DIAMOND kuhusu kumsaini ASLAY WCB, Aslay aijibu kauli hiyo ''Tayari nipo sehemu nyingine''

  Рет қаралды 31,875

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@EunicekMutua
@EunicekMutua Жыл бұрын
Much❤❤from kenya aslay tumekumiss sana.achilia mavitu bwanaa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Jamani msipoteze mda kuhusu Diamond inaanzia 16:31
@OmarHakizimana-do3cm
@OmarHakizimana-do3cm Жыл бұрын
Safi sana mkuu💪. Tuko apa kwa jili Simba lama Simba dangote
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Suala la Diamondplatnumz Aslay kajikanyaga sana kulijibu ata ajaeleweka inaonekana ni kweli mbosso kamzidi Aslay Diamondplatnumz angemshika mkono na Aslay
@Fgldesigns
@Fgldesigns Жыл бұрын
Kumzidi kuna shida gani? Kwanini mnapenda mashindano kwa kila kitu?
@teddieb5640
@teddieb5640 Жыл бұрын
Aslay very intelligent. The way he tackles the press questions....superb💯✌😂
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 Жыл бұрын
ALLAH AKUSIMAMIE ...#ASLAY.... ALL THE BEST...💯💯💯💪💪🔥🔥
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Njoo aslay wetu tunakupenda wee rusha mawe tutayadaka💪🙏
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Жыл бұрын
Hongera slay bigg up
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
WCB 4 LIFE ❤
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 Жыл бұрын
Jina diamond limebeba interview
@carolinaadolf6955
@carolinaadolf6955 Жыл бұрын
Na mimi nimeangalia baada ya kuona jina la diamond
@silasila3111
@silasila3111 Жыл бұрын
​@@carolinaadolf6955 ata mimi
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Haswaa
@priscahmutambuki1974
@priscahmutambuki1974 Жыл бұрын
We love you aslay go boy.the sky is the limit ❤
@maherimasase
@maherimasase Жыл бұрын
Mond ndiye kioo cha tz kwahyo ni lazima popote asemwe
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 Жыл бұрын
WBC au WCB😊
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
Wapiga ngumi siku hizi 😂
@PaulNzima-pd8il
@PaulNzima-pd8il Жыл бұрын
Aslay asainiwe Konde gang😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo Жыл бұрын
kina Kill na Chid yaliwashinda, sidhani kma Aslay ataweza
@winmagene4321
@winmagene4321 Жыл бұрын
Kila siku mondi mondi muache mtoto wa watu 😮😢😂😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Mwenyewe ujuwe anavyofurahia ako kamtajomtajo kwake pia ni mtaji 😂
@shaziriMakombo
@shaziriMakombo Жыл бұрын
Kwl jmn wanazd kum attack simba la 🦁🦁🔥🔥wetu Content wameixhiwa 😅😂
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 Жыл бұрын
Yaani SNS wana msakama sana Mondi nahisi wantaka maokoto ya WCB na yamegoma 🤣🤣🤣
@Mumbere-yk4sg
@Mumbere-yk4sg Жыл бұрын
Aslay hongera
@Hashdough
@Hashdough Жыл бұрын
PRESS YA KIJINGA KABISA
@MikiGermany210
@MikiGermany210 Жыл бұрын
Kuwepo sio shida,maokoto yanaingia mazuri,sio tu kunywa pombe na mengine.ulianza kutoboa ukawaacha wenzako,sasa hivi mboso hashikiki wewe unatapa tapa pole dogo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Maisha ni zaidi unavyotaka au kuyaona anatapatapa wapi na anamkataba na sonny watz waoga sana wamaisha kwa iyo akiwa wcb ndio inakuaje mmeacha kuamini Kua Maisha yapo na yanaendelea bila uoga
@imanabuu2434
@imanabuu2434 Жыл бұрын
Mboso hana kitu wacha kupayuka wewe boys mboso ni mtoto sana
@afixjomo
@afixjomo Жыл бұрын
​@@imanabuu2434 unajitekenya na kucheka mwenyew 😂😂😂
@priscahmutambuki1974
@priscahmutambuki1974 Жыл бұрын
Haaahaa😂😂wewe kashidia aslay Kwa kipi.wewe una maokoto kumshida??aslay for life❤❤❤❤Saka Hela wewe kwaza
@mikejr.7717
@mikejr.7717 Жыл бұрын
Iv unajua machozi yanayowatoka wasanii waliopo chini ya lebo ww,kaka jiulize Kwann rich na harmo waliamua kuondoka mpaka wakakubali kulipa Mahela yote yale ili wawe huru…acha kumzingua mdogo wang aslay yuko sehemu salama
@sijaonapetro-i5i
@sijaonapetro-i5i Жыл бұрын
Aslay ndo anaejulikana africa
@winmagene4321
@winmagene4321 Жыл бұрын
Diamond Njo content 😂😂 ya mujini
@sevastierkalumba7556
@sevastierkalumba7556 Жыл бұрын
No Diamond 💎 platinum no good entertainment 😂😂
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 Жыл бұрын
SnS yaani nyie bila kumsakama Mondi hamfurahii content zenu duuuu nadhani maokoto ya WCB yamegoma sasa mna chuki nao aseee badilikeni mnakeraaa sana
@kadito-music
@kadito-music Жыл бұрын
Legend 👏❤
@RilaRichard-hg2sn
@RilaRichard-hg2sn Жыл бұрын
Siku mondi ata kufa Tanzania itakuwaje???🤔🤔🤔
@priscahmutambuki1974
@priscahmutambuki1974 Жыл бұрын
Mondi analisha Nani ?tafuta Hela wewe kwaza
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Atazikwa tu na maisha yataendea
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂nimecheka sana eti million ticket kwa msani gani hapo??😂 interview yenyewe tumeangalia sababu ya jina DIAMOND PLATNUMZ😂😂
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 Жыл бұрын
MOND dakika ya ngapi jamani?
@mandelanelson7106
@mandelanelson7106 Жыл бұрын
Microphone 🎤 zenu mbovu kweli. Yaani kelele ni nyingi hadi wanaouliza maswali hatuwaskii.
@VictorFranael
@VictorFranael Жыл бұрын
Anatapatapa huko alipo.
@priscahmutambuki1974
@priscahmutambuki1974 Жыл бұрын
Bora akona Hela kushida wewe
@VictorFranael
@VictorFranael Жыл бұрын
@@priscahmutambuki1974 Andika kiswahili vizuri , mburukenge !
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
❤❤❤
@FrankElias-u9i
@FrankElias-u9i Жыл бұрын
Wcb tujuane
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍✌️.
@daviddouglas9565
@daviddouglas9565 Жыл бұрын
Huyu dogo kapitia mengi sana nyuma ya pazia, na hapo alipo amefikishwa na watu kwa figisu zao. Ila hiki kichwa ni hatari, walichokua wanataka ni kukmwamisha tu. Na walifanikiwa kaza buti Aslay sio lazima ufanye na hizo managements za lable kubwa.
@MassoudAlly-c9e
@MassoudAlly-c9e Жыл бұрын
Acha bas kuongea usiyo ya jua aslay ni ujinga wake mwenyewe tu na management mbovu na ulevi kwa wingi ndivyo vilivyo mkwamisha nsitafute kuwapa watu ubaya bana
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 Жыл бұрын
Kweli menejiment mbovu watu wanachowaalibia nikutaka kuwashindanisha namody tu Ndiyo wanapoalibikiwa
@MassoudAlly-c9e
@MassoudAlly-c9e Жыл бұрын
@@jumanneomary2997 yah
@daviddouglas9565
@daviddouglas9565 Жыл бұрын
@@MassoudAlly-c9e Sasa we hapo ndio unajiona unamjua sana sio?. huyu dogo alikataa kufanywa punda na hao mameneja mnaowaona ninyi kua ndio wazuri.
@priscahmutambuki1974
@priscahmutambuki1974 Жыл бұрын
​@@MassoudAlly-c9ewewe mwerefu kafikia wapi kimaisha
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Oraaaa
@afixjomo
@afixjomo Жыл бұрын
Poor content
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 37 МЛН
Yay😃 Let's make a Cute Handbag for me 👜 #diycrafts #shorts
00:33
LearnToon - Learn & Play
Рет қаралды 117 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 37 МЛН