Diamond-Fiesta 2012 Liveshow in Dodoma

  Рет қаралды 366,829

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz

12 жыл бұрын

Watch new video ft Ne-Yo "Marry You" : www.youtube.com/watch?v=QdOaBt...
DOWNLOAD/STREAM “Marry You" : DiamondPlatnumz.lnk.to/MarryY...
Ulikuwa usiku wa Fiesta 2012 in Dodoma,Video hii imeletwa kwenu na www.thisisdiamond.com (Camera by Bestizzo wa Thisisdiamond

Пікірлер: 496
@SimonNguvumali
@SimonNguvumali 6 ай бұрын
Kama unaiona hii shoo 2024 gonga like hapa❤
@armanysafe2429
@armanysafe2429 2 жыл бұрын
Huyu mondi katoka mbali huezi mfananisha na msanii yeyote yule likes za 2022 ziingie hapa kama bado unakumbuka hizi enzi za kibe
@philemonambilikile839
@philemonambilikile839 Жыл бұрын
Kutoka kwake mbali hakujazuia wengine kutoka mbali kila mtu anastoria yake
@paschalgabrie1099
@paschalgabrie1099 Жыл бұрын
Ya 2023 hiyo
@SAIDMUNGA
@SAIDMUNGA 10 ай бұрын
Pamoja xanaa
@SAIDMUNGA
@SAIDMUNGA 10 ай бұрын
​@@philemonambilikile839taja mwenye historia yke inashinda ya diamond
@ZackyFlavour-po3os
@ZackyFlavour-po3os Жыл бұрын
Kama unacheki shoo hii2023 gonga like hapaa
@erickthomas6424
@erickthomas6424 3 жыл бұрын
Tuloangalia hii vid kwa mara ya kwanza tjuane plzz😁😁😁👍👍
@mujunvicta6379
@mujunvicta6379 Жыл бұрын
Diamond umetoka mbali sana naomba zawadi mm Ndo mtu wa kwanza mwenye Nyimbo zako zote kuanzia namba moja Hadi ya mwisho Zuena 2010_2023 let go 👏💪
@halimambwego8287
@halimambwego8287 6 жыл бұрын
Mond mond mond kitambo ila ulitisha mzee baba ni haki yako kufika hapo ulipo ulikaza sana ktk game.. Mond mziki uko kwa dam unamzuka mbaya nimependa unapenda sana mashabiki wako.. Kingine ile uko wazi ktk mahusiano huwa huna siri kwa wako mpenzi hiyo nayo ni chachu kwa mashabiki kuhusisha mahusiano yako yani kuwa wazi safi sana na ndiyo maana utafika mbali unatengeneza story kwa mashabiki kuona mond vipi leo... Mond ana nn leo mshabiki hachoki kukufuatilia kwani ni uhalisia ktk maisha ya mwanadam.. Mungu awe nawe daima mond. Umetoka mbali sana na mpaka leo bado unatambaa na bongo flavor yako tena kimataifa ww hakuna kama ww wcb forever 🙌🙌👏👏🔥🔥😘😘😜👌dope
@hamadisimoni3757
@hamadisimoni3757 6 жыл бұрын
Halima Mbwego dah kweli aliaso sana nikiiangalia hii show na mond wa sasa kazi aliifanya kufika alipo sasa
@sammyhollo2634
@sammyhollo2634 4 жыл бұрын
Huyu boy ametoka far, likes za 2020 ziingie
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
🤣🤣jmn
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 3 жыл бұрын
tupo hapa 2020
@stevenjosephwansaku2794
@stevenjosephwansaku2794 3 жыл бұрын
Weni mtuwaw2
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
Am here 2022
@emmanuelymacha2653
@emmanuelymacha2653 3 жыл бұрын
He deserves to be where he is! Mad love
@thelatestvideos6266
@thelatestvideos6266 3 жыл бұрын
one thing i know for sure,,,diamond platnumz deserve to be where he is now. #2020 December 💯🔥
@jamilaamussa9972
@jamilaamussa9972 3 жыл бұрын
👏👏
@victorboneventure586
@victorboneventure586 3 жыл бұрын
performance ya Diamond kwenye show miaka 8 iliyopita ni zaidi ya performance ya msanii yeyote wa Tanzania mwaka 2020 isipokuwa yeye Diamond alafu kuna watu wanajishindanisha naye
@goodluckmwagubili6417
@goodluckmwagubili6417 2 жыл бұрын
Kabsaa
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 жыл бұрын
Mmh haya 2021 twende kazi na like zenu hapa
@nyokaroadtv5828
@nyokaroadtv5828 2 жыл бұрын
Leo tarehe 28--5--2022 saa 8:35 usiku wa kuamkia tarehe 29 nimeangalia hii show Brother ulitisha sana, pia ulionesha juhud za waz kabisa tokea muda mrefu, Mungu akubarik sana 😰😰😰
@rahmasalim3087
@rahmasalim3087 2 жыл бұрын
Me pia
@sizzaamiri3668
@sizzaamiri3668 5 жыл бұрын
diamondplatnumz nilichogundua unapendwa tokea zamaniiii
@kenbaroofficial2422
@kenbaroofficial2422 5 жыл бұрын
Hatari huyu
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 4 жыл бұрын
Nakwambia huyu jamaa toka zamani huyu jamaa hatari. Acha hawa wenye walishikwa mikono tukiwaona. Huyu jamaa muchapakazi
@selemanimohamed3431
@selemanimohamed3431 3 жыл бұрын
huyu sio.freemanson uyu ni mpigakazi
@fantastic6591
@fantastic6591 3 жыл бұрын
Uhaakika uwo😂😂
@muddyrashido9976
@muddyrashido9976 3 жыл бұрын
Vp
@richbrizzy_tz
@richbrizzy_tz 2 жыл бұрын
Aseee!!!! He deserves more than alipo huyu jamaaa🙌🙌🙌🙌
@jofreywilliam9111
@jofreywilliam9111 3 жыл бұрын
Leo tarehe 2 mwezi wa 2 mwaka 2021 naangalia hii show na nina enjoy hatari
@mohamedabubakar3390
@mohamedabubakar3390 11 жыл бұрын
dah! yani hii noma imepasuwa ile mbaya! diamond uko juu tu sana!
@estherblack2770
@estherblack2770 Жыл бұрын
He worked so hard for everything and may God keep him higher because, this yound man deserves everything he have and he deserves even way much more. He is so humble to the ground and his kindness is uncomparable. He deserves everything he would ever ask for
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
2023❤❤❤❤tunatazama show ya 2012 safii sana Diamond platnumz🔥🔥🔥🔥🔥❣️
@wackevin
@wackevin 2 жыл бұрын
You are a legend dangote. Watching this in 2022
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Zari hawezi hayo mashamsham. Wema alikuwa anawagusa sn watu. Ndomana kila siku wema anabaki kuwa wema tu 💕👌anavyake asilia sio vyakuigiza.
@kenrifambi
@kenrifambi Жыл бұрын
Here in 2023. Mad respect. I respect your journey and your growth
@ramahaji2395
@ramahaji2395 5 ай бұрын
2024 gonga like hapa
@joshuarobby2956
@joshuarobby2956 8 ай бұрын
Nije nimkute mtu ana sema Diamond fremason jamaa kapambana Na Mungu kamili ya 2023 I still watching
@ligitfrankie2144
@ligitfrankie2144 3 жыл бұрын
The diamond I miss😍😍,,, huyu wa jeje sijui alitoka wapi? We want our diamond back🤧🤧
@patellarambo1601
@patellarambo1601 3 жыл бұрын
The ancient one was hotter, music with strong messages
@budakassim2191
@budakassim2191 3 жыл бұрын
Ulionyesha juhudi za waziwazi kabisa kwamba unanjaa na mashabiki tumekupa chakula, but still hujarizika wala kutudharau mashabiki zako! Mzee komaa sana TUNAKUAMINI hujawahi kuharibu🔥
@immanuelsamwel9409
@immanuelsamwel9409 3 жыл бұрын
Sana
@brianakama8689
@brianakama8689 3 жыл бұрын
Kenya loves your music ...mad respect 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@levilayne7878
@levilayne7878 2 жыл бұрын
I know it is kind of randomly asking but do anybody know a good place to watch newly released series online?
@zahireduardo8463
@zahireduardo8463 2 жыл бұрын
@Levi Layne Ehh atm I have been using Flixportal. you can find it thru google=) -zahir
@levilayne7878
@levilayne7878 2 жыл бұрын
@Zahir Eduardo thank you, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it !
@zahireduardo8463
@zahireduardo8463 2 жыл бұрын
@Levi Layne You are welcome :D
@NASHY943
@NASHY943 10 ай бұрын
nyimbo za kitambo zinaweza sana wanangu❤❤
@vanierdesludge7156
@vanierdesludge7156 2 ай бұрын
Aki diamond 😢😢😢😢 this guy if from far,,,the far musician i grew knowing and loving 😮😮😮he made me fall in love with music
@priserke
@priserke 3 жыл бұрын
Hahaa😄,This was Seven years Ago- One Man on the Stage 🤔... Duuh! Bro,You deserve to be where you are now More love to #DiamondPlatinumz
@hamzazimbwe1327
@hamzazimbwe1327 5 жыл бұрын
Wagogo watu wabaya sana Ndio maana mwaka huu wasafi westival alikua makini nao balaa 09/08/2019
@basitamedia1780
@basitamedia1780 3 жыл бұрын
Diamond platnumz performance yak tangu 2010 til now kweny jukua balaa. Anamiliki jukua hatarii. Nani anakataa?? From uturuki #Basita21
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 4 ай бұрын
Dodoma ndio anapoibiwaga tu huyu mwamba sijui ana nini na wana Dodoma ila ya mwaka 2023 kasema sikubali hiyo kofia inanguo nyingi sana
@muntezdehblackalbino8925
@muntezdehblackalbino8925 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂2023 still here kuona mwamba alivyopagawisha kitaa
@nevdtv6436
@nevdtv6436 3 жыл бұрын
Talented boy, this iz how far he came from.🦔🔥💡🦁🦁🦔
@moodmmanga3252
@moodmmanga3252 5 жыл бұрын
2019 /3/27 nmeangalia ila wagogo wahuni sana
@barbieirene6633
@barbieirene6633 Жыл бұрын
He deserves to be where he is now for real 🥰🔥🔥 much love from Kenya
@yuscomjanja584
@yuscomjanja584 3 жыл бұрын
Simba atabaki kuwa simba 15/11/2020 aaahh woteeeeee
@darmianke1722
@darmianke1722 3 жыл бұрын
Diamond will remain both east Africa and Tanzania best male artist 🔥🔥🔥🔥
@mutanuboniface184
@mutanuboniface184 2 жыл бұрын
You deserve to be where you are now🥰🥰🥰🥰
@mpawenimanagerard9177
@mpawenimanagerard9177 9 ай бұрын
Yani diamond kwanzia zamani nimupambanaj ndomana nitamupenda mpaka💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪❤️
@kipsangruto5323
@kipsangruto5323 3 жыл бұрын
Mond tafadhali vumisha show kama hii tena Na nyimbo mpya this year 2020
@melkiadakonaay2089
@melkiadakonaay2089 5 жыл бұрын
Duuh kiukwel napenda xana kuangalia na kuapriciate ulikotoka braza kwel u deserve that you have now make ulituaminixha mashabiki zako big up xana
@MercyMazmida
@MercyMazmida 3 жыл бұрын
😅😆😆😆😆😂men I love Diamond omg they took his shoes , socks n then pulled him down wow the crowd is on another level 😕🤨😂😂
@userOfficailJamac
@userOfficailJamac 10 жыл бұрын
I Like This Show In Dodomo (Daimond Platnumz)
@estherblack2770
@estherblack2770 Жыл бұрын
Diamond is just the best ever
@Nambenjere
@Nambenjere 3 жыл бұрын
This was the moment. Just came back to reminiscent. What a great talent
@jesc7680
@jesc7680 10 жыл бұрын
I say! Wamemvua Diamond?! Hahhaa yaani nimebaki kicheko. Watu wetu waAfrika jaman!!!! Pole kaka :-)
@haralbeey
@haralbeey 11 жыл бұрын
Hahahahahahaha bongoooo nukisiii wamemvua viatu na soksi zake hahahaha it made my day
@jacksonelias2417
@jacksonelias2417 3 жыл бұрын
Umetoka mbali bro!..sio wengine ngoma moja tu wanazunguka na baunsas inapaswa waelewe haikuwa kazi rahisi kwako kuwa na madensa na guards umepambana bro🤙🥊
@richstar150
@richstar150 2 жыл бұрын
Nakuunga mkono
@ALIMUYA
@ALIMUYA 11 жыл бұрын
I like how he just continued with his proformance ..I would do the sameee
@mwanasitiali2363
@mwanasitiali2363 Жыл бұрын
For sure 👍
@_coastalkidd_9713
@_coastalkidd_9713 2 жыл бұрын
You Deserve to be The Simba of Africa❤️❤️❤️❤️❤️
@eetlady
@eetlady 10 жыл бұрын
Diamond you are humble,which is a very rare quality for some people who have had humble beginning. Hope you remain that humble,and as you continue to reach great heights
@zendabrighton
@zendabrighton 9 жыл бұрын
He is very humble. Most of celebrities won't even allow to be touched . God raise up those who are humble. Didn't know this guy, only last when I mistakenly played his ''number one'' , then Kesho, then mbalaga, mawazo....have to use google translate for me get the meanings of the song..though it won't give me exact meaning...Now am searching for everything concerning this DIAMOND-PLATINUM of mama AFRICA , I will play his songs on our wedding on 20 december this year...I am from Zimbabwe, Zimbabwean musicians and celebrities are also humble, however, yea DIAMOND is rocking me now......nataka kesho twende ............
@kenbaroofficial2422
@kenbaroofficial2422 5 жыл бұрын
Am happy he still is
@ericktv7188
@ericktv7188 3 жыл бұрын
Nahis ni mimi tuu nloangalia hii 2021 its so nice
@thedangotetv2962
@thedangotetv2962 4 жыл бұрын
2020/avrl/20 goga like hapa Lakini dodoma viatu vya simba jamani😂😂😂#WCB4life
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Wahuni sio watu
@fabianitheboy8318
@fabianitheboy8318 3 жыл бұрын
Viat miwani na sinzani kama hawakuingia mifukoni kwerii 😂😂😂😂
@rosemusyoka4315
@rosemusyoka4315 Жыл бұрын
You really deserve it man,big love from ua fans,in 2023 we need the old legend Simba.
@Onthespot_trendings
@Onthespot_trendings Жыл бұрын
Dah show Ina ishi adi 2023
@mssgaintoo4321
@mssgaintoo4321 2 ай бұрын
2024 Watching vibes Diamond Platnumz the great
@DurahRich
@DurahRich 2 жыл бұрын
Diamond ni Mfalme toka kitambo🙌🙌🙌🙌
@_coastalkidd_9713
@_coastalkidd_9713 2 жыл бұрын
The happiness in watching your shows💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🧡🧡🧡🧡
@stnashofficial5399
@stnashofficial5399 Жыл бұрын
Keep shining 🌟 diamond salute to you mond
@SustainableMedia1927
@SustainableMedia1927 3 жыл бұрын
hardwork and determination pays
@alisaidahamed8065
@alisaidahamed8065 Жыл бұрын
Ils à 11 sans déjà le 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪👌👌👌🦁 Simba Daimond plantumz ❤️😍😍❤️😍🇫🇷 machallah j'ador j'ador
@HipHop_2024
@HipHop_2024 10 ай бұрын
Naomben likes ZALI 2023 wajamen
@eshaalfan5926
@eshaalfan5926 10 жыл бұрын
I really like this song
@dianabanga2625
@dianabanga2625 11 ай бұрын
mad love!
@kenakoya8505
@kenakoya8505 10 ай бұрын
watching this in 2023😂❤. simba masimba dangote
@guarol
@guarol 2 жыл бұрын
Diamond alikuwa n nyota Kali yani tangu zamani..u deserve the title SIMBA 🤞
@user-dv8cd1up7v
@user-dv8cd1up7v 3 ай бұрын
2024 Kwa Sasa akikaa ivo ajue kabisa viatu hanaa
@PascalJames-my2oe
@PascalJames-my2oe 3 ай бұрын
He is really a legend ❤❤❤❤❤❤❤❤
@smartmussadozen3535
@smartmussadozen3535 Жыл бұрын
Katoka mbali mchizi 2023 Now
@warrensantana1570
@warrensantana1570 3 жыл бұрын
😭😭😭😭nimeona alikotoka na nikifikiria alipo Sasa hadi inatia huruma yaani🦁🦁🦁🦁Simbaaa
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 3 жыл бұрын
Kwel ur "DIAMOND".you shined since way back💪
@jessegabrielkenya1914
@jessegabrielkenya1914 3 жыл бұрын
She deserve it All 💗💗🔥🔥🌹utavuna ulichopanda....sai ni wakati wa kuvuna kaka
@habbydaimu5313
@habbydaimu5313 2 жыл бұрын
Wanao sema fremason hao wameishiwa nyimbo zakuburudisha watuu wamuache huyu kijana
@parachichiFM
@parachichiFM 11 ай бұрын
She??????????
@salimashur4518
@salimashur4518 3 жыл бұрын
Mshkuru sana WEMA SEPETU diamond.....
@muddykarata8359
@muddykarata8359 2 жыл бұрын
Daah Platinumz
@Sheby30
@Sheby30 Жыл бұрын
Kama unatazama show 2023 gonga like ap
@huddahmohaa5618
@huddahmohaa5618 8 жыл бұрын
wa Africa
@Richie-7280
@Richie-7280 Жыл бұрын
Wanaotazama video hii mwaka 2023,Gonga like
@user-cb8hr3vv9p
@user-cb8hr3vv9p 8 ай бұрын
LONG JOURNEY UMETOKA MBALI❤
@soniajelagat8327
@soniajelagat8327 2 жыл бұрын
Iloveyoudiamondismaureen
@saljam82
@saljam82 3 жыл бұрын
Napenda wahuni wamemvua viatu ye ye kauchuna na kiwapa show Kali....Simba Simba Simba
@saljam82
@saljam82 3 жыл бұрын
Haikuwa big scandal..
@EAV23216
@EAV23216 3 жыл бұрын
King came from far 💯❤❤❤
@user-lk2yg3lh8c
@user-lk2yg3lh8c 8 күн бұрын
Give me 5 years 🎉
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 3 жыл бұрын
Simbaaaaaa
@orestehavyarimana5806
@orestehavyarimana5806 4 жыл бұрын
Dah kumbe jama kipenz ca watu toka zamani
@adammichael7964
@adammichael7964 5 жыл бұрын
Harii sana huyu jamaa
@NgwatheGangOfficial
@NgwatheGangOfficial 9 ай бұрын
Nan ako hapa 2023???
@Chekanamimi_
@Chekanamimi_ 4 жыл бұрын
I have seen how powerfull a woman is when she is with a man she loves
@gprinceofficial9908
@gprinceofficial9908 4 ай бұрын
Da Honest Hustle is Real
@benhasso2867
@benhasso2867 11 ай бұрын
Dahhhh
@fadhilchiteme6844
@fadhilchiteme6844 4 жыл бұрын
Hiiii ulitishaa Sana bro
@jumashaban2900
@jumashaban2900 4 жыл бұрын
Noma sana
@gilbertemmanuel5832
@gilbertemmanuel5832 3 жыл бұрын
Life is a process ...congrats brother
@chdymsafi2063
@chdymsafi2063 4 жыл бұрын
Nakubaliiiiii smba toka miaka iyoooo dadeQiiiiii ulikua ni balaaaaa zito na halijawah kupoaaaaaa mamaeeeeeeeee💥💥💥💥💥💥
@xxboyfantastic3247
@xxboyfantastic3247 4 жыл бұрын
I'm amazon phantomz nimekubali show ya simbaaaa Nmeicheki 2020 corona virus
@denisimacha3085
@denisimacha3085 2 жыл бұрын
Wale wotewa 2022
@jumaamanandi4329
@jumaamanandi4329 3 жыл бұрын
2020 Hapa 💥💥💥🍹🍹
@evansthuranira9725
@evansthuranira9725 2 жыл бұрын
surely mbona huyu mtu hakuwe na haters....he is the best 👌 👍
@mariammwarome6282
@mariammwarome6282 Жыл бұрын
Wema weeeema weeeeema zamani
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 9 ай бұрын
Wema alikuaga mzuri sana zamani❤🎉🎉
A Boy From Tandale - Diamond Album Launch (Full live performance)
17:56
BTV Visual Creations Ltd
Рет қаралды 310 М.
Diamond Platnumz - Mombasa Concert (12th October 2014)
48:44
Diamond Platnumz
Рет қаралды 826 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 13 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 22 МЛН
Kill music award 2012-.Mtumbuizaji Bora wa kiume
4:50
Kennedy Kimaro
Рет қаралды 56 М.
Diamond Platnumz "SIMBA"kwa JUX
1:11
Swahili Vision International Association SVIA-TV
Рет қаралды 29 М.
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
Diamond Platnumz alivyowaacha hoi wanachuo Nairobi kwenye THE TREND
28:08
diamond platnumz perfoming NIMPENDE NANI-Moshi
7:09
Diamond Platnumz
Рет қаралды 238 М.
Diamond Platnumz Live in Kampala (Part 1) - Comedy Store Uganda Sept 2023
41:20
Alex Muhangi Comedian
Рет қаралды 263 М.
Diamond Platnumz - Arusha Ccm
25:43
Diamond Platnumz
Рет қаралды 2,9 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 749 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 1,3 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 4,9 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 440 М.