kuna mm naamka nayo kila siku😂😂 ametisha kaka mkubwa
@MaeJackline-nm3eg3 ай бұрын
hizi ndizo nyimbo sihao wanao imba porojo❤❤❤ from kenya🇰🇪
@itsgghanib57183 ай бұрын
Kama wakenya 🇰🇪 mme verify hii ni mbonge la anthem, gonga like.
@sissionenekiroway33013 ай бұрын
Wao ney anafaa kuwa msanii aneye ongoza kwa subscription all platforms in Tanzania hii ndio shukrani pekee tunyaweza kumpa huyu shujaa wetu
@ShedrackTunje3 ай бұрын
True
@bigsister25673 ай бұрын
Watanzania hawahawa wapenda mpira na upumbavu
@jacksonuraxa78753 ай бұрын
@@bigsister2567hahahahaha😂😂😂
@ezekielerick5113 ай бұрын
We zombie haujui😂😂😂😂😂
@PaulMtalimbo3 ай бұрын
Kweli kabxaaaaaaaaaaa Yan watu wanateseka et wanafuraia ela zinazotolewa kwa kila gori wakat sehm kibao miundombinu mibov hospital dawa hakuna Alf mijitu hata haijielewi et inafuraia kwa kila gor milion tano izooo hela zinatoka wap km sio kod zetu ujinga mtupu tz tubadilike tusiwe vchwa panzi
@ntawangacharles3 ай бұрын
Wao ney anafaa kuwa msanii aneye ongoza kwa subscription all platforms in Tanzania hii ndio shukrani pekee tunyaweza kumpa huyu shujaa wetu kama umeguswa na nay gonga like apa
@LuhanuzaTifurukwa3 ай бұрын
Mwamba ni msema kweli,,sasa wenye masikio naimani wamesikia lkn pia Wameona....Long life Nay wa Mitego
@AliIbrahim-x7k3 ай бұрын
Nitasema first class kama unakubali hii kazi nipe like from Kenya 🇰🇪
@AllyShaban-ei9fj3 ай бұрын
hii ndio sanaa Na ndio maana halisi ya kiooo Cha jamiii ujumbe umefika umetuwakilisha
@mollayunes3 ай бұрын
Saana
@mohammedkidody56183 ай бұрын
Kabisa yn
@MadinaAhmed-u9z3 ай бұрын
Anawakirisha rakikin razimaawehatian
@EliaMwampamba-h3n3 ай бұрын
Wasanii wanao jielewa hapa tz wachache sana mungu awalinde msipotee kuliko julikanaaa
@Nicolasmulumbilwakipimo3 ай бұрын
Nita sema Ila bado naji réserver tuh Kipimo from RD Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@nakalikyumile32343 ай бұрын
Hebu tuifanye hii ngoma itrend milele na iwe juu kote,tuachane na wasanii mashoga wakata viuno na waremba lips
hii nyimbo nimeirudia zaidi ya mara kumi tokea jana ilipotokea ebu wenye tulitazama zaidi toeni hongera kwa nay🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
@SarhaSaid3 ай бұрын
Hata mm 😢 kwaukweli
@leoncebenjamin81073 ай бұрын
Mimi zaidi ya mara 10
@mwendokasmacheya66923 ай бұрын
Kama unataka nay asiwe raisi wa kitaa awe raisi wa taifa gonga like
@goodlucktemu31493 ай бұрын
Yule Wa Tiptop sio Rais wetu wewe ndio Rais wetu, NITASEMA 🔥
@justinlusambo94543 ай бұрын
😭😭😭😭nalia kwasabu tumekuwa bize kuwasaport mademu wa p didy na kumsahau msanii wetu hii ndo kitu inaniuma sana
@Dee_Karisa3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kweli mrembo wa p ddy anaimba komasava inapiga mamilioni lakini mwenyewe kutunga nyimbo za maana hatumsapoti
@jackiefredrick5863 ай бұрын
Wewe pia ni muuaji kwa kumsemea hivyo mwanaume mwenzio
@NasraJuma-zt7vj2 ай бұрын
@@justinlusambo9454 poleni
@stanleymwanga911Ай бұрын
@@jackiefredrick586rhvygvig
@isayamwanjoka39583 ай бұрын
Wew ndio msanii na hii ndio sanaa ya kweli inayogusa mioyo ya jamii na uhalisia wa maisha yetu in reality kongore san kwako ney unafaa kuwa kiongozi katika taifa hili.
@KrmulahOmary3 ай бұрын
sema mwanangu umebaki peke yako nakubali kwa uzalendo ww kioo Cha jamiii wengine wanawakee tuuu ❤
@primostemba3 ай бұрын
Tupambane isitoke hapo juu makamanda Gonga like hapa chap
@EnockZepha3 ай бұрын
Msema kweli huchukiwa daima ,lakini siku yakiwashinda ndipo huunga mkono❤❤
@mcfabian21903 ай бұрын
From Kenya nipe likes za Nay wa mitigo Ako na sauti yetu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Hussein-gx4qu3 ай бұрын
Pamoja
@bahatisamuel41793 ай бұрын
😊
@HAPPY24-7-j8x2 сағат бұрын
papa jones wa tz
@TheKiddy_Mx3 ай бұрын
Ukigombea tunakupa uraisi wa nchi Father unajali sana Wananchi🙏
@kiddyadams3 ай бұрын
Movie wa staring wa Chato part two limeamia kizimkaziii.. rais wa kitaaa 😅😅😅 umeua fire 🔥🔥🔥🇹🇿❤️✌🏽NITASEMA.
@LeilaKeni3 ай бұрын
Hakikaaaaa
@chachamachera28043 ай бұрын
Tuendelee kuuweka number Moja wimbo huu
@CaissenguiraCaisse3 ай бұрын
Ongera sana Mr Nay mungu akupe maisha marefu naomba like jamani 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@razakilipwelele55183 ай бұрын
Mimi sio wa kwanza na wala sio wapili, Lakini nataka Likes za wale walioelewa hiLi goma. Ni huzuni jamani 😢😢😢
Nampenda sana ney, Roma,na chidbenzi huwa wanagonga ndipo ukweli kabisa
@BetinaMalisa3 ай бұрын
Mungu hii sauti ni sala na ijulikane wewe ni Mungu usieshindwa! hongera kwa wimbo mzuri
@richardangasisyemwakalasya61593 ай бұрын
basata wakiufungia mm ninao tayari asante saaana ney🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@georgegerald41533 ай бұрын
Wewe ndo msanii unae jielewa...big up true boy.
@emanuelvintan93953 ай бұрын
Binafsi nakutegemea kukuona bungeni 2025... kama siko peke yangu gonga like tumpeleke bungeni rais wa kitaa...
@lugikoenterpriseslugiko30503 ай бұрын
Hajui siasa😅😅
@DanielChaula3 ай бұрын
Inshallah 🎉🎉🎉
@abigailbabalwatyatyeka18163 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@gracejames7983 ай бұрын
Huyu anafaa kuwa bungeni kutusemea
@allythabiti81503 ай бұрын
Akienda bungen hatoikosoa serikal atanyamazishwa
@emmanuelmgaya39083 ай бұрын
Heshima kubwa sana @neywamitego Mungu akulinde sana na ufike mbali tuone matunda ya taifa hili latika mapambano haya pamoja wewe na @ Roma wana harakati wa kweli
@MsNajma-j7e3 ай бұрын
Nakupenda nay unaongea kweri..sio hao wasani vilaza wa kusifia viongozi na wapo kmya nchii hii aisee inauma sana
@AbrahamBernard-p6f3 ай бұрын
Inawezakanaje mpaka Leo hii rais wetu wa kitaa hana hata subscribers 1 M yani dah noma sana,
@sullejr.3 ай бұрын
Watanzania wengi ni wanafiki ndio maana
@officialkidaka7703 ай бұрын
Umenifanya ni subscribe 😢😢
@selemanmzee58043 ай бұрын
Watu wanasikiliza Amapiano unategemea nn
@abeidyakuti34703 ай бұрын
Muhimu @@officialkidaka770
@MariettaNyoni3 ай бұрын
Tz tunasaport ujinga kuliko ukweli
@ayubkasirani83443 ай бұрын
Kaka Nay salute yako nakupa wewe ndio sauti yetu sisi wanyonge tunaokandamizwa na hawa mabepari
@AdamuAdam-u9n2 ай бұрын
What a boy, a gift from God, huhitaji kumsikiliza muda mrefu ili kujua anakipaji, wasiojua maana ya kipaji maalum cha kuzaliwa ndio hicho sasa
@bockerNyarusahi3 ай бұрын
Mtu kama huyu ndiyo wakumfollow na kumuinua zaidi,lakini nashangaa wachache wasiojielewa hawajui hilo,wanamfollow Mtu asiyewasemea Wananchi shida au madhira wanayopitia kama ya haya matukio ya ajabu,Watu kutekwa,kupotezwa au kuuwawa,hili ni janga la Kitaifa kwa sasa,wenye utimamu wa akili wanajua hilo,ahsante sana NEY na sisi jamii iliyostaarabika,inayopenda Amani na Upendo inakuambia mema MUNGU akuepushe na watesi,maana huwa unaamua kujilipua kwa kuwasemea Wananchi pasipo kujali baya gani litakupata.
@SoudyVocal3 ай бұрын
Ni kweli
@Wakiomiss.783 ай бұрын
That's very true 😢😢
@bigc57293 ай бұрын
Shida tunapenda ujibga kuliko vitu vya msingi
@imraniside43273 ай бұрын
Kunywa ntalipia
@heriethezekiel9023 ай бұрын
Dah kabisa sasa watu tunatakiwa tupambane kuwa unfollow wasanii wote wasio weza kusimama na sisi
@stevewanga9573 ай бұрын
Mwakilishi wa wanyonge ...hajatuangusha..much love from 🇧🇭
@kabhikachambala33923 ай бұрын
Umeuvaa ujasili .. Ukisema ukweli unakufa, ukisema uongo unakufa, ukikaa kimya bado unakufa, nachagua kusema ukweli halafu halafu ufe
@wabikeog_3733 ай бұрын
Hii inchi sio ya Amani Bali ni kisiwa Cha wavumilivu....Big Up ✊🏼✊🏼.... street president ❤
@HalimaBakari-g7x3 ай бұрын
Lucky Dube wa Tz.Mamaye nimerudia zaidi ya mara kumi ❤❤nyimbo ndy hizi sasa
@Nihranmzumeni3 ай бұрын
Uyu jamaa hakuna kama yeye anajua mpka basi na aogopi yoyote jamaa mungu amlinde anaongea ukwel tupu❤❤
@gabrielmahala98483 ай бұрын
Nakukubali sana, pia nakuombea kwa God akulinde
@georgelusaku79023 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda na kukupa nguvu ya kutusemea japo ni ngumu kusema ila Mungu anakupa nguvu ya kutusemea. God blessing my president.
@josephmbirize31343 ай бұрын
Ongera sana kaka yangu nay mtetezi
@ramadhanihassani55423 ай бұрын
Nay ni bonge la msanii saluti kwa huyu mwamba nakubali sana kazi zako
@FreddyMkongwi3 ай бұрын
Daaaa umeyatoa maisha Yako Kutusemea wanyonge sisi God bless you
@BarakaSimon-xy9mp3 ай бұрын
Hiii nyimbo ikiwekwa kone maandamano... Naamini hakuna raia mzalendo atakae ogopa polisi Wala bunduki
@EmanuelMongitech3 ай бұрын
Nakubali Huyu na Roma mkatoliki ndo wasanii pekee tz wanaopigania wananchi na siyo watawala
@davidmwamelo65253 ай бұрын
Zombie ajichanganye kutoa nyimbo leo hiii ngoma watu zaidi ya 35000 wanaongezeka wa 30 minutes,, nay tishaaa 🔥🔥🔥
@monnahmouzny60203 ай бұрын
Baba noma walojiita masimba mna aweziii kukutoa treng
@husseinshabani95223 ай бұрын
B levo Uniangusha...Kuna vitu vingi vyakuongelea kwenye Nchi yako...Unasifia kwa Wengine....America!
@aminatanzanya74753 ай бұрын
😂😂😂 Sijui kwann umenikumbush America
@AmaniNasoni3 ай бұрын
Police wanapewa Kazi wamtafte police kama unakubaliana. Na Nay tujuane hapa kwa like
@merrynancesimon15623 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hatariiii 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@AltoThadei3 ай бұрын
Shamba limeliwa na ng'ombe hafu mwenye ng'ombe ndie balozi unaenda kumshitak pancakes hapo?
Tanzania, Congo, Rwanda, and Burundi ni vita tu eeee mungu tusaidie sisi watanganyika
@MarygraceJohn3 ай бұрын
👏👏👏👏👏kazi nzuri sana Ney wa mitego huakika tukipata watu kama kumi wa hivi taifa letu laweza kuvuna kitu💪
@athumanimwalembe72103 ай бұрын
Nyimbo inaujumbe mzuri kesho utasikia njoo basata nyimbo yako niyakichochezi hii nchi mipira imetuharibu mpaka tunaacha mambo ya msingi
@WiselightOfficial3 ай бұрын
Kbisa mipira ndo inawasahaulisha matatizo ya nchi yao
@athumanimwalembe72103 ай бұрын
@@WiselightOfficial kabsa yani ✊
@gaspardimani9173 ай бұрын
Kali saana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kuja kwetu congo tuna ku penda saana
@theeoutlaws3 ай бұрын
watanzania fungukeni macho mnanyanyaswa na hamusemi na hamuoni #morara kebaso
@estonsmart3 ай бұрын
Nahii ni Moja ya Kazi Kubwa ya Sanaa, Kuwasemea Wengine🔥🔥🔥
@BALOZIWAGHETTO3 ай бұрын
Wapi likes za Nay,,All the way from kapedo ciry Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kaizambagwa51283 ай бұрын
Wimbo huu uimbwe kabla ya watoto kuingia darasani na vyuo vyote na kwenye paredi zote hata wao waimbe
@ImmanuelyBoniphace3 ай бұрын
Nipo na ww mpaka watuuwe wote hatuachi kuusema ukweli ❤❤❤❤❤❤ nitasemaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@JovianBrighton3 ай бұрын
We muongo
@edendean2203 ай бұрын
🎉🎉🎉❤@@JovianBrighton
@mycallcomics70203 ай бұрын
Msema kweli mwenyewe👍👍,.. Hapa kwetu Kenya tumekusa msanii shujaa kama Nay, sio vyema jinsi serikali zetu hapa Africa ya Mashariki inaendeleza utekaji nyara wa vijana
@patricknyondo3 ай бұрын
kumbe kweli bro we ni raisi wa kitaa wape ukweli wao bro
@Robbymabangoprinting3 ай бұрын
Hii ni mashine ya mwanaume!! Wote tusimame na RAIS WA KITAA, TRUE BOY🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Oman-h9k3 ай бұрын
Nategemea siku moja usimame bungeni in shaaAllah 👏
@jemmyfesto46253 ай бұрын
Kaka etu ni mpambanaji sis tupo na wew
@JoyceMichael-bm9yw3 ай бұрын
Ata farao alikuwa mbishi sana kuwaruhusu wana wa israel kutoka misri pamoja na mapigo yote kumi la mwisho la mzaliwa wa kwanxa kufa lilimuuama akawaachia wana wa israel kuondoka na baada ya kuwaachia kuondoka bado aliwafatilia nyuma lkn Mungu wetu alivyomzuri halali wala hasinzii alimfuta farao na jeshi lake kwenye bahari ya shamu kwa siku moja n dk moja.Mungu yupo na anayaona mateso yote ya watu wake anayaona ila ipo siku moja ipo siku moja atayanyamazisha aya mateso ipo siku atawafuta wote wanaofanya ubaya kuleta kilio na mateso haya.MUNGU YUPO.
@HamisiChipotele-fl8xo3 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 Watanzania sisi tunawapea Sapport sana kwenye harakati zenu. Mungu Ibariki Tanzania🇹🇿 Mungu ibariki Afrika
@AishaAbeid-v8m3 ай бұрын
Ameeen 🙏❤❤
@anetkileo24613 ай бұрын
Amen♥️♥️♥️♥️
@jedidahbintidaudi82413 ай бұрын
Asante baba. Salaam Alaekyum, Bwana Yesu Atukuzwe. Tunawaombea Kenya Mungu Awape Amani.. a peaceful Kenya is a peaceful E.A bloc. Again thanks Hamisi. Unakaribishwa TZ
@samexleader3 ай бұрын
Amen
@justinemollel50383 ай бұрын
Asee nay mungu akulinde pengine wengine hatujui kufikiria viziri, hii ngoma inani choma moyowangu
@SophiaMwinge-zg1yt3 ай бұрын
Vijana viva tusilale tupambanie jahazi lisizame tuache woga kwenye haki tusimame hakuna watetezi tujitetee
@beatuskihonza7206Ай бұрын
Daah Iko vzr mno mungu atulinde maana hii nchi ya watu kadhaa mzee wa msoga mungu anakuona
@mauajonelo86753 ай бұрын
Wallah i wish ungekua raisi wetu wa nchi siku zote unajua na unateseka kwako ajil ya taifa
@Codeofficial_3 ай бұрын
Bongo ktk wasanii tuna wewe tu msema kweli poa bro mungu yupo na vijiti kupokezana 🙏
@emmanuelmutebu44323 ай бұрын
Umetusemea kweli sisi wakenya 👏👏 kama wewe mkenya unampenda Nay pinga like tukisonga
@directormickydadymickyente80733 ай бұрын
Hii ni hisia za kweli za watanzania au ney umeroga kaka siku 13 #1 trending dah!!
@Privacepaschal283 ай бұрын
Huu wimbo unatakiwa kukaa no.1 mpaka miez mitano 💪 #Raiswakitaa
@SadaKimomwe3 ай бұрын
mwenyew nimerud tena leo nimeshangaa bado uko 1
@Debora-j2j3 ай бұрын
Hata mimi nimeshangaa@@SadaKimomwe
@mfalmewanyika.3 ай бұрын
@@SadaKimomwe bado upo no 1
@Privacepaschal283 ай бұрын
@@SadaKimomwe wimbo bora sana aisee
@djnotoriuz3 ай бұрын
Tufanyinke hamna kitu kinashindwa
@pascarmwatosya58553 ай бұрын
Daaa! Nomaa sana that is hip hop
@mahmoudaziz47173 ай бұрын
Ngoma yangu bora. Thank you president wa kitaa.
@robinthuku73913 ай бұрын
Hakuna kama Ney..True Boy....mtetezi wa watu🎉🎉East Africa tunajivunia Raisi wa mitaa..
@HamiduMaulidi3 ай бұрын
Brother Nay endelea kutu pambania sisi wananchi wako usichoke kusema ingawa kuna wasanii wengine wanakunja juu yako ongea brother. Mi nipo nyuma yako kwa kila jambo mungu akupe maisha marefu PRESIDENT FROM STREET.
@emmanuelandrew99413 ай бұрын
Sasa blaza aendelee kukupambania ww una kazi gani kijipambania? Tujipambanie japo sio kazi rahisi
@seniorsabibi84393 ай бұрын
Walio iludia hiii ngoma zaid ya mara kumi honga like hapa
@AishaAbeid-v8m3 ай бұрын
Tena zaid ya mara10😢😢
@helencheyo92623 ай бұрын
Kweli Jamaq anajua sana tumpe Jamani like zake
@gabrielprocess69223 ай бұрын
Bado nairudiaaa
@mariammajallah79343 ай бұрын
Our country 😢
@AbdullatifShafii3 ай бұрын
Tupo 😅😅 Wengi bro
@bravoremy3 ай бұрын
Wiki yapili raisi anaongoza trending na hutoshuka hapo mpaka KZbin ibadilishwe jina
@AidhalSomba2 ай бұрын
Huu wimbo kMwmbia mke wake Amina,watu Kila cku wanmuuliza kuhsu Amina hili jbu lao
@EsauBoy-k1z3 ай бұрын
nyimbo kali hiii kibao cha kono la nyani waumbuweee ivo ivo wamenyamanza wako kimya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jojibukuru3 ай бұрын
brothe pamoja sana usichoke kusema wambie aisee💪🔥
@SHY-e3f3 ай бұрын
Nakupenda ney na Leo nimeangalia video zako nyingi keep streaming ney songs❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@IddiBanqwa3 ай бұрын
Watu tumesahaulika imebaki chapaaaa ya kandoo ukweli ni kosa
@shijangosha75093 ай бұрын
Ni kuonesha ni jinsi gani nyimbo imekubarka iko on trending namba moja wiki ya pili sasa Kaka mungu akusimamie kila hatua ni Dua akuna koro yeyote wa kutushusha hapo kaka❤❤😂😂😂
@MartinCiza3 ай бұрын
weye ni msemaji n'a mtetezi wa wanyonge Nay Big saluti brø,wa Congo wenzangu wekeni like zenu hapo🤜🤛
@afrodomusic59343 ай бұрын
Hongera bin pongezi Nay wa Mitego👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mash37753 ай бұрын
Just watcing from Kenya, tunangoja wa kufanyie kitu kibaya,, what our brother's from Tz are is the same to other countries in Africa, usichoke Nay
@justinkasuku14603 ай бұрын
Huyu jamaa ni mwiba kumamake salute mbwa hii imepigaje hapo
@MussaZozo3 ай бұрын
Unajua mpka unajua mdogo wng kz nzr keep up 🎉🎉
@mrramadhanimsangi70733 ай бұрын
Kwel kabisa watu wananena kimoyomoyo.. ila hata bubu hutaka kusema mambo yanapomzidia
@EcibawabazimuEspoir27 күн бұрын
Nakupenda leo kesho mpaka bahadae 🎉🎉🎉🎉🎉
@stephenkabani8223 ай бұрын
Mzee wa busara lazima kama ibadi kuiskiza hii❤🎉
@barikimmary90423 ай бұрын
Nay wa mitego na Roma hawa ndio wasani wa kweli wanaotetea wananchi.
@faustinojoaquimromao14893 ай бұрын
Sasa kwanini tusapot ujinga wakati WA sanii wApo.!! Mimi upande wangu nasimama na nay wewe jeee!!!?
@ajoomusic38603 ай бұрын
mimi pia nipo na ney mpaka wamuuweee
@mosesfrancis84953 ай бұрын
Nay wa mitego na Roma ni vyiooo Vya Jamiii.
@mbeguclassic33873 ай бұрын
Hivi Kuna watu wameridia maranyingi kama Mimi kama umerudia gonga like asant rais wa kitaa
@benitorichard15203 ай бұрын
Mimi sio kurudia tu nishadownload mana hawachelewi kuufuta KZbin 👊👊👊✊