2021 March naangalia najifunza tenda wema , Mungu atakulipa , @diamondplatnumz amemtengeneza harmonize kawa mkubwa sana Tanzania and Africa kwa ujumla ila wanaojifanya kumpenda harmonize Leo hii wanamtukana diamond platnamuz haya maisha yanaumiza sana ila yote Mungu ndo mlipaji. Nakukubali sana diamond platnamuz endelea kusaidia unapoweza , ishi sana brother
@mariajeila72503 жыл бұрын
True nadhani ilivyomtusi na Dai hakumrespond ilimsuta
@maroontz89242 жыл бұрын
Xana bro txhukuru kmbkmbu za mtndao znatnza record
@marshialmarshah9032 Жыл бұрын
Very true,,dunia inamengi yakujifunza
@chalesmapua5115 Жыл бұрын
sasa kama ujui kwa nn ana tukanwa alizui tamineshen contwacitr angekua aja zuia asinge tukanwa ila kazuia ilimwenzie apo teeee kwaiyoo tuta mtukana mpaka bas mungu ndoalie fanya konde awe mkubwa mbona lavalava mwakaa wami100awi kama kondeee coz kama ina kuuumaaa chomooooooooa
@DanielMponeja-xw3dd11 ай бұрын
Fact
@zickgregory51385 жыл бұрын
kama umekubali kabisa kuwa harmonize ni msariti mkubwa ebu gonga like hapa
@atemmapet40695 жыл бұрын
This show made me a big fan of Diamond Platnumz- he's honest and a caring artist...- Much love from +211 South Sudan.
@sunbitekingtv8093 жыл бұрын
Kama unaangalia 2021 gonga like hapo tujuane🙌
@rehemakitara99784 жыл бұрын
Aliyewakosanisha Mungu anawaona !! Haki mnajua muziki mnooo🥰🥰❤️❤️🌹🌹
@ezenwanneikenna77036 жыл бұрын
I RESPECTED you so much DIAMOND Platnumz very nice all the way from Europe
@benimagaya29685 жыл бұрын
Kama Unaitazama Januari Hii 2020 Like Hapa Kwa WCB Wasafi
@thugpoet64914 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iYnCZ4mtq8SBoJo share with friends Ma new video 🔥🔥🔥🔥
@rebeccasarah77644 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
@veronicahwanjiru45683 жыл бұрын
I would love to see you guys back together,much love from kenya
@hiki2422 жыл бұрын
Leo unamchukia jmn
@abduljvo55494 жыл бұрын
Maisha Haya!! Kinachoendelea Leo Unakosa Hata cha Kusema, Kweli Moyo wa Mtu Kichaka. #2020
@nishaabdula50153 жыл бұрын
Sn yn mtu anajifanya anajal kumbe a na lake moyoni
@creverraymond95663 жыл бұрын
Vp ww
@halimasulaiman32293 жыл бұрын
Mimi naona mambo yao tuache jamani kwanza watauingiza motoni kwasababu mziki haramu kwa dini zote mbili subuhanallah
@halimasulaiman32293 жыл бұрын
Walikuwa wanapendana sana sijuwi nini shida daa
@raajsheria29414 жыл бұрын
Hii cku mondi alipiga shoo sehem mbili kwa Davido na kwa Harmonize km unaikumbuka like twende sawa💪
@dockaridk6 жыл бұрын
This is what we call 💖LOVE, let be our brothers and sisters keeper go MONDI, mungu akuzidishie man.
@kenallday11155 жыл бұрын
Nani anaangalia after harmonize kutoka wasafi 2019
@jumachiale92005 жыл бұрын
Mm
@stephanosantus13174 жыл бұрын
mim
@umutoniummy34724 жыл бұрын
Jumabara mawuridi twarabu
@daimually48654 жыл бұрын
Daah kond wewee
@prosperitymaarifa89364 жыл бұрын
Mimi hapa
@mansourrukaka30614 жыл бұрын
Kama unaamini ukitenda wema usingoje shukrani ndani ya June 2020 gonga like
@khamisyatima56674 жыл бұрын
Zikiri
@gladnessmphuru17125 жыл бұрын
kama kuna alie angalia hii show 2019 naomba a like apaa
kzbin.info/www/bejne/iYnCZ4mtq8SBoJo share with friends Ma new video 🔥🔥🔥🔥
@aymankhadija6194 жыл бұрын
@@benardmpombo2448 Wachambe hao wamezowea uzushi majungu final umbea na chuki binafsi
@Ashiprizeg4 жыл бұрын
Kama unamuona mnafiki 2020 uko wapi? Mimi nipo Uganda 🇺🇬🇺🇬
@worldwide96503 жыл бұрын
Sioni mnafiki mimi naona mpambanaji anaejijenga
@niphermukolwe93463 жыл бұрын
Jeshiii si mnafik 254 Kenya we love you konde Gung for everybody
@iconluyo43733 жыл бұрын
Me siwezi toa hela zangu nkasaidia wamakonde hawana shukrani hawa viumbe Bora hiyo hela nkapimwe mkojo😎😎😎😎
@mwajeiirakoze85534 жыл бұрын
😂😂😂nimecheka jamani wa october 2020 like hapa tujuane sikwakilio ichi😂😂iiiyaleo anamchamba daimond mpaka😂😂
@antibiotic7238 Жыл бұрын
Wacha unafiki..ivi kwani mondi hamchambi??waswahili mko na upuzi
@Minjum-j5m Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sharononyango36995 жыл бұрын
These two are missing each other this was a strong bond😭😭😭❤️
@patrickmulemela10285 жыл бұрын
Sure
@sarahlydia26354 жыл бұрын
True they were more of friends
@thugpoet64914 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iYnCZ4mtq8SBoJo share with friends Ma new video 🔥🔥🔥🔥
@qrrrqtqt99763 жыл бұрын
Kabsaaa
@judithkemunto24033 жыл бұрын
You guys mlikuwa mwapendeza hapo awali,,jamani kinachowatenganusha nikipi?binadamu akiwa hai ukosana nawakarekebishana kwa njia moja au nyengine may the blood of God bring you together again 🙏we as fans we need to see you prospering much ❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kakasmilez89373 жыл бұрын
I miss to see you guys sharing the same stage again
@hashirjuma13564 жыл бұрын
Dh hii video inanikumbusha mbali sana leo hii unamuona Diamondi hana thamani tena kwako 2020
@wegehakinz60243 жыл бұрын
For real these heat makers had bang it and I wish they could go back together while sharing the same stage
@charleskyalo9355 жыл бұрын
watching this video halafu matokea ya sasa...binadamu kweli
@johattyomertho94654 жыл бұрын
Binadam noma sn brother
@kevinatinda22424 жыл бұрын
Mtu ukua bingwa hamna chochote cha maisha, alivunja mkataba kwa njia rasmi, naye sasa anajenga ibraah
@sportsfansworldwide44484 жыл бұрын
Binadamu nini sasa mtu asiendelee na pili hatujui nini ilitokea baina ya wawili hawa kwaivo midomo ifungwe
@abckke65554 жыл бұрын
Msemo, waleo, niushamba😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇰🇼🇰🇼🇰🇼👌👌
@edwardcoplo78683 жыл бұрын
Tujuane tunaoitazama hii 🔥🔥 2021
@naslee10104 жыл бұрын
dah! inauma sana kwa yanayo jitokeza 2020😭
@najmohamed69505 жыл бұрын
2020 mwingne nan,,
@kimsamson61495 жыл бұрын
Much love to you @harmonize and Simba🦁 @diamondplatinum always WCB FOR LIFE
@wilonjahatua20676 жыл бұрын
Hata nawewe unayeangalia sasa kama unamkubali simba acha majungu na ubishi ubishi gonga like yako hapa 👏👏👏
@maryannshaibuali93876 жыл бұрын
Simba popote ananguruma ila km unaamin km WCB nao simba usiache kulike
@isaackbubinza41266 жыл бұрын
Simbaaaaaaa
@aminajuma52036 жыл бұрын
namkubal sana simba bigap kwake
@aminaomary636 жыл бұрын
wilonja hatua
@yusuphmwahalende26486 жыл бұрын
Simbàaaaaaa baba tiffar
@producerema2912 жыл бұрын
Sijui kilitokea nini mpaka hawa miamba wakatengana but nawakubali sana,Respect kwa Diamond platnumz
@alquinmadoro80646 жыл бұрын
Huyo ndo simba #diamondplatnumz hilo shangwe si la nchi hii Weka like kama unamkubali #simba
@lupandesimukindje81703 жыл бұрын
Nimerudia kuangalia tena 2021
@mostofabd5804 жыл бұрын
Your friendship start from long way so both of you don't let anything separate you if you both together on stage is sooo lovely keep it up God bless you all
What I love about harmonize he always praise harmonize even after the disagreement...
@philipomaganga91575 жыл бұрын
among the favourite video between wasafi yaani diamond platnumz na harmonize ni hii very humble all the best despite separation na inshu kama hizo but all the best to you all
@officialmrtop10185 жыл бұрын
Unampenda sana kwa hiyo Leo si umekuwa msaliti??? Jingi jingi wew
@bakermiles28664 жыл бұрын
Nyang"au hassa
@daimually48654 жыл бұрын
Sasa jeuri na zarau kwahuyo kijana inatokea wapi jiangalie kijana huo sio utuu ubinaadam hauendi hivyo
@chidyfredy664 жыл бұрын
Mtoto kakua anaitaji maisha yake nae nyinyi mlitaka azeekee hapohapo au
@elizabethfaustine31144 жыл бұрын
Kujitegemea yeye shida alifanya tu vzr ila anachokera ni kutomheshimu Bali kumtukana na kumdharau kumvimbia na kumtumia wakumtukana akina H.baba inauma sana
@stevensamwel31363 жыл бұрын
Tenda wema kimbia mbio zote 🚴🚴🚴#2021
@Nelly_Kifano..20144 жыл бұрын
2020 🇰🇪🇰🇪🇰🇪but these two were a perfect match simba na harmonise sielewi mbona mliachana but wasafi was better off with both of you in it it was 🔥🔥🔥🔥🔥
@keziaodongo35555 жыл бұрын
nalinganisha husiano ya mondi na harmonize msimu huu na hali ilipo sasa hivyi yaani baada ya kutengana nabaki na huzuni cheki anavyiomshika harmonize mkono na kumwambia vipi bwana halafu wanaanza kucheza i loved the team
@bilarysalehe92104 жыл бұрын
Leo anamuita mondi simba zee . Harmonize mungu anakuona
@mariamhaidarijamali8066 жыл бұрын
Mungu amzidishie Daiomond riziki zake inshaallAh n abakikuwa n imani milele daima 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@snakepoison94826 жыл бұрын
WCB for life
@siaminimaumbika77474 жыл бұрын
Mungu awajalie eri nakupenda sana simba ilove you somch wanafk kaeni pembeni
@ayubuhenry54266 жыл бұрын
nikweli kabisa mond ni mzee wa kick lakini sasa niseme ukweli kama hazimo darasani hata utumie uchawi utakua wa mwisho. gonga like kama una mpenda simba na WCB wote
@pauloighembe92456 жыл бұрын
Ok
@projestusalexander58726 жыл бұрын
Big uppppp
@hassanally77514 жыл бұрын
Ubaa
@imadoudineabou33293 жыл бұрын
Je kiff trop l'Afrique surtout 🇹🇿 ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ 😘💞💕😍💋💖😘♥️💝❣️
@azizahamis61006 жыл бұрын
Huyo ndo mond now mwite flying doctor ametibu mashabiki dar live pia katibu mashabiki wa next door arena same night
@sophiahmedza9296 жыл бұрын
Aziza Hamis 👍👍
@thomasmagoti15254 жыл бұрын
Haaaahaaah
@MBGolden3 жыл бұрын
Hii ni show kubwa sana , maana hata mwili umesisimka 🔥🔥🔥🔥🙏🏾👑
@faithwanyoike42525 жыл бұрын
Every talent comes from God simba ten years ago was a nobody but through determination and hardworking landed him to where he is now he also helped likes of harmonize and the others I just wished they stocked together they were a good team but all in all all the best harmonize still love you...
@LukakuBoy-ie5dd10 ай бұрын
Kama unaangalia vidio 2024 Gonga like hapA
@malikzafarani1724 жыл бұрын
2020 tuko wapi
@ommygayyih29774 жыл бұрын
Kama unaangalia 2020/2021 gonga like chini utakua umetisha √√
@djgeorgekiller36174 жыл бұрын
Nimeangalia hii video 2020 dah ila Nina wasiwasi hawa jamaa hawaja gombana na kama wamegombana jua kuna mjinga anamjaza. Maneno hamo
@edwinrobert35075 ай бұрын
Kama unamini ipo Siku Harmonize atapatana na Diamond platinumz na kuimba tena pamoja Gonga Like....
@kassimmohamedi91794 жыл бұрын
Dah ukiambiwa asaivi Hana heshma Tena na Diamond jamn binadam 🤦 ok kama unaangalia hii 10-11-2020 nipe like
@ashamohamed14613 жыл бұрын
Tena hadhalani kweupeee Sasa ivi mondi atamani ata kutoka nje jinsi alivyomvua nguo
@neewel928 ай бұрын
2024 ndani ya nyumba👋👋👋
@lucassulle34356 жыл бұрын
I love the coupling Mond and nize ,they make me drink mo beers
@fishuqadir41535 жыл бұрын
Konde boy nakupenda kakangu cause husahau ulipotoka na husahau fadhila ...Mungu azidi kukupa moyo huohuo...so proud of you
@alikarisa61565 жыл бұрын
Amkaa wewee ashasahauu alipotokaa
@waweruwanyawiramassiv26526 жыл бұрын
KENYA WATCHING THIS LOVE YOU DIAMOND
@magiehermess99493 жыл бұрын
2021 anamsema ni mbaya hataki kuona mtu anampita. Harmonise uwe na akiba ya maneno
@nayrinekakuni90466 жыл бұрын
Safi sana harmonize kwa kumtambua kaka yako Mungu apatie amani.
@fredyr.i.ppeter25386 жыл бұрын
Nayrine Kakuni 🔥🔥🔥🔥🔥
@sheilanafula7686 жыл бұрын
Harmonize i like ur shoes nice one😍😍😍Show kali sana mungu awajalie wana.eastAfrica muziki wetu furaha yetu wana africa!254#966 bt najisikia home juu ya muziki!!!😍😍😍😍
@isabelleelkhoudri64953 жыл бұрын
I thank God I belong to an era when artists had shows, accompanied by a real band and had to sing all their songs. No lip-synch or playbacks were allowed .
@shabanichaye8255 Жыл бұрын
Kama unaitazama 2023 Gonga like twende sawa
@HassanMohamed-iu8hf6 жыл бұрын
Wooow yani simba ana wapenda san wasanii wake kweli kweli
@daimually48654 жыл бұрын
Nikweli anawapenda lkn hawana fadhila haooooooo
@josephatagutu5573 жыл бұрын
Harmonize kindly revisit this video,,kweli diamond ni baba from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@timothyasibu8973 жыл бұрын
This combination was hot I'm telling you 🔥
@FrankjumaNdakama-g1c Жыл бұрын
Harmonize Mimi shabiki yako Sana nakukubari Sana 🌷🌷 lakini mondi kakusaidia acha kumchamba hata amekukosea kausha 2 fanya mziki kaka
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
Natazam 30/01/2021 siku ya wasafi tumewasha nimekuj kumuona mjomb chumali kbla hajageuk yuda🤣🤣🤣 et analia huku sasa hvi anatungampk nyimbo za kumtudi simbaa😏😏
@philemonambilikile Жыл бұрын
Acha utumwa yuda
@mttwamama0036 Жыл бұрын
Hiz vitu huez elewa kaa kando,uwatch tu movie💔💔💔
@rechokezia82135 жыл бұрын
Mond my God bless you kua na huo moyo mungu atakulipa mbila watu wanasema kujua Siri n wewe na mungu wako hongera yenu kondeboy
@bensonkigula44705 жыл бұрын
2M viewers just for a performance, Aisee muziki upo WCB kama unakubaliana na mm gonga like hapa.
@beathmkongwa38503 жыл бұрын
Maisha yanaenda kasi sana Leo hii 2021 nimwendo wa vijembee
@agnesollie7533 жыл бұрын
This is my best thing l always feel when l wish it will happen again
@ramadhanimadanga99323 жыл бұрын
Mungu nd anapanga vyote co lazm tukamilishe safari ya maisha pamoja @remember utanipenda hata harmonize ni kimpigia.......
@ibrahimmohamed54844 жыл бұрын
One big secure Bond this guys had, I wish for these to make new music together despite the circumstances 😉!!
@jasinkai63263 жыл бұрын
I'm a Konde girl but my dear Harmo just do me me a fevour watch ths video and you will never hate Dimond 😍🤗🤗🤗🤗💃
@lttriza69516 жыл бұрын
Simbaaaaaa❤❤❤❤❤❤
@hadija8465 жыл бұрын
Hawa ni zaidi ya ndugu nawapenda wote hata iweje😘😘💞💞😍😍🙏🙏
@fbr51136 жыл бұрын
Kama unafikiri Mondi ndio mwanamuziki wa kwanza TZ kumiliki TV kubwa duniani na media zake gonga like . Wabanwe choo mmewakomesha wajuaji hewa
@fatmamasoud19516 жыл бұрын
Lawrencia Kwibereja q
@franksabasi12276 жыл бұрын
Potezea Wazushi shuhudia mwenyewe
@husseinomary51855 жыл бұрын
Yahp
@ausonosward57035 жыл бұрын
Potezea Wazushi shuhudia mwenyewe wazushi
@landmadvdmbeyacity95615 жыл бұрын
nyoko we
@vigeniajimmy10266 жыл бұрын
SIMBAAA endelea kuwa naroho nzuri mungu atakubariki smba
@diomedesmtayoba39556 жыл бұрын
Much respect wcb
@stellahmarisa93742 жыл бұрын
Harmonize yuko wapi akuje askize chenye alikua akisema mwenyewe😔kweli dunia mviringo .Always team Simba🦁no matter what sing'oki
@mansourrukaka30614 жыл бұрын
Leo hii umesahau wema wooote wa mond unafikia hatua ya kumlinganisha na hiyo mbwa yako ibra wamakonde sio watu 🐂
@remtymsangi63653 жыл бұрын
Sio mbwa tu Ni nyoko kabisa,mamae yaani naumia kumuona huyu mshenzi akimdismond
@selestinsongola27873 жыл бұрын
Hakika daimond alikua anajivunia sana harmonize show kwapamoja ninoma had saiz mngekua pamoja wangekoma had nigeria
@brightonjustin38726 жыл бұрын
Hongera @diamondplatnumz bhana
@kassimsadat10926 жыл бұрын
Sawa diamond na hermonize so mbaya nzuri sana ahhh may god bless you
@khalfan39183 жыл бұрын
Real miss this duo😪😪❤
@tumainkassanga41594 жыл бұрын
Nimefurahi mpo pamoja mungu awabariki
@wyclifekalama43976 жыл бұрын
Ebu team Alikiba tuambieni mwaka huu kafanya nini upande wa mziki mwaka huu zaidi ya kuoa na kutoa kinywaji chake mziki hakuna. Congratulations u guys HARD working guys mawetoa greats songs kwa mfulilizo this year WASAFI DAMU👏👏👏either you like or not 😂😂😂😂😂No comments only likes
@paulinechoni19076 жыл бұрын
Wyclife Kalama no
@wyclifekalama43976 жыл бұрын
Pauline Choni niambie dadangu mision naona bifu tu kila akihojiwa watangaji, ame msaidia nani kutoka chini hadi JUU
@paulinechoni19076 жыл бұрын
Wyclife Kalama huyu haeleweki
@wyclifekalama43976 жыл бұрын
Pauline Choni uko upande gani Tanzania dadangu
@abubakarnur96396 жыл бұрын
Wyclife Kalama
@mawaletyhamisi37564 жыл бұрын
Jux nyimbo mpya 2020
@ellieellie14694 жыл бұрын
Harmonize has to remember that time...
@judithgeorge17564 жыл бұрын
Diamond mungu akuongoze sana maana una roho mbaya jamani
@officialgungi39355 жыл бұрын
Eti naye sasa hivi kajitoa wcb wakati alikuwa analia hapa simba ndo kaja kumpa kampani paka kapata vibe kwel maisha haya
@samsonoundo6512 жыл бұрын
Super cool from boss Simba
@austine2555 жыл бұрын
HAMONIZER MUST WATCH THIS
@bakermiles28664 жыл бұрын
Mwambie kweli bannaa
@sportsfansworldwide44484 жыл бұрын
Watu husonga
@silaskalanda3 жыл бұрын
Diamond too must watch this😜
@allykorosho2663 жыл бұрын
Nan anae angalia 2021
@gloriadavid76356 жыл бұрын
the two r awesome
@firstladybeutfull42463 жыл бұрын
Nilizoea kuwaona mpo watatu ww rayvvan daimond lakn sasa uko peke yako natman huuu upendo uludi nawamboe dua muwe kama zamani inapendeza 🙏🙏🙏🙏
@martinezsiwale44196 жыл бұрын
Harmo love + chibu deeee ni 🔥 guys keeping it real wcb for life