2022 and it’s my first time to watch this interview … wasn’t a fan at the time but since he left WCB I began to realise how talented he is… I have been a diehard fan since. Your journey is an inspiration🙏🏾🙌🔥 Tanzanian ⭐️
@bajutaboy75889 ай бұрын
Wanaoangalia hii video 2024 gonga like Hapa...❤❤❤
@LavieKamalungu23 күн бұрын
Baba ya ngukipofu
@chiefkel8 жыл бұрын
Humble man, Mungu aendelee kukusimamia na zaidi ya yote continue to be down to earth and appreciate those who support and push you to success. Unauwezo mzuri wa kujieleza na kucontrol emotional zako
@paulsandue8118 жыл бұрын
nice
@agwalubifaridah70794 жыл бұрын
Nani yupo hapa 2021 kumsikiliza harmo leo Nassib kawa #mshamba dunia hii ina mambo Afadhali mfadhili mbuzi tu.
@ruggarell26955 жыл бұрын
This will remain to be the best and most genuine interview he's had
@kenphiskikeyaan76697 жыл бұрын
the level of humbleness in this boy, so amazing And the Interviewer is not boring with irrelevant qns.
@antonioduku27295 жыл бұрын
The interviewer story resembles his story so he relates to his story
@juliusmbena39634 жыл бұрын
Umekwama wapi ham ulianza vizuli imekuaje tena?
@kenphiskikeyaan76694 жыл бұрын
Miaka mingi baadae, pesa
@kassammwishehe44823 жыл бұрын
@@antonioduku2729 Just
@storytownTv5 жыл бұрын
Tuliorudi hapa 2020 gonga like hapa chini
@Swaga_boys4 жыл бұрын
Eddywin Caster Subscribe kwenye You Tube channel yangu 1k 👌❤️🥰❤️
@gileadmushi82944 жыл бұрын
Story Town 😁😁
@alhassanmohammedmokhtar21694 жыл бұрын
Ata nami piya nili subiri video sana
@officialmrtop10184 жыл бұрын
@@alhassanmohammedmokhtar2169 tupo macho bro
@esperancefaida32234 жыл бұрын
Thx
@paulinepaul34784 жыл бұрын
Km unaangalia hii kitu 2021 gonga like hapa twende pamojaaaaa
@beckermbagala56074 жыл бұрын
Kama wayasikia anayoyaongea Harmonize gonga like alafu saii anajiita tembo 🐘
@lazaromeskanalazaro.m.lemb30284 жыл бұрын
Kama unaiangalia hii mwezi wa 9 wa 10/ 2020 gonga like hapa
@kwamemchauru41419 жыл бұрын
Ni muhimu sana kwa msanii kuweza kujieleza kwa ufasaha.. Hongera sana na tambua kuwa huu ni mwanzo tu.
@timothysanga97469 жыл бұрын
I like this guy big time!Amejawa na hekima na busara wakati wa kujibu maswali , ndo hiyo ndio siri kubwa iliyomfanya Diamond kufika hapo alipofika. Trust me utafika mbali sana mdogo wangu kama utaendelea kwa mwendo huo. mwanzo mzuri. Big up and keep it up.
@bonifacembugua80456 жыл бұрын
both of u have a good songs & enjoyably continuous with those spirit I love
@videondegeya385 жыл бұрын
We ulipofika jamaa mxhukulu mungh
@rosenamilia41409 жыл бұрын
Dogo Harmonize ni jambo la kumshukuru Mungu sana kila siku kwa kukutanisha na Diamond. Ongeza bidii kila kuchapo.Mungu hatakutupa, pia Diamond hata kuacha. Hapo umetusua Dogo👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@merrieandrew59827 жыл бұрын
guuud
@faulatafahmi77336 жыл бұрын
Hii Interview naiona leo, but the song Aiyolla was the best of all for me...Harmonize keep up the good work lil bro...Love all the way from Canada...nakuusia kitu kidogo dini yako iwe muhimu always.
@masoudseif49624 жыл бұрын
Leo umeshayasahau yale yote alokufanyia Mpaka sasa hivi unaanza mpaka kumuiba kwa Mabaya. Dunia ni Mzunguko. Nani mwengine 2020
@mapendosafi34297 жыл бұрын
Ooh noooo this is sad story but ninafurahi kwasababu uko namoyo ya Shukrani nakumuomba Mungu tena you don't forget where you come from also i happy to hear unamukamata Diamond kama baba that is good keep it up nyimbo zako zote nazipendaga sana🎵🎶🎶🎶🎵🎵🎶🎵🎵🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘😘
@sullehtz93274 жыл бұрын
Duhh maisha ayah tumetoka mbali sanh yen leo et harmonize anampiga vijembe diamond platnumz 🦁🦁🦁
@salumkanju1732 Жыл бұрын
Binadam tunajisahau angeangalia hii kitu mmh angemuomba msamaha
@irinemmasy8387 Жыл бұрын
@@salumkanju1732 hatujui walichofanyiana tukae kimya
@salumkanju1732 Жыл бұрын
@@irinemmasy8387 hatakama ila aliekupeleka darasan jarib kumweshim
@BakariMapua-t9u3 ай бұрын
@@irinemmasy8387hatakama
@KelvinNganganjoki7 жыл бұрын
This is the most candid show, i have ever seen. Harmonize has really touched. Soar Heights, Sky is the limit.
@victorkinyanjui71536 жыл бұрын
Have watched this interview so many times,it is a great teaching of patients, grit and humbleness when asking for anything.. that's why irespect WcB...all have hustle...
@ericks54148 жыл бұрын
I have never played a single artist's song for more that a month in non stop basis. This boy is absolute. mungu akujalie maisha marefu kimuziki. ni vizuri unajitambulisha na D.
@musashekusa38236 жыл бұрын
Kaswidd
@deotv5035 жыл бұрын
Wangap wanangaliaa baada ya harmonize kuondoka wcb
@الحمدللهالحمدلله-ث4ت Жыл бұрын
0
@SidikAbuu4 ай бұрын
Hahaha 😂😂binadamu bwana
@hairukadago68272 ай бұрын
Me ndo naiona leo hii wakat ameshatoa Album tano
@erastusomolo85896 жыл бұрын
May God bless the work of your hands.
@ammarsimbaaa23057 жыл бұрын
A.a kaka uko juu tuu sana sio ya kuwa ati unaimba tuu bali mungu ndio amekuchagua naaminia unnaweza na mungu akufungulie njia zako na riziki zako nakutakia kila la kheri mkaka na nimezipenda nyimbo zako zote na ningeomba nipate angalau no zako ili tuwasiliane zaidi
@davidwakarindi23377 жыл бұрын
uko xawa harmonize...napenda nyimbo zako xana...shulala inanijenga xana....big up fro nairobi
@jumamofu95734 жыл бұрын
Mnaosoma comment 2020 gonga Like dogo kasahau km anajisikia vibaya akimkosea Baba yake na Roll model wake.. Gonga #Like
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Hahahah kabisa Ila haina jinsi
@nashipaikoima6826 жыл бұрын
Wow! It's good to know where people come from. What a great interview. Wishing you well Harmonize
@alhandroraj80095 жыл бұрын
Cha kwanza, pongezi kwa Mondi na kwako. Kwa ukweli Diamond ana moyo mzuri tena hana chuki hata uwe aje au aje chake ni ufanikiwe. Asante Harmonize kwa kuheshimu Mungu kwa rika yako ndio maana umefika mahali umefika. Diamond ubarikiwe zaidi kusaidia wengine pia. Mola akuinue vile umeinue Harmonize
@rozzyvan21699 жыл бұрын
wow!! nice story thanks Millard kazi Nzuri!! Harmo big up!!
@xbdbdgdgsbdbbxx42543 жыл бұрын
November 2021, Harmo ka change interview, kasahau mazuri yooote alifanyiwa.
@sirionecompanylimited81655 жыл бұрын
Blessed Harmonize! Blessed Diamond
@lilyplatnumzlilyplatnamz75269 жыл бұрын
hongera sana harmonize n thanks Millard I was waiting for this exclusive for so long.... love u big Millard Ayo
@josuemulemangabo17424 жыл бұрын
Vizuri sana mzee
@salmasalma63489 жыл бұрын
hongera millard ayo kwa kz nzuri unastahili kupewa tuzo.
@SARAHTALAMOE9 жыл бұрын
God bless Harmonize and shout outs to Diamond for his great support.
@johnjoseph28395 жыл бұрын
Kama unamini hamonizsme hakumbuki alipo toka like hap
@rosinacyuzuzo20934 жыл бұрын
Anakumbuka sana Mwace usenge
@officialmrtop10184 жыл бұрын
@@rosinacyuzuzo2093 anakumbuka sema anajifanyisha
@zou74704 жыл бұрын
@@officialmrtop1018 siyo kujifanyisha anakumbuka kwasababu huwa anakiri ilo
@madadamadada14024 жыл бұрын
Dogo kasahau alipotoka
@zou74704 жыл бұрын
@@madadamadada1402 kasahau kivipi sasa🤷♀️🤷♀️
@moricemollel55815 жыл бұрын
Sana chali unaweza sanaaa nakukubaligi sana pia ,Mungu akupe nguvu🙏
@vincentmumo57154 жыл бұрын
I love one thing with him ,,his humbleness
@adoniusalfred4997 Жыл бұрын
Harmonize geuka nyuma tazama hii interview then usimdharau simba diamond platnumz........sikupend kwa kuwa unamdharau diamond my no.1 favorite super star....jirekebishe then rud back kwa diamond so as to keep you up!!
@beatricewanga35026 жыл бұрын
Waaoh what an inspirational story.umetoka mbali kama,wish you good luck in whatever you do.diamond is anice guy.you are the next superstar.
@abelmapuri44073 жыл бұрын
Tunaocheck hii interview 2021 tujuane kabisa
@edinakalekale5733 жыл бұрын
Mimi apa
@cyprianjoseph12866 жыл бұрын
wasanii wengine wangekua na roho kama ya mondi bongo fleva ingepaa mbali zaidi
@salvatory29875 жыл бұрын
Kama unatazama 2019 gonga like
@saidnurdin42395 жыл бұрын
Pamoja sana maisha ni fumbo jibu lake uja tu pale wakat ufikapo
@waridasimba35345 жыл бұрын
Salvatory poa mzee babu
@ashuulwavu49419 жыл бұрын
Mungu atazidi kuku ongoza inshallah nyimbo zako nzuri na umejieleza vizuri sana endelea kujiamini bg up broo😘😘😘
@fartylamar8109 жыл бұрын
big up harmonize mependa your interview..... #Aiyolaaa 👍👍👍
@pascalbahati45636 жыл бұрын
Homonize happy for you!!Keep up young brother I love your song "atarudi"! Blesssings!
@Mimi-wf7mb6 жыл бұрын
Diamond ana sifa ambayo mastaa wengi hawana. Ana roho nzuri sana. Watu wengi aliokutana nao wanamsifubkwa hilo. Shida yake ni ndogo tu. Hajatulia when it comes to women
@kikumbaalain86197 ай бұрын
Leo ndo ku watch Hii I wish harmonize ai watch tena..no matter what Harmonize must respect Diamond 🫡🫡😒😒
@katongosinyangwe67335 жыл бұрын
Harmonize nashukulu saana but don't forget your brother Diamond,for wat you're talking people about, its truth,continue with your music and we're support you allows.
@ykann55887 жыл бұрын
Can't get enough of this interview. just Humbliing man!
@fettylishaz23849 жыл бұрын
upo vizuri cn Harmonize kaza buti tutafika millrad asante cn kwa time yk uzidi kutulet vitu vizur
@likmaniyusuf41828 жыл бұрын
mashaallah harmonize uko juu,lkn ninachokushauri usiache maadili ya kiislam ukajiona wewe ndio wewe jua siku moja utakuwa na mungu na utaulizwa ulichokifanya katika dunia ni kipi!
@jumaalexis60205 жыл бұрын
LIKMANI Yusuf 😟😟😟😟😟
@sixberttheophil21595 жыл бұрын
Umetisha kak mshukuru mungu
@blendembesimba5 жыл бұрын
Harmonize mwenyewe ana m'shukuru mwezi mungu,kwa tchote ame m'fanyia,naye pia kasema wakati flani kabla ya kwenda product,ka swali rakaa tchatche!
@kaisarimkuu36855 жыл бұрын
Kama una dini yako unatafuta nini huku?
@rachelfaustine13925 жыл бұрын
Hongera harmonize
@florasimon64025 жыл бұрын
Ssa ww mbwa kusaidiwa kote ukoo hukumbuki fadhila za Mondi kwel nimeamn mthamn mbuzi binadamu ana mauzii dogoo huna shukran hta kdg Mondi Mungu azd kukuweka kaka ang il uje usaidie wengne Amina
@vedastinawillium44584 жыл бұрын
Kosa la harmonize liko wap hpo jmn
@alinelumona88364 жыл бұрын
Alafu wakati mwingine unapo mtusi mtu ajakukosea nidhambi mno kwani harmo kasema vby? Mbona anamshukuru tu kwehio mulikua mnataka afanye nini haswa awe na mfulia au kumuogesha? Mtoto ukisha mzaa nilazima akue na ajibebe kimahisha sio kila siku atakua namtegemea please acheni harm ahendeleye na miziki yake
@gideonmageto46234 жыл бұрын
Maisha yako na ya harmonize nani ako better?
@huseinbakari1943 жыл бұрын
@@alinelumona8836 hawa ndio binaadam ndugu
@janethjoseph6043 жыл бұрын
Wew nae uxtukane mtu uwez jua nikwann Siri wanajua wao wasanii sisi watazamaj tu
@newgentruckernocbakay4gyou9155 жыл бұрын
2019 and in future Mola akuzidie bro.
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Kwel Maisha ni safar na kifo ni Konyagi Sasa hv Hamo upo juu Konde Boy Hongera Sanaa Brother 🙏
@DrJoeNjenga6 жыл бұрын
Great effort and persistence I like that
@saidkassim29565 жыл бұрын
Ur so real,keep fighting.watching it 2019 March two days after ur birthday
@nehzreal74455 жыл бұрын
Hey I always view this video several times since it do make me get inspired,hope nothing will come across him and diamond,like this kind of life experience
@erickkipilimba48515 жыл бұрын
good
@shamimubinkhamisi87199 жыл бұрын
wow nic one mungu abqrik kaz yko millard ayo
@nzikutzwillyboy18244 жыл бұрын
Daaaaa ama kweli dunia inamengi leo unamuona yule alie kusaidia mpaka kuwa msanii mkubwa anaitwa mshamba da ama kweli tenda wema nenda zako
@isaacdonald17547 жыл бұрын
Sky is the limit.. Bigup hamornize
@shaqirhassan23523 жыл бұрын
2021 tujuane
@husseinbororo44475 жыл бұрын
Alafu leo unamvimbia diamond umesahau yote hayo aliyekufanyia.
@jasminemussa24475 жыл бұрын
Hata mondi hakumbuki alipotoka na wema
@lameckmichael23884 жыл бұрын
Atamondi hakumbuki alikotoka
@gayoclement63834 жыл бұрын
harm anamuhexhimu xana mond lkn hawa madog wengne nd wanazengua
@rosinacyuzuzo20934 жыл бұрын
Hamonize anamuheshimu sana diamond kabisa
@agnesngaga76664 жыл бұрын
Daa ! ubinadamu kazi leo hii umsahau yote uliyotendewa binadamu bwana leo unamvimbia bila hata kukumbuka ujue mungu anakuona huwezi jua mungu alikuunganisha ili akupime
@RuzoOwzy6 жыл бұрын
One of the interview isiyo na ukakasi...10/10
@ramahusomore13743 жыл бұрын
Harmonize be humble like before respect Diamond
@UrbanCraftTv5 жыл бұрын
Now a big star!!!! Nairobi watching.
@مليكيامليكيا6 жыл бұрын
kabisa diamond acha ajipatie rizki kabisa anaroho nzuri masha allah
@uhuru238 жыл бұрын
humble guy.. Harmonize ako sawa..
@musamwananjela19387 жыл бұрын
komaaa
@victorkikoti30183 жыл бұрын
We huna shukulani kabisa
@selemanichiga58284 жыл бұрын
Bangi kweli mbaya mbona Harmoniz huyu Alie kuwa havuti Bangi alikuwa anajua thamani ya mtu Alie mfikisha Hapa alipo.
@mariahmuoka535 жыл бұрын
From Kenya we love you boo
@BeverlyneAMUNGA11 ай бұрын
Namkubali harmonize..listening 2024..nwayz be humbled in evrything
@gadsonnkelekele21356 жыл бұрын
duuh,mziki mzuri sana ongera sana
@nuruhbright58565 жыл бұрын
Blessed @harmonize
@yuzotv4585 жыл бұрын
harmonize unakila sababu yakumuheshim millady ayo. kama nawewe unaangalia hii interview basi gonga like kwa brother millady.
@emanuellaurent46295 жыл бұрын
Amxhukur Millard Kwa lip Labda alofanya c anawakataa why waendeleee kujikomba kwake
@piusmnanka27555 жыл бұрын
@@emanuellaurent4629 Millard haifai ni mkuda tu...!
@loveelinnn5 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea vizuri Sana kiheshima hakuna maneno ya mitaani nimekua big fan baada ya kuoa 🥰 kwakweli anacho kipaji .... akija nilipo nitaenda kumuona go harmo go .... Do you, don't listen to them haters.... Atarudi is on repeat 😘😘😘
@godfreyrwechungula15689 жыл бұрын
safi sana kinachotakiw kuheshim aliye Fanya ufike lv hiyo
@Swaga_boys4 жыл бұрын
Godfrey Rwechungula Subscribe kwenye You Tube channel yangu 1k 👌❤️🥰❤️
@daudiernest95363 жыл бұрын
Gonga like kama na ww umerudi 2021 kumtazama harmonize aliyekengeuka
@chibabydaniel8 жыл бұрын
big up harmonize. really I like the way you answer questions. not like kiba
@salumsamata53509 жыл бұрын
Much respect to you Harmonize, Mungu atakujaalia2 utafika mbal Inshaallah.
@saidlwambo19956 жыл бұрын
It is common thing for Artists to be similarity especially when who working together ,so look at Dimond nd Harmonize-Tz and Jah Prayzah nd Andy Muridzo Zimbabwe and others, Similarity in musical features.
@ibrahimissamohammedmahadma19187 жыл бұрын
dah hamornize am really sory BT don't give up bro
@monicaafinda1759 жыл бұрын
love your song. your struggles give alot of people hope
@BONGOKUMENOGATV4 жыл бұрын
Wangapi wanaangalia mpaka sasa mwaka 2020
@sjtube10476 жыл бұрын
Young best musician
@saumuraziinah16126 жыл бұрын
congrats harmonize...wherever u are jus know DAT am ur big fun...like ur songs meeen
@ephraimowago48396 жыл бұрын
Harmonaize you are too good.God will see you thru...ephraim-Ndhiwa Kenya
@geofreykaholwe24999 жыл бұрын
kuna vitu ninejifunza aisee. Kwanza kutokukata tamaa. Angekuwa mtu mwingine ndo anazungushwa vile angeshakata tamaa. Pili ni kujibeba hata kama una nafasi ya mtu kukubeba. Alipeleka wimbo Clouds mwenyewe. Kwa watu tulio wengi nahisi hata mimi, kwa kuwa tu na mawasiliano na Diamond basi tungeomba atusaidie kuongea na watu wa clouds. Ila mwana aliupeleka mwenyewe. Hongera bro. Ufike mbali kwa juhudi zako.
@gabrielphilimon67867 жыл бұрын
mwanzohuwa nimgumu sanatenasana
@deogratiuskapulwa88745 жыл бұрын
kijana unanidhamu ,shukrani ni kitu cha msingi sio hela ,heshima,na nidhamu Kwa aliyekusaidia br
@MiwagoTz5 жыл бұрын
Pole sana..Ongera nimejifunza kitu kupitia Harmonize kutokata tamaa
@collinsbett70963 жыл бұрын
2021 and i find Harmonize just amazing
@ikakasumba37595 жыл бұрын
When you want to go fast,,go alon e..and when you want to go far go together...
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Hongera kaka nyimbo zako zipo vinzur utafika mbali sana Mungu akutunze
@blendembesimba5 жыл бұрын
Mimi Ibrahim,naishi Italia na fata sana wcb,kwa maisha zenu jisi m'me anzia na maisha, ndiyo ivo maisha ni pole pole harmonize
@benardnzuki9685 жыл бұрын
Nitafutie kazi namimi italia
@galoabaclassic59586 жыл бұрын
Daaa bonge la stor da mungu akujarie
@bernardbigirindavyi9118 жыл бұрын
nice interview songa mbere harmonize
@sittakulwa62008 жыл бұрын
.
@superbg93228 жыл бұрын
I like the message
@selemanikazumari61724 жыл бұрын
2020 naangalia weka like
@mariahamis39719 жыл бұрын
big up sana bro na mungu atakuongoza upo makin sana na unaonesha kuwa ni mwenye heshima nakupa hongera kwa hilo naipenda kinomaa aiyola nice song tunakuombea pia mashabiki zako
@jeyforfundi10375 жыл бұрын
Maria Hamis mapenzi
@festokebelo81113 жыл бұрын
Kjhgfddklop9ijoogdszxuoDffgh
@johnmgohele26064 жыл бұрын
18:00 siku nikimkosea ntajisikia vby xana🤣🤣 mungu tujalie kutunza maneno yetu coz binadam ni dhaifu ss, hatuwez kuenz ahad zetu wenyewe..😁😁😅
@dontiger18084 жыл бұрын
DAH ACHA
@unclepwechnov13813 жыл бұрын
Exactly, I noted that. He is quite the opposite of his own words, siku hizi anam-disrespect live yaani.
@emmanuelsimiyu28602 жыл бұрын
Harmoniz ametoka mbali na mefika mbali 💗🙂😝
@dkensmopainvevo36834 жыл бұрын
Sai ni konde gang tattoo kibao Mivimbo kama zote 😂💪🇰🇪
@jasinkai63264 жыл бұрын
Jeshi ule u humble ulisha pesa n kitu cha ajabu🤗🤗🤗🤗🤣🤣🤣