Nimemkubali sana huyu binti, anajitambua na ana hekima, Mungu azidi kumuongoza, ❤❤
@omaryyusuph78772 күн бұрын
Mpende na mungu wako weka bidiii kwenye kazi yko achana na mambo ya kidunia utafika mbali sana 🎉
@AmenahAmenah-i7fКүн бұрын
❤❤❤❤❤
@michealnyakundi4749Күн бұрын
From kenya, anyone deserves to be happy regarding their achievements or milestone in life. Congratulations to her. May she keep soaring higher
@peaceNtemiКүн бұрын
Mashallahh kwanza anajua nini cha kuongea public ,hakurupuki kwa anachokijibu, and anathamin kile alichonacho.Mungu akubariki sana dear.utafika mbali kwa uwezo wa Mwenyez Mungu.
@5googleuuu727Күн бұрын
Congratulations my sister ❤❤❤❤ uko vizur sana
@Mammy-d1x2 күн бұрын
Nimekukubal Sana kipenz❤❤🎉🎉
@lovenessabel98432 күн бұрын
Farida beauty academy imetutoa sanaa tumetimiza ndoto zetu ......tunatembea na ajira mikonon mwetuu
@faridaothmanКүн бұрын
Sante sanaa
@lovenessabel9843Күн бұрын
@faridaothman yes madam nimemaliza just two month ago naona mwanga sana mbele madam tutazidi kukutangaza vizurii
@agnesmkanga461721 сағат бұрын
@@faridaothmanUNAFANYA VIZURI SANA FARIDA,HAYA MAARIFA UNAYOTOA NI MUHIMU SANA SANA TUNATAMANI KUWA NA WATAALAMU KATIKA KILA PRACTICE INAYOHUSU AFYA YA BINADAMU,AU MWILI WA MTU WATU WANASAHAU MADHARA WALIYOPATA WATU KUPITIA HUDUMA ZA SALON, HIKI UNACHOFANYA KITATUTOA HUKO,NA ITAISAIDIA SERIKALI KULISIMAMIA HILI KWA UBORA WAKE! HII KOZI NI PACKAGE KUBWA TUTANGENEZWA NYWELE TUTAFANYIWA MAKE UP TUTASHAURIWA TUTATIBIWA TUTAELEKEZWA KUVAA HIVYO CONGRATULATIONS SWEETHEART!❤
@faithkaganda-k3s20 сағат бұрын
Vp ada ni sh.ngapi na maelekezo yapoje please nambie kuna na hostel za kukaa pale?
@christinembelwatz19 сағат бұрын
Nimekufurahia saana Mwanangu,Mungu AKUBARIKI SAANA, snr Pst Christine Mbelwa. Fika Valley of life church kigamboni- kibugumo mzambarauni stendi. (Tuongee jambo)
@Brunn-mh2bq2 күн бұрын
Huyu binti anajua anachofanya. Atafika mbali sana🎉🎉🎉
@Jamila-c7k2 күн бұрын
Hongera mwaya hata huku nje waweza PATA kazi ya ujuzi wako❤
@theonestinamutole854912 сағат бұрын
Tena nje ni mtu wa kweli maana nywele kichwa kimoja ni pesa ya mshahara wa mtu. Dada ni mtu mhimu sana
@NeylahSeomee-kr4gm15 сағат бұрын
Wakina Ferister wote wanaakili bn You are like my Mother 😄 Nimependa majibu yako ❤ 🎉🎉
@Ney_kweyamba11 сағат бұрын
Wajina 😂😂😂 uko wapi
@ElizabethDaudi-b6v5 сағат бұрын
Hongera sana mdogo wangu🎉🎉 nimeipenda sana
@Zedkayux017 сағат бұрын
Congratulation my ccta keep it up, i like your confidence
@GaudenciaMadirishaКүн бұрын
Umeongea vizuri sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@joycengweta816623 сағат бұрын
Wewe binti uko vizuri sana unaona mbali sana unaeleweka vijana hawaelewi maisha huku mtaani. Mungu akutangulie kachape kazi tafuta hela. You are so positive
Majoho ya heshimiwe ndo nini? Waache bac kuvalisha watoto wa chekechea.. hongera mwaya
@priverpriva41444 сағат бұрын
Wambie ao
@ezebiakayingi65768 сағат бұрын
beauty with brain zaidi ana furaha na anajivunia, Mungu ampe nini tena
@mrishomdewa770612 сағат бұрын
Ni mabint wachache sana wenye kujielewa kma huyu dada huyu. N wife material warahi❤
@ConfusedGlaciers-vp2vp2 күн бұрын
i love you soooooooooooooooo much mamaa. furahia achana na watu wabaya ❤❤❤❤❤❤❤
@رضيهتنزانيا19 сағат бұрын
Binaadam kazaliwa anasema hvyo ww Fanya yako kikubwa huvunji Sheria binafs mm ndio Leo nimeona nanimependa kucheza unaweza na mzk ndio furahayako kwann ucfurah fulahya maisha mwaya wee ww umesheherekea fani isioisha milele wao wanaodaka UWE cjui muasib au mwanasheria hayo waachie wenyewe kikubwa ww pambana unachokipenda Kwan ndio kitu utakifanyavzr bila kuchoka wala kulazimishwa binafs mm nakupenda❤❤❤ nidandaoni hko hawakosi hakusema.
@IshengomaRugemalilaКүн бұрын
Jua Kuna elimu na ujuzi,ujuzi ndomaisha kuliko elimumwenye ujuzi anawezakuishi maisha anataka ilaelimu kunasehemu aweziishi,
@AwinaNassoro12 сағат бұрын
Safi sana namkubali na wajue kuwa yeye tayari anaajira yake wanaokoment vibaya ni washamba na hawajui walisemalo
@Sharifakhamis-vx2ne19 сағат бұрын
Hongera Sana kipenzi❤️❤️❤️
@ZakayoDionisi2 күн бұрын
Hongera sana yaani uko saw naamini hiyo kazi yako itakupa kipato usija
@RevinaKazungu-i5p2 күн бұрын
Ulitisha sana kipenz mungu aendelee kukuinua
@UmySeleКүн бұрын
Wanaturau ila sisi ndio tunawapendezesha wake mdogo njooo tupige hela❤❤❤
@Waseme-f7y2 күн бұрын
Sir God abariki kaz ya mikon yako❤❤
@annamussa18513 сағат бұрын
Congratulations 🎉❤
@jeffkonki8279Күн бұрын
Moja yakitu kizuri nikufanya unachokipenda na kikawa kinakulipa aisee dada haujaangalia watu wamesomea nini wewe umeangalia nini ulikuwa unakihitaji na umekipata mungu akuzidishie
@yusufntamila5412 күн бұрын
Apewe mauwa yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@givenessdavid37437 сағат бұрын
@Faridaothman Wewe ni zaidi ya muhadhiri wa chuo kikuu
@KayomboMarystella14 сағат бұрын
Unakitu utafika mbali❤🎉🎉
@everlynkimaro4021 сағат бұрын
Aisee nakuona mbali shost yangu, napenda unavyojikubali na kuthamini kile ulichonacho!🤝🤝
@NasraIbrahim-dw1hrКүн бұрын
Mwenyezi mungu akuongoze kwa kila her, akupe afya
@sangaonguka360Күн бұрын
Ongera sana binti mungu akusaidie ufanikiwe kwenye ndoto zako.ila mtangazaji hilo swali lako kwa uyo binti ni kubwa kuliko umri wake,ajajua bado maana ya single inayoongelewa hapo,kwasisi wakubwa uyo bado yuko single.kwa jina lake angekuwa ayuko single angekuwa na kitu kidoleni mwake
@SophiaMbwambo10 сағат бұрын
Hongera sana dear umetishaaa
@danielkombe968914 сағат бұрын
Nakupenda buree🎉
@AmiduAbubakaryAmiduAbubakarypaКүн бұрын
😂😂😂😂 tuwacheketu niko na cv nalanda nazo tu na mimi naenda Farida 😂😂😂😂❤❤❤❤
@NeemaChitawala12 сағат бұрын
😂😂😂
@givenessdavid37437 сағат бұрын
Wa Nsenga mwenzangu
@Smokeylucas17 сағат бұрын
I love her ❤❤❤❤
@ZakiaselemanSelemanКүн бұрын
Chukua maua yk mwaya ❤❤❤❤❤❤
@necoonlinetv8200Күн бұрын
Uko Poa Saaana! Hongera
@NtamamiloGibsonКүн бұрын
Hawa wasusi na warembaji wanafedha sana salon za kike zinalipa mno hasa kwa anayejua anafanya nini. Huyu Dada watakuja kuomba mtaji au kazi kwake.
@MchinaSeme9 сағат бұрын
Oyooooo dada nimekupenda bure wangu pambana ndg
@ZawadiMadede-ft6ms2 күн бұрын
Masikini kaongea kwa uchungu sana uyu mdada Ila mwisho wa siku alichosomea yy ni Bora zaid maana atajiajiri mwenywe na kujilipa vizuri
@FortinethaMgayaКүн бұрын
Me nimefurai tu main nakupenda
@scholarmawala1403Күн бұрын
Na ndo umeshatoboa amini tu .❤
@ZainabuMoody12 сағат бұрын
Nimempenda huyu shoga ang jmn
@elvisnzovu828217 сағат бұрын
Dada unajielewa sana, sio kama wengine wanaoamini makaratasi ya vyuoni.
@fardahhassanially703314 сағат бұрын
Nimekupenda pia kwa sababu unajiamini na una uhakika na kile unachokifanya hata ningekua mie nisingejali hususan kwa wenye husda wala wasingeizuia furaha yangu.
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Wenye kumdharau ipo siku hawataamini kwani hata hichi ambacho kimetokea ndy tayari imeshamsogeza . Simjui huyu dada. Ila naamini hivyo.
@dorahmushi-we6tsКүн бұрын
Mungu amtangulie...
@annethtimoth32408 сағат бұрын
My usiogope mtu hakuna aliekutolea Ada
@rashidkibavu1863Күн бұрын
Kaziri ako hatari sana💥
@laurianopius24118 сағат бұрын
Khaaa iv kumb ni kusuka tu 😂
@RamadhanMajid-n3v5 сағат бұрын
Ukipata mda wa kufanya kitu kwa uwakika, fanya maana kalenda hailudiwii. Ma m² Uliupiga mwingi, ongera saaana
@jj-sj9bx5 сағат бұрын
Kheh wew tenaa🙄 kumbe had huku huwa unafika e
@Muhammad-dw7on2 күн бұрын
Dada ajazimua kweli😮 mh, so kwakucheza uko
@salamuudau3414Күн бұрын
Mm nimesoma degree na Mimi ni mjasiriamali.....yaani dear umefanya kitu sahihi zaidi ... mafanikio yapo ktk biashara kukidhi huduma za wateja wengi ..mm Nina penda Sana ujuzi wa biashara...
@Hdhdj-t7jКүн бұрын
Ukubwa wakazi sio winging wamshahara iyokazi inalipa sana achana na ao wavaa suti na jinalakazi naudogo wa mshahara pambana iyoinahela ofisi simuyako.
@Mwanaisha-re3qeКүн бұрын
She is very correct 💯
@theresiamethod62242 күн бұрын
Hongera sana sana
@emmysanford57522 сағат бұрын
2:33
@JumaRashid-hz8cp12 сағат бұрын
Achana nao bhna me ndo nimexhakupenda sasa
@adoniemanuel908Күн бұрын
Kipaji kimeonekana pia ni mshereheshaji
@NtamamiloGibsonКүн бұрын
Kwanza mpaka hapa amejitangaza tayali atatoboa
@neemalkiswaga6126Күн бұрын
Nilijua huyu maiki inamuhusu😅😅 sio kwa vaibu lile hongera bana ndo imetoka hivyo tz
@kanankirannko6174Күн бұрын
Nimempenda sanaaaa ni moja ya mazoezi
@FaridaOngala21 сағат бұрын
Wanyaqusa sisi wazuri
@knowledgeispower11185 сағат бұрын
Elimu ndogo ndio maana amecheza hivyo
@MaryamWazir-l8uКүн бұрын
Hata Mimi nikigraduat siku y kuwa kati ya wanunuaji bando 10 Mimi ndo NAMBA Moja hamtakaaa kwa aman😂😂😂😂
@AgnessNdaroКүн бұрын
Jmn tofautishen kuchangamka na kudance😂😂😂😂🙌💔
@hazinaluluconfidence66762 күн бұрын
🎉❤😊
@NechLove8 сағат бұрын
Sie binadamu tuna mambo mengi
@SophiaMbwambo10 сағат бұрын
Samahan ulijifunza kwa mda gan
@BetresChambo-uv4qb16 сағат бұрын
Yn furahia chako ndio maisha yko
@rachelpanga502313 сағат бұрын
Waliosomea digree wenyewe wanalipwa la3 kwa mwezi mm niliyesomea ususi na urembo na weza kuingiza hiyo laki tatu kwa mwezi mara 4 na kuendelea
@Hdhdj-t7jКүн бұрын
Nimefurahi umejikubali na kukiheshimisha chuo chetu.
@faridaothmanКүн бұрын
❤
@GasaroJulius19 сағат бұрын
Mpaka kufika hapo haikuwa rahisi ujue kunawalioishia njian,walikutana na changamoto mbalimbali ko yeye kucheza kwani kunashida gani hizo ni ndoto zake lazima afurahie acheni chuki za ajabu
@ZainabIssa-r7cКүн бұрын
Farda akademi oyeee watu tunaishi vzr mtaani ajili ya cho chetu watuache kidogo chuo tunacho na tunatamba nacho
@justicestivin38912 күн бұрын
Dada jiachie tuliopita kwa farida tunaenjoy acha waringe na degree zao
@ibrahimleonard12476 сағат бұрын
Mwonekano wako wa Leo umeni fanya nione kizur kinatengenezwa
@WitinessJoseph13 сағат бұрын
Una akili Sana za Maisha mungu akusaidie utimize ndoto zako
@YvonneAchieng-d2k2 күн бұрын
Acha afurahie kumaliza kusoma sio rahisi hio ni kazi
@Fatimamedia255Күн бұрын
Bora amesoma kilicho moyoni mwake kuliko wengine tumesomea coz kwa ajiri ya ajira tuu na mpaka leo hatuna mapenz ya kaz tulizosomea
@jaffjeff691216 сағат бұрын
@Fatimamedia komaa TU hakuna namna ndo njia tuliochagua
@linahaule1852Күн бұрын
Hongera mwaya endelea kupambana
@lucasmlowezi9214Күн бұрын
Nimekukubali, kila mtu nafuraha yake na unachokipenda. Walitaka wote tuwe na degree
@WilsonMguba-bp2qsКүн бұрын
Uyu alikunywa kidg ili furaha yake itimie vizuri
@mamyluu-b1s10 сағат бұрын
N ww soma Acha choyo
@judithtitomalyeta40002 күн бұрын
Awana lolote na usomi wao wanakas na vyeti ndani wasusi Wana maisha mno