
@ireenikunyua3766Ай бұрын
Remind Diamond sisi wakenya ata bunge tuliingia so hakuna la kuogopa.
@fredkangethe7497Ай бұрын
We love you Dudu mbaya
@azotv1405Ай бұрын
Godfrey Tumaini aka dudu mbaya. Kichwa komavu.
@stevewanga957Ай бұрын
Huyu jamaa yuko na akili nyingi sema wabongo wengi hawamuelewi...kaongea facts sana😂
@GhaiJuniorАй бұрын
No more P Diddy s wives in Kenya
@stephenmwaniki2803Ай бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👍🏿
@p.be.sАй бұрын
Hiyo paka afikiri yeye ni simba Kenya. Akae kwao. Tunamvuruga Head of state Kasongo sembuse jipaka koko la mbagara.
@JibeMwaijibe-p1zАй бұрын
Dudu upo vizuri ila nywele na ndefu unatukosea sana sisi tunaokupennda hata kama maisha magumu si kwa kiwango hicho tuko pamoja tangu mwanangu hunanidham nidhamu nidhamu nidham🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HassanOpondoАй бұрын
Wewe ndo unatu elawa ma much Respect shida diamond niwa Kenya wame muinua saizi ana leta matharau sasa anaona amefika sana we will Dil with him vile inafa atupendi ujiga akili yake ni Greed 1 Kenya ni pesa ndo inafanya akuwe mtu mwislamu na ana weke msalaba kwa shingo .🇰🇪 respect 🇰🇪
@annndunda3953Ай бұрын
Anasahau half of his subscribers ni wakenya lakini kitaeleweka
@SeverinoLuis-j1hАй бұрын
@@HassanOpondo koma we kugoma na kenya wapi na wapi
@SeverinoLuis-j1hАй бұрын
@@annndunda3953 mnanini takataka za baharin
@dullahmuller530Ай бұрын
Big up conke master 🎉
@colmanuiso54529 күн бұрын
Kwa Wale msio elewaa kua mondy alikua wa mwisho ku perform ila wakabadilisha Ratiba Juuu kwa juuu hyo so kwelii, ety sababu wakenya Wana mapenzi Na Vya kwaoo , kama unakubqlika hyo hainaga mda , coz mda utafika na ku perform.
@Blezo44Ай бұрын
One love Dudu Baya
@MaeJackline-nm3egАй бұрын
uko Sawa brother Mungu akubariki
@Shawnpeter2024Ай бұрын
Asante dudubaya kwa kuheshimu wakenya.lakini uhafifu tunao tuambie ukweli pia.watanzania Wana muziki mzuri sana.mambo ya ushirikina nawaogopea.watanzania mko sawa mnaustarabu.lakini tungefurahia nyinyi muamke haraka manake mmelalia uwezo mkubwa.ushikamano wenu unavutia kweli.
@alicewales2065Ай бұрын
Masharti za kichawi 😂😂😂 konki master 🔥🔥🔥🔥
@ivarlila294Ай бұрын
sisi kama wakenya tunaskize Willy Paul from now onwards 💯 Willy Paul is the greatest.
@godfreywangara5946Ай бұрын
😂😅 eti willy Paul the greatest..WA wapi na ana nyimbo ngapi?
@EdwinOhwenyaАй бұрын
@@godfreywangara5946 afadhali yeye hapanuliwi
@lexusnambasita3086Ай бұрын
Let's lift our own 🎉
@bettymuks7072Ай бұрын
He will remain our own mein@@godfreywangara5946
@alexmanyasi5794Ай бұрын
100% Dudu ,good advice.
@stevekaumba3554Ай бұрын
One love big brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ShomariStuatiАй бұрын
From. 🇺🇸 kichwa atari
@stephenmuthoka-rw6zmАй бұрын
Kaongea kweli huyu ndugu
@OnebilithesuperTeamonezeh29 күн бұрын
wakenya bila levo ya bongo Bado sana cha muimu willy Paul ajifuze kupitia Simba na WAsanii wengne
@DencyDeeАй бұрын
Wise man he is....caliing a spade a spade and not a big spoon,
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
Ili niumwagilie moyo nipumzike zangu,,uku nainjoi shoo😊😊
Nyinyi wabongo mna tudhatau sana sisi wakenya kwasababu eti nyinyi mko juu kimziki sio vizuri kabisa
@RukiaSalim-y5lАй бұрын
Watuheshimu au tuwachane na music zao tuone kama wataendelea
@maryisler1924Ай бұрын
Thanks. Willy and diamond we love them. Shinda ni when visiting another Land, am supposed to be not the first to sing.When is you and your team organisiert every thing then fine.No matter here in Europa to welcomed from one of that country. The problem is not even sk. AM A KENYAN BUT KENYAN MANAGEMENT WENT WRONG. THE ORGANISATION DOWN KABISA. MKATABA TO BE THE CONTROL. TO BLAME THOSE OR THE ONE WHO CHANGED DIAMOND TO BE THE FIRST TO PERFORM. KENYA ORGANISATION DID WRONG. DON'T FIGHT OUR STARS NOT EITHER SK. WHEN MASHAMBIKI COMADED WILLY PAUL DON'T TRY TO PUSH DIAMOND IN THAT MESS. WE HAVE TO BE ONE LOVE. THOSE WITH MILLIONENS WANNA CHANGE GENZEEE. THE MORDERN HOME SAPIENS ×2 DIGITAL. NO GO ZONE. KENYAN BIG BOSSES THEY HAVE TO SAY SORRY TO BOTH PARTYS. WILLY AND DIAMOND I SALUTE YOU. GOD PROTECTION EVER. AMEN. AMINA.🙏❤️🔥❤️🔥
@frankdzombojun1343Ай бұрын
Which language is this? Hizi ni mawhat??
@EdwinOhwenyaАй бұрын
@@frankdzombojun1343😂😂😂😂
@jonjiricАй бұрын
@@frankdzombojun1343 nimeshangaaa
@patriciabarasa741Ай бұрын
Heeeeeeey what are you saying 😂😂😂😂😂😂acha nicheke hii kitu initoke
@inviolataatieno6353Ай бұрын
@@patriciabarasa741😅😅😅😅
@JamesKazungu-c2kАй бұрын
True man dudu baya
@CatherineBuletiАй бұрын
Well spoken Dudu mbaya
@NaserianJiloАй бұрын
Aise usije kenya,uku tuna sheria,si uchawi.
@ernestsinje9700Ай бұрын
Huwa napenda kukusikiliza Kwa hili Dudu baya umechemka
@judithtitomalyeta4000Ай бұрын
Duh aibu mond asiende tena mhuuu hatari
@DadaSmithdorАй бұрын
Diamond platnumz the king of africa
@LucasMapunduАй бұрын
Wewe dingi sijui unashida gan kwenye akili unaongea pumba sijui nso kuishiwa hko mtafte mwenzio me nice
@ramlaleila37428 күн бұрын
Ana wivu na mtoto wa mtu
@omarsakwa-zs2zyАй бұрын
Diamond panicked ..about willy Paul...he's a well known 👏 artist..Diamond follow the program
@dennismusila87Ай бұрын
Most Tz media houses wana puuza what really happened on the ground nakupeana habari za uwongo mimi nilikuwepo pale mwenyewe Diamond alitaka kupuuza ratiba mbona??? 😢😢😢
@BamwaleMtsoma-ff5wwАй бұрын
Ukosawa dudu😂😂 ukwelimtupu
@genesisbera7761Ай бұрын
Umenena kweli, Wakenya wakikukataa, wamekukataa, Diamond Platinums yuko na kibarua kikubua , ya kuwashawishi wakenya kumkubalia Tena aje afanye show Kenya..Diamond must NEVER perform in Kenya until he sends an official Apology..He must remember who made him Diamond Platinums from "Naseeb"