Diamond na Alikiba kuhudhuria uzinduzi wa album ya Harmonize muziki wa Samia

  Рет қаралды 27,427

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 94
@jumahassan273
@jumahassan273 4 ай бұрын
Kwani isiwezekane kuja uyo mond..,sio mungu uyo mond
@MohammedyRashidy-sn6px
@MohammedyRashidy-sn6px 4 ай бұрын
Sns niliwapenda sana ila udaku siopoa mana ska oka ana jitahidi kwa taharifa zakwel
@teddy-wzy
@teddy-wzy 4 ай бұрын
Mondi ana roho nzuri sana hanaga ubaya❤ Na mtu
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 4 ай бұрын
Sawa zuchu
@ramayonline2281
@ramayonline2281 4 ай бұрын
Comasava 🦁
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 ай бұрын
Disconnected 😂😂
@chidi_don
@chidi_don 4 ай бұрын
Yah hakika yani ni unyama tu sio poa kabisa 😅😢🎉😊❤
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 4 ай бұрын
Diamond huo mda hana
@flavourboyke
@flavourboyke 4 ай бұрын
Hatutaki wachawi sisi,,, wcb for life
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 4 ай бұрын
Unasumbuka sana na Diamond atakuchelewesha sana.
@Barakanenealldays-bp8cd
@Barakanenealldays-bp8cd 4 ай бұрын
Hawakujibizana na harmonize ndio alijijibisha Mwenyewe,afu hamwezi kufanya mpaka diamond platnumz ata nyinyi amewachoka. Yeye c tembo Na kwenye tembo mjue no Simba...afanye yeye,,,mnataka asije mseme anaroho mbaya
@SocrateSocratos
@SocrateSocratos 4 ай бұрын
Haja waalika kwa uzuri huyo mtu tuna mjua uyo ako Na plans zake zasiri kwa hiyo maaliko
@geoufo2858
@geoufo2858 4 ай бұрын
Kwaiyo diamond arud Paris sababu ya huu upuuzi
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@erickmakwinya5649
@erickmakwinya5649 4 ай бұрын
😂😂
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
Una mawazo kama yangu 😅😅😅
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
Kiki iyo siku ya harusi unampelekea mtu kijora 😂😂😂😂lazima amchokonoe tu 💎
@officialmadoshi5824
@officialmadoshi5824 4 ай бұрын
Jana si mlikuwa mnasema hakiwezekani leo imekuaje tena
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 4 ай бұрын
Diamond platnumz yupozake Paris Ufaransa anakula raha na kupambania maisha yake hana hata muda wa kumpa mtu kiki mualiko gani huo unaalikwa siku ya tukio na wakati naww upo kwenye project zako 😎😎😎
@JohnCatherine-f1z
@JohnCatherine-f1z 4 ай бұрын
Wewe unapambania maisha ya nani na upo bongo unakula msoto 😂😂😂😂
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Unaongea kwa hasira kama wewe mama diamond umaskini wako unakufanya uwe na hasira kali sana
@ShaibuMkullu-ck6sl
@ShaibuMkullu-ck6sl 4 ай бұрын
Amealikwa, bila Kujali atahudhuria mwaliko au laa, punguza hasira wenzio wapo kazini😅😅
@Mahmoudih23
@Mahmoudih23 4 ай бұрын
Mjamaa kateseka huyu😂😂
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 4 ай бұрын
Bila kiki ya mond konde sio kitu
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 4 ай бұрын
Tupo busy na komasava
@channyanjen9047
@channyanjen9047 4 ай бұрын
Diamond hana uyo muda
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 4 ай бұрын
Kutoka 254 .
@JumaKavanga
@JumaKavanga 4 ай бұрын
Niko paleeeeeeeee
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 4 ай бұрын
Mh! Sio kirahisi hivyo 🙄
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 4 ай бұрын
Mzuki sio vita karibu kula aliepa mualikooooo❤❤❤❤❤
@AbdiAthumani-es7og
@AbdiAthumani-es7og 4 ай бұрын
Kwani ali anasemaji
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 4 ай бұрын
Mond han mud wa kusikilz taarabu
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 4 ай бұрын
Dai asiense
@zaireabraham6313
@zaireabraham6313 4 ай бұрын
Naenda kwajili ya simba haujui
@neemambotola1139
@neemambotola1139 4 ай бұрын
Roho mbaya sina wasumbua
@RambooWarambo
@RambooWarambo 4 ай бұрын
Mambo hayo sasa
@JosephMwangiluke
@JosephMwangiluke 4 ай бұрын
Simba hana muda huo
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 ай бұрын
Wandishi wa habari ndio mnagombanisha
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 4 ай бұрын
Yoteyanawezekana pamojana MUNGU,nibasitu yaulimwengu nimwengi
@MariamMasoud-r5y
@MariamMasoud-r5y 4 ай бұрын
Wasanii haoinawezekana wameimbapia pamoja
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah 4 ай бұрын
Nimewekeana kidau na ndugu yangu kama hao WCB wakija basi anachukua yeye laki moja kama wasipokuja nachukua mimi laki moja
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 4 ай бұрын
Hela umechukua ndugu haiwezi kutokea ata siku mmoja🤣🤣🤣
@skonga3106
@skonga3106 4 ай бұрын
Sasa napata hisia kuwa hawa wanahudhuria kwa sababu ya rais Samia. Sijashangazwa bro wacha kupika majungu. Kama mtu mwenye hekima basi utaelewa tu
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga 4 ай бұрын
Nenda ukampe support mwanao😅
@taufikishazili5633
@taufikishazili5633 4 ай бұрын
😊
@martinfedrick4987
@martinfedrick4987 4 ай бұрын
Huyo anataka Kiki tu kwasababu amefeli kwaiyo anataka ajibust
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 4 ай бұрын
Mond huo muda anatolea wap me mwenyew sina huo muda
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MustafaChinanda
@MustafaChinanda 4 ай бұрын
Ndugu musicomment kwa panic 😂😂😂 panik maisha ila huku kuwa normal tu
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 ай бұрын
Kwani Mwijaku anasemaje?
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂ww jaman
@IbrahimElly-p5c
@IbrahimElly-p5c 4 ай бұрын
Koma....masinichi mntaka asije tuu mpate la kuongea
@princekim99
@princekim99 4 ай бұрын
Wasemaji wa chimba Kwan mnasemaje?
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
Humu hamna shabiki wa Kiba akamsemea lolote 😂😂😂😂
@MkomboziKaoneka
@MkomboziKaoneka 4 ай бұрын
Diamond atakuja tyu
@JackyPizzo
@JackyPizzo 4 ай бұрын
Kama diamond ataenda kiukweli kama msemaji wake tokea huku abc nitaumia sana KWa mambo aliosema huyo mmakonde
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
Sns nyie ndiyo mnasema hakuna maelewano.Mlitaka kwamba iweje ndiyo mjue watu wanaelewana? Acheni hizo watu wapo bize kutengeneza maisha yao..life is too short,same as their career.Let these artists live their life.....mbona rayvvanny hamusemsemi,jaymelody,Barnabas.....stop nonsense.Wcb they have their business same as konde gang or kings music.Everyday same story hawaelewani hawaelewani basi waiteni nyumbani kwenu muwapatanishe maana nyie ndiyo mnajua zaidi kuwa hawaelewani.Tafuteni taarifa mbona zipo nyingi na zenye faida kubwa kuliko kuokota okota taarifa kila siku.
@albertonyangaresi1971
@albertonyangaresi1971 4 ай бұрын
Mbona diamond anapost atakuwa
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 4 ай бұрын
Karbun wageni
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 4 ай бұрын
Me niko mlango nikisubiri simba aje ndiyo ata mm niingie😂😂😂😂😂😂😂
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
Umeondoka bado upo unamsubir 🤪🤪
@mejamiela7436
@mejamiela7436 4 ай бұрын
❤❤😂😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
Mm acha nicheke tu ila mashabiki wa mondi mna roho mbaya acheni bifu mziki wetu unahitaji ushirikiano ndo tufike mbali
@rashidingole1588
@rashidingole1588 4 ай бұрын
Hiyo Ni Kiki ili watu wahudhurie
@JumaSiajaly-vt2un
@JumaSiajaly-vt2un 4 ай бұрын
Watu wahudhurie hakuna kiingilio wanao enda ni walio alikwa mond asipo enda poa mama Samia ndo mgen rasmii
@GodfreyLuziga
@GodfreyLuziga 4 ай бұрын
Sasa watu wahudhurie vipi wakat hamna kiingilio ni mualiko kwa watu maalum
@mrrajjy
@mrrajjy 4 ай бұрын
Jeshiiiiiiiii anawapeleka mbio sana 😂😂😂😂
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 4 ай бұрын
Kuna watu comments zao utajua tuu ni masikini wa akili,roho na maisha pia
@alkhudhertarek976
@alkhudhertarek976 4 ай бұрын
Km ww tajiri ntumiye buku bs
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 4 ай бұрын
@@alkhudhertarek976 fanya kazi
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 4 ай бұрын
@@alkhudhertarek976 fanya kazi
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 4 ай бұрын
Akienda nakunya mafungu mafungu hapa mpaka kizimkazi zanzibar , this is just another CLOUT CHASING saga .
@franccoz94
@franccoz94 4 ай бұрын
Labda wanaenda. Kwasababu wote hao n machawaa wa ccm
@MashaMbwana
@MashaMbwana 4 ай бұрын
Yamekujaje tena ya vyama njaa itakuua wewe 😂😂😂😂
@athumanshaban
@athumanshaban 4 ай бұрын
Kiki za kijinga
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 52 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 14 МЛН
Harmonize Feat. Marioo - Disconnect (Dance Video)
3:23
Harmonize
Рет қаралды 6 МЛН
Alikiba feat Jay Melody - Hatari {Track No.4}
3:32
Alikiba
Рет қаралды 182 М.
Alikiba feat Marioo - Top Notch {Track No.2}
2:33
Alikiba
Рет қаралды 174 М.
GAME CHANGER - ADA EHI ft. JOE PRAIZE I The Official Music Video
4:42
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44