I used to love wema n dai but zuchu n dai yooooh🔥🔥🔥
@ikirezijose57412 жыл бұрын
Same here dear,u don't know how much i want them could unit together💃
@zuhuraakida59322 жыл бұрын
Hawa watu watulie na wapendane kweli.🌹..yaani watakuwa na mafanikio sana sana kwenye muziki wao na baraka nyingi ❤
@Khadija.pande62 жыл бұрын
Kweli wanaenda sana
@rahimalewe28352 жыл бұрын
@@Khadija.pande6 tena sanaa
@yustayusuph9101 Жыл бұрын
Kabisa
@cassyrex20232 жыл бұрын
Kama ni uwezo WA mwanadamu tungemwomba mungu ......... mapenzi ya kweli na ya kudumu 🤔🙏😍😍😍
@TopTop-vo6pe3 ай бұрын
❤❤muciachane, haki mumependezana haki, mungu alinde penzi lenu
@darkplatnum90062 жыл бұрын
Daaah aise huyo mond sku akija kufa huyu kabla ya kuzeek atakufa na weng san tumuomb mungu tu aendelee kututunzia hazin yetu ya taifa we love #diamond and sns sas mkae muiskie vizul mtuletee uchambuz maridhawa kabisa na level hz zinatakiw ziwe za nchi gani huko duniani
@juxjemc57682 жыл бұрын
Atakufa na wapumbavu kama weeee mmoja wapo 😂😂😂
@hopechidera2 жыл бұрын
@@juxjemc5768 🤣🤣🤣una mdomo ww😅
@priscillakageha16892 жыл бұрын
Wueh tunamuombea saana aishi miaka mingi n bonus juu yake
@rukaiyaahmadsuleiman39512 жыл бұрын
@@juxjemc5768 😂😂😂😂😂😂😂
@darkplatnum90062 жыл бұрын
@@juxjemc5768 hiv unapo mtukan mtu ambay hajakutukan unajiskiaj
@timochazze98452 жыл бұрын
Jamani jamaa nyimbo zote kaua yani ninoma sana
@lareineminah13532 жыл бұрын
❤️
@happynelson11362 жыл бұрын
Mama zuchu na mama Diamond ni best friends ndiyo maana watoto wako pamoja tangu Diamond awe na zuchu Diamond hajaenda South Africa kuwasalimia watoto wake na awezi kwenda sababu Zari ana bwana yake
@priscillakageha16892 жыл бұрын
Haha wachomea
@namusaok1479 Жыл бұрын
Which husband,Thats one of her toys. Based in Uganda and comes to South Africa at her call
@yasminoluoch1692 жыл бұрын
The song🥰🥰🥰 pendaneni tu ila usije kulia ka t aliimbiwa mama t nae akaimbiwa kama nakuona zuchu...
@hadijajumanne54932 жыл бұрын
Kila mtu na nyota yake
@kajukapingiri49702 жыл бұрын
Namukubali Mange Kimambi hasemi uongo
@Blue-vk5ce2 жыл бұрын
Yes
@FatimaFatima-wk1jk2 жыл бұрын
Walimchamba dada wawatu kua muongo
@rajabdibwa64152 жыл бұрын
Ki mange nacho kinajua kuchokonoa
@xkingx80412 жыл бұрын
There is absolutely something there. Zuchu anataka kudhibitisha!@ Lakini boss anajaribu ku funika uhhhh
@nahimanamayassa83052 жыл бұрын
Ndio
@briindiana73062 жыл бұрын
I have been in doubt sababu kila wakati performance wanaperfom vizuri lakini wakimaliza,, diamond anamuita mdogo wangu,,, nashindwa kweli
@zulfamanswab52462 жыл бұрын
This song is so amazing walai zuchu na dai
@sullizjr17872 жыл бұрын
Mambo motoo......
@مونيكمونيك-ع1غ2 жыл бұрын
Sandra kazi anayo mondi kadata
@yustayusuph9101 Жыл бұрын
Zuchu na diamond platnams wanapendezana mno kiukweli wakiwa pamoja 💕💪🤸🤸
@TajiriHalisi-ez1tf9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@VvVv-kf8ho2 жыл бұрын
Diamond NA wanawake zuchu ushawachwa jamani usiweke roho yako yote kwa DIAMOND
@kevinimbosa98562 жыл бұрын
Utasubiri sana
@briindiana73062 жыл бұрын
Akishakuwa video vixen ni hivyo eti tutasubiri sana,,,, mtaachana tu!
@shreeecy84032 жыл бұрын
Ni kweli ila inakuhusu nini
@WilliamWestlund4 ай бұрын
Look at he’s shirt Paris
@anicyaedward56052 жыл бұрын
Zuchu yr talented ila unaforce mapenz kwa daimond my dear . Yan she is trying to kiss him.. ila kakwepa aiseeee.. hapo utachezewa na kuachwa aiseee aibu mm mweeeeeeeee😭😭😭yan daimond cyo mtu wa kuona aibu za mausiono ata zari kaimbiwa sanaa tena hit song ila kiko wapi ...
@synetkaunda7922 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@WilliamWestlund5 ай бұрын
Paris😂😂 look at hos shirt
@marykanini67722 жыл бұрын
Wow so nice
@yusrairakoze39662 жыл бұрын
Hawa wanapendezana sana kabisa mama dangle aibu kwake nawanao ongeya kuwa hawaendani
@NaZ-xf1gr2 жыл бұрын
Mama nafulai sana
@rayanndizeyes31612 жыл бұрын
Kwenye tanasha iko roho inamushoma kweli anaona gere aloliya iyo nafasi bahati imeangukiya zushu.musani na muke wa boss kofi et sidi le coeur
@leonidamachuru596011 ай бұрын
Wivu tupuuuuu.
@msawesuleiman5852 жыл бұрын
Ndio kicheche ..jst play your part... Mungu akusaidie
@hawaabakari60052 жыл бұрын
Wengine wanaona kama move ya dj afro apa na wamependezaama ile👌🔥🔥🔥
@asaadalbusaidi18702 жыл бұрын
Mendezi kwenye ubora wake aristotee nakusikia kwa mbali😍😂😂
@allyramadhan19022 жыл бұрын
Zuchu, diamond anakulilia Aristoteeeh 😂😂😂
@rajabdibwa64152 жыл бұрын
Bongo ndio sehemu ambayo wehu wanapata deal kuliko wazima🤣🤣😅
@nassirmohamed84922 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nahimanamayassa83052 жыл бұрын
Naaam😅na ni nnchi ya kwanza Ina sapoti ujinga😂
@edsonjeremiah59052 жыл бұрын
Nice song
@rahmabianca7290 Жыл бұрын
Nc bro😄😄😄
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Hatariiii 🔥🔥🔥🔥
@msalabanireko15182 жыл бұрын
Simba mnyam
@broka_genius36152 жыл бұрын
Rich mitindo katakana na whozu
@Mamatonny20652 жыл бұрын
Simba anakunywa maziwa ya bure kwa zuchu hana uwezo wa kununua ng'ombe !😁😁.
@mishibabu89462 жыл бұрын
😆😆😆😆anavyoringa sasa🤣🤣🤣🤣akiachwa sijui kazi itaisha pia
@rahmaabdallah71342 жыл бұрын
Hahhhhh
@teddyelias5332 жыл бұрын
Hahaha
@suleimanabeid2462 жыл бұрын
hatari na nusu
@khadijasalum23022 жыл бұрын
Huu msiba mzito shaaban hio inaisha ramadhan inakuja binadaam tunajisahau kufanya uchafuu mtupu
@zainabnassoro11092 жыл бұрын
Hawa hawajali ata ramandan
@sarahmuhammed68722 жыл бұрын
Hata natasha aliimbuwa gere,zari nayeye aliimbiwa,sembuse wewe
@rosemahenge90712 жыл бұрын
Yote kwa yote Zuchu a anazidi kuwa mkubwa kimziki hata asipoolewa atakuwa kafanikiwa pakubwa sana ni bora maumivu yenye manufaa kuliko maumivu yenye hasara
@sarahmuhammed68722 жыл бұрын
MkubwA ni MUNGU pekee hata raisi hana mamlaka mbele yamungu,akisema azure pumzi zake ataweza kurudisha,
@fatmamshangama98242 жыл бұрын
Mmmmh hakuna mapenzi hap maan mwanamke ndio anaejishauwa mwanaume habar hana macho juu juu
@jamilahathumani42222 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana Yani nimeisikia mala yakwanza tu lakini nimeiyelewa
@jenifajuma53952 жыл бұрын
Yaani Aristote umekaa hapo chini unaropoka tu😆😆😆
@jayfadhil84042 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 unamuona mtu w Raaaaaaaauuuuuunge leo kila mtu anamuona Aristote
@miriamngosha68562 жыл бұрын
Uyu bwana ake Worlper naye nini sasa kucheka cheka tu ka mshamaba wa camera 🙄🤔
@WilliamWestlund4 ай бұрын
Paris too every African they should banned Sweden otherwise
@joookahjokah84302 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@WilliamWestlund5 ай бұрын
#FOA😂😂
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Siyo kweli
@joycemwaikambo21622 жыл бұрын
Nice
@WilliamWestlund5 ай бұрын
The Will Learn the differens between Somalia and Uganda 😂😂😂📲
@sarasalim96402 жыл бұрын
Diamond anaonejana yuko kazini hapo sio kimapenzi na zuchu. Ila zuchu anajibaibisha lo pole yake. Ila angekuwa Wema bwana ahhaaa pangenoga
@kimchi-912 жыл бұрын
GKCHOPPA🔥🔥🙌🏿
@amraalhabsi81522 жыл бұрын
Mainshallah
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Hawana jipya
@milazomilazo64862 жыл бұрын
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@beatricelichoti50282 жыл бұрын
Zamu yake ila mtaachana tuu
@gorretagatha62672 жыл бұрын
Maskini zari ua miss hili penzi acha tu
@salhamrisho81382 жыл бұрын
Hapo chawa wapo nyuma nambere aristote na baba levo 😁😁
@rajabdibwa64152 жыл бұрын
Sijui wanalala saa ngapi?😅😂🏃♂️
@jayfadhil84042 жыл бұрын
Aristoteeeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣#Raaaaaaaaungeeeee
@sarasalim96402 жыл бұрын
Wala hawaendani kabisa. Ila akiimba apo wema sepetu. Naona Diamond angemshika kiono. Au tanasha.
@teddyelias5332 жыл бұрын
Kulen maisha ndio wakati wenu ila mkumbuke kuna kufa
@mohamedisultani81632 жыл бұрын
Hakiika
@carolinekimani37992 жыл бұрын
Lakini bona Diamond hajambusu zuchu amelenga hapo mwisho
@hadijanapanya74992 жыл бұрын
Kuna machawa wanajipendekeza mpk mwnyw diamond anawaona wanakera
@mariasalomemelchiorkaigaru19742 жыл бұрын
Tumeonaaaaaa
@msalabanireko15182 жыл бұрын
Mhh akik wanawake kwel ampendan
@ramadhanijumakishai77832 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Jackiedaniel752 жыл бұрын
❤️
@zabibuamissi11412 жыл бұрын
Mzee wavikaho unanini khaa 😂😂
@rashidnajma3502 жыл бұрын
Bora salama
@christercheru83282 жыл бұрын
Zari unaumia ukiwa wapi???
@إيميكينياني2 жыл бұрын
Hiyo Ngoma nitamu wameweza
@gulochristine77382 жыл бұрын
Mtawachana Tu 😏😂😂😂
@nahimanamayassa83052 жыл бұрын
Inamaana uyu Sallam SK hanaga mke!!!??
@desiremigezo18162 жыл бұрын
This is the worst couple not only of the year but of all times in the history of Tanzanian celebrities. Kweri leo nakubali maripo ni hapa hapa duniani. After dating and enjoying Wema, Hamisa, Zari, Tanasha, Wolper, Irene, official Lyne and tens of other beautiful women, today Diamond is dating Zuchu!!!!???? So sad to watch. This is the beginning of his downfall for sure.
@ujenezasandrine68542 жыл бұрын
Thanks for the boise sir god who knows the future
@valeriachipeta7742 жыл бұрын
Kwa sababu zuchu hana nn ambacho hao wengne walikua nacho, acha roho mbaya unajikuta mtabir wa maisha ya watu wakat ya kwako hapo ukute hujui ulikotoka wala unakoelekea
@marieimanishimwe48742 жыл бұрын
Agree with you
@janetcharo15432 жыл бұрын
You're funny lol,what does it matter to you personally if they dating,get a life hater
@r.q51942 жыл бұрын
Men look for more than beauty and beauty is not defined by brown skin. Maybe diamond found something in Zuchu that he couldn't find in his baby mamas. Zuchu shouldn't dare to get pregnant before he marries her coz we all know what will follow. Anyway they have a good chemistry and make a great couple
@ashurahatibu50692 жыл бұрын
Jamna kitu hapo
@chibudangote01262 жыл бұрын
Sawa ila inakuhusu nini???😀😀😀😀😀😀😀😀
@msalabanireko15182 жыл бұрын
Chako kip
@ashurahatibu50692 жыл бұрын
@@chibudangote0126 mfyuuuu sijakuambia unijibu mmbwa weee mi nimemaanisha hao hawana uhusiano ni ukaribu wa kimziki tu so unawashwa nini