DIAMOND FT. FATMA & ROMY JONES - TOKA MWANZO

  Рет қаралды 387,317

ally issa

ally issa

Күн бұрын

Пікірлер: 779
@blueeye-vm9ot
@blueeye-vm9ot 5 ай бұрын
Wale wa 2024 tunapatana hapa,,kiss my comment😁😋💯
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 3 ай бұрын
Ni atar sana Simba
@LenatusDismas
@LenatusDismas 8 күн бұрын
Dah kweli mwamba katika mbali
@husseinyusuph8080
@husseinyusuph8080 4 жыл бұрын
Kama ndo una angalia ngoma hii 2020 gonga like tujuane
@beatsbywesternshaa1023
@beatsbywesternshaa1023 4 жыл бұрын
Watu utoka mbali sana
@raphaelshitindi7909
@raphaelshitindi7909 4 жыл бұрын
😂😂
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Mie ndiyo kwanza naiona leo
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 4 жыл бұрын
@@noxlosingida2369 pole neema
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
@@ghostelmendez7206 asante
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Kama una una angalia hii ngoma baada ya kuona interview ya Fatma na SnS gonga like!
@kingbashar4293
@kingbashar4293 4 жыл бұрын
😉😉SNS
@williammweta5539
@williammweta5539 4 жыл бұрын
Simulizii & sauti
@mussasimbansimite8179
@mussasimbansimite8179 4 жыл бұрын
Eu ainda não vi essa entrevista
@jenipherpaul5895
@jenipherpaul5895 3 жыл бұрын
😂😂😂😂bonge la pensi😂😂😂
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 жыл бұрын
Me
@lyngee6355
@lyngee6355 2 жыл бұрын
Daaaaaah''''cjwh fkiri kama kuna mwimbo wa diamond kama huu
@deleally9590
@deleally9590 4 жыл бұрын
Maisha bhana dah kweli lazma uzalilike kwanza ndo uwe tajiri
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 3 ай бұрын
Yah
@kallamujunior9395
@kallamujunior9395 6 жыл бұрын
Kama umesikia style ya Mr blue kwenye song hili La Simba gonga like twende sawa. Never give up just give under
@khadijahussen2763
@khadijahussen2763 6 жыл бұрын
😁😁
@johnmilan7108
@johnmilan7108 6 жыл бұрын
Kukopi sound za watu kaanza kitambo kumbe
@mjukuutvonline8373
@mjukuutvonline8373 5 жыл бұрын
Hahahahaha
@frankmiraco9844
@frankmiraco9844 4 жыл бұрын
@@johnmilan7108 na ww kopi ufanikiwe
@shabanishabanii6203
@shabanishabanii6203 4 жыл бұрын
Ameanza kitambo kucopy
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 4 жыл бұрын
Watu wanatoka mbali, ukiona mtu kafanikiwa mpigie salute🙌
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 3 ай бұрын
Ni fresh
@RaphaelMichael-e7v
@RaphaelMichael-e7v 11 күн бұрын
Sauy nzr na anaweza
@hassanihanzel
@hassanihanzel 4 жыл бұрын
Kama ndio unaona hili ngoma kwa mara ya kwanza mwaka 2020 like tukisonga.🤣
@jocelyneinarukundo3655
@jocelyneinarukundo3655 4 жыл бұрын
☝️😂😂😂😂😂😂
@hassanihanzel
@hassanihanzel 4 жыл бұрын
@@jocelyneinarukundo3655 😄😄😄
@jrm9448
@jrm9448 3 жыл бұрын
hahahhahahahahah
@GoduiElelee
@GoduiElelee 7 ай бұрын
who is here 2024 enjoy vipiii vipiiii vipiii😅😅😅
@Positive_Vibes_Ke
@Positive_Vibes_Ke Жыл бұрын
Enyewe watu utoka mbali. Hii sijawai ona 😂😂
@abuymchina3646
@abuymchina3646 4 жыл бұрын
Hii ngoma nakumbuka imetoka2005.kitambo hicho lkn mpaka mwakahuu2020 bado ipokwahewa naomben like zenyu jmn
@BadoMartense
@BadoMartense 4 ай бұрын
Dah kumbe Diamond ana ngoma ya zamani 🙄🙄❤️
@wing9762
@wing9762 4 жыл бұрын
Mondi enzi Hzo anachonga na wembe😂😂😂ilaa maisha n kuhustle bilaa kukata tamaaa#
@magrethmkira6250
@magrethmkira6250 4 жыл бұрын
Haaaaahaaha
@bahatipaul8597
@bahatipaul8597 Жыл бұрын
Kama ndo unaiona ngoma hii 2023 kwamara yakwanza gonga like hapa tujuane
@mollelamina2744
@mollelamina2744 Жыл бұрын
Leo wanakwita Freemason, ni wavivu wa kufikiria hawajui kule umetoka👍
@Joneslaizer100
@Joneslaizer100 Ай бұрын
Sema diamond akiangaliaga hii ngoma analia sana
@T5Gold
@T5Gold 4 ай бұрын
ngoma kali sanaa!!! Diamond simba toka mwanzo.
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Diamond 😂😂😂😂diamond wa Zaman mzeeee diamond wa sasa Kijana ndo kwanza anamiaka 15
@Yusuf7166
@Yusuf7166 14 жыл бұрын
baba nakukubali sana niko majuu ila niliwahi kuona ngoma hii longi kama 2007 nilipokuwa home TANZANIA. THIS WAS MY FAVORITE SONG that time
@johnkamando2509
@johnkamando2509 2 жыл бұрын
Vp upo wapii
@izzihmokd1396
@izzihmokd1396 2 жыл бұрын
@@johnkamando2509 uyuu jamaa imepita miaka 11 itakuwa kaaga dunia😂😂😂
@TheNewKid_TV
@TheNewKid_TV 2 жыл бұрын
@@izzihmokd1396 wewe jamaa unazingua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@damianocostantine9042
@damianocostantine9042 4 жыл бұрын
Kama umeludia mara mbili mbili hii ngoma kisa diamond alivyokuwa hapo zaman like hapa tujuane
@lukasshimbi
@lukasshimbi Жыл бұрын
Mi ndo naiona Saiz hivi 2023, respect to him
@denniscage9436
@denniscage9436 5 жыл бұрын
hahaha dj romy jones na diamond wametoka mbali Nairobi gonga like hapa
@jam705
@jam705 Жыл бұрын
Watu hutoka mbali wallahi
@naimaaliy604
@naimaaliy604 4 жыл бұрын
Kumbe ulianza kumpenda mr blue hongera kwa ulipo fikia
@xunguyounus2729
@xunguyounus2729 4 жыл бұрын
Kama umekuja hapa baada ya interview ya fatuma sns tujuane
@asmanndiema2874
@asmanndiema2874 Жыл бұрын
Ndo mie hapa😂
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Sasa ngoja nikaitafute hiyo interview. Cjawahi iona.
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 6 жыл бұрын
unangalia video hii kinafrkii umkubalii Diamond afuu me namkubalii mpambanajii na ww unamchukia anakujaa malaika mtoa roho unakufa respect bro Mondi
@tonybestsenior8874
@tonybestsenior8874 4 жыл бұрын
I have never seen this song since Diamond started music. Actually this is my first time. If this is how Diamond was then everything is possible. I'm shocked!!! I gotta go for it too 💪
@tonybestsenior8874
@tonybestsenior8874 4 жыл бұрын
@Joha Ahmed True bro
@Musagisagara
@Musagisagara 4 жыл бұрын
Go for it and believe in your self if Someone told u wrong accept it and learn from tht mistakes. Wish u the best
@tonybestsenior8874
@tonybestsenior8874 4 жыл бұрын
@@Musagisagara Thanks bro. I'mma go for it
@fatmarashidmusafatma5218
@fatmarashidmusafatma5218 2 жыл бұрын
Me too this is my first tym🙄
@lewytiffany6998
@lewytiffany6998 2 жыл бұрын
Tuamini uyu jamaa ametoka mbali
@Simeonesaph13
@Simeonesaph13 6 жыл бұрын
😂😂😂 nimecheka kwa sauti wallah, dah! Kweli maisha foleni
@vocalistgang3125
@vocalistgang3125 4 жыл бұрын
Kiekiekiekie kie zilipendwa kweli ata muhondoko
@khaleed_salim5418
@khaleed_salim5418 4 жыл бұрын
Kaka unajuaa kumbe toka kitamboo ulikuwa unawakimbizaaa nice.. 🦁🦁🦁
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Mimi ni mmoja kati ya watu waliobahatika kuiona safari ya muziki ya NASSIB ABDUL (almas)enzi hizo and what I can say right now am so,so proud of him being diamond platnumz.
@marygregory7566
@marygregory7566 4 жыл бұрын
Ulibahatika?
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@marygregory7566 wapo wengi wamemfahamu akiwa tayari diamond, naamini nimekujibu mshangao wako na uhakika halikuwa swali.
@marygregory7566
@marygregory7566 4 жыл бұрын
Yan bahati uliyoipata Ni kumjua zamani?
@witomtama
@witomtama 3 жыл бұрын
Daar far away Maisha yanachange sana 2020 yaan twenty twenty naiwatch
@shebyshabani4620
@shebyshabani4620 4 жыл бұрын
bhna maisha bhna ni ujasiri mondi ujasiri t ndiyo umemfikisha alipo
@kelvinmhina1685
@kelvinmhina1685 4 жыл бұрын
Watu walianza kuzeeka kwanza then ndio wakawa vijana!
@sheillahbh9009
@sheillahbh9009 4 жыл бұрын
Respect Wema alikupenda ukiwa hivi..hawa kina Zari hata hawangekupenda hivi
@H-moneybags
@H-moneybags 4 жыл бұрын
Hapo utagundua mondi alishawahi kumuiga blue byser swag zake
@firiminishana
@firiminishana Жыл бұрын
Alikiba style
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 5 ай бұрын
A nenda zako uko
@kadabra-one1007
@kadabra-one1007 Жыл бұрын
So wow 🎉. Yoo kids of 2050 respect this legend called diamond platinum
@RamadhanDaddy-fi7qg
@RamadhanDaddy-fi7qg Жыл бұрын
Kama umerudi hapa 2023 kuiangalia hii nyimbo tena kiss my comment plz
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
Mungu aitwe Mungu tu 😂😂
@malule006
@malule006 Жыл бұрын
13 years ago, God is great. Now 2023, mondi the legend 🇰🇪❤️
@nashonmwita3045
@nashonmwita3045 Жыл бұрын
Likes za mtu anaona hii ngoma mara ya kwanza kama mm after watching io interview
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 5 жыл бұрын
Yani nilipoona ile interview ya fatma kwenye wasafi tv ndio maana niko hapa
@lilhomies2541
@lilhomies2541 6 жыл бұрын
Mapito ya Joseline....wangapi twahisi ivo
@allyfatma7359
@allyfatma7359 4 жыл бұрын
Ndo mapito ya kitambo lil maana hata Mr blue Amepita humo.🤣🤣🤣
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
@@allyfatma7359 Blue alianza kabla ya Joslin!
@johnmatiko2596
@johnmatiko2596 4 жыл бұрын
@@TamuzaKale Ni kweli hizo ni style za Mr bluu
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
@@johnmatiko2596 Naam!
@salimmwinyi1216
@salimmwinyi1216 4 жыл бұрын
Joselin na Blue
@iddikogo4987
@iddikogo4987 6 жыл бұрын
Diamond awachwe ale bata,kumbe mziki ulimdhalilisha kiasi hiki.
@jimmysunch2088
@jimmysunch2088 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaa
@fotbolltvpatrick8634
@fotbolltvpatrick8634 4 жыл бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
@killarmancity7599
@killarmancity7599 4 жыл бұрын
Alafu mtu leo anasema #CHIBU mziki haujamsumbua sana 😎😎😎😎😎😎 acha tu mchizi ale batta kwa sasa
@benthomasy8469
@benthomasy8469 4 жыл бұрын
Hahahaha
@LucasShija-oh9rl
@LucasShija-oh9rl 7 ай бұрын
Kumbe alitaka kuwa mwanahip hop
@marutirashid5893
@marutirashid5893 2 ай бұрын
Awo nga Diamond byayimba tebabiwulila in Lil Pazo's voice.
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 5 жыл бұрын
Mond ,,,wakuhache ,Mimi kinacho sababisha nikupende niwewe kuwa na moyo mgumu Sana wa kupambana na mahisha ,,ata Mimi kipindi nahuza dagaha kigoma nilipambana kimahisha adi nikapata nafasi ya kuhingiya marekani mpaka ivi Niko fresh Sana ,
@kingtozi
@kingtozi 2 жыл бұрын
Kama unachek goma hili 2022 gonga like hapa @diamond
@alphamenson3784
@alphamenson3784 5 жыл бұрын
diz man deserve a trophy 🏆....LION never give up...yo started from de bottom...finna yo made it n they tryna talk sheeet...come on dudes we need 2 congratz em'
@FrankBoozerFitnition
@FrankBoozerFitnition Жыл бұрын
With Hardwork, patience,persistence,prayers and intensily believing in God everything is possible..May Almighty God bless each and everyone of us working hard to make a better life.
@estherwilliam1870
@estherwilliam1870 Жыл бұрын
😢huyu sio Diamondi mnamsingizia😂😂😂 big up bro aki pesa wewe 😂
@-mm900
@-mm900 6 жыл бұрын
😆😆😆😆hilo pensi kama bukta la mzee majuto..... R.I.P king
@khadijahussen2763
@khadijahussen2763 6 жыл бұрын
😁😁
@DIweni
@DIweni 6 жыл бұрын
Hahaha
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 5 жыл бұрын
@Great IQ 😂😂
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rehemasaambili844
@rehemasaambili844 5 жыл бұрын
Nimecheka kwa kweli
@DrannyHankandaule-t3l
@DrannyHankandaule-t3l 3 ай бұрын
Wezombie 🇹🇿🇹🇿😭🔥🔥 ku Chalo 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿
@DiCulture
@DiCulture 4 жыл бұрын
Diamond,alianza na ublue blue,Leo ni ft rick Ross,big up dogo wa tandare
@rudeboibillboard7056
@rudeboibillboard7056 4 жыл бұрын
Platnumz swaggz since
@Nduvamerliany46
@Nduvamerliany46 6 ай бұрын
Nani kaangalia baada ya boflo star search ya uswege murdered 2024 now
@bibibakari7020
@bibibakari7020 3 жыл бұрын
Jaman huyu simba kweli sijui ilikuwa wapi sijaiona wangapi wameiwatch 2021
@farouqkatana7216
@farouqkatana7216 4 жыл бұрын
Watu wanatoka mbali Aise ghaaii 🙆‍♂️🙆‍♂️
@heryndauka5562
@heryndauka5562 4 жыл бұрын
Jamanii uyu mwanamke yupo wapiiii??????
@tafkidke5136
@tafkidke5136 2 жыл бұрын
Msiseme ni Luminatii hata akiwa uko but jua Mungu ndio amemweka juu alipo saa hii kwasababu ndio aliye muumba na kumweka kwa womb la Mamake Diamondii
@malonemalick1999
@malonemalick1999 4 жыл бұрын
Daah kweli pesa ni kiboko
@allyfatma7359
@allyfatma7359 4 жыл бұрын
Kilicho kwenda vibaya ni video tu.lakini beat Kali sana.huyu dada saivi amerudi kwenye game big up fatma.2020.
@davianjosephjoseph3121
@davianjosephjoseph3121 2 жыл бұрын
Cheza na vyote lakin sio mipango ya Mungu kama huyu ndo Diamond acha atambe tu
@YoelLameck-b9i
@YoelLameck-b9i 8 ай бұрын
A person who is successful has a painful story
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
,2020 Diamond ametoka mbali Sana wanao mbeza mhh Mungu anawaona jamaa amepambana Sana tena Sana 🦁🦁🔥🔥🔥🔥
@microssadamu7556
@microssadamu7556 11 күн бұрын
Alikuwa anaiga dzain ya mrblue
@rajabuchijinga8321
@rajabuchijinga8321 4 жыл бұрын
Nimekuja baad ya kuona interview ya SnS
@moodmmanga3252
@moodmmanga3252 4 жыл бұрын
Romy Jon's kumbe unajua kuimba🔥🔥🔥
@denisdejo5033
@denisdejo5033 4 жыл бұрын
Now I understand Why Diamond has so much respect for Blue. Much respect to Diamond one of the Greatest Role Model ever. Keep going Simba Sky is the limit 🔥🔥🔥
@mariamubakari599
@mariamubakari599 3 жыл бұрын
Mm ndo kwanza naiyona leo 2021
@aishaabdulrahman6995
@aishaabdulrahman6995 4 жыл бұрын
Baba tee wee ni legend 😂😂😂😂😂😂😂😂
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mohamedsudi9826
@mohamedsudi9826 8 жыл бұрын
wah! watu hutoka mbali....never give up,until you reach your dreams. nyota yako huenda ikangaa miaka michache baadaye
@roseshiombo1450
@roseshiombo1450 6 жыл бұрын
Mohamed sudi Inshallah.. Shukran
@nancytarimo1947
@nancytarimo1947 8 жыл бұрын
Dah...Tumetoka mbali jamani! Guys we should not give up in this life as Long we are alive.
@killarmancity7599
@killarmancity7599 4 жыл бұрын
Aaaaaaaaaaaahh!!! Wooooooote!! wooòooooooote 😎😎😎😎😎😎😎😎
@allyfatma7359
@allyfatma7359 4 жыл бұрын
KZbin.....fetty sley.....amerudi kwenye game bi fatma.na ana Ngoma Kali sana,Kama aliyomshirikisha dully Sykes.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 жыл бұрын
kama umeona umu mond kaimba kama Mr bluu like zako hapa pia anaonekana ndo mtu alikuwa anamkubali kibindi hicho mpaka wipi Rj ze dj
@IvyEkeno
@IvyEkeno 9 ай бұрын
Finally got to see the first song 😂😂😂
@denniskihara2832
@denniskihara2832 4 ай бұрын
when diamond was aluminium,but i love his journey and growth kudoz star!!keep shining
@Edward_Simon6
@Edward_Simon6 2 күн бұрын
Apa ndio naamini Mr blue ni role model wa wengi
@mussamganga3192
@mussamganga3192 Жыл бұрын
Ndio naona leo April 16 2023,, kwa mara ya kwanza
@jumayusuph8471
@jumayusuph8471 4 жыл бұрын
Yaaacheni maisha yaitwe maisha aiseee kwenye maisha jifunze kueshimu yeyote maana hujui alikota adi kufikia pale alipo diamond wa miaka ile sio huyu wa Sasa aisee aksante aksante mungu
@SigwaMkinga
@SigwaMkinga 10 күн бұрын
Kula maisha mondi. Kumamake
@godfreymichael2445
@godfreymichael2445 Жыл бұрын
2023 still hit song from platinum diamond
@daudcharlesmhoja1614
@daudcharlesmhoja1614 Жыл бұрын
omg
@maclucky4149
@maclucky4149 3 жыл бұрын
Oya huyu jamaa katoka mbali sana ... Big up
@devtzmbalilaki
@devtzmbalilaki 5 жыл бұрын
Kwa 2019 tunafanya iv 😂🤣😂🤣🤣
@DagwijiDerick-lr1pv
@DagwijiDerick-lr1pv 3 ай бұрын
2024 all talented guys never give up Larn from #Daimond ama #Mapoz
@bmdele5816
@bmdele5816 Жыл бұрын
Kila kitu kizuri kinachukua muda na jitihada isiyokukata tamaa! 🫡
@stannerbeats
@stannerbeats 6 жыл бұрын
Huwezi amin kama mwanzo ndo hivi Baraka za Mungu 2 2pambane tusikate tamaaa
@musashaweji4835
@musashaweji4835 3 жыл бұрын
Attitude ndio naifananisha na hii ngoma😃😃😃😃
@12322879
@12322879 4 жыл бұрын
Enzi hizo Blue ndio role model wao..ahaha
@revocare1
@revocare1 4 жыл бұрын
Aliekuja baada ta sns like hapa
@dullyyesu9036
@dullyyesu9036 4 жыл бұрын
tupo
@dullyyesu9036
@dullyyesu9036 4 жыл бұрын
ila mwamba anahaki kula bata mamae alipitia magum sana walikua washamba sana ila wamepambana na na mziki
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 4 жыл бұрын
Tupo hapa😂😂😂
@gahayrabdu8493
@gahayrabdu8493 5 жыл бұрын
Long journey simba love from somalia 2019
@suleimanmalik3846
@suleimanmalik3846 4 жыл бұрын
Huu nliuonaga kitambo sana... niliusaka bilabila
@JamstaEarl
@JamstaEarl 4 жыл бұрын
I'd say this Is God.. 😭😭😭 mimi nitatoka hapa kweli
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Sasa vipi vipi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakufa na kicheko uku jamani...mje mnisaidie
@nba_fortunebello255
@nba_fortunebello255 2 жыл бұрын
2023 - 2024 Gather Here ❤
@OrecyOwden
@OrecyOwden 4 жыл бұрын
Hatari sana, kweli mwanzo mgumu
@musicalvibras
@musicalvibras 4 жыл бұрын
Simple boy in the making! Wapi likes zake
@parto8122
@parto8122 4 жыл бұрын
Mtu hutoka mbali hard working pay
Diamond Platnumz - Mbagala (Official Video)
4:12
Diamond Platnumz
Рет қаралды 17 МЛН
Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1
26:08
YahStoneTown
Рет қаралды 122 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
diamond ft chidi BENZ  nalia na mengi
4:34
Abbasbarsella
Рет қаралды 45 М.
Sam Wa Ukweli - Hata Kwetu  wapo
5:45
atimuabda
Рет қаралды 3,8 МЛН
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 19 МЛН
NAksh naksh - Ali kiba (from Tz
5:32
mpangala
Рет қаралды 6 МЛН
Mapozi
5:15
Mbechezi Ibrahim
Рет қаралды 283 М.
Nakshi mrembo - Ali Kiba
5:32
Casey Kamau (DJ K-C)
Рет қаралды 1,1 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17